The daily briefing.
Latest across Tanzania
SERIKALI INATHAMINI WAJASIRIAMALI WADOGO NA WA KATI KUINUA BIASHARA ZAO - KAPINGA
📌Azindua Kitabu cha mwongozo wa bei za keki kwa waokaji nchini; 📌Asema sekta ya uoakaji ina ajiri wajasiriamali wengi kwenye soko la ajira WAZIRI wa Viwanda na...
GEITA DC YASHIKA NAFASI YA PILI MAONESHO YA TISA YA KITAIFA YA TEKNOLOJIA YA MADINI MKOANI GEITA
Halmashauri ya Wilaya ya Geita imeshika nafasi ya pili kwa kupewa Tuzo Maalum kama Mshindi wa pili Mamlaka ya Serikali za Mitaa Maonesho ya 09 ya Kitaifa ya...
Biashara ya pombe saa 24 ‘Kwa Mangi’ yashika kasi Dar
Soma zaidi hapa...
TADB Yapaa Kimataifa Yatwaa Tuzo Ya Ufadhili Wa Kilimo
BENKI ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imetunukiwa tuzo ya Ubora katika Suluhisho za Ufadhili wa Kilimo Tanzania katika tuzo za Global Brand Awards,...
MRADI WA UMWAGILIAJI IDUDUMO III KUINUA UZALISHAJI WA KILIMO
ONGEZEKO la mradi wa umwagiliaji Idudumo III uliopo Nzega, mkoani Tabora kutoka hekta 173 hadi kufikia hekta 1,500 umepongezwa kwa kulenga kuchochea kasi ya...
TADB Yatunukiwa Tuzo ya Kimataifa kwa Ufadhili wa Kilimo
Read the full report from the original source.
Serikali inathamini wajasiriamali wadogo na wa kati kuinua biashara zao
Read the full report from the original source.
Tanzania, Switzerland explore ways to cement ties in trade, investment, skills development, institutional cooperation
DAR ES SALAAM: THE Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation, Ambassador Dr Mahmoud Thabit Kombo, has held talks…
MBUNGE ULENGE: UCHUMI WA TRILIONI 1 DIRA YA 2050 LAZIMA UMGUSE MWANANCHI, ATAKA SHERIA YA TATHMINI
Na Mashaka Mhando, Arusha MBUNGE na mmoja wa 'Wabunge Vinara', Mhandisi Mwanaisha Ulenge, ameishauri Serikali kutunga Sheria ya Ufuatiliaji na Tathmini (M&E) badala...
CEOs FORUM YAWA JUKWAA LA KUCHOCHEA UTEKELEZAJI WA DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050
Na Mwandishi wetu. Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Watendaji Wakuu wa Taasisi za Serikali (CEOs Forum Annual General Meeting) umefanyika katika Hifadhi ya Ngorongoro,...
GEITA YATAJWA KUWA KITOVU CHA FURSA ZA UWEKEZAJI MADINI NCHINI
Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) kwa wawekezaji wa ndani na nje ya nchi, katika Maonesho ya Tisa ya Kitaifa ya Teknolojia ya Madini...
TANZANIA, QATAR ZALENGA KUIMARISHA USHIRIKIANO WA MADINI KUPITIA STAMICO
-Kampuni za Qatar zaalikwa kushiriki Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini (TMIC) 2026 -Qatar Mining yaonesha utayari wa kushirikiana na Tanzania;...
TTCL KUIWEZESHA DIRA 2050 KUPITIA UWEKEZAJI KATIKA MIUNDOMBINU YA KIDIJITALI
Na Ashura Mohamed, Arusha Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limesema litaendelea kuimarisha uwekezaji katika miundombinu ya mawasiliano na huduma za...
WAANDISHI WA HABARI TANZANIA NA OMAN KUIMARISHA TAALUMA YA HABARI,FURSA ZA KIUCHUMI
Na Said Mwishehe, Michuzi TV Tanzania na Oman zimeingia katika hatua mpya ya ushirikiano katika sekta ya habari baada ya kusainiwa kwa Mikataba ya Ushirikiano (MoU)...
Kamati ya Bunge ya kilimo hatutakaa kimya umwagiliaji
Read the full report from the original source.
DKT. MWIGULU: TANZANIA NA QATAR BADO TUNA FURSA NYINGI ZA KIUCHUMI
-Apigia chapuo utekelezaji wa DIRA 2050 WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema bado kuna fursa nyingi za ushirikiano wa kiuchumi baina ya Taifa la Qatar na Tanzania...
Bank CEOs, directors in Tanzania should not serve for more than 10 years, says BoT
Read the full report from the original source.
GCLA yawaibukia wachimbaji madini Geita
Read the full report from the original source.
MINETEC INAVYOWAFUNGULIA FURSA WACHIMBAJI
Na Mwandishi wetu, Geita KAMPUNI ya MINETEC inayohusisha na uuzaji wa vifaa vya uchimbaji madini imekuwa fursa kubwa kwa wachimbaji madini hususan ya dhahabu kwa...
TISEZA YAENDELEA KUVUTIA WAWEKEZAJI WA KIGENI, MGODI WA JIUDING MINING WATOA AJIRA 73 KWA WATANZANIA
Na Nasra Ismail, Geita Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) imeendelea kuvutia wawekezaji wa kigeni nchini kutokana na maboresho ya...
Page 11 of 14 · 280 stories
Share your feedback
A suggestion or something we can do better? Tell our team.
Your region, in your pocket.
Choose your country and topics, save important stories and stay close to trusted local voices.
↓ Download Android APK · v1.1.0