The daily briefing.
Latest across Tanzania
RAIS SAMIA: TUMEJENGA MJI WA SERIKALI MTUMBA KWA FEDHA ZA NDANI, BILA MSAADA WA NJE
Na Janeth Raphael - MichuziTv Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali imefanikiwa kujenga na kukamilisha miundombinu...
RAIS SAMIA ATOA AGIZO KUHUSU UTUNZAJI WA MAZINGIRA MJI WA MTUMBA
Na Janeth Raphael - MichuziTv Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametoa maagizo kwa Katibu Mkuu Kiongozi, kwa kushirikiana na makatibu...
NGAJILO AIOMBA SERIKALI KUONGEZA BAJETI YA BARABARA IRINGA MJINI
NA DENIS MLOWE, IRINGA MBUNGE wa Jimbo la Iringa Mjini, Fadhili Ngajilo, ameiomba Serikali kuongeza bajeti ya ujenzi na ukarabati wa barabara katika jimbo hilo ili...
MBUNGE KAMPALA AIOMBA SERIKALI KUWEKA MIKAKATI ZAIDI KUDHIBITI MMOMONYOKO WA MAADILI
Na Janeth Raphael - MichuziTv Bungeni Mbunge wa Jimbo la Katavi, Thomas Kampala Maganga, ameitaka Serikali kueleza mikakati na hatua inazochukua kukabiliana na...
Dr Samia officially opens ministry, institutional buildings and key roads at the new government city
DODOMA: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has officially inaugurated government ministry and institutional buildings, asphalt roads and key infrastructure at the…
POLISI MORO YAWASHIKILIA WATATU KWA TUHUMA ZA KUMTOROSHA MWANAFUNZI
Farida Mangube, Morogoro Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kumtorosha mwanafunzi wa kidato cha nne wa Shule ya Sekondari...
Tanzania’s new government city in Mtumba officially begins operations
DODOMA: TANZANIA has officially inaugurated office buildings housing government ministries and institutions, together with paved road infrastructure at the Government…
WAZIRI MKUU ATAKA UBALOZI URUSI UPANUE MASOKO YA BIDHAA ZA TANZANIA
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka watumishi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Urusi waendelee kuitangaza vyema nchi na kuongeza juhudi za kutafuta fursa za...
Serikali yabainisha mikakati ya kusimamia wamiliki wa leseni za uchimbaji madini
Read the full report from the original source.
Mahakama Kuu Kenya yaamuru Mwaipaya apelekwe akiwa hai au amekufa
Soma zaidi hapa...
Salome alipogeza Bunge usimamizi mradi wa Julius Nyerere
Read the full report from the original source.
Wadau Mwanza wapata elimu kuhusu rasimu ya Katiba ya Fungamano la Kisiasa la EAC
Read the full report from the original source.
Mahakama yapokea ushahidi mpya kuhusu mwenyekiti wa Bavicha kushikiliwa
Soma zaidi...
Serikali kupiga marufuku pipi kwenye mikutano
Serikali imeagiza kuanzishwa kwa benki za mazao ya asili katika kila Mkoa nchini, huku ikipiga marufuku matumizi ya pipi katika maeneo yasiyo ya lazima ikiwemo kumbi...
PROF. MKUMBO: MAANDALIZI YA UZINDUZI WA MJI WA SERIKALI MTUMBA YAKAMILIKA
NA Janeth Raphael - MichuziTv Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, amesema maandalizi ya hafla ya uzinduzi wa majengo ya ofisi...
Mama na baba lishe waomba eneo maalumu Mji wa Serikali Dodoma
Mama na baba lishe mkoani Dodoma wameiomba Serikali kuwatengea eneo maalumu la kufanyia biashara ya chakula katika Mji wa Serikali Mtumba, wakisema hatua hiyo...
Tanzania pledges to fund construction of infrastructure at the satellite school in Kilimanjaro
DODOMA: THE Deputy Minister in the President’s Office responsible for Public Service Management and Good Governance, Festo Dugange, has said…
ULEGA AWAAGIZA WATAALAMU KUSAIDIA WANYONGE KUPATA HAKI
Na Victor Masangu, Pwani WAZIRI wa Katiba na Sheria, Abdallah Ulega, amewaagiza wataalamu wanaoshiriki Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia awamu ya pili...
WAZIRI MKUU ATEMBELEA MAONESHO WAKATI WA UFUNGUZI WA MKUTANO WA PAMOJA WA URUSI NA AFRIKA
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, jana Oktoba 28, 2026, ameshiriki katika kutembelea maonesho wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa tatu wa Wakuu wa Nchi na Serikali...
SAMIA LEGAL AID KUWAFIKIA WANYONGE, KUONDOA VIKWAZO VYA UPATIKANAJI WA HAKI
Na Mwamvua Mwinyi, Pwani WAZIRI wa Sheria na Katiba, Abdallah Ulega, amesema kampeni ya Samia Legal Aid ni mkombozi kwa wananchi wanyonge, kwa kuwa inawezesha kupata...
Page 5 of 20 · 388 stories
Share your feedback
A suggestion or something we can do better? Tell our team.
Your region, in your pocket.
Choose your country and topics, save important stories and stay close to trusted local voices.
↓ Download Android APK · v1.1.0