The daily briefing.
Latest across Tanzania
Farid Musa amuibua kocha Coastal Union
FARID Mussa anaonekana kuwa miongoni mwa silaha ambazo Coastal Union imekuwa ikizisubiri kwa hamu, huku kocha mkuu wa timu hiyo, Fikiri Elias, akisema wakati umefika...
TRA United yawakusanya wataalamu
TRA UNITED imeanza kujenga sura mpya ndani ya benchi lake la ufundi kwa kuvuta wataalamu kutoka vigogo wa Yanga na Azam FC, ikiwa hesabu za kuimarisha kikosi hicho msimu huu.
NGAO YA JAMII 2026: Macho yote KMC Dabi ya Kariakoo
Read the full report from the original source.
Steve Barker ashusha nondo Sauz
Soma zaidi hapa
Manqoba awatega mastaa Yanga
Soma zaidi hapa
Kocha Simba aondoka kambini Sauzi
Soma zaidi hapa
VITASA | Anit Singh apigwa TKO raundi ya pili na Frank Shagembe | Boxing In Paradise 29/09/2026
VITASA NIGHT: Raundi ya pili ilikuwa chungu kwa Anit Singh kutoka India, akaona ya nini kufia ulingoni…!!! Ikabidi arushe taulo na kushindwa kuendelea na pambano.....
Kocha England alia na ulinzi
KOCHA wa timu ya taifa ya England, Thomas Tuchel, ameonya safu yake ya ulinzi baada ya kukiri kuwa kikosi chake kimekuwa “hatari kwao wenyewe” kutokana na makosa ya...
Bao la Olise lampagawisha Zidane
KOCHA mpya wa timu ya taifa ya Ufaransa, Zinedine Zidane, amekuwa gumzo mitandaoni baada ya kushindwa kujizuia kwa furaha kufuatia timu yake kupata ushindi wa dakika...
Rais FIFA kumwaga mabilioni
Read the full report from the original source.
VIWANJANI: Yanga SC washiriki maziko ya Mzee Mpili, TRA yaendelea na mazoezi Zanzibar.
Azam TV
Meridian Sportstz APP: Habari za Michezo Kiganjani Mwako
MERIDIAN Sports App ni jukwaa la kidijitali linalokuwezesha mwanamichezo kupata taarifa mbalimbali za michezo kutoka sehemu tofauti duniani kupitia simu yako. App hii...
MAHOJIANO MAALUM | Safari ya Mussa Hassan 'Mgosi' kwenye soka hadi kufanikiwa na Simba Queens.
Kocha Mussa Hassan Mgosi amewataja Kocha Meck Maxime na Kanali Mstaafu Idd Kipingu kama miongoni mwa watu waliomsaidia katika safari yake ya soka, kupitia ushauri na...
KURASA ZA MWISHO | Mashabiki waendelea kuiamini Stars licha ya kipigo cha Guinea-Bissau
Shabiki akizungumzia mchezo wa jana kati ya Tanzania na Guinea-Bissau, ambapo wenyeji walipoteza kwa mabao 2-0, amesema tatizo kubwa ni kushindwa kutumia nafasi...
KURASA ZA MWISHO | Maswali kwa Kocha Miguel Gamond na kikosi cha Stars.
Wachambuzi Faustine Felician, Khatimu Naheka na Charles Abel wakiuliza maswali yao kwa Kocha wa Taifa Stars, Miguel Gamondi na kikosi kizima cha Stars baada ya...
Jinsi Azam TV ilivyowanasa Simba SC mafichoni Afrika Kusini
KUTOKA AFRIKA KUSINI: Mohamed Mohamed amewasaka Simba SC hadi amewapata wakiwa mafichoni katika kambi yao maalum ya siku kumi. Hapo amezungumza na meneja wa timu...
Magoli | KVZ FC 3-0 Fufuni FC | PBZ Premier League Zanzibar 26/
#PBZPL Hizi hapa chuma tatu za Kikosi cha Valantia Zanzibar… ….. wauaji wakiwa ni Munir Abdu Shafi ‘Mlipili’, Muhammed Mussa Haji, ‘Banega’, na Mudrick Abdi Shekhe,...
SPORTS AM | David Molinga aifananisha Yanga na Barcelona, ampa ushauri Doumbia wa Simba
SPORTSAM: Nyota wa zamani wa Yanga SC, David Molinga anasema Yanga ya sasa ndio bora zaidi kuliko nyakati zote. Molinga anasema kwa aina ya wachezaji iliyonayo Yanga...
Simba SC watembelea hifadhi ya wanyama nchini Afrika Kusini
KUTOKA AFRIKA KUSINI: Baada ya mazoezi magumu ya siku tatu mfululizo kwenye kambi yao nchini Afrika Kusini, kikosi cha ‘Mnayama’ Simba SC leo Septemba 29 kimepata...
Matola asimulia jinsi kispika kilivyokwamisha dili lake Yanga. SC
Kocha Msaidizi wa Simba SC, Selemani Matola ameweka wazi kuwa hapo zamani ilibaki kidogo ajiunge na Yanga SC ambao walimtumia nauli ya kwenda kujiunga nao kabla ya...
Page 21 of 22 · 436 stories
Share your feedback
A suggestion or something we can do better? Tell our team.
Your region, in your pocket.
Choose your country and topics, save important stories and stay close to trusted local voices.
↓ Download Android APK · v1.1.0