The daily briefing.
Latest across Tanzania
Mashujaa FC yajipanga kuipa Yanga SC ushindani.
YANGA SC vs MASHUJAA FC: “Kesho tunaenda kupambana kupata matokeo.” Kocha wa Mashujaa FC, Aman Josiah amesema soka halina uhakika wa kurudia matokeo, hivyo...
Hata Ally Kamwe anaweza kuipa Yanga ubingwa – Kocha Amani Josiah
YANGA SC vs MASHUJAA FC: Kocha wa Mashujaa FC, Amani Josiah amesema Yanga inaweza kushinda ubingwa wa ligi kuu ya NBC ikiwa na “kocha aina ya Ally Kamwe” ambaye kwa...
Yanga SC yaweka wazi dhamira ya kuichapa Mashujaa FC.
YANGA SC vs MASHUJAA FC: Kocha msaidizi wa Yanga SC, Simo Dladla ameeleza dhamira ya timu hiyo kupambana kupata matokeo mazuri katika mchezo wake dhidi ya Mashujaa FC...
VIWANJANI | Kisa cha Yanga kumtimua Kocha Manqoba na suluhu dhidi ya TRAUnited - 26/10/2026
UCHAMBUZI: Je, unajua ni kwanini Yanga imemtimua kocha wake Manqoba Mngqithi? Kutoka Viwanjani ya Azam Sports 1 HD, huu hapa ni uchambuzi wa kina kilichosababu uamuzi...
Simba SC yaaminiwa kufika fainali ya Kombe la Mabingwa Afrika
Mchambuzi wa soka Abdi Kassim anasema Simba SC ina timu inayoweza kumfikisha fainali. Kwa upande wake Muro amesema kutokuwepo kwa Al Ahly na Mamelodi Sundowns...
Best African Footballers in the Premier League Ever
-Drogba, Mané, Mahrez and Adebayor ranked by trophies and numbers. Read the best African footballers in the Premier League and the facts behind them. The Premier...
Cricket legend Tejan wins WF 50 lifetime award
DAR ES SALAAM: TANZANIAN cricket legend, Bashir Tejani, has received the Lifetime Achievement Award in Sports at the WF50 Sports…
Mngqithi pays the price for Yanga slump
DAR ES SALAAM: MANQOBA Mngqithi’s tenure at Young Africans has come to an end following a disappointing run in the…
Siku 408 za Kamungo bila bao Marekani
LEO Oktoba 26, 2026 mshambuliaji wa Tanzania, Bernard Kamungo anayekipiga kikosi cha FC Dallas ya Marekani anafikisha siku 408 bila kufunga bao katika ligi hiyo.
Azam FC yazipiku Simba, Yanga
AZAM FC imefuzu tena hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika ikiitoa ZED FC ya Misri, ikiwa ni rekodi ambayo Simba na Yanga hazijawahi kuiweka.
Tuzo ya Ballon d’Or ina wenyewe
Read the full report from the original source.
Pesa Hiyoo; Manchester United dhidi ya Bournemouth
MACHO ya mashabiki wa soka yataelekezwa kwenye dimba la Old Trafford leo Jumapili, Oktoba 25, 2026, ambapo Manchester United itakuwa mwenyeji wa Bournemouth katika...
Manqoba ‘amwaga mboga’ Yanga
Soma zaidi hapa
Wawili watajwa kurithi mikoba Yanga
Soma zaidi hapa
Wasauzi waibip Simba
Soma zaidi hapa
Magoli | Geita Gold FC 1-1 Fountain Gate FC | NBC Premier League 25/10/2026
Geita Gold FC imelazimishwa sare ya 1-1 nyumbani na Fountain Gate FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa kwenye Dimba la Bukombe, mkoani Geita. Waliotangulia...
Magoli | Singida BS 1-1 Tusker FC | CAF CC 25/10/2026
Singida BS imepata sare ya bao 1-1 dhidi ya Tusker FC ya Kenya, na kufuzu hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika #CAFCC kwa jumla ya magoli 2-1, kufuatia ushindi...
Simba SC vs 15 de Agosto | Joto la mashabiki kabl aya mechi | CAF CL 25/10/2026
Sikia walichokisema mashabiki kutoka Dimba la Uhuru dakika chache kabl ay Simba kuivaa 15 de Agosto, katika mchezo wa marudiano Ligi ya Mabingwa Afrika. Katika mchezo...
Magoli | 3K FC 2-1 Murang'a Seal | SportPesa league Kenya 25/10/2026
#SportPesaLeague Enjoy magoli matamu kutoka Kenya... Wafungaji ni Oscar Juma na Gien Kairuki kwa 3K FC, wakati Murang'a wakifunga kupitia kwa Michael Owen. FT: 3K FC...
Simba SC 3-0 De Agosto | Highlights | CAF Champions League 25/10/2026
Simba SC imepata ushindi wa mabao 3-0 dhid ya 15 de Agosto ya Guinea ya Ikweta, na kutinga hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika kwa jumla ya magoli 9-1, kufuatia...
Page 8 of 22 · 436 stories
Share your feedback
A suggestion or something we can do better? Tell our team.
Your region, in your pocket.
Choose your country and topics, save important stories and stay close to trusted local voices.
↓ Download Android APK · v1.1.0