The daily briefing.
Latest across Tanzania
Dkt. Tulia: Wanawake Washiriki Kikamilifu Katika Maamuzi
Na Mwandishi Wetu - MAELEZO, ARUSHA, Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, amezitaka nchi wanachama kuhakikisha usawa wa kijinsia hauishii katika...
YAS NA MIXX KUPELEKA HUDUMA KWA WATEJA MASOKONI NCHINI, WATEJA KUJISHINDIA ZAWADI MADUKANI
Wateja wa Yas na Mixx wataweza kupata msaada wa huduma moja kwa moja masokoni kote nchini, huku wakijishindia zawadi katika maduka ya kampuni hizo, kupitia Wiki ya...
Wizara ya Elimu Zanzibar yalaani mauaji ya kikatili ya mwanafunzi kidato cha kwanza
Read the full report from the original source.
Msajili Hazina azitaka Mamlaka za Maji kuiga ubunifu wa Tanga UWASA
Read the full report from the original source.
Prof. Shemdoe amuunga mkono Waziri Mkuu, awasilisha milioni 74 kuchangia maboresho vituo vya huduma vya KKKT Tanga
Read the full report from the original source.
Patel atwaa ubingwa kwa mara ya tatu Afrika
Read the full report from the original source.
MAKAMU WA RAIS KUFUNGUA MKUTANO WA 46 WA CATA JIJINI ARUSHA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius John Ndejembi, amewasili mkoani Arusha leo, Jumatatu, Oktoba 5, 2026, kwa ajili ya kufungua Mkutano...
SERIKALI YAITAKA CRDB KUONGEZA FURSA ZA KIUCHUMI KWA WANAWAKE, VIJANA
Na Janeth Raphael - MichuziTv Serikali imeitaka CRDB Bank kuongeza zaidi fursa za kiuchumi kwa wanawake, vijana na watu wenye ulemavu, kwa kuwawezesha kupata mitaji,...
VIJANA WAHAMASISHWA KUSHIRIKI WIKI YA VIJANA, KUTAMBUA FURSA
Na Mwandishi Wetu, Rukwa SERIKALI imewahamasisha vijana mkoani Rukwa kushiriki kikamilifu katika Wiki ya Vijana Kitaifa 2026, ili kupata maarifa, kujifunza na kufanya...
IPU YAWA JUKWAA KUTANGAZA UTAMADUNI WA TANZANIA KIMATAIFA
Na Seif Mangwangi, Michuzi TV, Arusha UJIO wa wajumbe wa Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Jijini Arusha umeibua fursa kwa wafanyabiashara na wasanii...
WAJAWAZITO LIWALE KUNUFAIKA NA VIFAA VYA UZAZI KUTOKA YAS
Wajawazito wanaohudumiwa katika Hospitali ya Wilaya ya Liwale, mkoani Lindi, wanatarajiwa kunufaika na vifaa vya uchunguzi na kujifungulia vilivyotolewa na Kampuni ya...
DK.TULIA ATAKA WANAWAKE WASIISHIE MEZA ZA MAAMUZI
Na Seif Mangwangi, Michuzi TV, Arusha RAIS wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dk. Tulia Ackson, amesema ushiriki wa wanawake katika nafasi za uongozi hautakuwa na...
NBC Yakutana na Wateja Wake Wakubwa Arusha, Yasisitiza Dhamira Yake Ukuzaji Sekta ya Utalii
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imesisitiza dhamira yake ya kuchochea ukuaji wa sekta ya utalii nchini kwa kuendelea kuwekeza katika suluhisho za kifedha na...
MAADHIMISHO MWEZI WA HUDUMA KWA WATEJA: NBC Yaenda “Extra Mile” Kuwafikia Wateja, Yasisitiza Huduma Zinazoendana na Mahitaji Halisi
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua rasmi Mwezi wa Huduma kwa Wateja 2026 kwa kusisitiza dhamira yake ya kwenda hatua ya ziada katika kuwafikia wateja kwenye...
TANZANIA, AFRIKA NA GCC+ ZAKAZA KUIMARISHA UHAMAJI SALAMA WA NGUVU KAZI
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Ajira na Mahusiano, Bi. Zuhura Yunus, kwa niaba ya Katibu Mkuu, Bi. Mary Maganga, akitoa hotuba wakati wa ufunguzi wa...
IPU president sets peace, parliamentary oversight as priorities for successor
Read the full report from the original source.
RAYVANNY KUTUMBUIZA WABUNGE WA DUNIA MKUTANO WA IPU
Na Seif Mangwangi, Michuzi TV, Arusha Msanii wa muziki wa bongo flava nchini Raymond Mwakyusa maarufu kama ‘Rayvanny’ anatarajiwa kutumbuiza wajumbe wa mkutano wa 153...
ZILIZOBAMBA MITANDAONI | Ahmed Ally na Simba Marathon, Kamwe afurahia maendeleo ya Pacome
Tazama Zilizobamba mitandaoni ikiwa na stori kibao zilizotikisa mitandaoni. Ni Ally Bakari 'Mufti' na timu ya Viwanjani
KCB and ZHSF sign stratergic patnership to enhance access to health care services in zanzibar
ZANZIBAR: KCB Bank Tanzania and the Zanzibar Health Service Fund (ZHSF) have today signed a Strategic Memorandum of Understanding (MoU)…
Ronaldo apewa nafasi nyingine
CRISTIANO Ronaldo amepewa nafasi nyingine ya kurejea kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Ureno, licha ya kuondoka kambini kwa kishindo baada ya kutofautiana na kocha...
Page 152 of 222 · 4436 stories
Share your feedback
A suggestion or something we can do better? Tell our team.
Your region, in your pocket.
Choose your country and topics, save important stories and stay close to trusted local voices.
↓ Download Android APK · v1.1.0