The daily briefing.
Latest across Tanzania
Serikali Yaimarisha Ulinzi na Ustawi wa Watu wenye Ualbino
Read the full report from the original source.
SH.90M ZATENGWA KUWAKINGA WATU WENYE UALBINO
Na Karama Kenyunko Michuzi Tv SERIKALI imetenga Sh milioni 90 kwa ajili ya ununuzi wa mafuta kinga dhidi ya saratani ya ngozi kwa watu wenye ualbino, huku ikiagiza...
MANYARA YAJIPANGA KUKABILIANA NA MADHARA YA EI NINO
Na Mwandishi Wetu-Manyara Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Martine Shigela leo Septemba 28, 2026 ameongoza Kikao Kazi cha Kujadili Utekelezaji wa Maelekezo yaliyotolewa...
Pwani ni ‘nchi’ yenye rasilimali tatu ambazo hazipo mkoa wowote Tanzania
Read the full report from the original source.
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UKWEPAJI KODI KWA UDANGANYIFU WA TAARIFA ZA MAGARI
CP KOMBO AFUNGUA KIKAO KAZI CHA MAAFISA HABARI WA JESHI LA POLISI.
Kamishna wa Polisi Zanzibar CP Kombo Khamis Kombo amewataka Maafisa Habari wa Jeshi la Polisi kuendelea kuwa nguzo imara katika kuelimisha na kuhabarisha umma kuhusu...
WATANZANIA 8,408 WAUNGANISHWA NA AJIRA NJE YA NCHI
Na Karama Kenyunko Michuzi Tv WATANZANIA 8,408 wameunganishwa na fursa za ajira nje ya nchi kuanzia Januari mwaka huu hadi sasa, huku jumla ya Watanzania 15,715...
Rais Mwinyi akagua maendeleo ya ujenzi wa miundombinu ya mji wa michezo Zanzibar
Read the full report from the original source.
TASAC: Sensa ya Vyombo vya Majini Kusaidia Mipango Endelevu ya Sekta
Mkurugenzi wa Udhibiti Uchumi wa Shirika hilo Nahson Sigalla wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) akifungua mafunzo kwa mawakala wa Sensa ya Vyombo vya...
RAIS DKT. MWINYI AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA MJI WA MICHEZO ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, leo tarehe 28 Septemba 2026, ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa Mji wa...
MWENYEKITI CCM KIBAHA MJINI ATOA TAHADHARI YA MVUA ZA EL-NINO
Na Victor Masangu, Kibaha MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kibaha Mjini, Mwalimu Mwajuma Nyamka, amewataka wenyeviti wa serikali za mitaa na mabalozi...
TZ tourism firm brings Tesla, drives green tourism
MOSHI: TANZANIAN tour operator Altezza Travel has bought a Tesla electric vehicle as it steps up efforts to reduce the…
DKT. MWIGULU ATEMBELEA MAKTABA YA TAIFA YA QATAR
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Jumapili, Septemba 27, 2026, ametembelea Maktaba ya Taifa ya Qatar (Qatar National Library) jijini Doha, Qatar. Katika ziara...
Jamii Yahimizwa Kupima Seli Mundu Kabla ya Ndoa
Dkt. Yonazi Charles, Mkurugenzi Mtendaji wa Masaki Wellspring Hub, ambao ni waandaaji wa Masaki Health Expo ( wa nne kushoto mwenye miwani) akiongea na baadhi ya...
Makamu wa Rais aagiza milango ifunguliwe kwa vijana 10,000
Read the full report from the original source.
Ubelgiji, Ufaransa Kukipiga Uefa Nations League
KARIBU Meridianbet ambapo Kipindi hiki ambacho timu za taifa kutoka maeneo mbalimbali duniani zipo kwenye majukumu yao, kuna michezo mikubwa inayosubiriwa na...
BoT YAWATAKA WANAOTAKA KUANZISHA TAASISI NDOGO ZA FEDHA KUFUATA SHERIA
Mkoa wa Geita ukiwa ni miongoni mwa maeneo yenye shughuli kubwa za madini nchini, Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeeleza kuwa uwepo wa shughuli hizo unaendana na...
Planet Power Slots Kukupeleka Angani Kufuata Mkwanja
KAMA bado umekaa magetoni ukisubiri bahati ikufuate yenyewe, basi huenda safari ya kuitafuta ikaanza sasa kupitia Planet Power Slots, mchezo mpya unaopatikana...
Tanzania yafungua milango kwa uwekezaji wa madini ya kimkakati, yalenga kujenga viwanda badals ya kuuza malighafi
Read the full report from the original source.
TRAMEPRO YATOA WITO WA KULINDA UADILIFU WA TAARIFA KWA AJILI YA UMOJA, AMANI NA MAENDELEO
Dar es Salaam, Septemba 28, 2026 — Shirika la Dawa Asilia na Ulinzi wa Mazingira Tanzania (TRAMEPRO) limetoa wito kwa wananchi, viongozi, waandishi wa habari na...
Page 195 of 220 · 4381 stories
Share your feedback
A suggestion or something we can do better? Tell our team.
Your region, in your pocket.
Choose your country and topics, save important stories and stay close to trusted local voices.
↓ Download Android APK · v1.1.0