The daily briefing.
Latest across Tanzania
RAIS SAMIA AKIHIMIZA MATUMIZI MADOGO YA MAFUTA, JETOUR YAJA NA TEKNOLOJIA MPYA
Katika kipindi ambacho dunia inakabiliwa na changamoto za upatikanaji wa mafuta na kupanda kwa gharama za nishati, matumizi ya magari yenye teknolojia inayowezesha...
CCM INAENDELEA KUSHUGHULIKIA MATATIZO YA WANANCHI - RABIA
Singida, Tanzania Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Idara ya Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), Ndg. Rabia Abdalla Hamid, amesema Chama Cha...
Uwanja wa Ndege Msalato mwambao mpya wa uchumi Dodoma
Read the full report from the original source.
AGA KHAN FOUNDATION YASISITIZA UWEZESHAJI WA WANUFAIKA WA MIRADI KUEPUKA UTEGEMEZI.
Shirika la Aga Khan Foundation limeeleza umuhimu wa miradi ya maendeleo katika kujenga uwezo wa jamii na kuwawezesha wanufaika kujitegemea ili shughuli zao ziweze...
Tanzania Yatoa Wito kwa nchi za Afrika Kuweka Mikakati ya Endelevu Kwenye Mapambano Dhidi ya Malaria
Na John Mapepele, WAF- New York Tanzania imetoa wito kwa nchi za Afrika na wadau mbalimbali wa sekta ya kuweka mikakati endelevu ili kuharakisha mapambano dhidi ya...
Bulyanhulu yapongezwa usalama wa wafanyakazi
Read the full report from the original source.
Jeshi la Polisi Laendelea Kushirikiana na Wananchi na Wadau Wengine Kuimarisha Ulinzi na Usalama
JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya limeendelea kushirikiana na wananchi na wadau wengine katika kuimarisha ulinzi na usalama wa maisha na mali kwa kufanya doria za kubaini...
KAMATI YA BUNGE YAIPONGEZA MGODI WA BULYANHULU KWA KUWEKEZA KWENYE MIFUMO YA USALAMA WA WAFANYAKAZI MIGODINI
Na Mwandishi wetu, Bulyanhulu - Shinyanga KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii imeipongeza OSHA na Mgodi wa Bulyanhulu kwa kuwekeza kwenye mifumo...
UJENZI WA UWANJA WA NDEGE MSALATO WAFIKIA 89%, KUKAMILIKA NOVEMBA 2026
Na Janeth Raphael - MichuziTv Mradi wa ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato jijini Dodoma umefikia asilimia 89.02 kwa upande wa ujenzi wa...
WANANCHI KITETE WAILILIA ARDHI, DC SHAKA AINGIA ENEO LA MGOGORO WA MIAKA
Na Farida Mangube MGOGORO wa ardhi unaodaiwa kudumu kwa miaka kadhaa kati ya wananchi wa Kijiji cha Kitete Msindazi, Kata ya Ruhembe wilayani Kilosa, Mkoani Morogoro...
Taifa Stars’ AFCON 2027 campaign gets 500m/- boost as NBC hands over new bus
DAR ES SALAAM: A national football team cannot prepare effectively for major international competitions if basic logistical needs remain unresolved.…
BMH YAWEKA BAYANA WAJIBU, HAKI 10 ZA MGONJWA KATIKA HUDUMA ZA AFYA
Na Janeth Raphael - MichuziTv Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) Dodoma imewataka wagonjwa kuwa sehemu ya mchakato wa matibabu kwa kufahamu haki zao na kushiriki...
RAIS SAMIA AONGOZA DHAMIRA YA AFRIKA KUTOKOMEZA VIFO VYA MAMA NA MTOTO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amepongezwa kwa uongozi wake mahiri katika kusukuma mbele ajenda ya Afrika ya kutokomeza vifo...
KILOSA YAANZA MAANDALIZI YA KUKABILIANA NA EL NINO
-DC SHAKA APIGA MARUFUKU MAFUNZO, AAGIZA FEDHA ZINUNUE VIFAA VYA DHARURA Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Mhe. Shaka Hamdu Shaka ameongoza Kikao Maalum cha Kamati ya Maafa...
EAC Permanent Secretaries agree to accelerate the removal of barriers hindering trade within the bloc
DAR ES SALAAM: PERMANENT Secretaries responsible for East African Community (EAC) affairs and trade from member states have agreed to…
TaRL approach hailed for boosting literacy, numeracy skills in Tanga region
TANGA: THE Teaching at the Right Level (TaRL) approach that groups children according to their actual level of understanding, rather…
TASAC YAWEKA MKAZO USALAMA WA ABIRIA BAHARINI
Na Oscar Assenga,Tanga SHIRIKA la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limewataka wamiliki na waendeshaji wa vyombo vya usafiri majini kuhakikisha wana vifaa vya kutosha...
LATRA generates 2.13tri/- from land transport’s ticket sales between 2022/23 and 2025/26 financial years
Read the full report from the original source.
Zanzibar meets GAVI in talks to bolster immunization services in the Isles
DAR ES SALAAM: THE Zanzibar’s Ministry of Health Principal Secretary, Dr Mngereza Mzee Miraji, has held talks with Gavi’s Tanzania…
Tanzania touts for women’s participation in peace and security processes in Great Lakes region
Read the full report from the original source.
Page 209 of 219 · 4375 stories
Share your feedback
A suggestion or something we can do better? Tell our team.
Your region, in your pocket.
Choose your country and topics, save important stories and stay close to trusted local voices.
↓ Download Android APK · v1.1.0