The daily briefing.
Latest across Tanzania
Yanga burudani imerudi
YANGA imerudi katika njia ya ushindi baada ya kuichapa Mashujaa mabao 2-1, lakini mashabiki wakaibua hoja, soka la burudani limerejea.
NBCPL | Walichokizungumza Makocha baada ya Yanga SC kubeba alama tatu mbele ya Mashujaa FC
#NBCPL: ''Plan yetu imefanya vizuri'' Kocha Mkuu wa Mashujaa FC, Amani Josiah akizungumzia dakika 90 ambazo zimemalizika kwa kudondosha alama tatu ugenini akisema...
Sassuolo Kukipigania Pointi Tatu na Lazio
KIPINDI ambacho wewe unajiuliza wapi utapiga pesa! wenzako wanajinyakulia Mkwanja kutoka kwa mabingwa wa Odds Kubwa , leo tayari hela ipo kwenye Mchezo wa ligi kuu ya...
Torino Kukabi COMO 1907, Vita Ya Pointi 3 Serie A
HUKU pointi tatu zinapiganiwa, wewe usikae kinyonge tandika jamvi lako leo wakati Klabu ya Torino itakuwa mwenyeji wa Como 1907 katika mchezo wa ligi kuu ya Italia,...
Magoli | Yanga SC 2-1 Mashujaa FC | NBC Premier League 27/10/2026
#NBCPL: Alama tatu zimekwenda kwa ‘Wananchi’ Wafungaji upande wa Yanga ni Peter Shalulile na Clement Mzize na upande wa Mashujaa FC ni Crispin Ngushi. FT: Yanga SC...
Chadema yamwandikia Ruto kuhusu Mwaipaya
Soma zaidi...
Chadema, Magereza zatofautiana kuhusu mgomo wa kula kwa Lissu
Taarifa zinazokinzana kuhusu hali ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, zimeibuka baada ya chama hicho kudai ameanza mgomo wa...
MBUNGE MARIAM IBRAHIM ATOA WITO WA KUIMARISHA MALEZI BORA NA MAADILI
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani, Mariam Ibrahim, ametoa wito kwa taasisi za dini, wazazi, walezi, waelimishaji na wadau wa maendeleo kuendelea kushirikiana na...
Wahitimu Shule ya Aboud Jumbe wajutia kauli zao, waomba msamaha
Baadhi ya wahitimu wa kidato cha nne wa Shule ya Sekondari Aboud Jumbe, Kigamboni, Dar es Salaam, wameomba radhi kwa walimu, wazazi, Serikali na Watanzania kufuatia...
Tunduru Conflict Kills at Least Five in 2026 as Official Report Remains Unreleased
Read the full report from the original source.
Mwaipaya Disappearance: East African Legal Bodies Press Kenya and Tanzania as Answers Remain Elusive
Read the full report from the original source.
NAESA KUSHIRIKIANA NA WATAALAMU WA KILIMO KUBORESHA HUDUMA ZA UGANI KILIMANJARO
MOSHI. MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, ameitaka Taasisi ya Wakala wa Taifa wa Huduma za Ugani (NAESA) kushirikiana kwa karibu na maafisa kilimo wa mkoa huo...
WAZIRI SANGU:MICHANGO YA WANACHAMA PSSSF INALINDWA,INAKUA NA KUREJESHA FAIDA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi Ajira na Mahusiano Mhe Deus Sangu, akimpongeza Mkurugenzi wa Fedha Mfuko wa PSSSF Bw. Ally Yakuti, baada ya kukabidhiwa mfano...
KABUDI: MAJENGO 37 YA WIZARA NA TAASISI MTUMBA KUZINDULIWA OKTOBA 30.
Na Janeth Raphael - MichuziTv Serikali inatarajia kuzindua rasmi majengo 37 ya wizara na taasisi za Serikali pamoja na kilomita 57.1 za barabara za lami katika Mji wa...
Kishindo cha Mourinho El Clásico
KOCHA wa Real Madrid, Jose Mourinho, ameendelea kuonyesha makali yake katika pambano la watani wa jadi, El Clásico, baada ya kuiongoza timu hiyo kuichapa Barcelona...
Haya ndo maisha ya G Nako nje ya muziki
Read the full report from the original source.
Kane aandika historia upya Ballon d’Or
MSHAMBULIAJI wa Bayern Munich na nahodha wa England, Harry Kane, ametwaa tuzo ya Ballon d’Or na kuandika historia kwa kuwa Mwingereza wa kwanza kushinda tuzo hiyo ya...
PM flies to Moscow for Oct 28’s Russia-Africa Summit
Read the full report from the original source.
Businesses smell fortunes in newly signed Swiss-Tanzania Chamber of Commerce deal
Read the full report from the original source.
TBS Yakutana na wadau kujadili Viwango vya Petroli
Read the full report from the original source.
Page 68 of 222 · 4435 stories
Share your feedback
A suggestion or something we can do better? Tell our team.
Your region, in your pocket.
Choose your country and topics, save important stories and stay close to trusted local voices.
↓ Download Android APK · v1.1.0