The daily briefing.
Latest across Tanzania
TANZANIA NA ANGOLA KUFUNGUA FURSA MPYA ZA USHIRIKIANO WA KIDIPLOMASIA
Tanzania na Angola zimeazimia kuimarisha uhusiano wa kihistoria na kidiplomasia kwa kuimarisha ushirikiano wa kimkakati na kubaini fursa mpya za maendeleo kwa manufaa...
SERIKALI KUENDELEA KUIBORESHA LST
Na Mwandishi Wetu KATIBU Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Dkt. Seif Shekalaghe ameahidi kuwa Serikali itaendelea kuboresha miundombinu ya utoaji mafunzo katika...
NGORONGORO YAWATAKA WATUMISHI KUTUMIA MAFUNZO KUONGEZA UFANISI
Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro imewataka watumishi wake kuyafanyia kazi mafunzo ya kiutumishi waliyopata ili kuongeza ufanisi, uwajibikaji na ubora wa huduma katika...
JESHI LA MAGEREZA TANZANIA, USHELISHELI ZASAINI HATI YA MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO
Ssgt Mawazo Mtondo na Wdrs Irine Nkana – DODOMA. Mkuu wa Jeshi la Magereza, CGP Jeremiah Yoram Katungu, leo Oktoba 23, 2026, amepokea ujumbe wa Maafisa wa Magereza...
TMA YAONYA MAFURIKO, MAGONJWA YA MLIPUKO KUFUATIA MVUA ZA MSIMU
Na Karama Kenyunko Michuzi Tv MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetabiri mvua za wastani hadi juu ya wastani katika maeneo mbalimbali nchini kuanzia Novemba...
MOROGORO YAZINDUA AWAMU YA PILI YA BIMA YA AFYA KWA WOTE
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Queen Sendiga, amesema Serikali mkoani humo imejipanga kuboresha miundombinu ya afya, upatikanaji wa dawa na vifaa tiba ili kuhakikisha...
NAIBU WAZIRI LONDO AAHIDI KUFUATILIA CHANGAMOTO ZA VIWANDA KUKUZA UZALISHAJI WA NDANI
📌 Asisitiza umuhimu wa kuboresha miundombinu na kuhakikisha leseni za viwanda zinaendana na shughuli halisi za uzalishaji; 📌 Serikali kuendelea kuhamasisha ujenzi wa...
MABALOZI WASTAAFU WARIDHISHWA NA UWEKEZAJI WA SERIKALI NIT
Umoja wa Mabalozi Wastaafu Tanzania umeridhishwa na uwekezaji wa Serikali katika Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), ikiwemo vifaa vya kisasa vya kufundishia na...
SportPesa brings Kariakoo Derby to Segerea as Simba stage historic 2-1 comeback
SportPesa brings Kariakoo Derby to Segerea as Simba stage historic 2-1 comeback A SportPesa screening truck set up in Segerea gave supporters across the Dar es Salaam...
SERIKALI YAOMBWA KUTOA KIPAUMBELE BIMA YA AFYA KWA WATOTO WENYE ULEMAVU
NA DENIS MLOWE, IRINGA SERIKALI imeombwa kuhakikisha watoto wenye ulemavu na yatima wanaotoka katika familia zenye hali duni ya kiuchumi wanapewa kipaumbele katika...
MAHAFALI YA 15 YA PSPTB YAFANA JIJINI DAR
Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Laurent Deogratius Luswetula (Mb) (kushoto) akikabidhiwa tuzo na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi...
MAPENDEKEZO YA VIJANA YATAPOKELEWA KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA, KUKABILIANA NA MIMBA ZA UTOTONI - PROF. SHEMDOE
Na: OWM–TAMISEMI, Arusha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Mhe. Prof. Riziki Shemdoe, amesema Serikali...
Chalamila ataka Ilala Kota ipangwe upya
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema majengo chakavu katika eneo la Ilala Kota, Kata ya Mchikichini, yanapaswa kuondolewa na eneo hilo kupangwa...
Ziara ya Ndejembi Mbeya, njia 106 zafunguliwa
Wakala wa Barabara nchini (Tanroads) Mkoa wa Mbeya umeanza kufungua barabara za pembezoni mwa mradi wa ujenzi wa njia nne unaoendelea ili kuondoa changamoto za foleni...
Mabasi ya umeme Zanzibar, yaja na changamoto zake
Read the full report from the original source.
Nyuma ya pazia mabadiliko ya ratiba ya mitihani UDSM
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) wanaweza kuchelewa kuhitimu na kuongeza gharama za masomo na maisha iwapo watafanya mitihani ya marudio au maalumu...
Shauri la Mwabukusi laibua mjadala wa uhuru wa Mahakama
Soma zaidi...
Betri 40 za CT ScanI, X Ray zaibwa, RC Mtanda awapa saa 24 polisi kuwakamata wahusika
Read the full report from the original source.
Pambalu naye kortini uhaini
Read the full report from the original source.
TMA yatabiri mvua kubwa, yatahadharisha mafuriko msimu wa Novemba-Aprili
Soma zaidi hapa...
Page 91 of 223 · 4448 stories
Share your feedback
A suggestion or something we can do better? Tell our team.
Your region, in your pocket.
Choose your country and topics, save important stories and stay close to trusted local voices.
↓ Download Android APK · v1.1.0