The daily briefing.
Latest across Tanzania
Simba vs Mashujaa | Fatma Chikawe alivyolifungua dawati la uchambuzi | NBC PL 13/10/2026
SIMBA vs MASHUJAA | Fatma Abdallah Chikawe a.k.a Bibi Harusi Mpyaaaaa… anafungulia matangazo kwa ajili ya kuanza rasmi uchambuzi kuelekea mchezo wa Simba vs Mashujaa...
Carrick: Naelewa shida zenu
KOCHA wa Manchester United, Michael Carrick, amekiri kuelewa sababu zinazowafanya mashabiki wa klabu hiyo kutaka mabadiliko makubwa, kutokana na mwenendo usioridhisha...
Cristiano Ronaldo bado 19
NYOTA wa Ureno, Cristiano Ronaldo, ameendelea kuandika historia katika soka, baada ya kufunga bao lake la 981, akiisaidia Al Nassr kuichapa Neftchi Fergana ya...
Lake Zone records Sh4 trillion mineral trade as sales surge
Read the full report from the original source.
DED Kibiti: Sitamvumilia mtumishi atakayehusika kutorosha korosho
Read the full report from the original source.
DED KIBITI ATOA ONYO KWA WATUMISHI WANAOHUSIKA NA UTOROSHAJI WA KOROSHO KIBITI
Na Mwamvua Mwinyi, Kibiti MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti, Ramadhan Kimara, ameonya kuwa hatamvumilia mtumishi yeyote wa halmashauri...
𝑴𝑨𝑲𝑨𝑴𝑼 𝑾𝑨 𝑹𝑨𝑰𝑺 𝑨𝑾𝑨𝑩𝑨𝑵𝑨 𝑾𝑨𝑲𝑨𝑵𝑫𝑨𝑹𝑨𝑺𝑰 𝑲𝑨𝑻𝑨𝑽𝑰, 𝑨𝑻𝑶𝑨 𝑲𝑰𝑲𝑶𝑴𝑶 𝑪𝑯𝑨 𝑫𝑬𝑺𝑬𝑴𝑩𝑨 𝑲𝑾𝑨 𝑴𝑹𝑨𝑫𝑰 𝑾𝑨 𝑼𝑴𝑬𝑴𝑬 𝑴𝑷𝑨𝑵𝑫𝑨.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi,ameagiza kuharakishwa kwa miradi ya barabara, maji na umeme mkoani Katavi, huku akiwataka...
WAZIRI MKUU: MAANDALIZI YA KUKABILIANA NA MAAFA YAANZIE NGAZI YA FAMILIA
Na Jane Mwakyoma, Rukwa WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amezitaka familia nchini kujiwekea mipango ya kukabiliana na maafa kabla...
Goli la Free-Kick | Muembe Makumbi 0-1 KMKM SC | PBZ Premier League 10/10/2026
#PBZPL What a free-kick….!!! Ni goli la Salim Khamis Babu likiiipa pointi tatu muhimu KMKM SC.. FT: Muembe Makumbi 0-1 KMKM SC #LigiKuuZanzibar #ZanzibarPremierLeague...
Rais Samia apokea hati za utambulisho wa mabalozi
Read the full report from the original source.
SERIKALI YAWASILISHA BUNGENI MKAKATI WA KUBORESHA UCHIMBAJI NA BIASHARA YA MADINI YA TANZANITE
● Waziri Mavunde aeleza mkakati wa kudhibiti utoroshaji na kukuza biashara ya Tanzanite ● Serikali kuongeza utafiti wa kina eneo la Mirerani kuwasaidia wachimbaji ●...
Kipigo cha Simba chafichua siri zote Yanga
Soma zaidi hapa
Serikali kuendelea kuwekeza katika shughuli za uzalishaji za vijana- Dk Mwigulu
Read the full report from the original source.
MAENEO YANAYOWEZA KUIMARISHA SEKTA VYAMA VYA USHIRIKA BARANI AFRIKA YATAJWA
Na Said Mwishehe,Michuzi TV MATUMIZI ya teknolojia, utoaji wa mikopo kwa ufanisi na usimamizi bora ni miongoni mwa maeneo muhimu katika kuimarisha sekta ya ushirika...
Stakeholders push for stronger SACCOS across Africa
DAR ES SALAAM: SAVINGS and Credit Cooperative Societies (SACCOS) have been urged to strengthen financial services to meet members’ needs…
SERIKALI KUENDELEA KUWEKEZA KATIKA SHUGHULI ZA UZALISHAJI ZA VIJANA: DKT MWIGULU
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema Serikali chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan itaendelea kuweka mkazo katika kuwawezesha vijana na kuzipa...
Kongamano la 11 la Kitaifa la Kilimo Misitu kufanyika wiki ijayo Musoma
Read the full report from the original source.
Leseni 74 za dhahabu zatolewa Nkasi, maombi 366 yachakatwa
Read the full report from the original source.
Simba SC 2-1 Yanga SC | Utamu wa Kariakoo Derby kwa dakika 4 | NBC PL 10/10/2026 (Montage)
KARIAKOO DERBY | Pata uhondo wa mechi ya Simba vs Yanga (2-1), iliyopigwa Oktoba 10/10/2026 kwenye Dimba la Uhuru, Dar es Salaam. Hii ni Ligi Kuu ya NBC...
Chuchu Hans; Miaka 10 na Ray bila ndoa, siri ni hii
Soma zaidi hapa
Page 97 of 223 · 4454 stories
Share your feedback
A suggestion or something we can do better? Tell our team.
Your region, in your pocket.
Choose your country and topics, save important stories and stay close to trusted local voices.
↓ Download Android APK · v1.1.0