Search the region
22505 stories
Video, Wari uzi ko ibihimba vy'umugore n'ivyo ingoma ari bimwe? , Umwanya bimara 2,33
Ingoma ifise ibihimba bitandukanye, ariko vyose vyitiranwa n'ivyo umugore.
RecentlyTurkey: Comedian convicted for 'insulting' Erdogan in show
Read the full report from the original source.
RecentlySonko tells court budget refusal was at the heart of his fight with state
Read the full report from the original source.
Recently[PHOTOS]: Ruto launches Maungu-Kasighau-Rukanga Road upgrade The project is expected to improve transport connectivity and ease the movement of people and goods across the region.
The project is expected to improve transport connectivity and ease the movement of people and goods across the region.
RecentlyBenki ya Absa Tanzania Yathibitisha Kujitolea Kuwezesha Wanawake katika Teknolojia kupitia GirlCode Hackathon 2026
Benki ya Absa Tanzania imethibitisha tena dhamira yake ya kuwawezesha wanawake katika sekta ya teknolojia kufuatia kukamilika kwa mafanikio kwa GirlCode Hackathon 2026, shindano la siku mbili la ubunifu lililowakutanisha wasichana na wanawake vijana wenye ujuzi wa uandishi wa programu (coding), uendelezaji wa mifumo na ujasiriamali kutoka maeneo mbalimbali nchini. Katika program hiyo, iliyofanyika kwa ushirikiano na Neurotech, Sahara Ventures, Snippe, Sndbx Spaces na GirlCode Africa, iliwapa washiriki jukwaa la kubuni na kuendeleza suluhisho za kidijitali zinazolenga kutatua changamoto halisi katika maeneo ya teknolojia ya fedha (Fintech), Akili Bandia (AI) na usalama wa mtandao (cybersecurity). Akizungumza wakati wa hafla ya kufunga shindano hilo iliyofanyika Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Ofisa Mkuu wa Uendeshaji wa Benki ya Absa Tanzania, Bw. Oscar Mwamfwagasi, aliwapongeza washiriki kwa ubunifu wao, azma na uwezo wa kutatua changamoto. “Suluhisho zenu ziliibuka si kwa sababu ya ubora wake wa kiteknolojia pekee, bali pia kutokana na uwezo wake wa kuleta mabadiliko halisi. Mmeweza kukabiliana na changamoto tata kwa ujasiri na ubunifu mkubwa, mkithibitisha kuwa ubunifu hauna mipaka ya kijinsia na kwamba mustakabali wa teknolojia ni angavu zaidi kwa sababu yenu,” alisema. Bw. Mwamfwagasi alisema GirlCode Hackathon hiyo ilikuwa zaidi ya shindano, kwani ilikuwa jukwaa la kujifunza, kushirikiana, kukua na kuleta mabadiliko. Alibainisha kuwa washiriki waliweza kuandaa suluhisho mbalimbali, kuanzia majukwaa ya huduma za kibenki yanayounganisha mifumo mbalimbali hadi injini za uboreshaji zinazoendeshwa na Akili Bandia, jambo linaloonyesha uwezo wa wanawake vijana wa Kitanzania kushiriki katika wimbi lijalo la ubunifu wa kiteknolojia nchini. “Wanawake wanapopewa fursa, hawashiriki tu, bali wanaongoza. Kizazi kijacho cha viongozi katika teknolojia tayari kipo,” alisema. Alisisitiza zaidi dhamira ya Benki ya Absa Tanzania ya kuweka mazingira jumuishi yatakayowawezesha wanawake kushiriki na kuendelea katika sekta ya teknolojia, sambamba na Lengo la benki hiyo linayosema, “Kuiwezesha Afrika ya Kesho, Pamoja, Hatua Moja baada ya Nyingine", pamoja na ujumbe wa chapa yake usemao "Stori yako ina Thamani". “Matukio kama haya hayahusu coding pekee; yanahusu kujenga njia za fursa. Tunabaini vipaji, tunakuza uwezo na kufungua milango ya fursa. Benki ya Absa Tanzania imejizatiti kuhakikisha kuwa wanawake vijana walioshiriki hapa wanapata fursa kama mafunzo kwa vitendo, ushauri elekezi na ajira za baadaye,” alisema. Akizungumza na washiriki ambao hawakupata tuzo, Bw. Mwamfwagasi aliwahimiza kuendelea kuzingatia maendeleo ya ujuzi wao na kuendeleza mawazo yao. “Kila mtaalamu mkubwa wa teknolojia amewahi kukumbana na changamoto na kushindwa katika baadhi ya hatua. Kinachojali ni namna unavyoitikia changamoto hizo. Chukueni yale mliyojifunza hapa na endeleeni kujenga, kuota ndoto na kusukuma mipaka ya ubunifu,” aliongeza. Akizungumza kwa niaba ya timu iliyoibuka na ushindi wa jumla, iliyoitwa 'Team Rafikis', Bi. Lilian Msaki, mhitimu wa Uhandisi wa Taasisi ya Teknolojia Dar es Dalaam (DIT), aliishukuru Benki ya Absa na GirlCode Africa kwa kuandaa programu hiyo. Alisema shindano hilo limemsaidia kuongeza kujiamini katika kutumia teknolojia kubuni na kuendeleza suluhisho za changamoto mbalimbali. “Ningependa kuwahimiza wanawake wote wenye mawazo ya ubunifu wasiogope kujitokeza. Mnaweza kutatua changamoto nyingi kupitia teknolojia,” alisema Bi. Lilian. Akizungumza katika hafla hiyo, Mkurugenzi wa Teknolojia wa Benki ya Absa Tanzania, Bw. Emanuel Mwinuka, alisema mipango kama GirlCode Hackathon inaweza kusaidia kukabiliana na pengo la kijinsia miongoni mwa wataalamu wa mifumo ya kompyuta nchini Tanzania. “Changamoto hii haipo kwenye sekta ya benki pekee, bali pia katika sekta nyingine. Ndiyo maana sisi Absa tumeamua kuwahamasisha wanawake vijana kutoka vyuo vikuu na sehemu za kazi kutumia fursa zilizopo katika teknolojia na kutumia teknolojia kutengeneza suluhisho mbalimbali,” alisema. Bw. Mwinuka aliitaja GirlCode Hackathon ya mwaka 2026 kuwa yenye mafanikio makubwa, akibainisha kuwa washindi watapata fursa ya kuiwakilisha Tanzania katika shindano pana la kimataifa litakalowakutanisha washindi kutoka nchi nyingine zinazoshiriki. “Hafla ya leo imefanikiwa sana. Tumepata washindi watatu. Kwa kuwa tukio hili linafanyika pia katika nchi nyingine, mshindi wa nafasi ya kwanza atapata fursa ya kushindana na washindi kutoka mataifa mengine kupitia suluhisho walizobuni, ambapo suluhisho bora zaidi litapata tuzo nyingine,” alisema. GirlCode Hackathon 2026 ilihitimishwa kwa hafla ya utoaji tuzo pamoja na vipindi vya kujenga mahusiano, huku waandaaji na washiriki wakisisitiza kuendelea na juhudi za kuongeza ushiriki na nafasi za uongozi kwa wanawake katika sekta ya teknolojia nchini Tanzania. Team Rafikis iliibuka mshindi wa jumla, ikifuatiwa na Bizlift katika nafasi ya pili na Nexora ilishinda nafasi ya tatu. Ofisa Mkuu wa Uendeshaji wa Benki ya Absa Tanzania, Bw. Oscar Mwamfwagasi, akizungumza na washiriki wakati wa hafla ya kufunga programu ya mwaka 2026 ya GirlCode Hackathon, jijini Dar es Salaam jana. GirlCode Hackathon ni sehemu ya mpango mpana wa GirlCode unaotekelezwa barani Afrika kwa lengo la kuwawezesha wanawake vijana kupata ujuzi wa vitendo katika teknolojia, ushauri elekezi pamoja na fursa za kuunda suluhisho zinazolenga kukabiliana na changamoto halisi katika jamii zao. Mkuu wa Mafunzo wa Benki ya Absa Tanzania, Bi. Doris Kibassa (wa tano kutoka kushoto), akikabidhi cheti kwa washiriki wa Timu ya Rafikis, walioibuka kidedea katika shindano la GirlCode Hackathon, wakati wa hafla ya ufungaji rasmi wa mashindano hayo jijini Dar es Salaam jana. GirlCode Hackathon ni sehemu ya mpango mpana wa GirlCode unaotekelezwa barani Afrika kwa lengo la kuwawezesha wanawake vijana kupata ujuzi wa vitendo katika teknolojia, ushauri elekezi pamoja na fursa za kuunda suluhisho zinazolenga kukabiliana na changamoto halisi katika jamii zao. Wengine pichani ni wawakilishi kutoka Benki ya Absa na washirika wa programu hiyo. Mkurugenzi wa Teknolojia wa Benki ya Absa Tanzania, Bw. Emanuel Mwinuka (kushoto), akizungumza wakati wa hafla ya ufungaji rasmi wa GirlCode Hackathon 2026, jijini Dar es Salaam jana. Ofisa Mkuu wa Uendeshaji wa Benki ya Absa Tanzania, Bw. Oscar Mwamfwagasi (kushoto), akimkabidhi cheti cha kutambua mchango wake Meneja wa Miradi ya benki hiyo, Bi. Munira Chambuso, wakati wa hafla ufungaji rasmi wa toleo la mwaka huu la GirlCode Hackathon, jijini Dar es Salaam jana. Anayeangalia ni Mkurugenzi wa Teknolojia wa benki hiyo, Bw. Emanuel Mwinuka. Washiriki wa Absa GirlCode Hackathon 2026, wakipiga picha ya pamoja wakati wa hafla ya ufungaji rasmi wa programu hiyo jijini Dar es Salaam jana.
Mon, 28 Sep 2026 08:00:00 +0000NYS wants court to dismiss petition challenging Sh2.1bn Nakuru road deal
NYS signed an MoU with Nakuru County Government on November 7, 2025, for road deal execution, including maintaining all the feeder roads under the Imarisha Barabara programme.
Mon, 28 Sep 2026 16:19:02 +0300VBG au Burundi, des blessures qui dépassent les séquelles physiques
Read the full report from the original source.
RecentlyDriver Nsamba remanded over Moses Matovu’s murder
Vincent Arnold Nsamba, the prime suspect in the murder of Afrigo Band founder and music icon Moses Matovu, has been remanded to Luzira Upper Prison…
RecentlyBab el-Mandeb, nouveau défi pour l’Afrique
Read the full report from the original source.
RecentlyInfertilité : les femmes davantage exposées à la culpabilisation et à la stigmatisation
Read the full report from the original source.
RecentlyKenya faces growing ageing challenge as older population set to hit 6.4 million by 2045
Latest · Capital Health
RecentlyRisk-On or Risk-Off? How to Read Global Sentiment Before You Trade
THE financial markets are affected by not only the economic indicators and corporate performance but also the sentiments of investors.…
RecentlySTEVE NYERERE: SI KILA ANAYEFANIKIWA AMEIBA
Mwenyekiti wa Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao, Steven Mengele almaarufu Steven Nyerere, amekosoa vikali tabia ya baadhi ya wanajamii kuwa na mtazamo hasi dhidi ya viongozi na watu maarufu wanaopata mafanikio katika maisha. Akizungumza leo katika Ofisi za Taasisi hiyo, Steve Nyerere, ambaye pia ni kada wa siasa na msanii mkongwe wa filamu nchini, amesema anakerwa na dhana inayoanza kujengeka miongoni mwa baadhi ya watu kwamba kiongozi au mtu maarufu anayefanikiwa kimaisha amefikia hatua hiyo kutokana na wizi, ufisadi au kuingia mikataba isiyo halali. Amesema mtazamo huo si wa kujenga kwa kuwa unaweza kuwakatisha tamaa viongozi, vijana na watu wengine wenye nia ya kufanya kazi kwa bidii, kutumia maarifa na ubunifu ili kujikwamua kiuchumi. “Si kila mtu anayefanikiwa ameiba au amefanya ufisadi. Kuna watu wanafanya kazi kwa bidii, wana maarifa na wanatumia fursa zilizopo. Tujifunze kuheshimu mafanikio ya wengine,” amesema. Ametoa wito kwa wananchi kuacha kuwahukumu watu kwa hisia au dhana zisizo na ushahidi, badala yake kujenga utamaduni wa kuthamini juhudi, ubunifu na hatua za kimaendeleo zinazofanywa na watu wengine. Amesema Tanzania inapaswa kuendelea kujenga mazingira yatakayowezesha kuibuka kwa matajiri wengi wazawa, akisisitiza kuwa jamii haipaswi kuwakatisha tamaa watu wanaopiga hatua kiuchumi kwa kuwahusisha na tuhuma za wizi au ufisadi bila kuwa na ushahidi. “Lazima nchi kama nchi iendelee kutengeneza matajiri wazawa wengi. Tusiwatishe na kuwakatisha tamaa kwa kuwahusisha na tuhuma za wizi na ufisadi bila kuwa na ushahidi wowote,” amesema. Steve Nyerere amesema kuwa jamii inapaswa kuwa chanzo cha hamasa kwa vijana na watu wanaotafuta mafanikio, badala ya kuwakatisha tamaa, huku akisisitiza umuhimu wa kuheshimu mafanikio ya wengine na kujifunza kutoka kwa watu waliofanikiwa.
Mon, 28 Sep 2026 13:30:38 +0000COPED poursuit la sensibilisation à la protection de l’environnement
Read the full report from the original source.
RecentlySaccos add 480,000 new members amid growing confidence
Banks · Quick read
RecentlyKenya to host inaugural national conference on older persons as ageing population grows
Latest · Capital Health
RecentlyOPINION: A one health approach placing communities at the centre of healthcare
Read the full report from the original source.
RecentlyWhat we know about RAF Fairford counter-terror probe
Latest · News
RecentlyTotal investments in humanoid robotics startups by country From 2017 until H1 2026
From 2017 until H1 2026
RecentlyUniversity of Eldoret Deputy VC Prof Raburu Dies Family says Prof Raburu passed away Monday at Eldoret Hospital after a period of illness
Family says Prof Raburu passed away Monday at Eldoret Hospital after a period of illness
RecentlyPage 1004 of 1126 · 22505 stories