Search the region
22504 stories
133 Lamu residents sue govt, Dangote over alleged land takeover
NATIONAL NEWS · 3 hours ago
RecentlySHA reschedules verification of Level 4 hospitals over unpaid NHIF claims
Latest · News
RecentlySUA yawajengea uwezo wananchi wanaoshiriki biashara ya kaboni
Read the full report from the original source.
RecentlyWANANCHI ARUSHA WAPOKEA KWA HAMASA MKUTANO WA IPU
Na Mwandishi Wetu, WANANCHI wa Jiji la Arusha wamepokea kwa hamasa kufanyika kwa Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), wakieleza kuwa ujio wa viongozi na wajumbe kutoka mataifa mbalimbali ni fursa muhimu kwa jiji hilo na Tanzania kwa ujumla. Mkutano huo unatarajia kufanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha, AICC,ambao utakutanisha zaidi ya wageni 200 kutoka sehemu mbalimbali duniani, hali ambayo imeongeza shughuli katika maeneo mbalimbali ya jiji. Baadhi ya wananchi wamesema ujio wa wageni hao unatoa fursa kwa wafanyabiashara, watoa huduma za usafiri, hoteli, migahawa na sekta nyingine zinazohusiana na shughuli za wageni. Wakazi hao pia wameeleza matumaini yao kwamba mkutano huo utasaidia kulitangaza zaidi Jiji la Arusha na Tanzania kimataifa, kutokana na nafasi ya wageni hao kujionea mazingira, utamaduni na shughuli mbalimbali zinazofanyika nchini. Kwa wafanyabiashara, ujio wa wajumbe wa IPU ni wakati wa kuongeza ubunifu katika utoaji wa huduma na kuhakikisha wageni wanapata huduma zinazokidhi viwango vinavyotarajiwa. Aidha, wananchi wameeleza kuwa ni jambo la kujivunia kwa Arusha kupewa nafasi ya kuwa mwenyeji wa mkutano mkubwa wa kimataifa unaowakutanisha wawakilishi wa mabunge kutoka nchi mbalimbali. Wakati mkutano ukiendelea, matarajio ya wananchi ni kuona fursa zitakazotokana na tukio hilo zikiwanufaisha zaidi wakazi wa Arusha na kuchangia katika kukuza shughuli za kiuchumi na utalii katika jiji hilo. Aneth John Mkazi wa Arusha Mjini amesema kuwa ujio wa mkutano huo unawapa fursa wao kama wafanyabiashara kuuza zaidi bidhaa zao hususani vitu vya Kitamaduni. "Tunashukuru Serikali kwa ujio wa mkutano huu kufanyika jijini Arusha,tunaona ni namna gani tunaenda kuongeza uchumi wa moja kwa moja kwa sisi wananchi tunaoishi mkoa huu,"amesema.
Sun, 27 Sep 2026 09:26:00 +0000Sweden's center-left bloc fails to form government
Read the full report from the original source.
Recently“Premier League is not NSL”- Mathare United coach warns charges after derby loss
Latest · Sports
RecentlySerikali yasisitiza usahihi wa taarifa
Read the full report from the original source.
RecentlySerikali yatambua mchango wa Saccos ustawi wa watu
Read the full report from the original source.
RecentlyWhy Kayole Starlets boss is unimpressed despite unbeaten start to Women’s Premier League
Latest · Sports
RecentlyWhy CBN rate cuts don’t mean more SME lending
Read the full report from the original source.
RecentlyPolice bosses in court for Kanja's sentencing Kanja is facing sentencing over failure to comply with court order on protest roadblocks.
Kanja is facing sentencing over failure to comply with court order on protest roadblocks.
RecentlyRetour de New York : le Président Ndayishimiye plaide pour une Afrique mieux représentée dans les instances internationales
Le Président de la République du Burundi et Président en exercice de l’Union africaine, Evariste Ndayishimiye, est rentré au Burundi le vendredi 25 septembre 2026, après avoir participé à la 81ᵉ session de l’Assemblée générale des Nations unies à New York, aux...
Mon, 28 Sep 2026 08:53:12 +0000Police bosses accompany Kanja to court for contempt sentencing Kanja is facing sentencing over failure to comply with court order on protest roadblocks.
Kanja is facing sentencing over failure to comply with court order on protest roadblocks.
RecentlyBukinanyana : le Sénat appelle à corriger les dysfonctionnements pour rapprocher le pouvoir des citoyens
Lundi 21 septembre 2026, la commune de Bukinanyana, 11ᵉ et dernière commune de la province de Bujumbura, a accueilli le président du Sénat, Gervais Ndirakobuca, accompagné de la sénatrice Léocadie Ndacayisaba, également élue dans cette province. Cette visite s’inscrivait dans le cadre...
Mon, 28 Sep 2026 08:49:15 +0000WATCH LIVE: Interior CS Kipchumba Murkomen Delivers a Lecture at the National Defence College, Karen
Read the full report from the original source.
RecentlyTechnical student found dead in dam in Machakos The deceased identified as Brian Makau Kyulu was reported missing after leaving home for school on Friday.
The deceased identified as Brian Makau Kyulu was reported missing after leaving home for school on Friday.
RecentlyZanzibar urged to cash in on culture, arts during AFCON
ZANZIBAR: ZANZIBAR residents have been urged to turn the expected influx of AFCON 2027 visitors into income opportunities through culture,…
RecentlyNMB: Ukaguzi wa ndani ni nguzo muhimu ya utawala bora na uimara wa taasisi
Benki ya NMB imesisitiza umuhimu wa ukaguzi wa ndani katika kuimarisha utawala bora, usimamizi wa vihatarishi na kujenga imani ya wadau, hususan wakati huu ambapo taasisi zinakabiliana na mabadiliko ya kiteknolojia, vihatarishi vinavyobadilika na matarajio yanayoongezeka kutoka kwa wadau. Akizungumza katika Kongamano la 13 la Utawala Bora na Kongamano la 19 la Mwaka la Wakaguzi wa Ndani nchini yaliyofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC), Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Benki ya NMB, Benedicto Baragomwa, alisema nafasi ya wakaguzi wa ndani imeendelea kuwa muhimu katika kusaidia taasisi kufanya maamuzi sahihi na kujenga mifumo imara ya utawala. Baragomwa aliyasema hayo wakati Benki ya NMB ikishiriki na kudhamini makongamano hayo yaliyoandaliwa na Taasisi ya Wakaguzi wa Ndani Tanzania (IIA) kuanzia Septemba 21 hadi 25, 2026, yakilenga pamoja na mambo mengine kuimarisha nafasi ya wakaguzi wa ndani katika kutoa maarifa, kuchochea ubunifu na kujenga uaminifu ndani ya taasisi. Katika hatua nyingine, Waziri wa Nchi, Afisi ya Rais – Ikulu Zanzibar, Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum, aliipongeza NMB kwa kuendelea kuunga mkono jitihada za kuimarisha utawala bora nchini kupitia udhamini na ushiriki wake katika makongamano hayo. Kwa upande wake, Kaimu Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali, Eng. Kenneth Nindie, alisema Serikali kupitia Wizara ya Fedha na Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali inatambua umuhimu wa wakaguzi wa ndani katika kuimarisha utendaji na utawala bora wa taasisi. Ushiriki wa NMB katika makongamano hayo ulienda zaidi ya udhamini, ambapo viongozi waandamizi wa Benki pia walishiriki katika mijadala ya kitaalamu kwa kuwasilisha mada zinazohusu maeneo muhimu ya uendeshaji na utawala wa taasisi. Mkurugenzi wa Uhusiano wa Wawekezaji, Uendelevu na Mawasiliano wa Benki ya NMB, Innocent Yonazi, aliwasilisha mada kuhusu uendelevu pamoja na masuala ya mazingira, jamii na utawala bora (ESG) na Mkurugenzi wa Bodi na Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya NMB, Juma Kimori, aliwasilisha mada yenye Kichwa “Trust: The Currency of Internal Audit”
Mon, 28 Sep 2026 04:30:00 +0000NMB: Ukaguzi wa ndani nguzo muhimu ya utawala bora na uimara wa taasisi
Read the full report from the original source.
RecentlyRegional markets beckon as glass capacity surges
DAR ES SALAAM: CONTAINER glass manufacturing capacity has expanded to about three-and-a-half times domestic demand, creating new export opportunities but…
RecentlyPage 1009 of 1126 · 22504 stories