Unganishwa

Search the region

22504 stories

Uncategorized · Watchdog Uganda

BWANIKA JOSEPH: Blood Money in white Coats: The terrifying Medical syndicate exploiting dying Ugandans in India’s Medical referrals

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Watchdog Uganda

Napak RDC Milton Odongo Gives Citizens Hope During Anti-Corruption Baraza

To improve service delivery in Napak District, the Karamoja Anti-Corruption Coalition (KACC), in partnership with Napak District Local Government, held a community Baraza on 25 September 2026 in Apeitolim Sub-County,…

Recently
Uncategorized · Watchdog Uganda

Dr. Ayub Mukisa: Gen. Muhoozi Kainerugaba: Why His Presidential Bid Is Real, Not Rhetorical

To remove the political assumptions Ugandans have been having concerning Gen. Muhoozi Kainerugaba’s presidential bid in 2031, the Department for Critical Thinking and Alternative Analysis at KACC has been writing,…

Recently
Uncategorized · Capital FM

Okot proves her worth on WNBA Playoff debut as Atlanta Dream rally past Mystics

Latest · Basketball

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

25 suspected gang members arrested in Kitale They were apprehended by officers from Kitale police station during a targeted security operation

They were apprehended by officers from Kitale police station during a targeted security operation

Recently
Uncategorized · Daily News

TZ moves to cut 2.6tri/- pharma imports, create jobs

TANZANIA: TANZANIA is working out a strategy that will end its long-standing reliance on imported medicines and medical devices. At…

Recently
Health · Issa Michuzi

TMDA YAPIGA MARUFUKU MATANGAZO YA DAWA ZA KUACHA POMBE

Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imepiga marufuku matangazo ya dawa zinazotumika kupunguza au kusaidia kuacha unywaji wa pombe, ikiwemo Naltrexone, Acamprosate na Disulfiram. Kwa mujibu wa taarifa kwa umma iliyotolewa Septemba 27, 2026 na Mkurugenzi Mkuu wa TMDA, Dkt. Adam Fimbo, mamlaka hiyo imebaini kuwa baadhi ya vyombo vya habari na mitandao ya kijamii vimekuwa vikirusha na kuchapisha matangazo ya dawa hizo, ambazo kisheria ni dawa zinazotolewa kwa cheti cha daktari pekee (Prescription-Only Medicines – POM). TMDA imesema hali hiyo ni kinyume cha Kanuni ya Makundi ya Dawa ya Mwaka 2026 (Tangazo la Serikali Na. 150). Kwa mujibu wa mamlaka hiyo, matumizi ya dawa hizo bila ushauri na uangalizi wa mtaalamu wa afya yanaweza kusababisha madhara makubwa, ikiwemo kifo, hasa zinapotumiwa pamoja na pombe au dawa nyingine. “Kifungu cha 52 cha Sheria ya Dawa na Vifaa Tiba, Sura ya 219, kinakataza kutangaza kwa umma dawa yoyote inayotolewa kwa cheti cha daktari. Dawa hizo zinaruhusiwa kutangazwa kwa wataalamu wa afya pekee kupitia majarida ya kitaalamu,” imeeleza taarifa hiyo. Kutokana na hali hiyo, TMDA imewaelekeza wafanyabiashara, watoa huduma za afya, wamiliki wa vyombo vya habari na waendeshaji wa mitandao ya kijamii kuacha mara moja kuandaa, kurusha au kuchapisha matangazo ya dawa hizo. Aidha, wananchi wametakiwa kutoa taarifa kwa TMDA wanapobaini watu, vituo au vyombo vinavyohusika na matangazo ya dawa hizo, kupitia ofisi za mamlaka hiyo zilizopo katika maeneo mbalimbali nchini.

Mon, 28 Sep 2026 07:26:49 +0000
Uncategorized · PML Daily

Digital payments can power Uganda’s 2040 growth goal, says Mastercard

KAMPALA - Replacing cash with digital payments could help Uganda achieve its goal of expanding its economy tenfold by 2040, a senior Mastercard executive has said. Victor Ndlovu, the company’s vice-president...

Recently
Uncategorized · Capital FM

Hospitals risk SHA lockout as current contracts expire Wednesday

News · 5 hours ago

Recently
Uncategorized · Capital FM

DCI warns against fake profits in flashy Forex, crypto world

Latest · News

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Nyamu: I expected ‘wantam’ chants at Eric's event The nominated senator says she had chosen to ignore the chants and remain focused on her work

The nominated senator says she had chosen to ignore the chants and remain focused on her work

Recently
Uncategorized · HabariLeo

Abri achangia mabati Usolanga

Read the full report from the original source.

Recently
Business · HabariLeo

BRELA yatoa wito usajili nembo za biashara

Read the full report from the original source.

Recently
Business · Issa Michuzi

SUA YAWAJENGEA UWEZO WANANCHI KUSHIRIKI BIASHARA YA KABONI

NA MWANDISHI WETU CHUO Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), kupitia Mradi wa Tathmini ya Mapato ya Kaboni kama Njia Endelevu ya Uwezeshaji Kifedha katika Uhifadhi na Usimamizi wa Misitu ya Jamii Tanzania, kimewajengea uwezo maafisa na wananchi kutoka maeneo yenye misitu ya hifadhi za vijiji, pamoja na vijiji ambavyo tayari vinashiriki katika biashara ya kaboni na kunufaika na mapato yatokanayo na biashara hiyo. Mafunzo hayo yamelenga kuwapa washiriki uelewa kuhusu vigezo, taratibu na fursa zilizopo katika biashara ya kaboni, huku yakisisitiza umuhimu wa usimamizi bora wa mapato yanayotokana na biashara hiyo kwa manufaa ya jamii na uhifadhi endelevu wa misitu. Akizungumza wakati wa mafunzo hayo, mmoja wa wananchi kutoka vijiji ambavyo bado havijaanza kunufaika na mapato ya kaboni, Mwanangao Msanya, kutoka Mvomero mkoani Morogoro, alisema wamekuwa wakihifadhi misitu ya vijiji kwa muda mrefu, lakini mafunzo hayo yamewapa uelewa mpya kuhusu vigezo na taratibu za kuingia na kunufaika na biashara ya kaboni. “Tumekuwa tukihifadhi misitu ya kijiji kwa muda, lakini kupitia mafunzo haya tumepata uelewa kuhusu namna ya kushiriki katika biashara ya kaboni na mambo muhimu tunayopaswa kuzingatia ili wananchi wanufaike,” alisema. Afisa Misitu Mwandamizi kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Siima Bakengesa, akifungua warsha hiyo iliyowakutanisha wadau kutoka taasisi za Serikali, asasi zisizo za kiserikali na wananchi kutoka Wilaya za Tanganyika, Mbulu, Mvomero, Mwanga na Korogwe, alisema mafunzo hayo ni muhimu katika kuimarisha uhifadhi wa bioanuwai na kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi kupitia usimamizi shirikishi wa misitu ya vijiji. Kwa upande wake, Mtafiti Kiongozi wa Mradi huo, Dkt. Kajenje Nkukurah, alisema SUA inaamini mafunzo hayo yatawezesha vijiji ambavyo bado havijaingia katika biashara ya kaboni kufanya maamuzi sahihi kuhusu ushiriki wao, pamoja na kuimarisha utawala na usimamizi wa mapato katika ngazi ya vijiji. Alisema mradi huo pia unalenga kuwajengea uwezo wananchi wa vijiji vyenye misitu inayoshiriki katika biashara ya kaboni ili waweze kuendelea kunufaika kiuchumi, huku mapato yatokanayo na biashara hiyo yakitumika katika usimamizi endelevu wa misitu ya hifadhi za vijiji na kuchochea maendeleo ya jamii. Akitoa ushuhuda wakati wa kuwasilisha sauti za jamii, Afisa Misitu wa Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika, Bruno Mwaisaka, alisema wilaya hiyo imepokea zaidi ya Sh bilioni 34 kutokana na biashara ya kaboni. Alisema fedha hizo zimechangia kuboresha ustawi wa jamii kupitia ujenzi wa shule na vituo vya afya, pamoja na kutoa ajira za muda kwa wananchi, huku zikiendelea kuongeza ari ya jamii kushiriki katika uhifadhi na usimamizi wa misitu. Mradi wa Tathmini ya Mapato ya Kaboni kama Njia Endelevu ya Uwezeshaji Kifedha katika Uhifadhi na Usimamizi wa Misitu ya Jamii Tanzania ni wa miaka mitatu na unatekelezwa na SUA kama taasisi inayoongoza, kwa kushirikiana na NCMC na Chuo Kikuu cha Bangor cha Uingereza. Mradi huo unafadhiliwa na Defra kupitia GCBC, DAI, ISPF pamoja na Idara ya Maendeleo ya Kimataifa ya Serikali ya Uingereza.

Mon, 28 Sep 2026 07:16:16 +0000
Uncategorized · Capital FM

President Ruto to issue title deeds, launch road projects during Kwale, Taita-Taveta tour

NATIONAL NEWS · Quick read

Recently
Uncategorized · Daily News

Zanzibar promotes AI-driven tourism innovation

ZANZIBAR: ZANZIBAR is exploring the use of artificial intelligence (AI) and other digital technologies to strengthen its tourism sector, improve…

Recently
World · Daily News

The UN needs less talk, more diplomacy, more peace

NEW YORK: THE next United Nations Secretary-General, succeeding António Guterres, is expected to be selected and appointed between October and…

Recently
Uncategorized · Iwacu

L’heure de la rédemption a sonné.

Les Hirondelles avaient quitté Bujumbura la tête haute, les ailes déployées vers Lomé. Elles sont rentrées ce dimanche 27 septembre 2026 à 13h30, le cœur meurtri par un but cruel, concédé à Kégué. Mais, l'âme est plus indomptable que jamais, après un long exode de Lomé à Bujumbura via le ciel d'Addis-Abeba à bord d'Ethiopian Airlines. Pas une larme, pas un jour de repos. Dès 18h00, sous les feux d'Intwari, les Intamba Mu Rugamba ont renoué avec le gazon, crampons vissés sur la semelle. Car, à l'horizon se dresse l'ogre : l'Algérie. Mardi 29 septembre à 15h00, pour la deuxième journée des éliminatoires de la CAN 2027. Et, derrière elles, tout un peuple qui n'attend qu'une chose : la rédemption.

Mon, 28 Sep 2026 07:13:11 +0000
Uncategorized · PML Daily

Museveni commissions Mbale zoo, urges Ugandans to tap into global tourism market

President Yoweri Kaguta Museveni has urged Ugandans to embrace tourism and other productive sectors as alternative avenues for increasing household incomes, saying the industry offers vast opportunities for communities a

Recently
Business · Daily News

Stakeholders call for carbon trading framework reforms

DAR ES SALAAM: CARBON trading stakeholders have called for reforms to carbon trading framework after Carbon Tanzania temporarily halted its…

Recently

Page 1012 of 1126 · 22504 stories