Unganishwa

Search the region

22503 stories

World · Daily News

African court clears 29 human rights cases

ARUSHA: THE African Court on Human and Peoples’ Rights (AfCHPR) has handled 29 legal matters from across the continent, delivering…

Recently
Entertainment · The Ankole Times

Inside Story!! Moses Matovu’s Killer Narrates The Shocking Things He Did After Punching The Singer To Death

Read the full report from the original source.

Recently
National · The Ankole Times

“You Have Our Support”- Museveni Salutes Hajjat Sarah Kiyimba as Mount Elgon Hotel Reopens

Read the full report from the original source.

Recently
National · The Star Kenya

‘Enduring legacy’: Uhuru mourns Karua’s father “At this difficult time, my thoughts and prayer is that the Karua family finds strength, comfort and peace."

“At this difficult time, my thoughts and prayer is that the Karua family finds strength, comfort and peace."

Recently
World · Daily News

Africa must invest in its mothers, children

DAR ES SALAAM: AFRICA cannot achieve sustainable development while millions of women and children continue to face preventable deaths and…

Recently
Business · Issa Michuzi

WAZIRI KAPINGA ANADI FURSA ZA UWEKEZAJI NCHINI QATAR

📌lengo ni kuongeza mauzo na uwekezaji kwenye viwanda vya kuongeza thamani ya malighafi; 📌ujumbe wa Tanzania wakutana na makamu wa kwanza wa chama cha wafanyabiashara na wenye viwanda nchini Qatar; 📌Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba asifu kazi nzuri inayofanywa na Wizara ya viwanda. Doha, Qatar Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Judith Kapinga, ambae yuko nchini Qatar kwa ziara ya kiserikali amesema,Tanzani ina fursa nyingi za kufanya uwekezaji na biashara na nchi ya Qatar hususani kwenye viwanda vya kuongeza thamani. Mhe Kapinga aneyasema hayo wakati wa mkutano na makamu wa kwanza wa chama cha wafanyabiashara na wenye viwanda nchini Qatar na kuongeza kuwa, mikakati ya Serikali ya kuongeza mauzo ya bidhaa za Tanzania katika soko la Qatar, sambamba na kuvutia uwekezaji wa Qatar nchini, hususan katika viwanda vya kuongeza thamani ya malighafi zinazopatikana Tanzania uko palepale. Amesema kazi kubwa inayofanywa na WIzara ya viwanda na Biashara ni kuhakikisha kunakuwa na mazingira wezeshi ya wawekezaji kuwekeza Tanzania. Awali akitoa wasilisho kwenye mkutano huo mbele ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Mwigulu Nchemba na Mhe Mohammed bin Ahmed bin Twar Al Kuwar, Mkurugenzi Mkuu wa TANTRADE, Ndugu Efraim Mafuru, amesema Tanzania na Qatar, zina fursa za kuongeza mauzo ya bidhaa za Tanzania katika soko la Qatar, pamoja na uwezekano wa kutumia Qatar kama lango la kufikia masoko mapana ya Ghuba. Mikakati hiyo pia inalenga kutumia kikamilifu fursa zinazotokana na nafasi ya Tanzania katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), pamoja na fursa za kibiashara zinazotokana na mahusiano ya Tanzania na nchi za Ghuba. Mhe. Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amepongeza kazi nzuri inayofanywa na Wizara ya Viwanda na Biashara kwa kushirikiana na TANTRADE na TISEZA, TPSF na TNCC, kuandaa na kusimamia jukwaa la biashara na uwekezaji kati ya Tanzania na Qatar . Jukwaa hilo linalenga kuwaunganisha wafanyabiashara na wawekezaji wa Qatar na fursa halisi za biashara na uwekezaji zilizopo Tanzania, pamoja na kuwezesha majadiliano ya moja kwa moja kuhusu maeneo ya uwekezaji, uzalishaji, kuongeza thamani ya malighafi na upanuzi wa masoko. Aidha, Dkt. Mwigulu ameelekeza Wizara kuchukua hatua za haraka kuwaalika QCCI nchini Tanzania, sambamba na kuandaa makongamano ya kibiashara, semina kibiashara mikutano ya fursa za uwekezaji, majadiliano ya kisekta, kwa lengo la kujenga ushirikiano wa karibu na endelevu kati ya sekta binafsi za Tanzania na Qatar.

Mon, 28 Sep 2026 06:53:11 +0000
Sports · DW Afrique

Football : première défaite pour l'Allemagne de Jürgen Klopp

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Nyamu: I expected ‘wantam’ chants at endometriosis event The nominated senator says she had chosen to ignore the chants and remain focused on her work

The nominated senator says she had chosen to ignore the chants and remain focused on her work

Recently
National · HabariLeo

Serikali kuongeza wigo wa utafiti wa madini

Read the full report from the original source.

Recently
Business · Issa Michuzi

WAKULIMA WA MKONGE WAKABIDHIWA VIWANDA

Na Oscar Assenga, Tanga WAKULIMA wa zao la mkonge mkoani Tanga wamepata matumaini mapya ya kuongeza uzalishaji baada ya Serikali kuwakabidhi viwanda vidogo vya kuchakata zao hilo ili waweze kuzalisha na kuchakata wenyewe. Hatua hiyo inatarajiwa kuwa suluhisho la changamoto ya ukosefu wa mashine za kutosha za kuchakata mkonge, hali iliyokuwa ikisababisha zao hilo kuharibika baada ya kuvunwa kabla ya kufikishwa sokoni. Akizungumza wakati wa utiaji saini wa makubaliano ya awali ya makabidhiano ya viwanda hivyo kati ya Bodi ya Mkonge Tanzania (TSB) na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Mwenyekiti wa Wenyeviti wa Vyama vya Ushirika (AMCOS) vitano vya zao la mkonge Wilaya ya Korogwe, Shadrack Lugendo, alisema hatua hiyo itawasaidia wakulima kuongeza uzalishaji. Lugendo alisema makabidhiano hayo ni utekelezaji wa maagizo yaliyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, Septemba 29, 2025, ya kuwakabidhi wakulima mashine ili waweze kuziendesha wenyewe. Alisema Serikali imefanya uamuzi huo wakati muafaka kutokana na changamoto ambazo wakulima wamekuwa wakikabiliana nazo kwa muda mrefu. “Tunaahidi uzalishaji utakuwa mkubwa zaidi na ile mikonge ya wakulima ambayo ilikuwa inakauka kwa sababu ya huduma za uchakataji tutaikamilisha, kwa sababu Bodi ya Mkonge inaendelea kuweka viwanda zaidi,” alisema. Lugendo alisema hatua hiyo pia itawawezesha wakulima wadogo kushiriki moja kwa moja katika uchakataji wa zao hilo na kuongeza thamani yake. “Matumaini yetu sasa ni kwamba uzalishaji utakuwa sehemu moja. Ili uzalishaji uwe mzuri zaidi, inatakiwa mwenye shamba ndiye aendeshe hizo korona. Sisi wakulima wadogo tunampongeza sana Rais kwa kuliona hilo ili kutoa nguvu zaidi kwenye uzalishaji wa zao la mkonge,” alisema. Aliongeza kuwa tayari AMCOS mbili za Magoma na Magunga zimeanza kupatiwa mikopo itakayowasaidia kuboresha uzalishaji na kununua mashine za kuchakata mkonge. BODI YATOA WITO Kwa upande wake, Mkurugenzi wa Bodi ya Mkonge Tanzania, Saddy Kambona, alisema hatua hiyo ni sehemu ya mkakati wa Serikali wa kuboresha huduma katika zao hilo. Kambona alivitaka AMCOS kuendelea kuwasimamia wakulima wadogo ili kuhakikisha wananufaika na kilimo cha mkonge na kuongeza uzalishaji. Alisema Serikali inaendelea kuwekeza katika zao hilo kutokana na mchango wake katika kuitangaza Tanzania kwenye soko la kimataifa, kuongeza Pato la Taifa na kuchangia utekelezaji wa Dira ya Maendeleo ya Taifa ya 2050. “Lengo kubwa ni kuhakikisha kwamba tunaboresha huduma pale ambapo walikuwa wakifanya wenzetu wa SISALANA. AMCOS waongeze jitihada. Lengo la Serikali ni kuleta tabasamu kwa wakulima wadogo na Watanzania,” alisema. NSSF YAWEKA WAZI Naye Ibrahimu Maftaa, aliyemwakilisha Mkurugenzi Mkuu wa NSSF katika makubaliano hayo, alisema taratibu nyingine zinaendelea kukamilisha mkataba rasmi utakaowapa AMCOS chini ya usimamizi wa Bodi ya Mkonge mamlaka ya kuendesha mashine za kuchakata zao hilo. Alisema awali shughuli hizo zilikuwa zikifanywa na SISALANA, kampuni tanzu ya NSSF. “Tumeweza kusaini makubaliano ya awali kuweza kuendesha shughuli za mkonge ambazo zilikuwa zikiendeshwa na SISALANA na sasa tumewakabidhi TSB na AMCOS ambao wataweza kuendesha shughuli zote tulizokuwa tunazifanya,” alisema. Alisema makubaliano hayo ni ya awali na kwamba taratibu zinaendelea kukamilisha mkataba rasmi utakaowapa AMCOS uwezo wa kuendesha shughuli zote za uchakataji wa mkonge.

Mon, 28 Sep 2026 06:47:07 +0000
Business · Jamhuri Media

Waziri Kapinga anadi fursa za uwekezaji Tanzania nchini Qatar

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Daily News

Tanzania reaps gains after FATF grey list exit

GEITA: TANZANIA’S removal from the Financial Action Task Force (FATF) grey list in July 2025 has strengthened the country’s financial…

Recently
Uncategorized · The Standard

How Ugandans are smuggled, issued Kenyan IDs and voter cards

As Kenya inches towards the 2027 General Election, questions over the integrity of the voters roll are emerging along the Kenya-Uganda border,

Mon, 28 Sep 2026 09:30:00 +0300
Health · Daily News

Mobile clinics detect early cancer changes

ARUSHA: A TOTAL of 16,945 women has received cervical and breast cancer screening through mobile clinics in Arusha and Kilimanjaro…

Recently
Uncategorized · The Independent Uganda

NSSF’s record return puts Uganda’s savings power in focus

The pension fund has declared an interest rate of 22.53 percent for the financial year 2025/26…

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Gun-wielding gang robs couple of Sh1.7m in Kitale According to police, the couple had travelled to Kitale town, where the woman withdrew a total of Sh1.7 million from two banks.

According to police, the couple had travelled to Kitale town, where the woman withdrew a total of Sh1.7 million from two banks.

Recently
Business · Daily News

Disabled groups urged to apply for govt loans

TABORA: CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) National Executive Committee Secretary for Politics and International Relations, Ms Rabia Hamid, has called on…

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

Venezuelans demand opposition leader Machado's return

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Capital FM

Nairobi motorists face more delays as Eldoret Road closure extended

Latest · News

Recently
Business · Issa Michuzi

WAZIRI KAPINGA ANADI FURSA ZA UWEKEZAJI NCHINI QATA

📌lengo ni kuongeza mauzo na uwekezaji kwenye viwanda vya kuongeza thamani ya malighafi; 📌ujumbe wa Tanzania wakutana na makamu wa kwanza wa chama cha wafanyabiashara na wenye viwanda nchini Qatar; 📌Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba asifu kazi nzuri inayofanywa na Wizara ya viwanda. Doha, Qatar Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Judith Kapinga, ambae yuko nchini Qatar kwa ziara ya kiserikali amesema,Tanzani ina fursa nyingi za kufanya uwekezaji na biashara na nchi ya Qatar hususani kwenye viwanda vya kuongeza thamani. Mhe Kapinga aneyasema hayo wakati wa mkutano na makamu wa kwanza wa chama cha wafanyabiashara na wenye viwanda nchini Qatar na kuongeza kuwa, mikakati ya Serikali ya kuongeza mauzo ya bidhaa za Tanzania katika soko la Qatar, sambamba na kuvutia uwekezaji wa Qatar nchini, hususan katika viwanda vya kuongeza thamani ya malighafi zinazopatikana Tanzania uko palepale. Amesema kazi kubwa inayofanywa na WIzara ya viwanda na Biashara ni kuhakikisha kunakuwa na mazingira wezeshi ya wawekezaji kuwekeza Tanzania. Awali akitoa wasilisho kwenye mkutano huo mbele ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Mwigulu Nchemba na Mhe Mohammed bin Ahmed bin Twar Al Kuwar, Mkurugenzi Mkuu wa TANTRADE, Ndugu Efraim Mafuru, amesema Tanzania na Qatar, zina fursa za kuongeza mauzo ya bidhaa za Tanzania katika soko la Qatar, pamoja na uwezekano wa kutumia Qatar kama lango la kufikia masoko mapana ya Ghuba. Mikakati hiyo pia inalenga kutumia kikamilifu fursa zinazotokana na nafasi ya Tanzania katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), pamoja na fursa za kibiashara zinazotokana na mahusiano ya Tanzania na nchi za Ghuba. Mhe. Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amepongeza kazi nzuri inayofanywa na Wizara ya Viwanda na Biashara kwa kushirikiana na TANTRADE na TISEZA, TPSF na TNCC, kuandaa na kusimamia jukwaa la biashara na uwekezaji kati ya Tanzania na Qatar . Jukwaa hilo linalenga kuwaunganisha wafanyabiashara na wawekezaji wa Qatar na fursa halisi za biashara na uwekezaji zilizopo Tanzania, pamoja na kuwezesha majadiliano ya moja kwa moja kuhusu maeneo ya uwekezaji, uzalishaji, kuongeza thamani ya malighafi na upanuzi wa masoko. Aidha, Dkt. Mwigulu ameelekeza Wizara kuchukua hatua za haraka kuwaalika QCCI nchini Tanzania, sambamba na kuandaa makongamano ya kibiashara, semina kibiashara mikutano ya fursa za uwekezaji, majadiliano ya kisekta, kwa lengo la kujenga ushirikiano wa karibu na endelevu kati ya sekta binafsi za Tanzania na Qatar.

Mon, 28 Sep 2026 06:30:04 +0000

Page 1013 of 1126 · 22503 stories