Unganishwa

Search the region

22503 stories

Uncategorized · The Standard

COB: 42 Counties record development absorption rates below 75 percent

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Observer Uganda

Women barred from Tooro king’s coronation procession

Women are barred from participating in the traditional procession that will usher Tooro king-designate Edward Rukidi Nyabongo I to Karuziika Palace on Monday night. The…

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

Ukraine, South Korea relations sour over North Korean POWs

Read the full report from the original source.

Recently
National · The Star Kenya

Easy credit, tough lives: Debt trap facing Kenyans Most working Kenyans have access to excellent financial services but few earn enough to save for emergencies or to build wealth.

Most working Kenyans have access to excellent financial services but few earn enough to save for emergencies or to build wealth.

Recently
National · The Star Kenya

State steps up preparations as heavy El Niño rains loom The government's approach is to act before an emergency escalates, says disaster centre head

The government's approach is to act before an emergency escalates, says disaster centre head

Recently
Sports · Citizen Digital

Isak returns to Liverpool after injury scare

Read the full report from the original source.

Recently
World · DW Rwanda

Israel strips Dutch diplomats of status in West Bank

Read the full report from the original source.

Recently
National · The Star Kenya

Karua announces death of her father Jackson Karua said she and her siblings sang their father’s favourite hymn hours before his death.

Karua said she and her siblings sang their father’s favourite hymn hours before his death.

Recently
Health · Citizen Digital

Lead exposure: The hidden health threat around us

Read the full report from the original source.

Recently
Business · Citizen Digital

Veronica Duder’s 1930 Essex Super Six wins 54th Concours d’Elegance at Ngong Racecourse

Read the full report from the original source.

Recently
Sports · Citizen Digital

Xavi gets first win as Netherlands boss, Denmark beat Wales

Read the full report from the original source.

Recently
National · Citizen Digital

IPOA begins probe after man dies in Kitengela police station

Read the full report from the original source.

Recently
National · The Standard

Vote Smuggling Ring: Border voter claims put Kenya's electoral system under scrutiny

As Kenya inches towards the 2027 General Election, questions over the integrity of the voters roll are emerging along the Kenya-Uganda border,

Mon, 28 Sep 2026 00:00:00 +0300
National · Issa Michuzi

NEWZ ALERT : RAIS DKT SAMIA AFANYA UTEUZI WA VIONGOZI MBALIMBALI.

Sun, 27 Sep 2026 20:55:07 +0000
Business · Issa Michuzi

NAIBU WAZIRI MADINI DKT KIRUSWA APONGEZA EQUITY BANK

Na Mwandishi wetu, Geita NAIBU Waziri wa Madini, Dkt Steven Lemomo Kiruswa ameipongeza Equity bank kwa kuwajali wachimbaji madini na kuwapatia vifaa na mitambo ya uchimbaji. Dkt Kiruswa ametoa pongezi hizo baada ya kutembelea banda la EQUITY Bank kwenye maonyesho ya tisa ya kitaifa ya teknolojia ya madini yanayofanyika viwanja vya Dkt Samia Suluhu Hassan manispaa ya Geita. Amesema kupitia benki hiyo wachimbaji madini watanufaika kwa ufadhili wa vifaa na mitambo ya kuchimbia madini. "Nimesikia mnatoa ufadhili wa vifaa vya mitambo kwa Excavator, Crusher, malori ya kubebea mchanga na Drilling Rigs, hongereni sana kwani mnawajali wachimbaji madini," amesema Dkt Kiruswa. Mkuu wa idara ya wateja wa kati, rejareja na binafsi wa EQUITY Bank Tanzania Theresia Mayanie amewaasa wachimbaji madini waimarishe migodi yao kwa kumiliki vifaa vyao. Mayanie amesema kupitia benki hiyo, wachimbaji wanaweza kupata vifaa na mitambo bila kulipa gharama zote kwa mara moja. Ametaja baadhi ya vigezo vya kustahili ni watu binafsi na biashara wanaohitaji vifaa, magari na mitambo na uwezo wa kurejesha mikopo. "Akaunti hai ya EQUITY Bank kwa angalau miezi mitatu, taarifa za benki za miezi 12 pale zinazohitajika na taarifa za fedha zilizokaguliwa za miaka mitatu pale zinazohitajika," amesema Mayanie. Amesema faida ni kupata mtaji wa kusaidia shughuli za biashara, kuendelea bila kukwama, gharama, mahitaji muhimu ya uendeshaji na kuboresha mtiririko wa fedha. Ametaja faida nyingine ni muda wa marejesho hadi miezi 36 kulingana na madhumuni ya mkopo, ufadhili unaozingatia mahitaji ya biashara na uwezo wa kifedha. "Endesha mgodi wako bila kusimama, tunakuwezesha kwa mtaji wa uendeshaji kwa mafuta, baruti, mishahara, Reagents na vipuri," amesema.

Sun, 27 Sep 2026 09:00:00 +0000
Business · Issa Michuzi

ZEGERENI WAOMBA BARABARA YA LAMI KUIMARISHA SHUGHULI ZA VIWANDA

Na Mwamvua Mwinyi, Kibaha BAADHI ya wananchi na wawekezaji katika eneo la Zegereni, Manispaa ya Kibaha, Mkoa wa Pwani, wameiomba Serikali kujenga kwa kiwango cha lami barabara yenye urefu wa takribani kilometa mbili inayounganisha eneo hilo na viwanda, wakieleza kuwa hatua hiyo itakuwa suluhisho la kudumu la changamoto ya miundombinu, hasa wakati wa mvua. Wamesema ujenzi wa barabara hiyo utaendana na kasi ya ukuaji wa shughuli za kiuchumi katika eneo hilo, ambalo limeendelea kuvutia uwekezaji wa viwanda na hivyo kuongeza mahitaji ya miundombinu bora ya usafirishaji. Meneja wa Kinglion Investment Company, Kelvin Richard Boya, alisema ubovu wa barabara hiyo huathiri shughuli za uzalishaji, hususan wakati wa mvua, kutokana na magari makubwa kushindwa kupita kwa urahisi, hali inayochelewesha uingizaji wa malighafi na usafirishaji wa bidhaa. Alisema hali hiyo wakati mwingine husababisha uzalishaji kusimama kwa muda na kuviingiza viwanda katika gharama na hasara zisizotarajiwa. “Uzalishaji viwandani unapokwama kutokana na ubovu wa barabara, magari makubwa hushindwa kupita kufikisha malighafi au kusafirisha bidhaa zilizotengenezwa. Hali hii inasababisha viwanda kusitisha uzalishaji kwa muda na kupata hasara kubwa,” alisema Boya. Kwa upande wake, dereva wa lori, Hamis Hassan, alisema madereva wa malori na magari ya makontena wamekuwa wakikabiliwa na changamoto ya magari kukwama kwenye matope wakati wa mvua, hali inayochelewesha mizigo kufika sokoni na kuongeza gharama za uendeshaji. Akizungumza kwa niaba ya Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Kibaha, Colin Mwasheni, alisema barabara hiyo inayotambulika kama Zegereni Industry 5 ipo katika mpango wa kujengwa kwa kiwango cha lami ili kutoa huduma ya kudumu kwa shughuli za viwanda na wananchi wanaoitumia. Mwasheni alisema kinachohitajika kwa sasa ni upatikanaji wa fedha ili kuwezesha kuanza kwa utekelezaji wa ujenzi huo. Meya wa Manispaa ya Kibaha, Dkt. Nicas Mawazo, alisema barabara hiyo ni muhimu kwa kuwa inahudumia viwanda tisa pamoja na wananchi, hivyo uboreshaji wake unaendana na azma ya kukuza uchumi kupitia uwekezaji na viwanda. Alisema kuboresha miundombinu inayowaunganisha wawekezaji na masoko kutasaidia kuongeza uzalishaji, mapato na fursa za ajira. Dkt. Mawazo alisema Manispaa ya Kibaha inaendelea kuweka mipango na mikakati ya kuboresha mazingira ya uwekezaji, ikiwa ni sehemu ya kwenda sambamba na juhudi za Serikali za kukuza sekta ya viwanda na uwekezaji nchini.

Sun, 27 Sep 2026 20:42:21 +0000
Business · CEO East Africa

EXCLUSIVE: Anne Juuko Appointed East African Development Bank Director General, Sources Say

Read the full report from the original source.

Recently
Business · Capital FM

Beyond Bali: Indonesia targets Kenyan tourists with diverse holiday offering

Latest · News

Recently
Sports · Rwanda News Agency

L’équipe de football du Rwanda est arrivée au Cap-Vert avant son 2e match de qualification à la CAN

Read the full report from the original source.

Recently
World · Rwanda News Agency

Au moins 12 morts et des dizaines de disparus dans un naufrage sur le lac Kivu en RDC

Read the full report from the original source.

Recently

Page 1017 of 1126 · 22503 stories