Unganishwa

Search the region

22498 stories

Uncategorized · Watchdog Uganda

UPDF Passes Out Russian Language Course Graduands

The Uganda People’s Defence Forces (UPDF) has passed out officers and militants who completed a one-year Russian Language Course, Intake 01/2025/2026, at the School of Defence Intelligence and Security (SODIS)…

Recently
Uncategorized · Watchdog Uganda

Minister Babalanda urges Basoga diaspora to preserve identity, unite and invest in Uganda

DUBAI, UNITED ARAB EMIRATES | SEPTEMBER 26, 2026 Minister for the Presidency Milly Babirye Babalanda has urged Basoga living in the diaspora to preserve their cultural identity, remain united and…

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Bodies of 2 women recovered from Migori gold mine The two bodies were retrieved during a joint operation involving the National Government and the County Government of Migori.

The two bodies were retrieved during a joint operation involving the National Government and the County Government of Migori.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

DKT. MWIGULU: TUNZENI UAMINIFU NA JINA LA NCHI YETU, FANYENI KAZI KWA BIDII

WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka Watanzania wanaofanya kazi nje ya nchi watunze uaminifu na wafanye kazi kwa bidii ili wasiliharibu jina zuri la Tanzania. Alitoa kauli hiyo jana jioni (Jumamosi, Septemba 26, 2026) wakati akizungumza na madareva wa Kitanzania zaidi ya 500 walioajiriwa na kampuni ya usafirishaji ya MOWASALAT kwenye kikao kifupi kilichofanyika kwenye ofisi za kampuni hiyo, zilizoko Lusail Depot nje kidogo ya Jiji la Doha, Qatar. Dkt. Mwigulu ambaye yuko nchini Qatar kwa ziara ya siku tatu kwa mwaliko wa Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Mhe. Abdulrahman bin Jassim Al Thani alisema: “Fanyeni kazi kwa bidii ili muwe mabalozi kwa wenzenu walioko nyumbani. Kuweni waaminifu, tunzeni jina la nchi yetu ili wenzenu waweze kupata fursa za ajira katika nchi mbalimbali. Mkiaminiwa inakuwa rahisi kufungua milango kwa wenzenu.” Waziri Mkuu alitumia fursa kuwapa picha halisi ya maendelea yaliyofikiwa nchini Tanzania katika sekta za elimu, afya, maji, miundombinu na akawasihi waendelee kumuunga mkono Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwa amedhamiria kuwahudumia Watanzania. Akijibu hoja za madereva hao kuhusu kutotambuliwa kwa vyeti vyao pindi wanaporudi nyumbani, Dkt. Mwigulu Nchemba alimwagiza Waziri wa Mambo ya Ndani afuatilie suala hilo kwa kushirikiana na wizara husika. “Fuatilia uwezekano wa kulink vyeti vyao wanapohitimu mafunzo yao. Wale wanaopata distinction na wanahitajika nyumbani, tuwe na database yao ili watambuliwe kwa urahisi. Utambuzi wa elimu inayopatikana hapa unaweza kutambuliwa endapo mtu ameamua kurejea nyumbani. Kama tatizo ni sheria, basi iangalieni hiyo sheria. Mheshimiwa Rais alishasema sheria isiwe kikwazo cha Watanzania kujiletea ustawi,” alisema na kuamsha shangwe kubwa moingoni mwa madereva hao. Kuhusu usumbufu wa kudaiwa vibali vya kazi na ushuru wa vyakula wanavyotaka kuondoka navyo, ambao wanaupata kwenye uwanja wa ndege wa Dar es Salaam wanapokuwa wanarejea kutoka likizo, Waziri Mkuu aliwahakikishia kwamba litafanyiwa kazi mara moja. “Haiwezekeni mtu anabeba lade (matundapori) kutoka kwao ili akija huku ayatumie na kupunguza mawazo ya nyumbani halafu mnamtoza ushuru. Au msukuma amebeba unga wake ili akiwa huku asonge ugali, ajisikie yuko nyumbani halafu mnamzuia; mnataka ale tambi? Msukuma na tambi wapi na wapi? Alihoji Waziri Mkuu. Akitoa hoja zao kwa niaba ya madereva wenzake, Calvin Isack Luo alisema: “Watanzania tunaoishi na kufanya kazi nje ya nchi tunapitia changamoto mbili zinazohusiana na safari. Tunapoingia Tanzania wakati mwingine tunapata usumbufu mkubwa katika ukaguzi wa mizigo, na tunaporejea nchi tunakofanyia kazi tunaweza kuhitajika kuonyesha kibali cha kazi, wakati tayari tunayo residence permit/ID halali ya nchi hiyo. Je, Serikali ina mpango wa kuweka utaratibu maalum unaotambua hadhi ya Mtanzania anayeishi kihalali nje ya nchi, ili taratibu za airport ziwe rahisi, wazi na zisizorudiwa bila sababu?” Mapema, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi alisema atafuatilia maombi yao ya kuhuishwa kwa leseni zao za udereva ili yawe yanafanyika kwa automatic. Naye Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Masharik, Dkt. Ngwaru Maghembe alisema ataongea na benki za CRDB, NMB na Mfuko wa UTT ili wawatume watu wao wa dawati la DIASPORA waende Qatar kuwasajili wanaotaka mitaji yao iende kuwekezwa nyumbani. Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu amefuatana na Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga; Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Ngwaru Maghembe, Katibu Wakuu (OR-Uwekezaji), Wabunge na watendaji wengine wa Serikali.

Sun, 27 Sep 2026 07:30:26 +0000
Uncategorized · BBC Rwanda

Ethiopia: Ibizwi ku mirwi y'inyeshamba yatangaje ko yishyize hamwe mu runani rwo gusenyura reta ya Abiy Ahmed

Muri Ethiopia, haherutse gutangazwa ishingwa ry'ihuriro ryiswe "Cooperation for Survival", rifise intumbero yo gukura ku butegetsi reta iyobowe n'umushikiranganji wa mbere w'ico gihugu, Abiy Ahmed.

Recently
Uncategorized · Daily News

AFCON 2027: East Africa is hosting, not applying for permission

TANZANIA: SOME people wake up every morning with one important assignment: to locate African sunshine and rush there carrying a…

Recently
Uncategorized · Daily News

Hundreds attend khitma for late Ameir

DAR ES SALAAM: HUNDREDS of mourners, including government officials, diplomats and religious leaders, gathered in Dar es Salaam yesterday for…

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

WAZIRI KAPINGA ASHIRIKI ZIARA YA WAZIRI MKUU KUTEMBELEA KAMPUNI YA USAFIRISHAJI YA MOWASALAT

-Apongeza ajira 722 kwa Watanzania kupewa msukumo; -Asema biashara ya mauzo nje kwa sasa imeelekea kwenye ajira za nje Doha, Qatar Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Judith Kapinga leo ameshiriki ziara ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzanini Mhe Dkt Mwigulu nchemba kutembelea kampuni ya serikali ya usafirishaji ya MOWASALAT inayotoa huduma ya usafiri kwa umma nchini Qatar. Katika ziara hiyo Mhe Kapinga amefurahishwa na kampuni ya nchini humo ya MOWASALAT kuajiri i vijana 722 wa Kitanzania katika nafasi mbalimbali, ikiwa ni fursa muhimu kwa Watanzania kupata ajira, kuongeza ujuzi na uzoefu katika soko la ajira la kimataifa. Mhe. Kapinga amesisitiza kuwa Serikali itaendelea kuweka mkazo katika huduma ya kuwekeza kwa vijana wenye elimu ili kuongeza ajira, kukuza ujuzi na kuongeza mapato ya Taifa. Aidha, ameitaka TANTRADE kuweka mkazo zaidi katika kutambua na kukuza fursa za kuwekeza kwenye huduma  na kuifanya kuwa miongoni mwa viashiria muhimu vya utendaji  katika kuongeza mauzo ya huduma za Tanzania katika masoko ya kimataifa.

Sun, 27 Sep 2026 06:56:33 +0000
Uncategorized · The Star Kenya

Gachagua puts opposition on the spot over 2027 unity Gachagua said his colleagues should stop supporters threatening to back Ruto if they lose opposition ticket.

Gachagua said his colleagues should stop supporters threatening to back Ruto if they lose opposition ticket.

Recently
Uncategorized · Capital FM

The Integrity Dividend: The Value of Knowing

Opinion · 13 hours ago

Recently
Uncategorized · Capital FM

Accor eyes Kenya MICE market to grow hospitality business

Latest · Business

Recently
Uncategorized · Daily News

Police officer’s 11-kilometre journey brings hope to forgotten families

RUVUMA: THE road from Suluti Stand to Mlambichuma, a small hamlet in Luegu Ward, Namtumbo District, Ruvuma Region, stretches for…

Recently
National · Issa Michuzi

SERIKALI YAENDELEA KUIMARISHA MIUNDOMBINU RAFIKI KWA WATU WENYE ULEMAVU

Na Ashura Mohamed, Kilimanjaro SERIKALI imesisitiza dhamira yake ya kuendelea kuthamini na kuimarisha miundombinu rafiki kwa watu wenye ulemavu, ili kuwawezesha kushiriki kikamilifu katika shughuli za maendeleo ya taifa. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya Rombo, Raymond Mangwala, aliyemwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, katika kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Viziwi Duniani yaliyofanyika katika Viwanja vya Halmashauri ya Manispaa ya Moshi. Mangwala amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendelea kuweka mazingira wezeshi kwa watu wenye ulemavu, ikiwemo kupitia mikopo isiyo na riba inayotolewa na halmashauri kwa kutenga asilimia 10 ya mapato yake, ambapo asilimia mbili hutengwa kwa ajili ya watu wenye ulemavu. “Serikali haitawaacha nyuma watu wenye ulemavu. Tunawahimiza mjitokeze kwa wingi kuchangamkia fursa hii ya mikopo. Ni mtaji unaoweza kuwakomboa kiuchumi na kuwawezesha kuanzisha miradi ya kujitegemea,” amesema Mangwala. Katika hatua nyingine, Mangwala amezitaka taasisi za fedha nchini, ikiwemo Benki ya CRDB, kubuni huduma rafiki na kurahisisha upatikanaji wa mikopo kwa watu wenye ulemavu, hususan viziwi ambao mara nyingi hukumbana na changamoto za mawasiliano. Akizungumza katika maadhimisho hayo, Meneja Ujumuishi na Fursa Sawa kutoka Benki ya CRDB, Cresensia Grace Kajiru, amesema benki hiyo itaendelea kuweka mazingira wezeshi na rafiki kwa watu wenye ulemavu wa kusikia. “Kwa kutambua kuwa kila ifikapo Septemba 26 ni Siku ya Viziwi Duniani, sisi kama Benki ya CRDB tunaendelea kuweka mazingira wezeshi, siyo tu kwa kutoa huduma za wakalimani wa lugha ya alama katika matawi yetu yote, bali pia kuwafundisha wafanyakazi wetu kwa vitendo lugha ya alama ili mteja kiziwi akifika ahudumiwe moja kwa moja bila kikwazo,” amesema Kajiru. Kwa upande wake, Katibu wa Chama cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) Tawi la Kilimanjaro, Polkarip Josephati Mwacha, akisoma risala kwa mgeni rasmi, amesema licha ya juhudi zinazofanywa na Serikali, viziwi bado wanakabiliwa na changamoto kubwa katika sekta ya elimu. Amesema ukosefu wa walimu wenye ujuzi wa kutosha wa lugha ya alama pamoja na vifaa saidizi umechangia viziwi wengi kukosa elimu bora, hali inayowaweka katika mazingira magumu ya kushindana katika soko la ajira na kushiriki kikamilifu katika shughuli za kijamii na kisiasa. Naye Makamu Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Watu Wenye Ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA), Tungi Mwanjala, ameiomba Serikali kuharakisha mchakato wa kuridhia na kusaini Mkataba wa Afrika wa Haki za Watu Wenye Ulemavu, ili kulinda na kutetea haki zao kwa mujibu wa sheria za kimataifa. Kwa upande wake, Mbunge wa Viti Maalumu vya Watu Wenye Ulemavu, Nassiriya Nassir Ali, ameipongeza Serikali kwa kuendelea kuweka mazingira wezeshi kwa watu wenye ulemavu, huku akiwataka viziwi kutumia ipasavyo fursa zinazotolewa na Serikali ili kujiletea maendeleo. Maadhimisho hayo yalihudhuriwa na wadau mbalimbali, wakiwemo Benki ya CRDB, viongozi wa Serikali, taasisi za kifedha, makundi mengine ya watu wenye ulemavu pamoja na wananchi.

Sun, 27 Sep 2026 06:49:05 +0000
Uncategorized · DW Rwanda

South Africa: Pair of mass shootings leave dozens dead

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Meru demos turn chaotic as mob torches police post The entire police line, comprising five wooden semi-permanent rooms, was completely destroyed by fire.

The entire police line, comprising five wooden semi-permanent rooms, was completely destroyed by fire.

Recently
Uncategorized · Daily News

Land councils powers under review

DODOMA: THE government is reviewing the legislation governing land councils to determine whether to strengthen their powers for more effective…

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Gunmen kill 17 in South Africa bar shooting, 15 wounded: police

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · PML Daily

Police arrest Securex supervisor over viral assault of colleague in Buyende

BUYENDE — Police in Busoga North have arrested a private security supervisor after a video showing a security guard being assaulted by two men went viral on social media. The suspect...

Recently
Uncategorized · Capital FM

Reporting Africa and migration: traditional, digital and emerging media

Latest · Opinion

Recently
Uncategorized · SoftPower News

Absa, Makerere Train Journalists in Business, Financial and Data Reporting

Read the full report from the original source.

Recently

Page 1026 of 1125 · 22498 stories