Unganishwa

Search the region

22491 stories

Uncategorized · Capital FM

Eldoret police arrest suspect linked to series of robberies after tip-off

Latest · County News

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Ruto finds praise in Kalonzo’s Tseikuru road criticism Kalonzo praised the increased effort but questioned the years-long delay.

Kalonzo praised the increased effort but questioned the years-long delay.

Recently
Uncategorized · Daily News

Beyond the academic shelf: Why African universities need partnerships

DAR ES SALAAM: FOR decades, African universities have played a central role in producing knowledge, training professionals and conducting research…

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

Propaganda in Russian schools prepares students to die

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

[PHOTOS] Ruto lays foundation for 340-bed Wumingu TVC hostel Ruto said the investment will help ease accommodation needs among students.

Ruto said the investment will help ease accommodation needs among students.

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

Paris: Pope Leo XIV to celebrate Mass before huge crowd

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Daily News

Tanzanian female tourism trailblazer named among Africa’s 100 most influential persons

RWANDA: TANZANIAN female tourism trailblazer, Zainab Ansell has been named among Africa’s 100 Most Influential Persons. Ansell, founder and chief…

Recently
Uncategorized · The Standard

Lusaka cautions Western leaders against early succession politics

Western Kenya leaders have also demanded that the region be considered for the Deputy President position if Ruto wins a second term.

Sat, 26 Sep 2026 14:36:00 +0300
National · Issa Michuzi

WAZIRI DEUS SANGU AIPONGEZA PSSSF KUFIKISHA THAMANI YA MFUMO TRILIONI 16.96 NA KUIMARISHA HUDUMA KWA WASTAAFU

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu- Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Deus Sangu (katikati), akizungumza alipotembela bdna la mfuko wa hifadhi ya jamii kwa watumishi wa umma (psssf) kwenye maonesho ya 9 ya teknolojia ya madini mkoani geita. Kulia ni Katibu Tawala Mkoa wa Geita Bw. Mohammed Gombati na kushoto ni Kaimu Meneja wa PSSSF Kanda ya Ziwa Magharibi, Bw. Nathan Makuchilo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu- Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Deus Sangu (kushoto) akisaini kitabu cha wageni wakati alipotembelea banda la PSSSF kwenye Maonesho ya 9 ya Teknolojia ya Madini mkoani Geita. Anayemshuhudia ni Kaimu Meneja wa PSSSF Kanda ya Ziwa Magharibi, Bw. Nathan Makuchilo Geita, Septemba 24, 2026 — Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Deus Sangu, ameupongeza Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) kuwa mfano wa kuigwa kutokana na mafanikio makubwa katika kuimarisha thamani ya mfuko na kuboresha huduma kwa wanachama na wastaafu. Mhe. Sangu ameyasema hayo alipotembelea banda la PSSSF kwenye Maonesho ya 9 ya Teknolojia ya Madini Mjini Geita akibainisha kuwa katika kipindi cha uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, thamani ya mfuko imepanda kutoka Shilingi Trilioni 7.4 Serikali ilipoingia madarakani hadi Shilingi Trilioni 16.96 hivi sasa. “Ongezeko hilo la zaidi ya mara mbili linaonesha uthabiti, uwazi na usimamizi thabiti wa rasilimali za wanachama,” amesema. Kuhusu ulipaji wa mafao, amesema kupitia kaulimbiu ya “Tunalipa Jana,” wastaafu hupata mafao yao mara wanapostaafu na pensheni ya kila mwezi hulipwa kabla ya tarehe 25. Ameongeza kuwa PSSSF inashirikiana na waajiri kutoa elimu na kuwaandaa wastaafu, huku akisisitiza watumishi kujiandaa mapema kabla ya kustaafu ili kufanikisha malipo kwa wakati. Kuhusu matumizi ya TEHAMA, Mhe. Sangu amesema PSSSF imewekeza kwenye mfumo wa PSSSF KIDIJITAL unaomwezesha mstaafu kuhakikiwa kidijitali akiwa popote alipo, hatua iliyoondoa adha ya kusafiri hadi ofisi za Mfuko kwa ajili ya uhakiki.

Sat, 26 Sep 2026 11:36:26 +0000
National · Issa Michuzi

KIHONGOSI AIPONGEZA CCM TANGA KWA UJENZI WA NYUMBA 36 ZA WATUMISHI

Na Oscar Assenga, TANGA KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, ameipongeza CCM Mkoa wa Tanga kwa kutekeleza mradi wa ujenzi wa nyumba 36 za watumishi wake wenye thamani ya Sh2.5 bilioni. Nyumba hizo zinajengwa katika wilaya zote tisa za Mkoa wa Tanga, ambapo kila wilaya inatarajiwa kupata nyumba nne kwa ajili ya kuboresha mazingira ya makazi na utendaji wa viongozi na watumishi wa chama hicho. Kihongosi alitoa pongezi hizo alipofanya ukaguzi wa maendeleo ya mradi huo katika ziara yake ya siku mbili mkoani Tanga, akisema uimarishaji wa miundombinu ya chama ni sehemu muhimu ya kuweka mazingira bora ya utekelezaji wa majukumu. Alisema uwepo wa miundombinu na mazingira mazuri ya kazi ni muhimu katika kuhakikisha viongozi na watumishi wa CCM wanatekeleza majukumu yao kwa ufanisi katika ngazi zote. “Utekelezaji wa Ilani ya CCM unahitaji pia mazingira bora ya kazi na miundombinu inayowezesha shughuli za chama kufanyika kwa ufanisi,” alisema Kihongosi. Alisema ujenzi wa nyumba hizo unaendana na maelekezo ya chama ya kuimarisha miundombinu yake, hatua ambayo itasaidia kuboresha mazingira ya kazi na makazi kwa watumishi katika ngazi za wilaya. Kihongosi yupo mkoani Tanga kwa ziara ya siku mbili kwa ajili ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM pamoja na shughuli mbalimbali zinazotekelezwa na chama hicho. Kwa upande wake, Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga alisema tayari ametenga Sh1 bilioni kwa ajili ya kuwezesha na kuharakisha ujenzi wa nyumba hizo. Alisema mradi huo unatarajiwa kukamilika Februari mwakani na kwamba utakapo kamilika utasaidia kuboresha mazingira ya utendaji kazi kwa viongozi na watumishi wa chama katika maeneo mbalimbali ya mkoa. Kwa mujibu wa mpango wa ujenzi huo, kila wilaya kati ya wilaya tisa za Mkoa wa Tanga itapata nyumba nne, ambazo zitatumika kama makazi ya watumishi wa CCM katika ngazi hizo.

Sat, 26 Sep 2026 11:38:57 +0000
National · Issa Michuzi

51 wafungwa jela kwa uchafu Jiji la Dar

NA MWANDISHI WETU MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amesema watu 51 wamehukumiwa na Mahakama ya Jiji la Dar es salaam, kwenda jela kutokana na kujihusha na vitendo vya uchafu. Ameyasema hayo alipoongoza wananchi kufanya usafi katika mitaa mbalimbali wilayani humo na kueleza wataendelea kusimamia sheria ndogo kuwabana wananchi wote wasiozingatia kanuni za usafi. "Kikosi kazi chetu kinaendelea kufanya kazi ya kuelimisha wananchi kuhusu umuhimu wa kuzingatia usafi. Tayari kimewapitia watu zaidi ya 500. Watu watu 340 walionywa," amesema Mpogolo. Mkuu huyo wa wilaya ameeleza, watu 191 walipata adhabu mbalimbali, kati yao 19 walitozwa faini ya papo kwa papo. Mpogolo amebainisha kwa mujibu wa sheria hizo ndogo za usafi faini inayotozwa ni kuanzia sh.300,000 hadi sh.1,000,000. "Waliopelekwa mahakamani na kuhukumiwa kisha kulipa fani ni watu 121 na waliofungwa na kwenda kutumikia kifungo jela ni watu 51,"amesema Mpogolo. Amesisitiza wananchi kuzingatia kanuni za usafi na wale wote watakao kiuka watachukuliwa hatua ikiwemo kukamatwa, kutozwa faini , kufikishwa mahakamani ambako wakipatikana na hatia sheria inaelekeza kutozwa faini kuanzia sh. 300,000 hadi sh.1,000,000 au kifungo cha mwaka mmoja hadi miwili au vyote kwa pamoja. Ameeleza ni marufuku mwananchi kutupa taka hovyo, hususan chupa za maji au juisi, bifungashio vya vitafunwa mbalimbali na kusisitiza magari, maduka, ofisi ,mitaa, magari na nyumba zote kuwa na vifaa vya kuhifadhia taka. Aidha Mpogolo, amepiga marufuku wafanyabiashara wa Soko la Karume kupanga bidhaa zao katika Barabara ya Uhuru na atakaye kiuka atachukuliwa hatua. Alielekeza Polisi wilayani humo kuhakikisha barabara katika eneo hilo inapitika wakati wote baada ya ujenzi wa miundombinu ya Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (BRT) kukamilika. "Tufunge sasa magari kutumia njia za mwendo kasi katika eneo hili. Magari yaanze kutumia barabara hii ya kawaida. Biashara zote ziingie ndani ya maduka,"ameeleza. Katika hatua nyingine mkuu huyo wa wilaya amepokea vifaa vya usafi vilivyotolewa na Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA) ikiwa ni hatua ya wakala huo kuunga mkono kampeni ya usafi wilayani humo. Ameomba taasisi zingine, watu binafsi na vikundi kuendelea kujitokeza kutoa msaada wa vifaa hivyo pamoja na kushiriki kufanya usafi. Naye Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, ambaye pia ni Mwanasheria wa jiji hilo, Faraja Nakua, amesema wataalamu na vijana waliohitimu Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) wanaendelea kusimamia sheria katika kata zote za jiji hilo, ikiwa ni pamoja na kutoa elimu ya usafi. Amesema halmashauri hiyo imekusanya sh.milioni 52.5 kutokana na utozaji wa faini na kwamba wiki ijayo kasi itaongezwa hususan elimu,makalipio na utozaji wa faini kwa mujibu wa sheria.

Sat, 26 Sep 2026 11:32:41 +0000
Uncategorized · Citizen Digital

Huruma muslims accuse SUPKEM of attempting to take over mosque land

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Ruto begins 8-day Coast tour, set to break ground for Ksh.2 trillion Dangote Refinery in Lamu

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Internet restricted after fighting breaks out in Ethiopia's Tigray region During the two-year civil war in Tigray, the region was totally cut off from the outside world.

During the two-year civil war in Tigray, the region was totally cut off from the outside world.

Recently
Uncategorized · Watchdog Uganda

Police arrest three suspected motorcycle robbery gang members in Kampala

KAMPALA, UGANDA — Police in Kampala have arrested three suspected members of a gang believed to be behind a series of robberies targeting people carrying money on motorcycles in areas…

Recently
Uncategorized · Watchdog Uganda

Translate NALI Training Into Better Conservation, Minister Tells UWA Officers

The Minister of State for Tourism, Wildlife and Antiquities, Hon. Susan Nakawuki Nsambu, has challenged senior officers of the Uganda Wildlife Authority (UWA) to translate the knowledge, discipline and leadership…

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

SALIM ABRI ASAS ATUNUKIWA TUZO MAALUMU NA CCM IRINGA

NA DENIS MLOWE, IRINGA. MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Abri Asas, ametunukiwa tuzo maalumu ya heshima katika Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Mkoa wa Iringa, kwa kutambua mchango wake katika shughuli za Chama na jitihada za kukiimarisha. Tuzo hiyo imetolewa baada ya Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Iringa kuwasilisha hoja ya kutambua mchango wa Asas, ambayo baadaye iliwasilishwa katika Mkutano Mkuu Maalum na kupata ridhaa ya wajumbe wa mkutano huo. Miongoni mwa sababu zilizozingatiwa katika kumpatia tuzo hiyo ni mchango na msaada anaoutoa katika shughuli mbalimbali za CCM, pamoja na kujitolea katika ujenzi wa ofisi za Chama katika ngazi ya Kata katika Mkoa wa Iringa. Tuzo hiyo imekabidhiwa na Katibu wa NEC, Idara ya Oganaizesheni, Paul Matiko Chacha (MCC), katika mkutano uliofanyika katika Chuo cha UVCCM Ihemi, Iringa, mbele ya wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum. Akizungumza kabla ya kupokea tuzo hiyo, Asas amesema viongozi wanapaswa kujenga alama chanya kupitia matendo yao ndani ya Chama, akisisitiza umuhimu wa kila mmoja kujiuliza mchango anaouacha katika kukijenga na kukiimarisha CCM na sio chama kimemfanyia nini. Asas amesema ana dhamira ya kuona kila Kata inakuwa na Ofisi ya CCM, akieleza kuwa juhudi za kuhakikisha ofisi hizo zinajengwa zinapaswa kuendelea hata baada ya yeye kutokuwepo, ili malengo hayo yaweze kutimia na kuwaachia familia maagizo hata kama hay hayupo duniani. Amesema ujenzi wa ofisi za CCM katika ngazi ya Kata ni sehemu ya mchango wa wanachama katika kukiimarisha Chama na kuweka mazingira bora ya utekelezaji wa shughuli zake. Tuzo hiyo imekuja wakati CCM Mkoa wa Iringa ukiendelea kuhimiza ushiriki na kujitolea kwa wanachama katika kuimarisha miundombinu ya Chama, hususan ujenzi wa ofisi katika ngazi ya Kata.ambazo amewahakikishia zitajengwa kila kata.

Sat, 26 Sep 2026 11:23:33 +0000
Uncategorized · The Star Kenya

Simple ways to stay active while at work Incorporating movement throughout the workday plays a crucial role in maintaining overall wellness.

Incorporating movement throughout the workday plays a crucial role in maintaining overall wellness.

Recently
Uncategorized · PML Daily

NELSON BWIRE: So what is Museveni’s legacy?

KAMPALA — A few days ago, my six-year-old daughter returned from school with an urgent issue: her teachers needed to speak with me about her endless chatter. She had gathered an...

Recently
Uncategorized · Capital FM

Atwoli tells Gachagua to stop invoking his name for political relevance

Kenya · 4 hours ago

Recently

Page 1035 of 1125 · 22491 stories