Unganishwa

Search the region

22489 stories

Uncategorized · DW Rwanda

India, Pakistan trade accusations at UN General Assembly

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · SoftPower News

IUIU Female Campus Wins 13th CEHURD National Constitutional Law Moot

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · SoftPower News

UCU Wins Two National Moot Court Competitions in Two Days

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · SoftPower News

Young Ugandan Innovators Awarded Shs205m to Scale Agricultural Solutions

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Timeline of the charges facing Manchester City

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

MAKUNDI MAALUM KUSHIRIKI MIRADI YA MAFUTA NA GESI ASILIA

Na Mwandishi Wetu, Lindi WATU wenye mahitaji maalum mkoani Lindi wametakiwa kuchangamkia fursa za kiuchumi zinazotokana na utekelezaji wa miradi ya kimkakati, ikiwemo sekta ya mafuta na gesi asilia. Wito huo umetolewa na Kaimu Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii wa Manispaa ya Lindi, Alusaria Mushi, akimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Adam Malima, wakati akifungua kongamano la siku moja la ushirikishwaji wa wazawa jumuishi. Kongamano hilo limeandaliwa na Chama cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) Mkoa wa Lindi kwa kushirikiana na Sauti ya Wanawake Wenye Ulemavu Tanzania (SWAUTA). Mushi amesema makundi hayo hayapaswi kujiona yameachwa nyuma, bali yanapaswa kutambua nafasi ya Kanda ya Kusini katika kuchangia ukuaji wa uchumi na kutumia fursa zinazotokana na miradi mbalimbali inayotekelezwa katika eneo hilo. Amesema awali miradi ya Serikali ilikuwa ikibainisha mahitaji ya wananchi na kuyafanyia kazi, lakini kwa sasa wananchi wana wajibu wa kuibua mahitaji yao ili Serikali iweze kuhakikisha makundi yote yanahudumiwa kwa usawa. Kwa upande wake, Mkuu wa Kitengo cha Ushirikishwaji wa Wazawa na Uhusishwaji wa Wadau kutoka Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA), Charles Nyangi, amesema mamlaka hiyo inaendelea kutoa elimu kwa wadau mbalimbali, wakiwemo watu wenye mahitaji maalum, wanawake, vijana na wazee. Amesema lengo ni kuhakikisha makundi hayo yanapata fursa ya kushiriki na kunufaika na miradi ya mafuta na gesi asilia nchini. “Katika utekelezaji wa miradi, kila mtu ana nafasi yake ya kushiriki na kunufaika. Hata kama kuna wawekezaji kutoka nje, wazawa wana nafasi ya kushiriki katika shughuli mbalimbali zinazohusiana na miradi hiyo,” amesema Nyangi. Aidha, ameyataka makundi hayo kuwa na biashara zilizosajiliwa ili yaweze kushiriki katika fursa zitakapotangazwa katika maeneo yanayotekelezwa miradi, hususan mkoani Lindi. Kongamano hilo la siku moja lilikuwa sehemu ya maandalizi kuelekea maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Viziwi, ambayo kitaifa yanafanyika mkoani Kilimanjaro. Katika kuunga mkono maadhimisho hayo, PURA imegharamia ushiriki wa watu watano kutoka CHAVITA Wilaya ya Kibiti pamoja na kugharamia vifaa vya kusaidia usikivu.

Sat, 26 Sep 2026 07:50:31 +0000
Uncategorized · Rwanda News Agency

Élim. CAN 2027 : Le Rwanda s’impose face au Libéria (3-1) et lance bien sa campagne

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Man fined Sh24m for trafficking 266kg of bhang He was sentenced to pay the Sh24 million fine or serve 10 years in prison

He was sentenced to pay the Sh24 million fine or serve 10 years in prison

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

RIDHIWANI: TANZANIA, UJERUMANI ZAZIDI KUIMARISHA USHIRIKIANO WA MAENDELEO

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani J. Kikwete, amesema uhusiano wa kidiplomasia kati ya Tanzania na Ujerumani umeendelea kudumu kwa muda mrefu na kujengwa katika misingi ya kuheshimiana, ushirikiano wa dhati na dhamira ya pamoja. Mhe. Ridhiwani ameyasema hayo Septemba 25, 2026, jijini Dar es Salaam, wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Umoja wa Ujerumani, ambapo alikuwa mgeni rasmi. Amesema ushirikiano wa maendeleo ni sehemu muhimu ya mahusiano kati ya Tanzania na Ujerumani, ambapo taasisi za Ujerumani, ikiwemo GIZ na KfW Development Bank, zimeendelea kushiriki katika juhudi za kuchochea maendeleo ya Tanzania kupitia maeneo mbalimbali ya kiuchumi na kijamii. Aidha, Mhe. Ridhiwani amesema Tanzania inapitia mabadiliko makubwa ya kiuchumi yanayoongozwa na Dira ya Maendeleo 2050, ikiwemo utekelezaji wa ajenda ya viwanda yenye lengo la kujenga uchumi wenye ushindani, kuongeza uzalishaji na kukuza thamani ya bidhaa zinazozalishwa nchini. Sambamba na hayo, amesisitiza umuhimu wa kuendeleza ushirikiano kati ya Tanzania na Ujerumani katika maeneo ya viwanda, uchakataji wa mazao, nishati, miundombinu, teknolojia na ukuzaji wa ujuzi, pamoja na sekta nyingine zenye uwezo wa kuongeza fursa za ajira na thamani katika mnyororo wa uzalishaji. Amesema Tanzania iko tayari kuendeleza zaidi urafiki na ushirikiano na Ujerumani kwa manufaa ya wananchi wa nchi zote mbili, akieleza kuwa historia ya kuungana kwa Ujerumani inatoa funzo kuhusu umuhimu wa kujenga mustakabali wa pamoja unaozingatia kuaminiana, ushirikiano na malengo ya pamoja.

Sat, 26 Sep 2026 07:45:49 +0000
Uncategorized · Rwanda News Agency

“Tea and coffee are the most Rwandan attractive products for Pakistan”- Naeem Khan

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

TASAC YAKANUSHA KUFARIKI WATU 40 KUFUATIA KUZAMA KWA BOTI KATIKA ZIWA TANGANYIKA

Na Mwandishi Wetu, Kigoma SHIRIKA la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), Ofisi ya Mkoa wa Kigoma, limekanusha taarifa zinazosambaa katika mitandao ya kijamii kuhusu kuzama kwa boti iliyodaiwa kuwa imebeba watu 40 katika Ziwa Tanganyika. TASAC imesema taarifa hizo ni za uzushi na hazina ukweli, huku ikifafanua kuwa taarifa iliyotolewa na Ofisi hiyo Septemba 23, 2026, ilihusu tukio la meli nyingine iliyokuwa ikijulikana kwa jina la MV MJP, iliyokuwa imeondoka Bandari ya Kigoma kuelekea maeneo ya Mto DRC. Kwa mujibu wa taarifa ya TASAC iliyotolewa jana, Septemba 25, 2026, meli hiyo iliondoka Bandari ya Kigoma majira ya saa mbili usiku wa Septemba 22, 2026, ikiwa na mzigo mchanganiko wenye uzito wa tani 492.838, abiria 34 na mabaharia 15. TASAC imeeleza kuwa ilipokea taarifa kuhusu meli hiyo Septemba 23, 2026, na kufanya mawasiliano na Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Majini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kuhusu ajali hiyo. “Mpaka kufikia leo tarehe 25 Septemba 2026 saa 2:26 alasiri, mabaharia wote 15 tayari wameokolewa na jitihada za kuwatafuta watu wengine zinaendelea,” ilieleza sehemu ya taarifa hiyo. Aidha, TASAC imeeleza kuwa inaendelea kushirikiana na mamlaka za DRC kufuatilia tukio hilo na endapo kutakuwa na taarifa nyingine, umma utajulishwa kupitia njia rasmi za mawasiliano. Shirika hilo pia limezitaka vyombo vya habari kuthibitisha taarifa zake kwa mamlaka za Serikali kabla ya kuzisambaza, ili kuepusha taharuki na hofu miongoni mwa wananchi. TASAC imewahimiza wananchi wanaohitaji taarifa sahihi kuhusu usalama wa usafiri majini kutumia vyanzo rasmi vya TASAC na mamlaka husika. Vilevile, TASAC imevitaka baadhi ya vyombo vya habari vilivyochapisha taarifa hiyo kurekebisha kupitia mitandao ya kijamii kuhusu tukio hilo ili kutoleta taharuki kwa umma.

Sat, 26 Sep 2026 07:44:19 +0000
Uncategorized · Rwanda News Agency

“The FDLR has spread genocidal ideology, committed grave abuses in eastern DRC” – PM Nsengiyumva in UNGA 81

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Ankole Times

TOORO’S NEW KING BECOMES A TIKTOKER!! MAKES ADVERTS OF HIS CORONATION

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Rwanda News Agency

Rwanda and Jamaica discussed bilateral cooperation and South-South cooperation

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Watchdog Uganda

Gen Tumukunde’s Critique of NSSF Meets Pushback from Savers Amid Record Returns and Oversight Tensions

Gender, Labour and Social Development Minister Lt Gen Henry Tumukunde has publicly expressed dissatisfaction with the National Social Security Fund’s (NSSF) performance and orientation, even as the Fund delivered a…

Recently
Uncategorized · Watchdog Uganda

Chameleone asks Afrigo Band for Moses Matovu’s saxophone as memorial souvenir

KAMPALA, UGANDA — Musician Jose Chameleone has made a heartfelt request to the Afrigo Band to be allowed to receive one of the late saxophonist Moses Matovu’s instruments as a…

Recently
Uncategorized · The Ankole Times

BREAKING: NUP Leaders Accused of Secret Talks With Government Over Sharing Government Positions

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Capital FM

LSK maintains targeted court boycott as judicial accountability reforms stall

News · 5 hours ago

Recently
Uncategorized · Capital FM

“Nicole Kidman” Hitmaker Adéla Drops Highly Anticipated Debut album

Entertainment · 4 hours ago

Recently
Uncategorized · Capital FM

Man arrested after allegedly hiding 69 rolls of bhang inside rice meant for remandee

crime · 3 hours ago

Recently

Page 1038 of 1125 · 22489 stories