Unganishwa

Search the region

22511 stories

Uncategorized · Issa Michuzi

WASHIRIKI 460 WA MKUTANO WA ALAT WANUFAIKA NA ELIMU YA PSSSF

Meneja wa PSSSF kanda ya Ziwa Mashariki CPA. Rajabu Kinande akimuhudumia mwanachama wa Mfuko huo Bi. Dotto Elias kisharika, Mtendaji wa kijiji wakati wa maonyesho yaliyokuwa yakiendelea sambamba na Mkutano Mkuu wa ALAT jijini Mwanza. Watumishi wa Mfuko wa PSSSF wakionyeshana namna tehama inavyorahisisha huduma ya madai ya Mafao katika Mfuko huo na kwa wanachama wake Afisa Matekele PSSSF kanda ya Ziwa Mashariki, Bw. Saidi Kipindura, akimuhudumia mwanachama wa Mfuko huo, Bw.Exavery Ntambala Balikenye DED Kigoma, jinsi ya kuomba Mafao kupitia tehama Afisa Matekelezo wa PSSSF Kanda ya Ziwa Mashariki Bw. Saidi Kipindura akimuhudumia mwanachama wa Mfuko Bw. Boniphace Mwakasole katika maonyesho yanayoendelea sambamba na mkutano mkuu wa ALAT, Leo 17 Novemba, 2026 Mwanza. Afisa Mauzo KLICL Bw. Christopher Mbonyani akimuhumia Mteja katika maonyesho yanayoendelea sambamba na mkutano Mkuu wa ALAT, Leo 17 Novemba, 2026 Mwanza. Na Mwandishi Wetu, Mwanza Washiriki 460 wa Mkutano Mkuu wa 11 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), ambapo wengi wao ni wanachama wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), wamepata fursa ya kunufaika na elimu kuhusu huduuma zitolewazwo na Mfuko huo, maboresho yaliyofanyika katika huduma mbalimbali zinazotolewa kwa wanachama na wastaafu. Elimu hiyo ilitolewa kwa washiriki na Meneja wa Kanda ya Mashariki wa Mfuko wa PSSSF, CPA Rajabu Kinande katika Mkutano na kupitia banda lake katika maonesho yaliyoambatana na mkutano huo uliofanyika kuanzia Novemba 16 hadi 19, 2026, jijini Mwanza. Akizungumza na waandishi wa habari mwishoni mwa mkutano, CPA Rajabu Kinande, amesema ushiriki wa Mfuko katika mkutano huo umekuwa fursa muhimu ya kuwafikia wanachama na wadau wengine kwa kuwapatia taarifa sahihi kuhusu majukumu ya PSSSF na maboresho mbalimbali yaliyofanyika katika mifumo na sheria zinazosimamia shughuli za Mfuko. Amesema kupitia mkutano huo, PSSSF imeweza kuwaelimisha washiriki kuhusu maboresho ya mafao yanayotolewa na Mfuko pamoja na matumizi ya teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA) katika kuboresha utoaji wa huduma. “Tumefanikiwa kuwajulisha wanachama wetu kuhusu maboresho ya mafao yanayotolewa na Mfuko, pamoja na matumizi ya TEHAMA katika utoaji wa huduma. Hatua hizi zinalenga kuhakikisha wanachama na wastaafu wanapata huduma bora, kwa urahisi na kwa wakati chini ya kaulimbiu yetu ya tunalipa jana,” amesema CPA Kinande. Ameongeza kuwa PSSSF itaendelea kutumia majukwaa mbalimbali ya mikutano na maonesho kuwafikia wanachama na wadau wake ili kuongeza uelewa kuhusu masuala ya hifadhi ya jamii na huduma zinazotolewa na Mfuko.

Fri, 20 Nov 2026 08:11:11 +0000
Uncategorized · The Chronicles Rwanda

5 Tips for Success as a Business Woman

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Hippo dies after failed effort to remove swallowed hat

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Daily News

Simba’s leadership drama needs VAR!

DAR ES SALAAM: IF there were trophies for boardroom drama, Simba would need an extra cabinet. Forget their current form…

Recently
Uncategorized · Daily News

Once again, your thumb has another job this month – Vote for Elizabeth Makune

TANZANIA: THE 75th Miss Universe is set for the José Miguel Agrelot Coliseum in San Juan, Puerto Rico, on Tuesday,…

Recently
Uncategorized · The Citizen

Tanzania highlights five priority areas to end AIDS by 2030

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

TANZANIA YAIPA KIPAUMBELE MIUNDOMBINU YA KIDIJITALI KAMA NGUZO YA UKUAJI WA AFRIKA.

Na Mwandishi Wetu, WMTH – Singapore. Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Angellah Jasmine Mbelwa Kairuki (Mb), ametoa wito wa kuimarisha uwekezaji katika miundombinu ya kidijitali barani Afrika kupitia ushirikiano kati ya nchi za Afrika na Asia ili kuharakisha ukuaji wa uchumi. Wito huo umetolewa katika Mazungumzo ya Uwekezaji wa Miundombinu kati ya Afrika na Singapore (Africa-Singapore Infrastructure Investment Dialogue), yaliyofanyika Singapore na kuwakutanisha viongozi wa serikali, wawekezaji na taasisi za fedha kujadili fursa za uwekezaji katika miundombinu. Waziri Kairuki amesema teknolojia na mawasiliano ni sehemu muhimu ya miundombinu ya sekta mbalimbali, ikiwemo nishati, bandari na usafirishaji, hivyo zinapaswa kupewa kipaumbele sawa na miundombinu mingine ya maendeleo. Amesisitiza kuwa kuimarisha ubia kati ya serikali na sekta binafsi za Afrika na Asia kutasaidia kuvutia mitaji, teknolojia na utaalamu, kuongeza kasi ya ujenzi wa miundombinu na kufungua fursa mpya za kiuchumi. Kwa upande wake, Waziri wa Nchi wa Mambo ya Nje na Maendeleo ya Taifa wa Singapore, Bw. Alvin Tan, amesema nchi hiyo inalenga kuimarisha ushirikiano na Afrika katika miundombinu, nishati, usafirishaji, uchumi wa kidijitali na teknolojia za fedha. Pia, ametaja majadiliano kuhusu Mkataba wa Biashara Huria kati ya Singapore na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC). Mazungumzo hayo pia yalijadili njia bunifu za ufadhili wa miradi na kuimarisha ubia kati ya sekta ya umma na binafsi (PPP), huku Jukwaa la Biashara kati ya Afrika na Singapore likitarajiwa kufanyika Julai 2027, likitoa fursa zaidi za kukuza uwekezaji na biashara baina ya kanda hizo.

Fri, 20 Nov 2026 08:01:18 +0000
Business · Issa Michuzi

ZAINAB SHOMARI AAHIDI KUJITOA KIKAMILIFU KUINUA WANAWAKE KIUCHUMI

Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Zainab Khamis Shomari, ameahidi kutumia nafasi yake ya uongozi kutetea na kuwawezesha wanawake kiuchumi ili waweze kujikwamua kupitia shughuli binafsi na vikundi vya ujasiriamali. Ametoa ahadi hiyo Novemba 19, 2026, wakati akizungumza na wajasiriamali pamoja na wanachama wa CCM na UWT katika Wilaya ya Micheweni, Mkoa wa Kaskazini Pemba. Zainab amesema lengo la Serikali na CCM ni kuhakikisha kila mwanamke anakuwa na shughuli ya kumuingizia kipato, akisisitiza kuwa uwezeshaji wa kiuchumi haupaswi kuzingatia itikadi za kisiasa. Aidha, amempongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, kwa kuanzisha Mfuko wa Mwinyi Boost Fund unaolenga kuwawezesha wanawake kiuchumi, akieleza kuwa mfuko huo umekuwa msaada mkubwa kwa wanawake wengi visiwani Pemba.

Fri, 20 Nov 2026 08:04:57 +0000
Uncategorized · The Star Kenya

UK unveils Sh6.8bn fund to support businesses

Forge Africa will initially launch in Kenya, connecting promising firms with investors to secure long-term capital and create jobs

Recently
Uncategorized · Daily News

Standing ovation for the Lioness of Bongo flava, taarab

DAR ES SALAAM: AS Bongo Flava @30 live concerts rage on across Tanzania, Isha Mashauzi, a modern taarab songbird, rocks…

Recently
Business · Issa Michuzi

Makamu wa Rais Atembelea NMB, Aelezwa Fursa za Fedha kwa Wachimbaji

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, ametembelea banda la Benki ya NMB katika Mkutano wa Madini na Uwekezaji Tanzania 2026, ambapo ameelezwa kuhusu fursa za kifedha zinazotolewa na benki hiyo kwa wachimbaji na wadau wengine wa sekta ya madini. Katika ziara hiyo iliyofanyika kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam, Makamu wa Rais alipokelewa na Mkuu wa Idara ya Miamala wa Benki ya NMB, Linda Teggisa, aliyemweleza kuhusu masuluhisho ya kifedha yanayolenga wachimbaji wadogo, wa kati na wakubwa pamoja na biashara zinazohudumia sekta hiyo. Huduma zilizoangaziwa ni pamoja na mikopo kwa wachimbaji, huduma za miamala na malipo pamoja na masuluhisho ya kibenki ya kidijitali, yanayolenga kurahisisha shughuli za kifedha na kusaidia wadau wa sekta hiyo kuendesha na kupanua biashara zao. Ushiriki wa Benki ya NMB katika mkutano huo unaonesha dhamira ya benki hiyo ya kuendelea kusaidia upatikanaji wa mitaji na kuchochea uwekezaji katika sekta ya madini, ambayo ina nafasi muhimu katika uzalishaji, ajira na ukuaji wa uchumi wa Tanzania.

Fri, 20 Nov 2026 07:57:54 +0000
Uncategorized · DW Afrique

Audio — Info Matin 07:00 UTC (20.11.26)

To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video

Recently
Uncategorized · Daily News

Time for Pugu project to deliver Tanzania a tourism trophy

TANZANIA: AS Tanzania counts down to co-hosting the 2027 Africa Cup of Nations (AFCON) alongside Kenya and Uganda, attention should…

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Nearly 700,000 displaced by Moyale conflict in southern Ethiopia - Islamic Relief

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Kigali Today

Twari tuzi ko dutsindwa bine - Bwa mbere Emery Bayisenge akina umukino wa APR FC na Rayon Sports

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Observer Uganda

Lady Rugby Cranes ready for tough road ahead

Before Sunday, November 8, Uganda’s Lady Rugby Cranes sevens team had finished third in the previous three Africa Women’s Sevens Rugby tournaments. That was from…

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Uganda tightens Ebola measures along DRC border

The tightening of border surveillance and travel controls comes as the DRC outbreak raises the risk of further regional infections

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

China's Xi praises 'turnaround' in relationship with Australia

Read the full report from the original source.

Recently
National · HabariLeo

Serikali yaongeza kasi kuimarisha reli za mizigo

DAR ES SALAAM: SERIKALI imesema inaendelea kuimarisha miundombinu ya reli za Kisasa (SGR), reli ya Mita (MGR) na TAZARA kwa…

Recently
Uncategorized · The Citizen

Tanzania urged to strengthen digital systems against global outages risks

Read the full report from the original source.

Recently

Page 105 of 1126 · 22511 stories