Unganishwa

Search the region

22452 stories

National · HabariLeo

OSHA, Bulyanhulu wapongezwa usalama kazini

Read the full report from the original source.

Recently
National · Rwanda News Agency

L’ex patron du parti présidentiel Gasamagera choisi pour remplacer la défunte sénatrice Mukabalisa

Read the full report from the original source.

Recently
National · Citizen Digital

Anglican Church raises alarm over 'worse' economy, public services under Ruto

Read the full report from the original source.

Recently
National · Watchdog Uganda

62 SFC Officers Decorated Following Promotion to New Ranks

A total of 62 officers of the Special Forces Command (SFC) have been decorated following their promotion to new ranks in recognition of their service, commitment and professional conduct. The…

Recently
National · Watchdog Uganda

Sweden eyes Uganda energy, transport investment opportunities as Col. Nakalema assures investors of protection

The State House Investors Protection Unit (SHIPU) head, Col. Edith Nakalema, has urged Swedish investors to explore opportunities in Uganda, assuring them of government support and mechanisms designed to protect…

Recently
World · DW Rwanda

UNGA: Gaza dominates agenda as Abbas, Netanyahu speak

Read the full report from the original source.

Recently
National · Issa Michuzi

ANNA KILANGO: SAME MASHARIKI INAHITAJI BARABARA YA LAMI KISIWANI–MKOMAZI

SAME MBUNGE wa Jimbo la Same Mashariki, Anna Kilango Malecela, amesema kuwa ili jimbo hilo liweze kukuza uchumi wake, ni muhimu Serikali kukamilisha ujenzi wa barabara ya Kisiwani–Mkomazi kwa kiwango cha lami. Kilango aliyasema hayo leo katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Viwanja vya Soko la Kariakoo, Kata ya Ndungu, wilayani Same, wakati akimkaribisha Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Aggrey Mwanri. Alisema kuwa amekuwa akiwasilisha ombi la ujenzi wa barabara hiyo kwa Serikali tangu mwaka 2000, alipokuwa Mbunge wa Kuteuliwa na Rais, na kwamba juhudi hizo zimezaa matunda baada ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuipitisha barabara hiyo kujengwa kwa kiwango cha lami. “Kwa sasa mkandarasi mmoja amepewa fedha kidogo kidogo, lakini sasa amepewa Sh bilioni 1.5 na ameanza kwa nguvu kuijenga barabara hii kwa kiwango cha lami,” alisema Kilango. Aliongeza kuwa ataendelea kuisimamia kwa karibu kutokana na kuwa miongoni mwa wajumbe wa Kamati ya Miundombinu inayohusika na masuala ya ujenzi wa barabara. “Naomba niwahakikishie kuwa barabara yenu itajengwa. Imeipitishwa na Serikali, hivyo tumshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa sababu barabara hii ndiyo itakayosaidia kuleta uchumi wa Jimbo la Same Mashariki,” alisema. Aidha, Kilango alisema wananchi wa Same Mashariki wanaendelea kukiunga mkono CCM kutokana na miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa na Serikali katika jimbo hilo. Alisema jimbo hilo limepokea jumla ya Sh bilioni 54.349 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo. Kwa mujibu wa Kilango, tangu alipoanza kipindi chake cha pili cha ubunge Januari mwaka huu, jimbo hilo limepokea Sh bilioni 44.3 kwa ajili ya ujenzi wa Bwawa la Yongoma. Alisema ujenzi wa bwawa hilo utawanufaisha wananchi wa Maore, Ndungu na Kihurio kwa kuwa utawawezesha kulima mpunga, kuongeza kipato na kukuza uchumi wao. “Wananchi wa Jimbo la Same Mashariki ni wakulima wazuri, hivyo ujenzi wa bwawa hili utawanufaisha wananchi wa Maore, Ndungu na Kihurio kwa kuwa wataweza kulima mpunga na kujipatia kipato,” alisema. Alitaja baadhi ya miradi mingine iliyopatiwa fedha na Serikali ya Awamu ya Sita kuwa ni ujenzi wa Shule Mpya ya Sekondari ya Amali-Malecela, Kata ya Kihurio, uliogharimu Sh milioni 584.280; ujenzi wa Kituo cha Afya Vuje, Sh milioni 250; na upanuzi wa Kituo cha Afya Vunta, Sh milioni 629.996. Miradi mingine ni upanuzi wa miundombinu ya Kidato cha Tano katika Shule ya Sekondari Misufini-Goma, Sh milioni 389.4; uboreshaji wa Skimu ya Umwagiliaji Kata ya Ndungu, Sh bilioni 6.988; pamoja na ujenzi wa Shule Mpya ya Sekondari ya Mkapa, Kata ya Ndungu, Sh milioni 584.280. Miradi hiyo pia inahusisha fedha za kuchochea jitihada za maendeleo ya wananchi kiasi cha Sh milioni 53.490; ujenzi wa madarasa katika Shule ya Msingi Kidaru, Sh milioni 161.3; ujenzi wa madarasa katika Shule ya Msingi Msoroha, Sh milioni 187.3; ujenzi wa nyumba ya walimu yenye vyumba viwili katika Shule ya Msingi Mgandu, Sh milioni 100.841; na ujenzi wa madarasa manne pamoja na matundu tisa ya vyoo katika Shule ya Msingi Kigulunde, Sh milioni 120.378.

Thu, 24 Sep 2026 19:06:51 +0000
National · The Star Kenya

Sifuna eyes Ruto showdown as he switches to UDP These are the stories making the headlines

These are the stories making the headlines

Recently
Health · Issa Michuzi

TANZANIA YAONESHA UWEZO WAKE KIMATAIFA KUTOKOMEZA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI

Na Hassan Kimweri, WAF – New York Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. Grace Magembe, amesema Tanzania inaendelea kuchukua hatua madhubuti za kukabiliana na changamoto za magonjwa ikowemo saratani ya mlango wa kizazi kwa kuimarisha chanjo, uchunguzi wa mapema, utambuzi na matibabu ya ugonjwa huo kwa wakati. Dkt. Magembe ameyasema hayo Septemba 23, 2026 pembezoni mwa Mkutano wa 81 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA) jijini New York, Marekani katika mkutano wa ngazi ya juu wa wadau ulioandaliwa na 'Business Council for International Understanding' (BCIU) ambao umelenga kuharakisha juhudi za kutokomeza saratani ya mlango wa kizazi. "Tanzania imepiga hatua katika lengo la kwanza la mkakati wa kimataifa wa 90-70-90, ambapo zaidi ya asilimia 95 ya wasichana wamefikiwa na chanjo dhidi ya Virusi vya Human Papilloma (HPV), lakini pia kuna umuhimu wa kuongeza kasi katika uchunguzi na matibabu," amesema Dkt. Magembe Aidha, Dkt. Magembe amesema Serikali kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo inaendelea kuongeza uwekezaji na kupanua huduma za uchunguzi, hususan maeneo ya vijijini, ikiwemo kutumia mfumo wa wanawake kujichukulia sampuli za HPV DNA ili kuongeza wigo wa upatikanaji wa huduma hizo. Katika hatua nyingine, Dkt. Magembe amesema Serikali imesambaza vifaa 359 vya 'thermocoagulation' na mashine 33 za LEEP, huku wataalamu 4,032 wa afya wakipatiwa mafunzo ya uchunguzi wa saratani ya mlango wa kizazi. Pia, amesema, Serikali ya Tanzania inaendelea kujaribu matumizi ya teknolojia ya akili mnemba (AI), ikiwemo mfumo wa SEVIA, katika kuboresha huduma za uchunguzi. Mwisho, Dkt. Magembe amesisitiza umuhimu wa ushirikiano wa Serikali, sekta binafsi, wadau wa maendeleo na jamii katika kuondoa unyanyapaa na kuongeza uhitaji wa huduma, ambapo Tanzania inalenga kuhakikisha kila msichana anapata chanjo, kila mwanamke anapata uchunguzi bora na kila anayehitaji matibabu anapata huduma kwa wakati na kwa gharama nafuu kupitia mpango wa Bima ya Afya kwa wote.

Thu, 24 Sep 2026 18:57:45 +0000
World · DW Rwanda

Ethiopia's military says it killed hundreds of TPLF rebels

Read the full report from the original source.

Recently
Sports · Capital FM

Kipruto aims to go one better in Chicago as Kenya Marathon Dinner Welcomes Elite Runners to Illinois

Latest · Athletics

Recently
National · The Star Kenya

Muturi disowns fake quote attacking Sifuna Muturi says the statement circulating online was fabricated and intended to create divisions.

Muturi says the statement circulating online was fabricated and intended to create divisions.

Recently
National · The Standard

Four killed in separate incidents as police seize 48 AK-47 rounds in Kitui

Read the full report from the original source.

Recently
National · The Star Kenya

Fake news: Muturi disowns quote calling out Sifuna Muturi says the statement circulating online was fabricated and intended to create divisions.

Muturi says the statement circulating online was fabricated and intended to create divisions.

Recently
Business · Issa Michuzi

RAIS SAMIA AKIHIMIZA MATUMIZI MADOGO YA MAFUTA, JETOUR YAJA NA TEKNOLOJIA MPYA

Katika kipindi ambacho dunia inakabiliwa na changamoto za upatikanaji wa mafuta na kupanda kwa gharama za nishati, matumizi ya magari yenye teknolojia inayowezesha kupunguza utegemezi wa mafuta yanaendelea kuwa sehemu muhimu ya kukabiliana na changamoto hiyo. Tanzania nayo haiko nje ya mazingira hayo, huku Serikali chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ikiendelea kuhimiza matumizi yenye ufanisi ya nishati na kupunguza matumizi yasiyo ya lazima ya mafuta. Katika kuunga mkono jitihada hizo za Serikali na kuwapa Watanzania fursa ya kutumia usafiri unaozingatia matumizi bora ya nishati, JETOUR Tanzania imezindua JETOUR Club pamoja na kutambulisha magari mawili mapya yenye teknolojia ya plug-in hybrid, JETOUR G700 na JETOUR F700, yanayochanganya matumizi ya umeme na mafuta. Hatua hiyo inalenga kuongeza chaguo kwa Watanzania wanaohitaji magari yenye uwezo wa kusafiri katika mazingira mbalimbali huku yakitoa fursa ya kutumia umeme katika safari fupi na mafuta katika safari ndefu, tofauti na magari yanayotegemea mafuta pekee. Uzinduzi huo umefanyika chini ya kaulimbiu ya “Africa Expedition 2025”, ukiwa sehemu ya mpango wa JETOUR Tanzania, kwa kushirikiana na Africarriers Group, wa kuimarisha uwepo wa chapa hiyo katika soko la Tanzania na wakati huo huo kuunganisha teknolojia ya magari ya kizazi kipya na uzoefu mpana wa umiliki. Mkurugenzi Mtendaji wa JETOUR Tanzania, Zain Pirbhai, amesema kampuni hiyo inalenga kuwapa wateja magari yanayokidhi mahitaji ya matumizi ya kila siku, safari za masafa marefu pamoja na shughuli za nje, huku teknolojia ya plug-in hybrid ikitoa unyumbufu katika matumizi ya nishati.

Thu, 24 Sep 2026 18:24:39 +0000
National · Issa Michuzi

CCM INAENDELEA KUSHUGHULIKIA MATATIZO YA WANANCHI - RABIA

Singida, Tanzania Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Idara ya Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), Ndg. Rabia Abdalla Hamid, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitaendelea kutimiza wajibu wake wa kushughulikia changamoto na matatizo yanayowakabili wananchi kwa vitendo. Rabia amesema hayo leo, Septemba 24, 2026, alipokuwa katika ziara mkoani Singida, ambapo amepokelewa katika Ofisi za CCM Mkoa wa Singida na baadaye kutembelea Jengo la Wazazi katika Hospitali ya Mkoa wa Singida, mjini Singida. Akiwa hospitalini hapo, Rabia amejionea utekelezaji wa Ilani ya CCM, hususan katika utoaji wa huduma za afya kwa wanawake na watoto. Katika ziara hiyo, pia ametembelea vikundi vya wajasiriamali na kusikiliza changamoto mbalimbali zinazowakabili, huku akitoa maelekezo ya namna ya kuzitatua. Aidha, amekutana na kusikiliza maoni na changamoto za makundi mbalimbali ya kijamii, yakiwemo viongozi wa dini, wazee, machifu, wakulima, wafugaji, wafanyabiashara, mafundi gereji, mafundi ujenzi, wanamichezo, wanafunzi wa vyuo, walimu, machinga, mawinga, mama na baba lishe, watu wenye mahitaji maalum, wajane na wagane, vyama vya ushirika pamoja na maafisa usafirishaji. Akizungumza wakati wa ziara hiyo, Rabia amesema CCM itaendelea kuwa karibu na wananchi na kuhakikisha changamoto zao zinapatiwa ufumbuzi kwa kuzingatia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2025–2030. “CCM itaendelea kutimiza wajibu wake kikamilifu wa kushughulikia changamoto pamoja na matatizo ya wananchi, kama ilivyoahidi katika Ilani yake ya 2025–2030. Hivyo, wananchi waendelee kuiamini CCM kwani ipo kazini kuhakikisha changamoto zao zinapatiwa ufumbuzi wa moja kwa moja,” amesema Rabia.

Thu, 24 Sep 2026 18:26:16 +0000
National · Citizen Digital

Two Ugandan teenagers, suspected dealer arrested in Ksh.5M Ruai bhang bust

Read the full report from the original source.

Recently
National · Citizen Digital

Sifuna to be unveiled as UDP presidential aspirant in October- Natembeya

Read the full report from the original source.

Recently
National · Citizen Digital

'Tampered IEBC servers, rejected ballots,' Moses Kuria claims how 2013 elections were rigged to favour Uhuru

Read the full report from the original source.

Recently
Entertainment · PML Daily

Police arrest prime suspect in killing of Afrigo Band’s Moses Matovu

Police have arrested a 41-year-old man they describe as the prime suspect in the killing of Afrigo Band founding member Moses Matovu, who died on Thursday after he was attacked in...

Recently

Page 1065 of 1123 · 22452 stories