Search the region
22448 stories
BioMassters Brings Cleaner, Lower-cost, No-smoke Cooking to over 1,200 Kigali households
Read the full report from the original source.
RecentlyFBI investigating claim hackers have stolen details of all its agents The hackers claim they have every agent's name, role, badge number and personal details.
The hackers claim they have every agent's name, role, badge number and personal details.
RecentlyLIVE: OpenAI and Anthropic brief Security Council amid ‘real and imminent’ threat posed by runaway AI
Read the full report from the original source.
RecentlyNotre directeur d'école était un agresseur. Nous avons uni nos forces pour obtenir justice — aujourd'hui, nous sommes mariés.
Les élèves ont passé des années à rassembler des preuves contre leur proviseur indonésien, avant de tomber amoureux.
RecentlyWATCH LIVE: CS Murkomen Presides over destruction of KSh 8.2 Billion Methamphetamine haul in Mombasa
Read the full report from the original source.
RecentlyBoda boda rider linked to lawyer Kyalo Mbobu murder arrested
Read the full report from the original source.
RecentlyJeshi la Polisi Laendelea Kushirikiana na Wananchi na Wadau Wengine Kuimarisha Ulinzi na Usalama
JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya limeendelea kushirikiana na wananchi na wadau wengine katika kuimarisha ulinzi na usalama wa maisha na mali kwa kufanya doria za kubaini na kuzuia uhalifu. Pia oparesheni na misako imeendelea kufanyika na kufanikiwa kuwakamata wahalifu wa makosa mbalimbali. PROGRAMU YA ONGEA NA KAMANDA YAZAA MATUNDA MBEYA. Septemba 23, 2026 saa 11 alfajiri, mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Tumaini John Matimba, mkazi wa Iyela One, Jijini Mbeya alitoa taarifa katika Kituo cha Polisi Iyunga kuwa Pikipiki yake ya Mizigo ya Magurudumu matatu maarufu Guta yenye namba za usajili MC 240 FVV iliyokuwa imeegeshwa katika maeneo ya Iyunga Jijini Mbeya imeibwa na mtu/watu wasiofahamika. Kufuatia taarifa hiyo, Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kupitia Askari wa Kikosi maalum cha kuzuia na kupambana na uhalifu lilianza mara moja ufuatiliaji na ilipofika saa 6:30 mchana liliweza kubaini kuwa Pikipiki hiyo [Guta] iliyoibwa maeneo ya Iyunga ipo maeneo ya Itezi Jijini Mbeya. Askari pamoja na Mhanga walifika eneo la Mtaa wa Mwasote, Kata ya Itezi, Jijini Mbeya kwenye nyumba moja na kufanikiwa kuikuta Pikipiki ya Mizigo ya magurudumu matatu maarufu Guta yenye namba za usajili MC 240 FVV iliyokuwa imefichwa ndani ya nyumba. Aidha, katika upekuzi uliofanyika katika nyumba hiyo, zilipatikana mali mbalimbali za wizi ambazo ni Pikipiki moja aina ya Kinglion yenye namba za usajili MC725 ESL rangi nyekundu, Television moja Flat Screen aina ya Alitop nchi 43, Computer moja aina ya Acer rangi nyeusi na Simu Smartphone 15 za aina mbalimbali. Mali nyingine ni Ving’amuzi viwili, Plate Number 03 za Pikipiki zenye usajili MC 691 FMN, MC 127 DHF na moja namba zake hazisomeki, Spika 2 za Redio aina ya Lg, Stendi 07 za Television, Bracket 25 za kufungia Television ukutani, Begi moja la Spanner mbalimbali pamoja na vifaa mbalimbali vya kuvunjia. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linaendelea na msako mkali wa kuwatafuta watuhumiwa wawili waliokuwepo ndani ya Nyumba hiyo ambao walikimbia muda mfupi kabla ya Askari kufika eneo la tukio. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linaendelea kutoa wito kwa baadhi ya wananchi kuacha tamaa ya kujipatia mali kwa njia zisizo halali na badala yake watafute shughuli halali kwa ajili ya kujipatia kipato halali kwani uhalifu haulipi na hauna nafasi katika jamii. Aidha, Jeshi la Polisi linatoa wito kwa wananchi kufika kituo cha Polisi Mbeya kutambua mali zao walizoibiwa. Imetolewa na: Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Mbeya.
Thu, 24 Sep 2026 16:24:52 +0000Murkomen presides over destruction of Sh8.2b meth
Read the full report from the original source.
RecentlyMinister Babalanda Honours President Museveni at Buyende Thanksgiving, Highlights Roads, Irrigation and Household Wealth
Read the full report from the original source.
RecentlyWinnie: In politics, your brother can become a sworn enemy Winnie reflected on the political lessons she learnt from her late father Raila Odinga’s career.
Winnie reflected on the political lessons she learnt from her late father Raila Odinga’s career.
RecentlyKAMATI YA BUNGE YAIPONGEZA MGODI WA BULYANHULU KWA KUWEKEZA KWENYE MIFUMO YA USALAMA WA WAFANYAKAZI MIGODINI
Na Mwandishi wetu, Bulyanhulu - Shinyanga KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii imeipongeza OSHA na Mgodi wa Bulyanhulu kwa kuwekeza kwenye mifumo ya Usalama na Afya wa wafanyakazi ili kuhakikisha wafanyakazi wanalindwa dhidi ya vihatarishi na wanapata huduma stahiki wanapopata ajali au changamoto za kiafya kazini. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Hawa Chakoma, wakati wa ziara ya kamati katika eneo la mgodi wa Bulyanhulu mkoani Shinyanga, iliyolenga kufuatilia utekelezaji wa sheria namba 297 ya mwaka 2023 inayosimamiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, kuhusu Usalama na Afya mahali pa kazi. Mhe. Chakoma amesema kamati hiyo imefanya ziara hiyo ili kutathmini namna wafanyakazi wanavyolindwa dhidi ya vihatarishi vinavyotokana na shughuli za uchimbaji wa madini, pamoja na namna mifumo ya kuwasaidia wafanyakazi dhidi ya vihatarishi vinavyoweza kudhibiti ajali au magonjwa wakiwa kazini. “Tunataka kuona ni kwa namna gani wenzetu wa mgodi wanajaribu kuondoa vihatarishi kwa wafanyakazi, au kuwahudumia wanaopata changamoto hizo wakiwa mahali pa kazi,” amesema Bi. Chakoma. Kwa upande wake, Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Dkt. Evaline Wilbard Munisi, amesema kuwa Serikali kupitia OSHA imeendelea kufanya kaguzi na kutoa elimu ya Usalama na Afya mahali pa Kazi kwa wafanyakazi. Naibu waziri, Dkt. Munisi amesema katika mwaka wa fedha 2025/2026, jumla ya kaguzi 871 zilifanyika mkoani Shinyanga, huku wafanyakazi 7,969 wakifanyiwa vipimo vya afya mkoani humo. Aidha, Naibu waziri amesema kuwa waajiri 102 walikidhi matakwa ya sheria ya Usalama na Afya na kupatiwa vyeti vya ithibati, huku waajiri wengine wakipewa maelekezo ya kufanya maboresho katika maeneo yaliyobainika kuwa na changamoto. Katika eneo la mafunzo, Dkt. Munisi amesema jumla ya wafanyakazi 931 walipatiwa mafunzo kuhusu usalama na afya mahali pa kazi. Kwa upande wake, Mtendaji Mkuu wa OSHA, Bi. Khadija Mwenda, kuwa amesema kuwa OSHA inaendelea kusimamia usalama na afya mahali pa kazi kwa kuhakikisha waajiri wanaweka mifumo inayolinda usalama na afya za wafanyakazi huku ikiweka mkazo katika elimu na uhamasishaji ili waajiri waweze kutekeleza wajibu wao kwa uelewa. Ziara hiyo ni sehemu ya utekelezaji wa majukumu ya Kamati ya Bunge na kufuatilia utekelezaji wa sheria pamoja na maelekezo yaliyowahi kutolewa kuhusu uboreshaji wa usalama na afya mahali pa kazi.
Thu, 24 Sep 2026 16:12:52 +0000How Ndayishimiye Betrayed EAC, And The African Union
Read the full report from the original source.
RecentlyKenyan banks’ assets in DRC cross Sh1tn
Banks · 6 hours ago
RecentlyTwo more suspects arrested over lawyer Kyalo Mbobu murder
Nicholas Lemiso Naula was arrested in Nairobis Central Business District.
Thu, 24 Sep 2026 18:24:51 +0300Nigeria, US agree to boost mining investiment
Read the full report from the original source.
RecentlySecond suspect arrested over lawyer Kyalo Mbobu murder
Read the full report from the original source.
RecentlyUNGA: Abbas calls for Palestinian self-determination
Read the full report from the original source.
RecentlyInside the Mystery Surrounding Moses Matovu’s Death: New Claims Emerge, Prostitute Arrested
Read the full report from the original source.
RecentlyMotorsport: King Rama ignites Garuga, carries Moses Lumala legacy forward
At just 11 years old, Ramathan Mubiru is already showing signs that the Lumala family’s long association with motorsport could have another chapter waiting to…
RecentlyDar Ventures taps Plug and Play to expand startup programme across Africa
Read the full report from the original source.
RecentlyPage 1067 of 1123 · 22448 stories