Unganishwa

Search the region

22416 stories

Uncategorized · Daily News

Dodoma set to join expanding natural gas network

DODOMA: DODOMA is set to join Tanzania’s expanding natural gas network under a government plan to extend access to cleaner…

Recently
Uncategorized · UBC

President Museveni urges Busoga to Embrace Wealth Creation Programmes, Productive Agriculture

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · HabariLeo

Rukwa kuunganishwa Gridi ya Taifa kupitia TAZA

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

[PHOTOS] Heavy security ahead of Sh8.2bn meth destruction Top security officials are converging in the coastal city for the exercise

Top security officials are converging in the coastal city for the exercise

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

MKUYU AFRICA YAWATAKA DIASPORA KUMILIKI NYUMBA NCHINI

Kampuni ya Mkuyu Africa imewataka Watanzania wanaoishi nje ya nchi kutumia sehemu ya kipato wanachopata kupitia ajira na biashara kuwekeza nchini, hususan katika kumiliki ardhi, nyumba na majengo ya biashara kwa ajili ya maisha yao ya baadaye. Kauli hiyo imetolewa wakati wa uzinduzi wa mpango maalumu wa Miliki Ardhi Diaspora, uliozinduliwa katika Maonesho ya Kimataifa ya Vifaa vya Ujenzi (BUILDEXPO) 2026, jijini Dar es Salaam. Mpango huo unalenga kuwawezesha Watanzania wanaoishi ughaibuni kushiriki katika fursa za umiliki wa mali nchini, huku wakiwa bado wanafanya kazi na kutafuta kipato nje ya Tanzania. Akizungumza katika hafla hiyo, Mkurugenzi Mtendaji wa Mkuyu Africa, Juneid Othman, alisema mpango huo umeandaliwa kwa lengo la kuwasaidia Watanzania wa diaspora kuanza kujenga msingi wa maisha yao ya baadaye mapema. “Kwa sasa una nguvu ya kutafuta, lakini baada ya miaka kadhaa utatamani kurudi nyumbani Tanzania. Ndiyo maana tunataka kuwasaidia kuanza kumiliki mali mapema,” alisema Othman. Alisema Watanzania wanaoishi nje ya nchi wanaweza kutumia fursa mbalimbali zilizopo nchini kuwekeza katika mali isiyohamishika kulingana na uwezo wao na mipango yao ya kifedha. Kwa upande wake, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Leonard Akwilapo, aliwataka wawekezaji nchini kuongeza uwekezaji katika uanzishaji wa viwanda, hususan viwanda vinavyozalisha vifaa vya ujenzi. Alisema uwekezaji huo ni muhimu katika kuongeza uwezo wa Tanzania kutekeleza miradi mikubwa ya maendeleo na kupunguza utegemezi wa bidhaa kutoka nje ya nchi. Dkt. Akwilapo pia aliwataka Watanzania wanaoishi nje ya nchi kutumia fursa zilizopo kuwekeza nchini na kuunga mkono bidhaa zinazozalishwa ndani ya nchi. Kwa mujibu wa Waziri huyo, mazingira ya uwekezaji nchini yanaendelea kutoa fursa katika sekta mbalimbali, ikiwemo uzalishaji wa vifaa vya ujenzi ambavyo ni muhimu katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Kupitia mpango wa Miliki Ardhi Diaspora, Mtanzania anayeishi nje ya nchi anaweza kuanza mchakato wa kumiliki nyumba, ardhi au mali nyingine nchini akiwa bado ughaibuni. Baadhi ya miradi pia ina utaratibu wa malipo kwa awamu kulingana na masharti yaliyowekwa. Akizungumza katika maonyesho hayo, Salim Abubakar alisema hapo awali baadhi ya Watanzania wanaoishi nje ya nchi walikumbana na changamoto baada ya kuwatuma ndugu zao fedha kwa ajili ya kujenga nyumba, kununua viwanja au kuanzisha biashara. Alisema baadhi yao waliporejea nchini baada ya muda walikuta mipango ya uwekezaji waliyoiacha mikononi mwa ndugu zao haijatekelezwa, hali iliyosababisha migogoro na kutokuaminiana ndani ya familia. “Watu wengi waliokuwa nje ya nchi walikuwa wakiwatumia ndugu zao fedha kwa ajili ya kujenga nyumba, kununua viwanja au kuwekeza katika biashara. Lakini baadhi yao waliporudi walikuta hakuna nyumba, hakuna kiwanja wala uwekezaji waliokusudia, jambo lililosababisha watu kugombana ndani ya familia,” alisema. Abubakar alisema uwepo wa mipango inayowawezesha Watanzania wa diaspora kufuatilia na kusimamia uwekezaji wao nchini unaweza kuwasaidia kupanga na kusimamia umiliki wa mali kwa utaratibu unaoeleweka. Mkuyu Africa imeeleza kuwa mpango wa Miliki Ardhi Diaspora unalenga kujenga daraja kati ya Watanzania wanaoishi nje ya nchi na fursa za umiliki wa mali nchini, huku ukiwahimiza kuanza maandalizi ya maisha yao ya baadaye mapema badala ya kusubiri hadi watakaporejea Tanzania. Hata hivyo, wataalamu wa uwekezaji wanashauri wanunuzi kufanya uhakiki wa nyaraka za umiliki, mikataba, eneo la mradi, masharti ya malipo pamoja na gharama nyingine kabla ya kufanya uamuzi wa kununua mali. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Leonard Akwilapo, akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Mkuyu Africa, Juneid Othman, mara baada ya uzinduzi wa mpango wa Miliki Ardhi Diaspora wakati wa Maonesho ya Kimataifa ya Vifaa vya Ujenzi (BUILDEXPO) 2026 yanayofanyika jijini Dar es Salaam.

Thu, 24 Sep 2026 06:50:09 +0000
Uncategorized · SoftPower News

Afrigo Band Founder Moses Matovu Passes Away

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Siaya: Kogoye fishermen reap over one tonne after voluntary breeding ban

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Ruto renews push for fair global finance Ruto also challenged the UN Security Council to act proactively to prevent wars

Ruto also challenged the UN Security Council to act proactively to prevent wars

Recently
Uncategorized · Daily News

Bridging transport, logistics gaps could unlock tourism growth ahead of AFCON – EAC CEOs say

ARUSHA: EAST Africa could unlock a larger regional tourism market by making travel between neighbouring countries faster, cheaper and more…

Recently
Uncategorized · HabariLeo

JNIA, KIA zang’ara tuzo za ACI AFRICA Nigeria

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Daily News

Tanzania seeks bigger Saudi trade opportunities

DAR ES SALAAM: TANZANIA is seeking to narrow a 564 million US dollar (about 1.49tri/-) trade gap with Saudi Arabia,…

Recently
Uncategorized · Daily News

Singida scales up battle against human trafficking

SINGIDA: SINGIDA Region has launched a 12-month action plan aimed at strengthening the fight against human trafficking by improving victim…

Recently
Uncategorized · SoftPower News

Young Leaders Urged to Turn Electoral Mandates into Ethical Public Service

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Daily News

Tanga refinery shifts into implementation

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Daily News

Dr Tulia: Tanzania is ready for IPU’s 153rd Assembly

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

MASHINDANO YA RHINO CUP, NGORONGORO YAIFUNDISHA ADABU KAKESIO

Mashindano ya Kombe la Faru yameanza kwa kishindo kwa kata ya Ngorongoro kuitandika kata ya Kakesio magoli 6-0 katika mchezo uliopita kwenye viwanja vya shule ya msingi Makao wilayani Ngorongoro. Katika mtanange huo timu ya kata ya Ngorongoro ilionesha mchezo wa viwango vya kimataifa huku ikihakikisha inafika katika lango la kata ya Kakesio kila baada ya dakika tano. Timu ya kata ya Ngorongoro iliweza kupata magoli katika kipindi cha kwanza na cha pili ambapo mchezo huo ulichagizwa na ushangiliaji mkubwa kutoka kwa mashabiki wa kata ya Ngorongoro. Mashindano hayo yanafadhiliwa na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro ambapo mshindi pamoja na mambo mengine atapata nafasi ya kushuhudia dabi ya Simba na Yanga.

Thu, 24 Sep 2026 06:37:01 +0000
Uncategorized · The Star Kenya

Oburu: Uhuru owes Kenyans answers on 2022 polls Oburu questioned why Uhuru had raised the issue four years later

Oburu questioned why Uhuru had raised the issue four years later

Recently
Uncategorized · Capital FM

Bentley unveils its first fully electric car

World · Quick read

Recently
Uncategorized · Capital FM

Harvey Weinstein sentenced to 15 years in prison for sexual assault

World · 4 hours ago

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Oburu: Uhuru owes Kenyans answers over 2022 polls Oburu questioned why Uhuru had raised the issue four years later

Oburu questioned why Uhuru had raised the issue four years later

Recently

Page 1080 of 1121 · 22416 stories