Search the region
22564 stories
Omollo: Kenya has met over 90% of anti-money laundering rules
The PS said the progress demonstrated the government's commitment to align the country's financial systems with international standards
RecentlyTanzania Breweries PLC na Tanzania Red Cross Society waimarisha uhamasishaji wa usalama barabarani
Read the full report from the original source.
RecentlyKRA urges farmers supplying factories to adopt eTIMS reverse invoicing
Latest · Economy
RecentlyWomen building livelihoods and new possibilities in Zigoti
When 26-year-old Cissy Nafula left Busia and moved to Zigoti in Mityana District, she arrived with a simple goal: find a way to provide for…
RecentlyGovt warns against using children to solicit donations in online fundraisers
Read the full report from the original source.
RecentlyTreasury sets 2027/28 budget projection at Ksh.5.2 trillion
Read the full report from the original source.
RecentlyUamuzi mgumu FAR Rabat ishu ya Okello, Yanga wamo
Soma zaidi hapa
RecentlyKinyang'anyiro Simba, vigogo watinga TFF
Read the full report from the original source.
RecentlyDNA establishes Njage as Saitoti's son, court told
The development comes amid a succession dispute over Saitoti's estate, valued at approximately Sh84.5 million, with Njage seeking recognition
RecentlyMwanza youth begin harvesting fish under BBT programme
MWANZA: Young fish farmers in Nyegezi, Mwanza, have begun harvesting fish following seven months of implementation of the Building a Better…
RecentlyNBC Yazindua Kampeni ya ‘Tabasamu Tukupe Mashavu’ Kuhamasisha Matumizi ya Malipo ya Kidijitali Msimu wa Sikukuu za Mwisho wa Mwaka
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua msimu wa kampeni ya ‘Tabasamu Tukupe Mashavu’, inayolenga kuhamasisha matumizi ya huduma za malipo ya kidijitali na kupunguza utegemezi wa fedha taslimu katika shughuli za kila siku, hususan kipindi cha sikukuu za mwisho wa mwaka, sambamba na kuunga mkono juhudi za kukuza uchumi wa kidijitali nchini. Kampeni hiyo itadumu kwa miezi mitatu, kuanzia Novemba 17, 2026 hadi Februari 16, 2027, ikiwa na lengo la kuongeza matumizi ya malipo ya kidijitali miongoni mwa wananchi na wafanyabiashara, huku ikiendeleza upatikanaji wa huduma za kifedha zilizo rahisi, salama na zenye ufanisi. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo jijini Dar es Salaam leo, Meneja Masoko Mwandamizi wa NBC, Alina Kimaryo, alisema kampeni hiyo inalenga kurahisisha malipo na miamala ya kifedha, hususan katika kipindi cha sikukuu ambacho shughuli za manunuzi na matumizi huongezeka. “Tunalenga kuwasaidia wateja wetu waweze kufanya malipo, manunuzi na shughuli mbalimbali za kifedha kwa urahisi na usalama, wakati wowote. Kupitia kampeni hii, tunahamasisha matumizi ya huduma za kidijitali huku tukiwapa wateja nafasi ya kunufaika na zawadi wanapofanya miamala yao ya kawaida,” alisema Kimaryo. Alisema huduma zinazostahili kushiriki ni pamoja na matumizi ya kadi za NBC kwenye mashine za POS na malipo ya mtandaoni, NBC Kiganjani, Lipa Kiganjani kupitia Lipa Namba, pamoja na miamala kupitia mawakala na ATM za NBC. Akizungumzia zawadi zinazohusishwa na kampeni hiyo, Kimaryo alisema kutakuwa na droo za kila wiki na kila mwezi. Miongoni mwa vipengele vyake ni ‘Shavu la 4-4-2’, ambapo wateja wanaofanya miamala minne kwa kadi ya NBC au kupitia NBC Kiganjani kila Jumanne watapata nafasi ya kushinda fedha taslimu, huku washindi wawili wakipatikana kila wiki. “Pia kuna ‘Shavu la Twiga’, linalowawezesha wateja kujishindia vocha za fedha wanapolipia bidhaa au huduma kwa kutumia kadi za NBC au Lipa Kiganjani katika maduka washirika, yakiwemo Mars Communication, Numero Uno na Happy Go yaliyopo Dar Village,” alisema. Alisema kampeni hiyo itahitimishwa kwa washindi tisa kujishindia shilingi milioni nne kila mmoja kama nyongeza ya mtaji (Capital Boost). Washindi watano watapatikana kupitia miamala ya kadi za NBC na wanne kupitia Lipa Kiganjani, huku droo zote zikisimamiwa na wawakilishi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania. Kwa upande wake, Mkuu wa Idara ya Miamala wa NBC, Mangire Kibanda, alisema kampeni hiyo pia inalenga kuwahamasisha wafanyabiashara na wananchi kutumia mifumo ya malipo ya kielektroniki ili kuongeza ufanisi na usalama wa miamala. “Tunataka kuona matumizi ya mifumo ya kidijitali yakiongezeka katika shughuli za biashara. Ndiyo maana tumewajumuisha pia wafanyabiashara wanaotumia POS za NBC, ambapo wahudumu wa malipo wa wafanyabiashara 150 watapata nafasi ya kuzawadiwa kutokana na kuongeza thamani ya miamala inayopitia mashine hizo,” alisema Kibanda. Aliongeza kuwa wananchi wanaweza kufungua akaunti za NBC kupitia programu ya NBC Kiganjani bila kulazimika kufika katika matawi ya benki, kwa kufuata taratibu za usajili na utambuzi zinazotakiwa. Naye Meneja Biashara kupitia Kadi wa NBC, Esnat Hollela, alisema matumizi ya kadi za benki yanaweza kurahisisha malipo ya huduma mbalimbali, ikiwemo manunuzi madukani, malipo ya mtandaoni na matumizi wakati wa safari ndani na nje ya nchi. “Hatupaswi kumwamulia mteja namna ya kutumia fedha zake. Tunampa uhuru wa kuchagua huduma anayotaka kutumia kulingana na mahitaji yake. Muhimu ni kwamba anapofanya miamala inayostahili kupitia huduma zetu, anapata nafasi ya kushiriki katika kampeni,” alisema Hollela. Meneja Masoko Mwandamizi wa NBC, Alina Kimaryo (Katikati) sambamba na Mkuu wa Idara ya Miamala wa NBC, Mangire Kibanda (Kulia) na Meneja Biashara kupitia Kadi wa NBC, Esnat Hollela (kushoto)wakionesha ishara maalum ya ‘Tabasamu’ ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa kampeni ya ‘Tabasamu Tukupe Mashavu’, inayolenga kuhamasisha matumizi ya huduma za malipo ya kidijitali na kupunguza utegemezi wa fedha taslimu katika shughuli za kila siku, hususan kipindi cha sikukuu za mwisho wa mwaka, sambamba na kuunga mkono juhudi za kukuza uchumi wa kidijitali nchini. Hafla ya uzinduzi wa kampeni hiyo ilifanyika leo jijini Dar es Salaam. Baadhi ya maofisa wa benki ya NBC pamoja na wateja wa benki hiyo wakionesha ishara maalum ya ‘Tabasamu’ ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa wa kampeni ya ‘Tabasamu Tukupe Mashavu’, inayolenga kuhamasisha matumizi ya huduma za malipo ya kidijitali na kupunguza utegemezi wa fedha taslimu katika shughuli za kila siku, hususan kipindi cha sikukuu za mwisho wa mwaka, sambamba na kuunga mkono juhudi za kukuza uchumi wa kidijitali nchini. Hafla ya uzinduzi wa kampeni hiyo ilifanyika leo jijini Dar es Salaam. Meneja Mawasiliano na Mahusiano ya Umma mwandamizi wa benki ya NBC, Brendansia Kileo akizungumza na wageni waalikwa wakiwemo wateja wa benki hiyo wakati wa hafla ya uzinduzi wa kampeni ya ‘Tabasamu Tukupe Mashavu’, inayolenga kuhamasisha matumizi ya huduma za malipo ya kidijitali na kupunguza utegemezi wa fedha taslimu katika shughuli za kila siku, hususan kipindi cha sikukuu za mwisho wa mwaka, sambamba na kuunga mkono juhudi za kukuza uchumi wa kidijitali nchini. Hafla ya uzinduzi wa kampeni hiyo ilifanyika leo jijini Dar es Salaam.
Wed, 18 Nov 2026 02:30:00 +0000TANZANIA ITAENDELEA KUFUNGUA MILANGO YA UWEKEZAJI SEKTA YA MADINI
●Mkakati ni kuongeza viwanda vya uchakataji na uongezaji thamani madini. ●Lengo ifikapo mwaka 2030 utafiti wa kina kufikia asilimia 50. Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itaendelea kufungua milango ya uwekezaji katika Sekta ya Madini kwa lengo la kuongeza uwekezaji katika mnyororo mzima wa thamani madini ikiwemo ujengaji wa viwanda vya kusafisha dhahabu na uongezaji thamani wa madini. Hayo yamebainishwa leo Novemba 18, 2026 na Naibu Waziri wa Madini Dkt.Steven Kiruswa wakati akizungumza katika kipindi cha Kumepambazuka kinachorushwa na Radio One. Dkt.Kiruswa amesema kuwa, sekta ya madini ina wigo mpana katika nyanja za kiuchumi kuanzia uchimbaji , usafishaji, uchenjuaji, usafirishaji na uuzaji, wigo ambao unahusisha sekta mbalimbali katika uwekezaji. Akielezea kuhusu fursa zilizopo katika mkutano wa TMIC 2026, Dkt.Kiruswa ameeleza kwamba, fursa zitakazojitokeza ni pamoja na kubadilishana teknolojia ya uchimbaji, utafiti, uchenjuaji na uongezaji thamani madini. Aidha, kwa upande wa vijana waliopo katika mnyororo mzima wa thamani madini watapata fursa ya kuongeza maarifa na kubadilishana uzoefu katika upatikanaji wa mikopo na kuongeza mtandao wa mawasiliano kwenye nyanja ya uwekezaji. Kwa upande wa utafiti wa madini , Dkt.Kiruswa amesema makakati wa serikali ni kugundua maeneo mapya yenye rasilimali madini ili kufikia asilimia 50 za utafiti ifikapo mwaka 2030. Kuhusu ushirikishwaji wa watanzania katika mnyororo wa madini , Dkt.Kiruswa amebainisha kuwa watanzania wanaendelea kujihusisha kwenye sekta ya madini kila siku ambapo mpaka sasa zaidi watanzania 19,000 wanajihusisha na biashara ya madini katika maeneo mbalimbali ya nchi ambapo zaidi ya leseni 64,000 zimetolewa.
Wed, 18 Nov 2026 08:30:28 +0000Mugerwa challenges Ugandan businesses to deliver lasting impact
Companies must leave generational impact in the communities where they operate, beyond occasional corporate social responsibility (CSR), if they want a sustainable customer base and…
RecentlyGovt warns against using children to solicit donations in online fundraisers
Read the full report from the original source.
RecentlyTADB, government extend TZS 2.06 billion in loans to Mwanza youth fish farmers
MWANZA: The Tanzania Agricultural Development Bank (TADB), in partnership with the Ministry of Livestock and Fisheries, has extended loans worth…
RecentlyTANZANIA YASHIRIKI MKUTANO MKUU WA 179 WA BIE JIJINI PARIS
Tanzania imeshiriki Mkutano Mkuu wa 179 wa Shirika la Kimataifa la Maonesho (BIE), uliofanyika tarehe 17 Novemba 2026 jijini Paris, Ufaransa. Ujumbe wa Tanzania uliongozwa na Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa, Mhe. Saidi Othman Yakubu, akiambatana na Bw. Jonathan Nkwabi, Mkurugenzi wa Ukuzaji Biashara wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade). Pembezoni mwa mkutano huo, Balozi Yakubu alikutana na Bw. Alain Berger, Rais wa Mkutano Mkuu wa BIE. Aidha, alimpongeza Bi. Albina Faria de Assis Pereira Africano, aliyemaliza utumishi wake kama Mwakilishi wa Angola katika BIE, kwa kutunukiwa Medali ya Dhahabu ya BIE, heshima ya juu zaidi ya shirika hilo. Tuzo hiyo inatambua mchango wake wa zaidi ya miongo miwili, ikiwemo kuongoza ushiriki wa Angola katika maonesho tisa ya kimataifa. Ujumbe wa Tanzania ulipokea taarifa kuhusu maandalizi ya Expo 2030 Riyadh nchini Saudi Arabia, ikiwemo hatua za kuwawezesha washiriki wa kimataifa kujiandaa kwa maonesho hayo. Waandaaji wa Expo 2027 Belgrade nchini Serbia waliripoti kuwa ujenzi wa eneo la maonesho umefikia asilimia 85, huku waandaaji wa Expo 2027 Yokohama, maonesho ya kimataifa ya kilimo cha bustani nchini Japani, wakieleza maendeleo ya ujenzi wa mabanda na miundombinu kuelekea ufunguzi wa tarehe 19 Machi 2027. Taarifa hizo zinaisaidia Tanzania kutambua mapema fursa za kutumia maonesho hayo kutangaza bidhaa za nchi, kuwaunganisha wazalishaji na wanunuzi wa kimataifa, kupanua masoko ya nje na kuvutia uwekezaji.
Wed, 18 Nov 2026 08:21:50 +0000Stars yaikazia Nigeria, Zanzibar
Read the full report from the original source.
RecentlyWhat to expect as Ruto delivers fourth State of the Nation Address
President William Ruto is expected to use his fourth State of the Nation Address to defend his economic record and outline priorities as Kenya approaches the 2027 General Election.
Wed, 18 Nov 2026 10:41:44 +0300Kombo hails the outgoing Zimbabwean envoy for her excellent diplomatic service
ZIMBABWE: THE Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation, Mahmoud Thabit Kombo , has commended the outgoing Zimbabwe High…
RecentlyFumba Town crosses 1,000 units in decade-long expansion
Zanzibar: What began as a master-planned urban development on Zanzibar’s western coast 10 years ago, is steadily taking shape as a…
RecentlyPage 154 of 1129 · 22564 stories