Search the region
22621 stories
Wall Collapses on Workers at Nairobi’s Riverside Excavation Site
Latest · News
RecentlyKalonzo, Sifuna in Nyeri for Gachagua's sister's burial
Read the full report from the original source.
RecentlyKISIJU YALILIA BANDARI, NYONGO ATOA TAMKO LA UJENZI KUANZA 2027
Na Mwamvua Mwinyi, Mkuranga WANANCHI wa Kata ya Kisiju wilayani Mkuranga mkoani Pwani wameiomba Serikali kuharakisha ujenzi wa Bandari ya Kisiju, wakieleza kuwa kuchelewa kwa mradi huo kwa muda mrefu kumeendelea kuwa kero na kuwaacha katika sintofahamu kuhusu hatma yake. Wakizungumza katika mkutano wa hadhara wakati wa ziara ya siku moja ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Stanslaus Nyongo, wananchi Kajumlo Mhidini na Afishi Kimo walisema wanahitaji mradi huo utekelezwe ili kuondoa changamoto zinazowakabili na kuchochea maendeleo ya eneo hilo. Kwa upande wake, Diwani wa Kata ya Kisiju, Ally Dau, alisema bandari hiyo ina umuhimu mkubwa katika kukuza uchumi wa eneo hilo, huku akisisitiza pia umuhimu wa kupatikana kwa boti ya uokozi baharini kwa ajili ya kusaidia kukabiliana na dharura zinazotokea majini. Akijibu kilio hicho, Nyongo amewahakikishia wananchi kuwa atalibeba na kulisimamia suala hilo chini ya Serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, akitoa tamko kuwa ujenzi wa bandari hiyo unatarajiwa kuanza mwaka 2027. Alisema mradi huo utahusisha ujenzi wa gati litakalosogea zaidi ya kilomita moja ndani ya bahari kufikia eneo lenye kina kirefu cha maji, ili meli ziweze kupakia na kupakua mizigo muda wote bila kuathiriwa na maji kupwa na kujaa. Kwa upande wake, mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Rajabu Msiku, alisema utafiti wa mradi huo katika eneo la Dindini, Kisiju, umekamilika na kwa sasa wanaendelea na taratibu za manunuzi ili kumpata mkandarasi. Katika ziara hiyo pia Nyongo ameielekeza Halmashauri ya Mkuranga kuhakikisha inasimamia na kuharakisha ujenzi wa Shule ya Sekondari Mbezi Gongoni ili ikamilike kwa wakati na kuanza kupokea wanafunzi watakaojiunga na kidato cha kwanza mwaka 2027. Aidha, aliitaka Halmashauri hiyo kukamilisha taratibu za usajili wa shule hiyo mapema ili kuwezesha kuanza kwa shughuli za utoaji wa elimu mara baada ya kukamilika kwa miundombinu inayohitajika. Alisisitiza umuhimu wa Halmashauri kutenga fedha kutoka katika mapato yake ya ndani kwa ajili ya ujenzi wa mabweni, yatakayowasaidia wanafunzi wanaoishi mbali na shule hiyo kupata mazingira salama ya kujifunzia na kuepuka vishawishi vinavyoweza kuathiri maendeleo yao ya kitaaluma. Awali, akiwasilisha taarifa ya mradi huo, Mtendaji wa Kijiji cha Msufini Kidete, Beatrice Anthony Deref, alisema awamu ya kwanza ya ujenzi wa shule hiyo ulianza Juni 2024 na kukamilika Juni 2026 kwa gharama ya Sh milioni 196.2 zilizotokana na mapato ya ndani ya Halmashauri. Alisema mradi huo unalenga kuongeza nafasi za wanafunzi kujiunga na elimu ya sekondari mwaka 2027 na 2028, kuboresha mazingira ya ufundishaji na ujifunzaji pamoja na kupunguza adha ya wanafunzi wa Kata ya Mbezi ambao wamekuwa wakitembea zaidi ya kilomita tano kufuata elimu katika Shule za Sekondari Shungubweni na Kitumbo.
Sat, 14 Nov 2026 08:46:55 +0000Pigo jingine Yanga, nyota wake kufanyiwa upasuaji
Soma zaidi hapa
RecentlyL'« espion chinois » acquitté déclare à la BBC : « J'étais un bouc émissaire des services de sécurité, mais aussi naïf »
Des milliers de messages consultés par la BBC montrent comment un responsable chinois a cherché à obtenir des détails sur des questions politiques sensibles.
RecentlyCan the Museveni family negotiate Uganda out of the Museveni era?
COVER STORY | Co-authored by President Yoweri Museveni’s younger brother, Gen. Caleb Akandwanaho (Sal…
RecentlyPoem: The only word I can say
Beautiful she is, lovely, she is. And I can only smile whenever her eyes meet mine. A word I could…
RecentlyAlichokisema Wallace Karia kuhusu kuongezeka mashabiki mechi ya Simba SC Ligi ya Mabingwa
MKUTANO WA TPLB | ''Watakaocheza Uhuru, nitahangaika na ninawaahidi nitafikisha mashabiki elfu kumi na tano'' Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia amezipongeza klabu za Yanga, Simba, Azam FC na Singida Black Stars kwa kufuzu hatua ya makundi ya michuano ya kimataifa, akieleza kuwa ni fahari kwa Tanzania kuona kombe mojawapo la mashindano hayo likirejea nyumbani. Kuhusu Simba SC kutumia Uwanja wa Uhuru kwa michezo ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa masharti ya kuruhusu mashabiki 6,000 pekee, Karia amesema ataendelea kufanya jitihada kuhakikisha idadi hiyo inaongezeka, akizingatia maboresho yaliyofanywa na Serikali katika uwanja huo. Iko LIVE #AzamSports1HD ✍️ @katty_shirima Mhariri | @rajjmsangi #TPLB #BodiYaLigiKuuTanzania #TFF #AzamSports
2026-11-14T08:29:13+00:00Sifuna, Kalonzo attend Gachagua's sister's burial
Gachagua announced his sister's death on November 6, saying she had passed away in Naro Moru, Nyeri county, aged 77.
RecentlyItaly's Frattesi to miss Nations League clash with Belgium
Read the full report from the original source.
RecentlyDortmund to end arms manufacturer sponsorship amid fan pressure
Read the full report from the original source.
RecentlyFrance hold nerve to edge past South Africa in thriller
Rugby · Quick read
RecentlyAgribusiness traders urged to use transaction records to access credit
Agriculture · 4 hours ago
RecentlyRuto Renews Push for Kiambu Road, Thika Expressway Projects
News · 4 hours ago
RecentlyTwo Machete-Wielding Men Arrested in Kibra
News · 3 hours ago
RecentlyKeumbu traders count losses after fire razes their businesses
Latest · News
RecentlyTanzania orders CRDB Bank, NCMC partnership to finance, advance carbon projects
ANTALYA: TANZANIA is seeking to unlock domestic financing for carbon projects as the government moves to expand green investment and…
Recently'Igitangaro ku ruzi Mississippi' - Ingenzi zose zarokotse inyuma y'aho ubwato bwazo bugonganiye n'ubw'igitoro
Abantu bababa 130 bari mu bwato ku kivuko i New Orleans bose bashoboye gutabarwa bararokoka inyuma y'aho bugongewe n'ubwato butwara igitoro.
RecentlyOfwono Opondo Defies Muhoozi’s Seven-Day Ultimatum, Declares Apology Demand Illegal
Read the full report from the original source.
RecentlyGitega : des transformateurs en panne depuis un an, les habitants demandent des comptes à la Regideso
Read the full report from the original source.
RecentlyPage 174 of 1132 · 22621 stories