Unganishwa

Search the region

22626 stories

Uncategorized · Citizen Digital

Gachagua receives UDA defectors, insists he is best candidate to face Ruto

Read the full report from the original source.

Recently
Entertainment · Jamhuri Media

Makanisa ya Pentecostal yaanda tamasha la nyimbo za injili kuliombea taifa mkoani Ruvuma

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Iran reports three incidents of oil tankers hit by mines in Hormuz

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Daily News

Masauni commends NCMC, CRDB For carbon market partnership

ANTALYA, Turkey: MINISTER of State in the Vice-President’s Office, Engineer Hamad Masauni, has commended the National Carbon Monitoring Centre (NCMC)…

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Kwale man jailed 15 years for slashing wife over dowry dispute

The man is believed to have drawn a panga concealed around his waist and slashed her twice on the left hand as she screamed for help.

Recently
Uncategorized · BBC Rwanda

El Niño mu Burundi: Imvura nyinshi iteye impungenge mu gihe ingaruka zatanguye kwibonekeza

Mu gihe Uburundi busa n'ubutaritegura bihagije guhangana n'ingaruka za El Niño, ibimenyetso vyovyo vyamaze gutangura kwibonekeza mu bice bitandukanye vy'igihugu.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

'I may lose my mind': Frustrated travelers stuck in US flight havoc

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · SoftPower News

Ghanaian Businessman Nana Kwame Bediako Challenges $14.9m UK Court Judgment, Alleges Fraud in Ghana Property Dispute

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Chimpreports

Saleh’s Power-Sharing Initiative Merged Into Rugunda-Led National Dialogue

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Chimpreports

Police Arrest 72 Suspects in Kampala Drink-Driving Operations

Read the full report from the original source.

Recently
Business · Issa Michuzi

MARANJE KUWA KITOVU CHA UCHAKATAJI WA KOROSHO TANZANIA

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Deogratius John Ndejembi ameweka rasmi jiwe la msingi la ujenzi wa Mradi wa Kongani la Viwanda tarehe 13 Novemba 2026, katika Kijiji cha Maranje, Halmashauri ya Nanyamba mkoani Mtwara. Hafla hiyo imefanyika katika eneo la mradi unaosimamiwa na Wizara ya Kilimo kupitia Bodi ya Korosho Tanzania (CBT), ikiwa ni sehemu ya ziara ya kikazi ya Makamu wa Rais mkoani Mtwara na kukagua na kuhamasisha utekelezaji wa miradi ya maendeleo yenye manufaa kwa wananchi na Taifa kwa ujumla. Katika tukio hilo, Mhe. Ndejembi ameambatana na Waziri wa Kilimo, Mhe. Daniel Chongolo (Mb), pamoja na Viongozi wengine wa Serikali. Mradi huo wa kimkakati wa Kongani la Viwanda Maranje unalenga kujenga miundombinu ya kisasa ya viwanda vya kubangua na kuongeza thamani ya zao la Korosho hapa nchini. Mradi huo unatarajiwa kuchochea ukuaji wa uchumi wa mkoa wa Mtwara, kuongeza kipato cha wakulima na kuzalisha maelfu ya ajira kwa vijana na wananchi wa Nanyamba na maeneo ya jirani. Kupitia uzinduzi huo, Makamu wa Rais ameelekeza bomba la gesi kufikishwa katika Kongani hiyo, na pia kuagiza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuweka miundombinu mahsusi ya umeme ili kuhakikisha upatikanaji wa Nishati ya uhakika kwa shughuli za viwanda. Aidha, Makamu wa Rais amekabidhi mashine 100 za kısasa zinazotumia umeme kwa ajili ya kuwawezesha wabanguaji wadogo kuongeza ufanisi wa uzalishaji. Kila mashine ina uwezo wa kubangua kilo 700 za Korosho kwa siku, hivyo mashine zote 100 zilizokabidhiwa na Makamu wa Rais zina uwezo wa kubangua kilo 70,000 kwa siku. Hatua hiyo inatarajiwa kufungua zaidi ya ajira zaidi 4000 kwa wakazi wa Mtwara, hususan vijana. Uzinduzi wa Mradi wa Kongani la Viwanda Maranje unaashiria hatua muhimu katika juhudi za Serikali za kuongeza thamani ya mazao ya kimkakati, kuimarisha uchumi wa viwanda na kuinua ustawi wa wakulima wa Korosho nchini.

Sat, 14 Nov 2026 06:36:39 +0000
Uncategorized · BBC Afrique

Ce que nous savons du plus long arrêt au sol de l'histoire de l'aviation nationale américaine depuis le 11 septembre

Selon les autorités américaines, la perturbation a été causée par une surcharge d'équipements anciens et non par une cyberattaque ou une panne de Microsoft.

Recently
Business · Issa Michuzi

NCMC NA CRDB KUFUNGUA FURSA BIASHARA YA KABONI NCHINI

KARIBU cha Taifa cha Taifa cha Kuratibu Biashara ya Kaboni kimesaini Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano (MoU) na Benki ya CRDB Makubaliano ya Ushirikiano ya miaka mitano kwa lengo la kuendeleza, kufadhili na kukuza miradi ya biashara ya kaboni nchini. Utiaji Saini huo umefanyika leo tarehe 13 Novemba 2026, jijini Antalya Uturuki, pembezoni mwa Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP31), katika kikao cha pembezoni cha Benki ya CRDB kilichokuwa na kaulimbiu ya "Dira 2050: Financing Tanzania's Resilient, Green and Inclusive Future. Akizungumza baada ya kushuhudia utiaji Saini huo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Mhandisi. Hamad Yussuf Masauni, ameipongeza NCMC na Benki ya CRDB kwa kuanzisha ushirikiano unaolenga kukuza soko la biashara ya kaboni na kuongeza fursa za uwekezaji katika uchumi wa Kijani. Mhe. Masauni ameipongeza Benki ya CRDB kwa kuunga mkono juhudi za serikali katika kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi ambapo amesisitiza makubaliano hayo yanaimarisha ushirikiano wa serikali na sekta binafsi katika kuimarisha soko la biashara ya kaboni nchini. Akiongea awali, Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Dkt. Richard Muyungi amefafanua kuwa ushirikiano huo utawezesha utekelezaji wa Dira ya 20250 ambapo sekta ya biashara ya kaboni inaweza kuwa miongoni mwa nyenzo za kuvutia uwekezaji na kuchochea shughuli za uzalishaji. Kwa upande wake, Mkurugenzi Mtendaji wa NCMC, Bi. Ngenda Kathryn Kigaraba, amesema hatua ya ushirikiano huo katika maendeleo ya soko la Biashara ya kaboni nchini utawezesha miradi ya kaboni kupata mitaji kutoka ndani ya nchi. Naye Afsa Mtendaji Mkuu wa Benki ya CRDB Dkt. Abdulmajid Mussa Nsekela ameeleza kuwa ushirikiano huo utafungua fursa za uwekezaji, kuvutia mitaji na kuwezesha miradi ya kaboni yenye manufaaa kwa uchumi na jamii.

Sat, 14 Nov 2026 06:30:18 +0000
Sports · Mwanaspoti

Siri ya nguo nyeusi za Barker

Soma zaidi hapa

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Siaya: Man dies during domestic brawl with brother

Police officers who rushed to the scene found his lifeless body lying on a feeder road adjacent to the suspect's home.

Recently
Uncategorized · SoftPower News

When House Music Found its Way Home

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Capital FM

30,000 Mfangano residents face transport crisis as Senate pushes for second ferry

Latest · News

Recently
Uncategorized · BBC Rwanda

Amajwi, Imvo n'imvano ku rwego rw'uburezi rwugarijwe n'ikibazo cy'abana batarasubira ku mashuri mu Rwanda , Umwanya bimara 59,00

Intara y'uburengerazuba ni yo igaragaza imibare myinshi y'abarenga ibihumbi 17 batarasubira ku ishuri, mu gihe mu gihugu cyose hari abasaga ibihumbi 19.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Silva says Portugal ready for spotlight without Ronaldo

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Iwacu

Présidentielle de 2027 : dépôt de dossiers de candidature

Le candidat du Cndd-Fdd, Evariste Ndayishimiye, a déposé son dossier pour l’élection présidentielle du 3 mai 2027 à la CENI, ce vendredi 13 novembre. Dans son message, le Président Ndayishimiye a insisté sur le pas franchi par la démocratie au Burundi, ce qui justifie d’ailleurs le dépôt de sa candidature dans un climat apaisé.

Fri, 13 Nov 2026 15:07:40 +0000

Page 177 of 1132 · 22626 stories