Search the region
22662 stories
Taifa Stars | Simon Msuva afunguka kikosi hicho kilivyojiandaa kuondoka na ushindi dhidi ya Nigeria.
Azam TV
2026-11-13T05:47:16+00:00NYAVUNI | 12/11/2026 | Magoli 10 bora na 'saves' kali Ligi Kuu ya NBC 2026/2027
Mkali wetu wa wiki ni Ramadhan Chalamanda golikipa wa JKT Tanzania.
2026-11-13T06:13:20+00:00Audio — Info Matin 7h TU (13.11.26)
To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video
RecentlyCe qui s'est passé à Balato (région de Siguiri en Guinée)
Read the full report from the original source.
RecentlyMicrosoft Outage Reaches 74 Countries, Disrupting Outlook, Teams, and Copilot
Read the full report from the original source.
RecentlyKalonzo takes Ruto fight to US Congress ahead of 2027
News · 6 hours ago
RecentlyEx-Nvidia CEO Jensen Huang summoned to testify before Congress about affair with alleged Chinese spy
Latest · News
RecentlyCall for domestic funding ahead of 2028 secondary school enrolment surge
Read the full report from the original source.
RecentlyNairobi: Police arrest suspect, recover loaded homemade pistol
Read the full report from the original source.
RecentlyPolice seize 2,060 litres of illicit brew in Kahawa West
Read the full report from the original source.
RecentlyTurning UHI coverage into access to quality healthcare
DAR ES SALAAM: ACHIEVING universal health coverage is increasingly central to the ambition of building a healthy population capable of…
RecentlyNRM Denies Rejecting Muhoozi as Museveni’s Successor
Read the full report from the original source.
RecentlyRuaka traders count losses as Joyland power outage persists for a week
Latest · Counties
RecentlyEarly prevention action crucial to shielding communities from malaria
TANZANIA: TANZANIA is intensifying malaria prevention as the 2026/2027 rainy season gets under way, with health authorities strengthening mosquito control,…
RecentlyLettre ouverte à Patrick Sangwa, avant Ndola et avant Intwari
Monsieur le sélectionneur, Permettez qu'on vous écrive comme on écrit à un frère choyé, non comme on écrit à un entraîneur. Car ce que vous portez, depuis que vous avez accepté ce banc n'est pas un poste. C'est un fardeau de tendresse, un manteau cousu à la main avec les espoirs, les prières et les insomnies de tout un peuple. Dieu merci, vous ne le portez pas seul. Vous le portez avec les vôtres, avec ce staff technique qui marche à vos côtés, dans l'ombre et dans la lumière, sans jamais réclamer la gloire pour lui-même, sans jamais demander qu'on retienne son nom. Vous formez un bloc soudé qui, pourtant, travaille sans bourse délier dans un monde où le mercantilisme sort des griffes acérées.
Fri, 13 Nov 2026 07:39:31 +0000SERIKALI TABORA YAKEMEA AJIRA ZA WATOTO, WAHAMIAJI HARAMU, WAIPONGEZA ALLIANCE ONE
Na Mwandishi Wetu, Tabora SERIKALI Mkoani Tabora imewataka wadau na viongozi wa vyama vya msingi vya ushirika wa tumbaku kukomesha vitendo vya utumikishwaji watoto mashambani, huku ikionya dhidi ya matumizi ya wafanyakazi wa kigeni bila kufuata taratibu za kisheria. Maagizo hayo yametolewa na Wakuu wa Wilaya za Sikonge na Kaliua katika kikao cha wadau wa zao la tumbaku kilichoandaliwa na Kampuni ya Ununuzi na Uchakataji ya Alliance One, kilicholenga kuboresha maendeleo ya mkulima na kuimarisha utaratibu wa uzalishaji. Kikao hicho kiliwakutanisha viongozi mbalimbali wa wilaya hizo mbili pamoja na wadau mbalimbali, wakiwemo Makatibu Tawala wa Wilaya, Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya,maafisa wa uhamiaji, wataalamu wa maendeleo ya jamii, Maafisa Watendaji wa Vijiji, Maafisa Watendaji wa Kata, pamoja na wawakilishi wa wakulima. Akizungumza katika kikao hicho, Mkuu wa Wilaya ya Kaliua, Dk. Gerald Mongella, amekemea vikali ajira za utotoni na kuonya kuwa hatua kali za kisheria, ikiwemo kufunguliwa mashtaka ya uhujumu uchumi, zitachukuliwa dhidi ya yeyote atakayebainika kukiuka maagizo hayo. Dk. Mongella amesema serikali haitavumilia kuona haki za watoto zinaminywa kupitia ajira hizo, jambo linaloweza kuathiri vibaya soko la kimataifa la tumbaku inayozalishwa nchini. Kwa upande wake, Mkuu wa Wilaya ya Sikonge, Michael Semindu, amewasihi viongozi wa wakulima kuhakikisha wanatumia njia halali wanapoleta wafanyakazi wa mashamba ya tumbaku kutoka nchi za jirani ili kuepuka migogoro na changamoto za kisheria. “Hili la wahamiaji haramu likomeshwe na pale mnapohitaji kuwa na wafanyakazi wa namna hiyo, bora muwaendee Maafisa wa Uhamiaji watoe elimu ya kina kuhusu namna ya kuwaleta nchini kwa ajili ya kazi za misimu nchini,” amesisitiza Mhe. Semindu. Msimamo huo umeungwa mkono na Idara ya Uhamiaji kupitia wilaya ya Kaliua, Rogatian Chuwa aliyeongea kwa niaba ya wenzake. Aliwataka waajiri kuwaombea vibali vya kazi wafanyakazi wa kigeni pamoja na kuwapa mikataba ili kuepuka makosa yanayoweza kufananishwa na kazi za kulazimishwa. Naye Meneja na Msemaji wa Kampuni ya Alliance One, Wakili John Magoti, amewataka viongozi wa vyama vya msingi (AMCOS) kuwakumbusha wakulima kuacha kabisa kutumikisha watoto chini ya umri wa miaka 18 na badala yake kuwapa kazi nyepesi zisizozidi masaa sita kwa siku endapo hawapo shuleni. “Watoto wasitumikishwe mashambani. Haki za binadamu na mikataba ya Umoja wa Mataifa inakataza jambo hili. Kampuni yetu imeweka mifumo thabiti kupitia sera ya ALP (Agricultural Labour Practices) kuzuia ajira za watoto na kuweka namba maalum za kuripoti matukio hayo,” amesema Wakili Magoti. Pamoja na usimamizi wa sheria, Alliance One imepongezwa kwa mchango wake mkubwa wa kiuchumi mkoani humo. Wakili Magoti ameeleza kuwa mwaka huu kampuni hiyo imelipa shilingi bilioni 1.1 kama ushuru kwa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua, pamoja na kulipa Dola za Marekani milioni 13 kama ushuru kwa AMCOS. Wakiongea katika kikao hicho maafisa wengine mbalimbali walitoa ushauri kuhusu ajira za watoto na wafanyakazi wa kigeni. Ofisa Maendeleo na Ustawi wa Jamii wilaya ya Kaliua, Magdalena Kanje amesema wamekubaliana kuendelea kutoa elimu kwa jamii na kuhamasisha miradi endelevu kama VICOBA ili kutokomeza ajira za watoto na kuinua kipato cha wakulima wa tumbaku. Meneja Uhusiano na Msemaji wa Kampuni ya Tumbaku ya Alliance One Wakili John Magoti (Katikati) akiwasilisha mada kwenye mkutano wa wadau wa tumbaku wa wilaya za Sikonge na Kaliua uliofanyika mkoani Tabora.Kulia ni Mkuu wa Wialaya ya Sikonge Bw.Michael Semindu, kushoto ni Afisa Tawala wa wilaya hiyo Bw.Andrea Ng'hwani. Mkuu wa Mkoa wa Wilaya ya Sikonge Michael Semindu, akitoa hotuba ya ufunguzi katika kikao cha wadau wa tumbaku kwa wilaya za Sikonge na Kaliua, kilichofanyika mwishoni mwa wiki, huku Meneja Mahusiano kwa Umma na Msemaji wa Kampuni ya Alliance One Wakili John Magoti(kushoto) akifuatilia kwa makini. Katibu Tawala wa Wilaya ya Sikonge, Andrea Ng'hwani akifafanua jambo katika kikao cha wadau wa tumbaku kwa wilaya za Sikonge na Kaliua kilichoandaliwa na Kampuni ya Tumbaku ya Alliance One.Kulia ni Meneja Uhusiano na Msemaji wa Kampuni hiyo, Wakili John Magoti.
Fri, 13 Nov 2026 07:37:05 +0000Tanzania targets 35 percent clean cooking access by year-end as adoption rises
Read the full report from the original source.
RecentlyMAAIF trains Enumerators for Climate-Smart Agriculture Survey in Refugee Settlements
Read the full report from the original source.
RecentlyAfrica Miss Universe beauty queens in limbo as US visa restrictions bite
Nineteen countries face partial US travel restrictions introduced under Presidential Proclamation 10998, which took effect on 1 January 2026.
RecentlyUganda and Rwanda Strengthen Cross-Border Cooperation in Public Health Emergency Preparedness
Read the full report from the original source.
RecentlyPage 199 of 1134 · 22662 stories