Search the region
22668 stories
Iringa mourns 23 victims of deadly road crash
IRINGA: GRIEF has engulfed Kiponzelo Division in Iringa Region following a devastating road accident that claimed 23 lives, with the…
RecentlyAs banks in Tanzania grow richer, are customers getting a fair deal?
Read the full report from the original source.
RecentlyMicrosoft says attempts to fix global outage not going 'as expected'
Microsoft says the outage is not caused by a cyber-security incident.
RecentlyPM calls for sustainable education financing
Read the full report from the original source.
RecentlyTanzania’s banks grow richer, but are customers getting a fair deal?
Read the full report from the original source.
RecentlyTZ leads clean cooking drive
Read the full report from the original source.
RecentlyDar, Ankara in final talks on 740.2bn/- SGR funding
Read the full report from the original source.
RecentlyMWIGULU AWATAKA WANAMICHEZO KUWA KIOO CHA MAADILI NA MALEZI BORA
Na Farida Mangube Morogoro Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amewataka wanamichezo nchini kutumia nafasi zao kuwa sauti ya jamii katika kupinga vitendo vya mmomonyoko wa maadili na kuwa mfano wa malezi bora, akisisitiza kuwa wanapaswa kushiriki kikamilifu katika kujenga jamii yenye nidhamu na misingi imara ya kimaadili. Dkt. Nchemba amesema hayo Novemba 12, 2026, mjini Morogoro wakati akifungua rasmi mashindano ya Shirikisho la Michezo ya Mashirika ya Umma, Taasisi na Makampuni Binafsi Tanzania (SHIMUTA), akieleza kuwa vitendo vinavyodhoofisha maadili havipaswi kufumbiwa macho kwa kuwa vinaathiri ustawi wa nguvu kazi na maendeleo ya Taifa. Amesema wanamichezo wana wajibu wa kuwa kioo cha jamii kwa kuonesha mwenendo unaozingatia maadili, huku akiwataka kuimarisha nidhamu ndani na nje ya viwanja vya michezo na kutambua kuwa kushinda na kushindwa ni sehemu ya ushindani wa kimichezo. Kwa upande wake, Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma, amewahimiza Watanzania kushiriki kikamilifu katika maandalizi ya michuano ya AFCON, akieleza kuwa tukio hilo kubwa la kimataifa ni fursa muhimu kwa nchi kuimarisha miundombinu, kuitangaza Tanzania na kukuza mshikamano wa kitaifa. Amesisitiza umuhimu wa kujenga hamasa, umoja, uzalendo na mshikamano miongoni mwa wananchi ili kuhakikisha Taifa linakuwa sehemu ya mafanikio ya kihistoria ya michuano hiyo. Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Queen Sendiga, amesema mashindano hayo yana mchango chanya katika kukuza uchumi wa wananchi wa mkoa huo kupitia shughuli mbalimbali za kibiashara zinazochochewa na ujio wa washiriki na wageni wanaohudhuria mashindano hayo. Naye Mwenyekiti wa SHIMUTA, Marcel Bituro,amesema mashindano ya SHIMUTA mwaka huu yamewakutanisha washiriki 4,500 kutoka taasisi 96, watakaoshindana katika michezo mbalimbali.
Thu, 12 Nov 2026 20:30:00 +0000Microsoft says attempts to fix global outage not going ‘as expected’
Latest · Technology
RecentlyGovt stands firm on judicial independence
TANZANIA: TANZANIA has called on its international partners to respect the independence of the judiciary and the country’s legal processes…
RecentlyWADHIBITI UBORA WATAKIWA KUSIMAMIA USALAMA NA USTAWI WA WANAFUNZI
Na Mwandishi Wetu, Mwanza Wathibiti ubora wa shule nchini wametakiwa kutumia maarifa waliyoyapata katika mafunzo ya Shule Salama kuhakikisha mazingira ya shule yanakuwa salama na rafiki kwa wanafunzi, hususan katika masuala ya afya, lishe na ustawi wao. Wito huo umetolewa na Mkurugenzi Msaidizi wa Rasilimali Watu kutoka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Grace Mbilinyi, wakati wa kufunga mafunzo ya siku nne kwa maafisa hao yaliyofanyika katika Chuo cha Ualimu Butimba jijini Mwanza. Mbilinyi amesema wathibiti ubora wana jukumu muhimu la kubaini changamoto zinazoweza kuhatarisha usalama na maendeleo ya wanafunzi, kuzitafutia ufumbuzi kwa wakati na kusimamia utekelezaji wa maelekezo ya Serikali kuhusu usalama wa watoto shuleni. Amesisitiza umuhimu wa kufuatwa kwa kalenda za shule na maelekezo rasmi ya Serikali, ikiwemo yale yanayotolewa kutokana na tahadhari za hali ya hewa. Kwa upande wake, Mratibu wa Mafunzo katika Kituo cha Mwanza, Majaliwa Mkalawa, amesema mafunzo hayo yamewafikia maafisa 703 kati ya 722 waliolengwa kutoka mikoa 13, wakiwemo wanaume 438 na wanawake 265. Amesema mafunzo hayo yaliandaliwa na Wizara ya Elimu kupitia Mradi wa Kuimarisha Ubora wa Elimu ya Sekondari (SEQUIP), kwa lengo la kuongeza uwezo wa maafisa kufanya tathmini za shule na kutoa ushauri wa kuboresha mazingira ya utoaji elimu. Naye Mkuu wa Chuo cha Ualimu Butimba, Nicholaus Magige, amewataka wathibiti ubora kutekeleza majukumu yao kwa weledi na kutenganisha mahusiano binafsi na wajibu wa kikazi. Mafunzo hayo ni sehemu ya juhudi za Serikali kuimarisha usimamizi wa ubora wa elimu na kuhakikisha shule zinakuwa mazingira salama kwa ukuaji na maendeleo ya wanafunzi.
Fri, 13 Nov 2026 06:45:49 +0000VP orders crackdown on land dispute inciters
Read the full report from the original source.
RecentlyCHIMP SPORT: Nampiina Half-Century Powers Uganda Into Victoria Series Final
Read the full report from the original source.
RecentlyCHIMP SPORT: Vipers Cruise Past Kigezi HomeBoyz
Read the full report from the original source.
RecentlyCountries with highest life expectancy in 2026
Life expectancy is the statistical measure of the average number of years a person is expected to live.
RecentlyPOSTA TANZANIA YAPATA MAFUNZO YA VIWANGO VYA USALAMA AFRIKA
Shirika la Posta Tanzania (TPC) limepata mafunzo ya viwango vya usalama wa posta vya S58 na S59, yaliyoandaliwa na Umoja wa Posta Duniani (UPU) jijini N’Djamena, nchini Chad kwa malengo ya kuimarisha usalama wa huduma za posta. Mafunzo hayo yalifunguliwa Novemba 10, 2026 na kuhitimishwa tarehe 12 November, huku ukiwakutanisha wawakilishi kutoka takribani nchi 30 za Afrika, kwa lengo la kuimarisha uelewa na uwezo wa kitaalamu katika utekelezaji wa viwango vya kimataifa vya usalama na udhibiti wa mifumo ya huduma za posta. Katika mafunzo, Shirika la Posta Tanzania, linawakilishwa na Mkuu wa Kitengo Cha Mambo ya Ndani, Bw. Mathias Kipeta, pamoja na wataalamu na wadau wengine wa sekta ya posta kutoka nchi mbalimbali za Afrika. Kupitia mafunzo hayo, washiriki wanapata fursa ya kubadilishana uzoefu na kuimarisha ujuzi utakaosaidia taasisi za posta kukidhi matakwa ya kimataifa kuhusu usalama, uthibitishaji na ulinzi wa mifumo ya usafirishaji wa nyaraka na vifurushi. Aidha, mafunzo hayo yanalenga kuifanya ajenda ya usalama kuwa msingi muhimu wa kujenga imani kwa wateja, kuongeza ufanisi wa huduma na kuimarisha mifumo ya posta barani Afrika ili iendane na mahitaji ya sasa ya sekta hiyo. Ushiriki wa Posta Tanzania katika mafunzo hayo unaakisi umuhimu wa ushirikiano wa kimataifa katika kuimarisha viwango vya usalama na kuboresha huduma za posta kwa kuzingatia matakwa na viwango vinavyotambulika kimataifa.
Fri, 13 Nov 2026 06:32:46 +0000Police Continue Probe Into Disappearance of Two Marsabit Men Despite Resurfacing
Latest · News
RecentlyRAIS SAMIA AANGAZIA UPATIKANAJI RAHISI NA NAFUU WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA BARANI AFRIKA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza mjadala kuhusu Nishati Safi ya Kupikia Barani Afrika katika Mkutano wa Ngazi ya Juu uliofanyika pembezoni mwa Mkutano wa COP31, Novemba 12, 2026, katika Kituo cha Mikutano cha ANFAŞ Antalya Expo Center, nchini Uturuki.
Thu, 12 Nov 2026 15:30:00 +0000China approves first oral GLP-1 weight-loss pill
Read the full report from the original source.
RecentlyUjenzi barabara ya Kiyandaigonda – Chombe, yaleta matumaini mapya kwa wananchi Kiyandaigonda
Read the full report from the original source.
RecentlyPage 201 of 1134 · 22668 stories