Search the region
22684 stories
RC CHALAMILA: VETA SI KIMBILIO LA WALIOSHINDWA, NI TAASISI YENYE HESHIMA
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ameitaka jamii kuachana na dhana potofu kuwa Vyuo vya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) ni kwa ajili ya wanafunzi waliofeli, akisisitiza kuwa taasisi hiyo ina heshima kubwa na ni muhimu katika kujenga ujuzi na kukuza ajira nchini. Akizungumza leo, Novemba 12, 2026, katika mahafali ya 56 ya Chuo cha VETA Dar es Salaam, Chalamila amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anatambua umuhimu wa elimu ya ufundi stadi, ndiyo maana amewekeza fedha nyingi katika ujenzi wa vyuo vya VETA nchini. Amesema Tanzania ina zaidi ya vyuo 80 vya VETA, huku Dar es Salaam pekee Rais Samia akijenga vyuo vitano, kila kimoja kikigharimu Sh bilioni 1.5. Amewataka wahitimu zaidi ya 400 waliohitimu katika chuo hicho kutumia ujuzi walioupata kujiajiri, kubuni fursa na kutafuta mitaji kupitia mikopo inayotolewa na halmashauri badala ya kusubiri ajira. Aidha, ameahidi kukutana na uongozi wa VETA kujadili namna ya kutatua changamoto za upungufu wa vifaa vya kufundishia na miundombinu. Kwa upande wake, Meneja wa VETA Kanda ya Dar es Salaam, Wilhard Soko, amesema uwezeshaji wa chuo hicho kwa vifaa vya kisasa, hususan katika fani ya udereva, utaongeza uwezo wake wa kujiendesha kupitia mapato yake. Naye Mkuu wa Chuo cha VETA Dar es Salaam, Abraham Mbuguni, amesema chuo hicho kilichoanzishwa mwaka 1994 kimeendelea kutoa wahitimu wanaopata fursa za ajira na kujiajiri, licha ya kukabiliwa na changamoto za uchache na uchakavu wa magari ya mafunzo, samani, madarasa na vifaa vya kisasa.
Thu, 12 Nov 2026 16:49:58 +0000Michael Mutiga’s journey across different worlds
Read the full report from the original source.
RecentlySifuna consoles Gachagua after elder sister's death
The Nairobi senator visited the family at their Karen home, a day after other opposition leaders paid condolence visits.
Recently21 years later, accident victims receive compensation
The companys liquidator, Kamal Bhatt, on Thursday issued cheques worth more than Sh38 million to 47 verified claimants, marking the first phase of a compensation exercise.
Thu, 12 Nov 2026 19:23:22 +0300Health Ministry Mobilises Religious Leaders to Tackle Rising Disease Burden
Read the full report from the original source.
RecentlyI&M Bank Serena 63 Series Heads for Grand Finale as 141 Golfers Mark Competitive 2026 Season
Read the full report from the original source.
RecentlyArua Hospital Opens Histopathology Laboratory to Boost Early Cancer Detection in West Nile
Read the full report from the original source.
RecentlyAuditor General yet to audit El Niño, abduction compensation funds
Read the full report from the original source.
RecentlyRuto takes on Gachagua, defends Sh32,000 PAYE proposal
Ruto explained that the government intended to eliminate PAYE on an additional Sh8,000, which currently falls within the 25 per cent tax band
RecentlyConfused by sushi? Here’s what you’re eating, and crucially, how to really enjoy it
Read the full report from the original source.
RecentlyHungary eases abortion restrictions in women's rights overhaul
Read the full report from the original source.
RecentlyUBOS Launches Africa Statistics Week, Calls for More Investment in Water and Sanitation
Read the full report from the original source.
RecentlyMpimba : le journaliste Didier Ndihokubwayo gravement malade après près de deux ans de détention
Read the full report from the original source.
RecentlyMudavadi heads to Ghana for AU talks on sustainable financing
Read the full report from the original source.
RecentlyAccountants Urged to Use Research to Shape Uganda’s Economic Future
Read the full report from the original source.
RecentlyCOP31: Experts urge governments to ditch incineration for zero waste climate solutions
Read the full report from the original source.
RecentlyUmuyobozi wa Nvidia yeguye nyuma yo kwemera ko yakundanye n'umugore ukekwaho kuba intasi y'u Bushinwa
Umuyobozi ushinzwe imari muri Nvidia, Colette Kress, yahise agirwa umuyobozi mukuru w'agateganyo, mu gihe Harvey Jones wahoze ayobora Synopsys yagizwe perezida wa mbere w'inama y'ubutegetsi ya Nvidia.
RecentlyJumwa Returns to UDA After Three-Month Stint in Wiper
Latest · Politics
RecentlyRDC : les églises divisées sur la loi encadrant le référendum
Read the full report from the original source.
RecentlyMuramvya : un policier et un habitant blessés lors d’affrontements à Civugiza
Read the full report from the original source.
RecentlyPage 210 of 1135 · 22684 stories