Unganishwa

Search the region

22700 stories

Uncategorized · Capital FM

Oburu Oginga returns to Senate after weeks of illness, receives standing ovation

Latest · News

Recently
Uncategorized · Jamhuri Media

Tanzania Yaunga mkono maazimio ya SADC kukabiliana na maafa ya EL NINO

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

Maisha nje ya usukani: Bolt yazienzi familia za madereva wake

Mamia ya madereva na watoto walikusanyika jijini Dar es Salaam Jumamosi iliyopita kwa ajili ya hafla ya Siku ya Familia ya Bolt, maarufu kama “Bolt Family Day”, iliyolenga kuzisherehekea familia za madereva wanaotoa huduma kupitia Bolt. Hafla hiyo, inayofanyika kila mwaka, iliwakutanisha madereva, wake zao na watoto wao zaidi ya 130 katika michezo ya kifamilia, mechi za mpira wa miguu na mbio za mita 100. Iliwapa nafasi ya kufurahia muda pamoja nje ya shughuli zao za kila siku za kujipatia kipato. Timu za madereva zilizoibuka washindi zilipokea vocha za kupata hadi lita 20 za mafuta kwa kila timu, pamoja na vocha za manunuzi na zawadi za maandalizi ya kurejea shuleni kwa watoto wao. “Mwisho wa siku, familia ndiyo jambo muhimu zaidi,” alisema mmoja wa madereva, akieleza kuwa jukumu la kuhudumia wapendwa wao ndilo linalowasukuma kuendelea na kazi. Kwa mujibu wa kampuni hiyo, wengi kati ya madereva wake wanaofanya vizuri zaidi hupata kipato cha zaidi ya Sh milioni 3.5 kwa mwezi, kiwango kikubwa sana ikilinganishwa na wastani wa mishahara ya waajiriwa wa kampuni katika sekta rasmi. Dereva mwingine, ambaye ni baba wa watoto watatu, alisimulia changamoto za kufanya kazi katika joto kali, kuharibika kwa magari na wakati mwingine kukutana na wateja wagumu kuwahudumia. “Lakini hakuna biashara isiyo na changamoto, na kujua kwamba hatimaye familia zetu zinanufaika ndiko kunakotupa nguvu ya kuendelea,” alisema. Meneja Mkuu Mwandamizi wa Bolt Afrika Mashariki, Dimmy Kanyankole, aliyehudhuria hafla hiyo, alisema: “Nyuma ya kila dereva kuna familia inayompa hamasa ya kufanya kazi kwa bidii kila siku. Tunatambua kuwa udereva si suala la kujipatia kipato pekee, bali pia kuhudumia wapendwa, kugharamia elimu ya watoto na kujenga maisha bora ya baadaye kwa familia zao. “Kupitia shughuli kama Bolt Family Day, tunataka kuwathamini watu walio nyuma ya safari hizo na kuwapa madereva wetu nafasi ya kufurahia muda pamoja na familia zao. Pia, hii ni njia yetu ya kutambua na kuthamini mchango muhimu wa madereva katika kufanikisha usafiri katika miji yetu,” alisema Kanyankole. Hafla hiyo iliangazia wajibu wa kifamilia unaoambatana na kazi ya udereva, huku familia zikishiriki michezo na kujishindia zawadi zilizolenga kusaidia gharama za usafiri na mahitaji ya shule ya watoto wao.

Thu, 12 Nov 2026 08:30:00 +0000
Uncategorized · Citizen Digital

Kipchoge hails Team Kenya perfomance in Dakar

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Nvidia CEO Jensen Huang resigns in big blow to AI boom

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Ruto says new Rironi-Mau Summit road deal saves Kenya Ksh.58 billion

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Capital FM

Ruto Explains KSh6.4bn Payout to Exit Previous Rironi-Mau Summit Road Deal

Latest · News

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Former Gender CS Aisha Jumwarejoins UDA

Jumwa was received by President William Ruto at State House, Mombasa, where she rejoined the ruling party months after announcing her exit

Recently
Business · The Ankole Times

Buvuma Women to Access Shs100m Loans as Equity Bank Extends GROW Project to Island District

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Kigali Today

Imvura iragwa ukagira ngo umuriro na wo ugiye kugama-Senateri Evode Uwizeyimana

Senateri Evode Uwizeyimana yagaragaje impungenge ku kuba u Rwanda ruzashobora kugera ku ntego yo kugeza amashanyarazi kuri buri rugo kugeza mu 2029, ashingiye ku bibazo bikigaragara mu gukwirakwiza amashanyarazi no kuba

Recently
Uncategorized · The Standard

KDF opens December recruitment for cadets, recruits, specialist officers

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Ankole Times

Equity Bank Extends Affordable Financing to Women Entrepreneurs in Buvuma Island District

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · SoftPower News

BoU Revises 2026/27 Growth Forecast to 5.5-6%, Maintains CBR at 12%

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

UK convicts 2 Iranian men of spying on Persian language journalists

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · CEO East Africa

Twelve days, countless ways to celebrate: Uganda’s Speke Resort Munyonyo prepares a 2026 Christmas for everyone

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Chimpreports

NRM Launches Construction of 21 District Offices

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Chimpreports

Gen Muhoozi Promotes CID Director Tom Magambo to Lieutenant Colonel

KAMPALA: Chief of Defence Forces Gen Muhoozi Kainerugaba has promoted the Director of the Criminal Investigati..

Recently
Uncategorized · Capital FM

Ruto orders review of school capitation, promises decision in January

News · 5 hours ago

Recently
Uncategorized · Capital FM

Hitayezu, Kamaisi set for Kisii Showdown as NCBA Open attracts 61 golfers

Latest · Golf

Recently
Sports · The Observer Uganda

Football: KCCA FC opens dialogue to reconnect with fans

KCCA FC is seeking to rebuild its relationship with supporters through improved communication, stronger governance and greater fan involvement, following a stakeholder engagement meeting held…

Recently

Page 212 of 1135 · 22700 stories