Unganishwa

Search the region

22706 stories

Uncategorized · CEO East Africa

Twelve days, countless ways to celebrate: Uganda’s Speke Resort Munyonyo prepares a 2026 Christmas for everyone

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Chimpreports

NRM Launches Construction of 21 District Offices

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Chimpreports

Gen Muhoozi Promotes CID Director Tom Magambo to Lieutenant Colonel

KAMPALA: Chief of Defence Forces Gen Muhoozi Kainerugaba has promoted the Director of the Criminal Investigati..

Recently
Uncategorized · Capital FM

Ruto orders review of school capitation, promises decision in January

News · 5 hours ago

Recently
Uncategorized · Capital FM

Hitayezu, Kamaisi set for Kisii Showdown as NCBA Open attracts 61 golfers

Latest · Golf

Recently
Sports · The Observer Uganda

Football: KCCA FC opens dialogue to reconnect with fans

KCCA FC is seeking to rebuild its relationship with supporters through improved communication, stronger governance and greater fan involvement, following a stakeholder engagement meeting held…

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

'Mr Texas, Mr Empty!' Ruto resorts to nicknames and name-calling as war of words escalates

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Business Daily

IMF wants Kenya to ease stablecoin reserve rules, review crypto capital thresholds

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Kenya Power defends disputed bills after office chaos

This was after videos showing confrontations at the utility's offices circulated on social media, raising questions about handling of disputed electricity bills

Recently
Uncategorized · DW Afrique

Le rôle de l'Afrique change dans le trafic mondial de drogue

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Yaga Burundi

Évaluations du PASEC 2024 : et si on pouvait anticiper l’échec à l’Exétat ?

Et si, au lieu de ne regarder que l’examen, on remontait le fil des apprentissages ? Les évaluations PASEC 2024 révèlent des difficultés dès la fin du primaire, qui persistent à la fin de la 9ᵉ année. Une question s’impose […] L’article Évaluations du PASEC 2024 : et si on pouvait anticiper l’échec à l’Exétat ? est apparu en premier sur Yaga Burundi .

Thu, 12 Nov 2026 14:54:39 +0000
Uncategorized · Techweez

Jensen Huang Resigns as Nvidia CEO, With Colette Kress Named Interim Successor

Read the full report from the original source.

Recently
National · Daily News

PM challenges stakeholders to use IQEC 2026 productively in boosting quality education

DAR ES SALAAM: PRIME Minister Mwigulu Nchemba has challenged education stakeholders to translate discussions at the Sixth International Quality Education…

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

Siri Za Mafarao Zafunguliwa Na Double Mummy’s Jewels 1000 Ya Meridianbet

KATIKA ulimwengu wa michezo, kila shindano huwa na safari yake ya kusisimua, kuanzia maandalizi, mikakati hadi dakika za mwisho zinazoweza kubadilisha kila kitu. Sasa safari nyingine ya kipekee imewadia kwa mashabiki wa michezo ya kasino kupitia mchezo mpya wa Double Mummy’s Jewels 1000 kutoka Pragmatic Play, unaopatikana Meridianbet. Huu si mchezo wa kawaida, bali ni safari inayokupeleka moja kwa moja kwenye mahekalu ya Misri ya kale, ambako mafarao, vito vya thamani na hazina zilizofichwa vinakusubiri. Kila mzunguko unaongeza msisimko wa kutafuta utajiri huku ukikupa nafasi ya kufurahia mazingira. Double Mummy’s Jewels 1000 inakuja na mfumo wa reels tano na mistari mitatu, ikiwa na njia 243 za kupata ushindi. Hii inamaanisha kuwa kila mzunguko inakupa nafasi mbalimbali za kuunganisha alama zinazoweza kukupeleka kwenye hatua nyingine ya mchezo. Ndani ya mchezo huu utakutana na alama mbalimbali zinazovutia kama Cleopatra, paka weusi, alama ya Horus, Ankh na hati za kale. Kila alama imechorwa kwa ubora wa hali ya juu, huku mandhari ya hekalu kubwa la Misri ikifanya safari hii kuwa ya kipekee zaidi. Ni kama kuingia kwenye uwanja wa mashindano makubwa ambapo kila hatua ina umuhimu wake. Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi. Kinachoufanya mchezo huu kuwa na mvuto wa pekee ni uwepo wa wild za bluu, nyekundu na kijani zinazoweza kuchochea vipengele mbalimbali vya mchezo. Alama hizi zinaweza kufungua zawadi na mizunguko ya ziada, ambayo inaongeza msisimko wakati wa kucheza. Pia kuna Collect na Super Collect zinazokusanya alama za Money zinazojitokeza mfululizo, zikiwa na vizidishi vinavyoweza kuongeza thamani ya zawadi. Hapa ndipo mchezo unapoanza kuonyesha ladha yake halisi, kwani kila mzunguko unaweza kuleta tukio jipya. Kwa upande wa zawadi, Double Mummy’s Jewels 1000 imeweka Grand, Mega na Major Jackpots katikati ya safari hii ya kutafuta hazina. Hizi ndizo zawadi zinazoongeza hamasa kwa kila anayependa michezo yenye msisimko wa hali ya juu. Pia kuna Buy Super Bonus inayowapa wachezaji wanaostahiki nafasi ya kuingia moja kwa moja kwenye kipengele maalumu cha bonasi badala ya kusubiri kijitokeze kawaida. Mchezo huu una uwezo wa kufikia ushindi wa juu wa hadi mara 30,000 ya dau, jambo linaloufanya kuwa na mvuto mkubwa kwa mashabiki wa michezo ya sloti. Sasa ni wakati wa kuacha kusimuliwa kuhusu hazina za mafarao na kuingia mwenyewe kwenye ulimwengu huu wa kuvutia. Meridianbet inakuletea Double Mummy’s Jewels 1000, mchezo unaochanganya historia ya Misri, michoro ya kuvutia, vipengele vya bonasi na nafasi ya kufurahia jackpots mbalimbali. Kama unavyofuatilia mechi kubwa ukisubiri matokeo ya mwisho, hapa pia kila raundi inaleta matarajio mapya. Tembelea Meridianbet, jisajili , chagua Double Mummy’s Jewels 1000 na uanze safari yako ya kutafuta hazina.

Thu, 12 Nov 2026 05:00:00 +0000
Uncategorized · Radio Publique Africaine

Ruziba : un commerçant détenu pour tentative d’empoisonnement, ses voisins dénoncent une machination

Read the full report from the original source.

Recently
Sports · Issa Michuzi

Turkey Vs Belgium: Usiku wa Maajabu, Nani Atautawala Uwanja?

MASHABIKI wa soka wanatarajia kushuhudia pambano lenye mvuto mkubwa pale TURKEY itakapokutana na BELGIUM katika mchezo wa UEFA Nations League, Alhamisi, Novemba 12, 2026, kuanzia saa 20:00 usiku. Huu ni mchezo unaovuta hisia kutokana na ubora wa wachezaji na historia ya ushindani wa mataifa hayo katika soka la Ulaya. Ushindani huu ni sehemu ya Kundi A1 , ambapo kila timu inapambana kuboresha nafasi yake kabla ya hatua ya makundi kukamilika. Belgium inaingia kwenye mchezo huu ikiwa na kumbukumbu ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Turkey katika mchezo wa kwanza, hivyo wenyeji watakuwa na jukumu la kutafuta majibu mbele ya mashabiki wao. Kwa upande wa Turkey, nyota wake wanahitaji kutumia vizuri faida ya kucheza nyumbani, kuongeza kasi ya mashambulizi na kutumia nafasi wanazotengeneza. Ushindi katika mchezo huu unaweza kuwa na maana kubwa katika kurejesha matumaini ya timu hiyo kwenye kampeni ya Nations League. Belgium nayo inatarajiwa kuingia na silaha zake kali, akiwemo Kevin De Bruyne, Romelu Lukaku na Jeremy Doku, ambaye amerejea kwenye kikosi baada ya kukosekana. Uwezo wao wa kushambulia, kutengeneza nafasi na kutumia makosa ya wapinzani unaweza kuwa sehemu muhimu ya pambano hili. Meridianbet inasema kuna michezo kama Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli. Ingia katika kasino ya mtandaoni ya Meridianbet na ujiokotee mkwanja mapema. Jiunge sasa au Tembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi. Uwanja wa Gürsel Aksel nchini Uturuki utakuwa kitovu cha vita hiyo ya soka, huku macho yakielekezwa kwa namna timu hizo zitakavyopambana katika kila dakika. Je, Turkey itaweza kulipiza kisasi cha kipigo cha mchezo wa kwanza au Belgium itaendeleza ubabe wake dhidi ya wapinzani hao? Jiandae kufuatilia burudani ya UEFA Nations League kupitia pambano la Turkey dhidi ya Belgium. Dakika 90 za ushindani, ufundi, mikakati na maamuzi yanayoweza kubadili mwelekeo wa mchezo! Jisajili leo ufurahie ushundi ndani ya meridianbet leo.

Thu, 12 Nov 2026 05:30:00 +0000
Uncategorized · BBC Afrique

Le Canada lance un nouveau programme pour accueillir 5 500 immigrants

Le Canada a lancé un nouveau programme d'immigration visant à offrir à 5 500 personnes originaires de divers pays du monde entier la possibilité d'obtenir la résidence permanente, à compter de janvier 2027.

Recently
Uncategorized · The Ankole Times

Alupo Exposed! Shocking Details Of Her Military Past, Political Rise And Muhoozi’s Latest Attack

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Daily News

Tanzania endorses six SADC resolutions in region’s preparedness for El Niño-related impacts

JOHANNESBURG: TANZANIA has endorsed six resolutions by the Southern African Development Community (SADC) aimed at strengthening disaster management systems across…

Recently
Business · Issa Michuzi

Tanzania Yasisitiza Ufadhili wa Kilimo Himilivu COP31

Pembezoni mwa Mkutano wa 31 wa Nchi wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31), unaondelea kufanyika Jijini, Antalya, Uturuki, kwa kipindi cha 9 - 20 Novemba 2026, tarehe 11 Novemba 2026, umefanyika Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Kilimo uliolenga katika kuhamasisha ufadhili na uwekezaji wa miradi ya kukabiliana na athari za Mabadiliko ya Tabianchi kwa ajili ya kuimarisha uhimilivu wa sekta ya kilimo. Mkutano huo uliwakutanisha wawakilishi kutoka Serikalini, taasisi za fedha, sekta binafsi na washirika wa maendeleo duniani kujadili mikakati ya kuongeza upatikanaji wa fedha za miradi ya kukabiliana na athari za Mabadiliko ya Tabianchi  katika mifumo ya chakula na kuhakikisha  wakulima hasa wanawake na vijana wananufaika na fursa za ufadhili huo. Akizungumza katika mkutano huo, mwakilishi kutoka Wizara ya Kilimo Bi. Zaninabu T. Sheuya, Mkurugenzi wa Kitengo cha Usimamizi wa Mazingira alisisitiza umuhimu wa ushirikiano kati ya Serikali, sekta binafsi na washirika wa maendeleo katika kuongeza uwekezaji wa kilimo himilivu na dhamira ya Serikali ya kuhakikisha fedha za Mabadiliko ya Tabianchi zinapatikana kwa wingi na kutoa kipaumbele kwa wakulima wanaoathirika moja kwa moja. Aidha, Bi. Prudence Masako, Mkurugenzi Mkazi wa Taasisi ya CARE Tanzania alitoa wito kwa Wadau  kuendelea  kuunga mkono juhudi za Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kuongeza uwekezaji wa miradi ya kukabiliana na athari za Mabadiliko ya Tabianchi yenye matokeo chanya ili kuimarisha usalama wa chakula, kuongeza kipato cha wakulima wadogo ili kuimarisha uchumi endelevu. Ufadhili wa miradi ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi utawezesha kuchochea utekelezaji wa vipaumbele vya Dira 2050 katika sekta ya kilimo kwa kuelekeza rasilimali katika uwekezaji  unaochangia maendeleo ya kilimo chenye tija, shindani na himilivu kwa athari za mabadiliko ya tabianchi.

Thu, 12 Nov 2026 14:41:51 +0000

Page 213 of 1136 · 22706 stories