Unganishwa

Search the region

22726 stories

Uncategorized · The Star Kenya

Missing lawyer Abshir Abdi found alive in Marsabit

Kanjama said the society was in contact with Abshir's family and was awaiting formal confirmation of his safe return following reports that he had been found.

Recently
Uncategorized · Capital FM

The chaos that took Carrick from two-year deal to sacked within 15 games

Latest · Football

Recently
National · Jamhuri Media

Mahakama ya Haki Afrika Mashariki yatakiwa kuwa nguzo ya umoja, haki na maendeleo ya kiuchumi

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · KBC

Missing lawyer Abshir Abdi found alive in Marsabit, LSK confirms

Kanjama said LSK would remain steadfast in its pursuit of justice until the safety of both Abdi and Ayub was independently confirmed and reunited with their families.

Recently
Uncategorized · UBC

Tayebwa urges OACPS countries to process minerals locally

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Man U sack Carrick after disastrous start to season

The club, however, paid tribute to Carrick's contribution, insisting he would always remain an important figure in its history

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Preferred 2027 presidential election winner

The survey figures position the two leaders shoulder-to-shoulder at the helm of the presidential preference rankings as the race towards 2027 general elections

Recently
Uncategorized · HabariLeo

KCMC kuongeza vipimo zaidi kuimarisha uchunguzi

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · DW Afrique

Les enjeux du 20ème sommet de la francophonie

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · UN News Burundi

Nearly 64,000 flee Nigeria for Niger where a humanitarian crisis is deepening

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Rwanda News Agency

Kagame begins Cambodia State Visit ahead of Francophonie Summit

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Tob Cohen trial: Expert finds signs of forgery in disputed will

The examiner also questioned a letter purportedly signed by Cohen seeking to withdraw an assault case against his wife, Sarah Wairimu.

Recently
Uncategorized · HabariLeo

RAY C, Lulu wamfagilia Zuchu kuhudumia wageni

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Rwanda Inspirer

Rwanda invests over RWF 1 billion in fuel-efficient stoves for schools

Read the full report from the original source.

Recently
Health · Issa Michuzi

DC MUFINNDI ATOA WITO KWA MADIWANI MAFINGA KUHAMASISHA WANANCHI KUJIUNGA NA BIMA YA AFYA

NA DENIS MLOWE, IRINGA MKUU wa Wilaya ya Mufindi, Dk. Linda Selekwa, ametoa wito kwa madiwani wa Halmashauri ya Mji wa Mafinga kuimarisha juhudi za kutoa elimu kwa wananchi kuhusu umuhimu wa kujiunga na Bima ya Afya, akisema hatua hiyo itasaidia kupunguza gharama za matibabu na kuwawezesha wananchi kupata huduma za afya kwa uhakika. Dk. Selekwa alitoa wito huo wakati akitoa salamu za Serikali katika kikao cha Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Mji wa Mafinga, ambapo alisisitiza kuwa madiwani wana nafasi kubwa ya kuhamasisha wananchi katika maeneo yao kutokana na ukaribu wao na jamii. Alisema Serikali imeendelea kuchukua hatua mbalimbali za kuhakikisha wananchi wanapata huduma za afya kupitia mfumo wa bima, hivyo ni muhimu viongozi wa ngazi za chini kuelewa mfumo huo na kuwahamasisha wananchi kujiunga. Alieleza kuwa wananchi wengi wamekuwa wakifika katika ofisi za viongozi kuomba msaada wa gharama za matibabu, wakati baadhi ya changamoto hizo zingeweza kupunguzwa kwa kuwa na bima ya afya inayowasaidia kugharamia matibabu kwa kipindi chote cha uanachama. “Tunawaomba madiwani kutumia nafasi zenu kuhakikisha mnaendelea kuhamasisha wananchi kujiunga na Bima ya Afya. Mtu anapougua katika jamii, mara nyingi kiongozi wa kwanza anayemfuata ni diwani au mwenyekiti wa eneo husika, hivyo ni muhimu kuhakikisha wananchi wanapata elimu kuhusu mfumo huu,” alisema. Dk. Selekwa alisisitiza kuwa uhamasishaji huo unapaswa kwenda sambamba na maandalizi ya kutosha katika vituo vya kutolea huduma za afya, ikiwemo miundombinu, vifaa na utayari wa watumishi ili wananchi wanapojiunga na bima wapate huduma zinazostahili. Alionya kuwa endapo wananchi watahamasishwa kujiunga na bima lakini vituo vya afya vikakosa uwezo wa kutoa huduma kwa wakati, hali hiyo inaweza kuwakatisha tamaa na kupunguza imani yao kwa mfumo huo. Aidha Dk. Selekwa aliipongeza Halmashauri ya Mji wa Mafinga kwa kuendelea kuimarisha shughuli za maendeleo, hususan maonyesho ya biashara yaliyofanyika hivi karibuni ya biashara Mufindi.akisema yamekuwa na mchango katika kukuza shughuli za kiuchumi na kuwapa wananchi fursa za kutangaza bidhaa na huduma zao. Alisema maonyesho yamekuwa na matokeo chanya kutokana na ushirikiano wa Baraza la Madiwani na wataalamu wa halmashauri, huku akiwataka viongozi hao kuendelea kuyasimamia ili yawe endelevu na kuongezeka ukubwa kila mwaka. Aliwasisitiza madiwani kuhakikisha maonyesho hayo yanakuwa sehemu ya utamaduni wa halmashauri, akieleza kuwa hata viongozi watakapobadilika, mipango na mafanikio yaliyopatikana yanapaswa kuendelezwa. Aidha, Mkuu huyo wa Wilaya alilitaka Baraza la Madiwani kusimamia kwa karibu mabadiliko ya kiutendaji yanayotokea katika halmashauri, akisisitiza umuhimu wa ushirikiano kati ya madiwani, watumishi na viongozi wapya wanaopangiwa majukumu mbalimbali. Alisema mabadiliko ya viongozi hayapaswi kuwa sababu ya kuyumba kwa utendaji wa halmashauri, bali yanapaswa kuwa fursa ya kuimarisha taasisi na kuendeleza misingi mizuri iliyowekwa na viongozi waliotangulia. Aliongeza kuwa mafanikio yanayopatikana katika halmashauri yanapaswa kuonekana kama matokeo ya ushirikiano wa viongozi na watumishi wote, hivyo ni muhimu kulinda sifa na heshima ya taasisi hiyo kwa kuimarisha usimamizi na uwajibikaji. Dk. Selekwa pia alitambua mchango wa aliyekuwa kiongozi wa halmashauri, Federica Myovela ambaye alisema ameacha msingi mzuri wa utendaji, huku akiwataka madiwani na watumishi kuendeleza ushirikiano na uongozi unaoendelea.

Thu, 12 Nov 2026 10:55:58 +0000
Uncategorized · Citizen Digital

10Th Nov 2026 Part 1

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

10Th Nov 2026 Part 2

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

10Th Nov 2026 Part 3

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

VODACOM YAKABIDHI KOMPYUTA 30, MADAWATI 90 NA VIFAA VINGINE SHULE YA MSINGI NA UFUNDI MBEZI

Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania kupitia taasisi yake ya Vodacom Tanzania Foundation imetoa msaada wa vifaa vya elimu kwa Shule ya Msingi na Ufundi Mbezi, iliyopo Wilaya ya Ubungo, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuboresha mazingira ya kujifunzia na kufundishia pamoja na kuimarisha matumizi ya teknolojia katika sekta ya elimu. Msaada huo unajumuisha kompyuta 30, vifaa vya UPS 30, televisheni moja yenye ukubwa wa inchi 75 pamoja na madawati 90, ambavyo vinatarajiwa kuongeza ufanisi wa ufundishaji na ujifunzaji shuleni hapo. Akizungumza katika hafla hiyo, Mkuu wa Idara ya Vodacom Tanzania Foundation, Uendelevu na Ubia, Pauline Alexander Koola, amesema Vodacom inaendelea kutekeleza wajibu wake wa kijamii kwa kushirikiana na wadau mbalimbali katika kuchangia maendeleo ya jamii, hususan katika sekta ya elimu. Kwa upande wake, Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando, ameeleza umuhimu wa ushirikiano kati ya Serikali na sekta binafsi katika kuboresha huduma za kijamii, akitambua mchango wa Vodacom katika kuimarisha mazingira ya elimu. Msaada huo unatarajiwa kuwanufaisha wanafunzi na walimu wa Shule ya Msingi na Ufundi Mbezi kwa kuboresha upatikanaji wa vifaa vya kujifunzia na kufundishia, pamoja na kuongeza fursa za wanafunzi kujifunza kupitia teknolojia.

Thu, 12 Nov 2026 10:48:14 +0000
Uncategorized · Rwanda Inspirer

Only 5% of Rwanda’s religious organisations regularly train staff against terrorist financing

Read the full report from the original source.

Recently

Page 221 of 1137 · 22726 stories