Search the region
22742 stories
La douzième journée, ou le cœur du Burundi qui bat en deux jours
Il y a des journées de championnat qui se jouent. Et il y a celles qui se vivent. La douzième, celle qui nous attend en ce premier week-end de novembre, appartient à la seconde espèce. Elle ne se contentera pas de distribuer des points. Elle va raconter des histoires. Des histoires d'orgueil, de revanche, de fidélité, et, il faut bien le dire, d'amour. Car le football, au Burundi, n'a jamais été seulement du football. C'est une correspondance amoureuse entre une ville et son équipe, entre un stade et son peuple, entre un maillot et la peau de celui qui le porte.
Thu, 12 Nov 2026 07:14:16 +0000RAS KAYOMBO ASISITIZA USIMAMIZI, UREJESHAJI WA MIKOPO YA ASILIMIA 10
Na Mwamvua Mwinyi, Pwani KATIBU Tawala wa Mkoa wa Pwani, Richard Kayombo, amewataka Maafisa Maendeleo ya Jamii katika halmashauri kusimamia kwa karibu vikundi vinavyonufaika na mikopo ya asilimia 10 ya mapato ya ndani ya halmashauri ili kuhakikisha vinaitumia vizuri na kurejesha kwa wakati. Aidha, amewataka wanufaika wa mikopo hiyo kuwekeza katika miradi yenye tija itakayowawezesha kukuza mitaji, kurejesha mikopo na kujiinua kiuchumi. Akifungua kikao cha tathmini ya utoaji wa mikopo hiyo kwa robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2026/2027, kilichofanyika Kibaha, Kayombo amesema mafanikio ya mikopo hiyo yanapaswa kupimwa kwa kuangalia mabadiliko halisi ya maisha ya wanufaika. Alisisitiza kuwa Maafisa Maendeleo ya Jamii hawapaswi kuishia kutoa mikopo pekee, bali wanapaswa kufuatilia vikundi, kutoa elimu ya uendeshaji wa biashara na kuhakikisha marejesho yanafanyika kwa wakati ili fedha hizo ziendelee kunufaisha vikundi vingine. "Niwaombe Maafisa Maendeleo ya Jamii halmashauri kuwafuatilia wanufaika, siyo kuishia kuwapatia mikopo pekee, bali mhakikishe mnawapatia elimu ya uendeshaji wa biashara na urejeshaji uwe kwa wakati ili fedha hizo zinufaishe na wengine," alisisitiza Kayombo. Kwa upande wake, Mratibu wa Mikopo ya Asilimia 10 Mkoa wa Pwani, Mbonea Makenya, alisema katika robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2026/2027 jumla ya Sh bilioni 4.5 zimetolewa kwa vikundi 280 vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu, vikivyonufaisha watu 1,320. Alisema hadi sasa jumla ya Sh bilioni 22 zinadaiwa kutoka katika mikopo iliyotolewa vipindi vya nyuma, huku Sh bilioni 2.4 zikiwa zimerejeshwa. Kati ya madeni hayo, Sh bilioni 15 zinadaiwa kwa vikundi vilivyo ndani ya mkataba na Sh bilioni saba kwa vikundi vilivyo nje ya mkataba. Naye Ofisa Maendeleo ya Jamii wa Wilaya ya Kibiti, Alex Dismas, alisema kikao hicho kimewapa fursa ya kubadilishana uzoefu katika usimamizi wa mikopo hiyo, huku akiishukuru Serikali kwa kuendelea kutoa mikopo kwa makundi hayo. Alisema wilaya hiyo inadai Sh milioni 44 za mikopo iliyotolewa tangu mwaka 2024 na inaendelea na ufuatiliaji pamoja na kutoa elimu kwa wanufaika ili kuongeza ufanisi wa mikopo hiyo.
Thu, 12 Nov 2026 07:14:42 +0000Suspect arrested with bhang worth Ksh.459K in Bungoma
Read the full report from the original source.
RecentlyEmirates introduces A350 on Nairobi route on demand for premium travel
Latest · Corporate
RecentlyRAS Kayombo asisitiza usimamizi, urejeshaji mikopo ya asilimia 10
Read the full report from the original source.
RecentlyFive core values underpin OTR’s stewardship of government investments
TANZANIA: MANAGING government investments worth 92.28tri/- is a responsibility that goes well beyond keeping records of public ownership. It means…
RecentlyWAZIRI MKUU KUFUNGUA MKUTANO WA SITA WA KIMATAIFA WA UBORA WA ELIMU
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Novemba 12, 2026, amewasili katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), jijini Dar es Salaam, ambapo anatarajiwa kufungua Mkutano wa Sita wa Kimataifa kuhusu Ubora wa Elimu (IQEC).
Thu, 12 Nov 2026 07:06:45 +0000Farmers turn to new tactics to beat heavy rains
TANZANIA: AS Tanzania prepares for possible El Niño-related heavy rains, a farmer in Shinyanga, Mr Michael Kiriba, is changing the…
RecentlySifuna’s Linda Mwananchi transition faces legal challenge ahead of Friday’s delegates conference
Latest · Politics
RecentlyUkraine's power supply close to critical over Russian strikes
Many are choosing to leave the capital, or Ukraine altogether, to avoid months of bitter cold
RecentlyLa dame de l’aube : Lydia Nsekera, ou la lente reconquête de l’âme burundaise
Il est des nominations qui passent comme passent les saisons, sans laisser ni trace ni souvenir. Et puis il en est d'autres, rares, presque providentielles, qui ressemblent à une aube après une trop longue nuit. Il y a un an et deux mois, lorsque Madame Lydia Nsekera reçut entre ses mains fragiles et pourtant fermes les rênes du Ministère des Sports, de la Jeunesse et de la Culture, beaucoup haussèrent les épaules. Encore une ministre, murmurait-on dans les buvettes et sur les gradins délabrés. Encore des promesses. Et pourtant.
Thu, 12 Nov 2026 06:58:40 +0000CHIMP SPORT: Kingston Names Final Cubs Squad for World Cup
Read the full report from the original source.
RecentlyCHIMP SPORT: Kawempe Muslim Bow Out of Champions League
Read the full report from the original source.
RecentlyBond buyback in low, middle-income countries
Kenya ranks fifth globally in $1.2bn bond buybacks in 2025
RecentlyInside The Relaunch Of Fire Lake Grill House & Cocktail Bar At Radisson Blu Arboretum
Latest · Events
RecentlyRAIS DKT. MWINYI: AMANI NA UMOJA NI MSINGI WA MAENDELEO YA TAIFA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesisitiza umuhimu wa kulinda amani, umoja na mshikamano wa Taifa, akieleza kuwa ni msingi wa maendeleo endelevu, uwekezaji, biashara na utalii. Rais Dkt. Mwinyi ameyasema hayo tarehe 11 Novemba 2026, wakati wa Hafla ya Usiku wa QURAAN iliyoandaliwa na Jumuiya ya Bohra Tanzania, katika Msikiti wa Hakimi, Upanga, Dar es Salaam. Amehimiza viongozi wa dini kuendelea kujenga maadili, uvumilivu na maridhiano katika jamii, huku vijana wakihamasishwa kuzingatia elimu, kujenga ujuzi na kutumia fursa za ujasiriamali kwa maendeleo ya Taifa. Aidha, amewataka wananchi kudumisha amani na utulivu ili kuwezesha Serikali kuendeleza juhudi za kuboresha miundombinu na huduma za kijamii na kiuchumi. Vilevile, Rais Dkt. Mwinyi ameshiriki chakula cha pamoja cha Jumuiya (Community Kitchen) na waumini na wageni waliohudhuria hafla hiyo. Hafla hiyo imehudhuriwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo; Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar, Mhe. Juma Malik Akil; Waziri wa Afya Zanzibar, Mhe. Nassor Ahmed Mazrui; Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Dkt. Abubakar Zubeir Bin Ally; Sheikh Zoebbhai Galiakotwalla, mwakilishi wa Jumuiya ya Bohra Dar es Salaam; na Qussay Bhai Saheb Jamaludin, mwakilishi wa Kiongozi Mkuu wa Jumuiya ya Dawoodi Bohra Duniani, Sheikh Syedna Mufaddal Saifuddin, pamoja na wageni waalikwa kutoka sehemu mbalimbali duniani.
Thu, 12 Nov 2026 06:53:44 +0000India news : Modi government approves $340 million museum in Delhi
Read the full report from the original source.
RecentlyUkraine peace talks: US envoys arrive in Russia to meet with Putin
Read the full report from the original source.
RecentlyWaziri Mkuu kufungua mkutano wa sita wa kimataifa wa ubora wa elimu
Read the full report from the original source.
RecentlyRais Mwinyi : Amani na umoja ni msingi wa maendeleo endelevu
Read the full report from the original source.
RecentlyPage 229 of 1138 · 22742 stories