Unganishwa

Search the region

22388 stories

National · Issa Michuzi

SERIKALI YAWEKA WAZI MAFANIKIO YA ZIARA ZA RAIS SAMIA UGANDA NA ETHIOPIA KWA WAANDISHI WA HABARI

Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu Ndugu Bakari Machumu, akizungumza kwenye mkutano na Waandishi wa Habari, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 24 Novemba, 2026, kuhusu mafanikio na fursa zitokanazo na Ziara ya Kitaifa ya siku mbili ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, nchini Uganda iliyofanyika kati ya tarehe 18 na 19, Novemba 2026 pamoja na Ziara ya Kikazi ya siku mbili iliyofanyika kati ya tarehe 22 na 23 nchini Ethiopia ambapo, Mhe. Rais Dkt. Samia alishiriki Mkutano wa Tano wa Kimataifa wa Afya ya Umma Barani Afrika (CPHIA 2026), pamoja na kuzindua Mpango Elekezi wa Kuboresha Afya ya Mama na Mtoto Barani Afrika. Profesa Makame Mnyaa Mbarawa, Waziri wa Uchukuzi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akizungumza kwenye mkutano na Waandishi wa Habari, Ikulu Jijini Dar es Salaam kuhusu mafanikio na fursa zitokanazo na Ziara ya Kitaifa ya siku mbili ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, nchini Uganda iliyofanyika kati ya tarehe 18 na 19, Novemba 2026. Mheshimiwa Mohamed Omary Mchengerwa, Waziri wa Afya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akizungumza kwenye mkutano na Waandishi wa Habari, Ikulu Jijini Dar es Salaam kuhusu mafanikio na fursa zitokanazo Ziara ya Kikazi ya siku mbili iliyofanyika kati ya tarehe 22 na 23 nchini Ethiopia ambapo, Mhe. Rais Dkt. Samia alishiriki Mkutano wa Tano wa Kimataifa wa Afya ya Umma Barani Afrika (CPHIA 2026), pamoja na kuzindua Mpango Elekezi wa Kuboresha Afya ya Mama na Mtoto Barani Afrika. Mganga Mkuu wa Serikali Profesa Bruno Sunguya akizungumza kwenye mkutano na Waandishi wa Habari, Ikulu Jijini Dar es Salaam kuhusu mafanikio na fursa zitokanazo na Ziara ya Kikazi ya siku mbili iliyofanyika kati ya tarehe 22 na 23 nchini Ethiopia ambapo, Mhe. Rais Dkt. Samia alishiriki Mkutano wa Tano wa Kimataifa wa Afya ya Umma Barani Afrika (CPHIA 2026), pamoja na kuzindua Mpango Elekezi wa Kuboresha Afya ya Mama na Mtoto Barani Afrika.

Tue, 24 Nov 2026 15:23:06 +0000
Uncategorized · UBC

Tayebwa pays tribute to Jose Chameleone, hails his contribution to Uganda’s music industry

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Business Daily

Infrastructure fund eyes NSE vehicle to crowd-in local capital

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Moroccan federation reports incident to CAS during Senegal AFCON appeal, source says

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · BBC Rwanda

Urukiko nkemurampaka mu mikino rwemeje ko Sénégal ari yo yatsindiye igikombe cya CAN 2025

Read the full report from the original source.

Recently
National · Issa Michuzi

NAIBU MEYA DAR AWAITA WANANCHI KLINIKI YA ARDHI KINYEREZI

Na Mwandishi Wetu NAIBU Meya wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, John Ryoba Chaha 'wahenga', amewataka wananchi wote wanaohitaji huduma za masuala ya ardhi, hususan migogoro, upimaji wa maeneo na kupata hati kufika katika Kliniki ya Ardhi, inayoendelea katika viwanja vya Ofisi ya Afisa Mtendaji Kata ya Kinyerezi. Akizungumza katika uzinduzi wa Kliniki hiyo iliyoanza jana, Ryoba, amesema itakuwa ni ya siku 14, ambapo wananchi kutoka wilaya yote ya Ilala wanakaribishwa na huduma zote zinatolewa bila malipo isipo kuwa zile ambazo zimeelekezwa kwa mujibu wa taratibu za ardhi. "Tumeandaa Kliniki hii kwa lengo la kuwahudumia wananchi wa Kata ya Kinyerezi na wanancho wote wa Wilaya ya Ilala na Mkoa wa Dar es Saklaam kwa ujumla. Lengo ni kupunguza migogoro ya ardhi na kuwawezesha wananchi kupata nyaraka rasmi za umiliki wa maeneo yao,"amesema Naibu Meya huyo. Aidha Diwani Ryoba amebainisha kliniki hiyo ni kutokana na mwitikio mkubwa wa wananchi katika Tamasha la Kinyerezi Day lililofanyika katika kata hiyo hivi karibuni katika Uwanja wa Kecha, ambapo wananchi wengi walijitokeza na kuwasilisha changamoto mbalimbali, hususan zinazohusu umiliki wa ardhi. "Baada ya kubaini kuwa wananchi wananchi wengi wanakabiliwa na changamoto za muda mrefu za upimaji na upatikanaji wa hati tuliiomba Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kwa kushirikiana na Wizara ya Ardhi kuweka kituo maalumu katika eneo hili la Kinyerezi kwa muda wa siku 14 ili kutoa elimu, kufanya upimaji na kusaidia upatikanaji wa hati,"ameeleza Ryoba. Ameeleza kuwa kliniki hiyo inatoa huduma mbalimbali kulingana na changamoto za mwananchi, ikiwemo kutoa maelekezo kwa wale ambao viwanja vyao vimepimwa lakini hawajapata hati, ambao maeneo yao hayajapimwa pamoja na wenye migogoro ya ardhi ili waweze kufahamu hatua za kuchukua. Ryoba amebainisha lengo la kliniki hiyo ni kufikia angalau asilimia 80 hadi 90 ya wananchi wa Kinyerezi na kata jirani wanapata hati za umiliki, akibainisha kuwa hati hizo ni muhimu kwa kuwa ardhi ni mtaji mkubwa kwa wananchi wengi, hasa wanapotaka kutumia mali zao kupata mikopo katika taasisi za fedha kwa ajili ya shughuli za kiuchumi. Amesisitiza kuwa huduma hizo zinatolewa bila malipo ya ziada wala rushwa, isipokuwa gharama halali zilizowekwa kisheria ambazo zitalipwa kupitia namba za malipo za serikali (Control Number). "Wananchi wa Kata ya Kinyerezi, maeneo jirani ikiwemo Segerea, Kipawa, Gongolamboto na Tabata kutumia fursa hii. Pia nawaomba viongozi wa serikali za mitaa na viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwahamasisha wananchi wenye changamoto za ardhi kufika katika kliniki hii kukutana na wataalamu kutoka Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaa na Wizara ya Ardhi,"amesema Ryoba. Amemshukuru Rais Dk.Samia Suluhu Hassan kwa maelekezo yake ya kuimarisha utatuzi wa migogoro ya ardhi nchini, akisema juhudi hizo ni sehemu ya utekelezaji wa maagizo ya serikali katika kuhakikisha wananchi wanapata haki ya kumiliki ardhi na kuishi kwa amani. Ofisa Mteule wa Ardhi wa Jiji la Dar es Salaam, Wincheslaus Kweyunga, amesema ni muhimu kwa wananchi kupima maeneo yao na kupata hati na vigezo ni mwananchi kuwa na katasi halali za umiliki wa eneo, kitambulisho cha taifa au namba na fomu inayojazwa na majirani pamoja na barua ya kuomba kupimiwa eneo lake. Amesema wananchi ambao watakidhi vigezo watapimiwa maeneo yao na kupewa hati miliki.Pia wenye migogoro hususan mipaka na umiliki watasaidiwa kulingana na sheria na taratibu za ardhi. Wananchi wa Kata ya Kinyerezi wamempongeza diwani wao huyo kwa kuandaa kliniki hiyo ambapo wamesema wamekuwa wakikabiliwa na changamoto za ardhi kwa kipindi kirefu hivyo hatua hiyo imeleta nafuu kwani baadhi walianza kukata tamaa ya kutatuliwa changamoto hizo.

Tue, 24 Nov 2026 15:06:37 +0000
Uncategorized · Mwananchi

Hizi hapa fursa kwa vijana ziara za Rais Samia Uganda, Ethiopia

Soma hapa...

Recently
Uncategorized · UN News Burundi

UN chief urges talks on global AI safety framework, warns of historic shift in power

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · UBC

CAS reinstates Senegal as AFCON 2025 champions, overturns CAF ruling

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Mwananchi

Senegal yaibwaga Morocco CAS, yarejeshewa ubingwa wa AFCON

Soma zaidi...

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Senegal reinstated as Afcon 2025 winners by Cas verdict

The court's award overturns a previous decision which had stripped the West Africans of the title they won on the pitch during a chaotic final

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

'Amechizi!' Octopizzo slams Khaligraph Jones after dramatic weight loss revelations

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Latvia visa scam: Hungary embassy warns Kenyans

The embassy says unidentified individuals are using its name to offer visa services and promise Type D visas for entry into Latvia.

Recently
Uncategorized · Azam TV Videos

VIWANJANI | Bondia Yohana Mchanja, Said Hakim wachambuliwa LIVE, kuelekea Knock Out ya Mama

Azam TV

2026-11-24T14:22:32+00:00
Uncategorized · Chimpreports

CHIMP SPORT: Byekwaso Shown Express Exit Door

Read the full report from the original source.

Recently
Sports · Chimpreports

CHIMP SPORT: Cricket Cranes Head to Nepal for Historic ODI Debut

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

Colombia: Car bomb attack injures at least 23

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Standard

Sh87m last mile connectivity projects in Narok West target 250 households

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · BBC Afrique

Gisèle Pelicot « humiliée » après l'envoi de photos d'elle nue aux médias pour promouvoir son livre

L'éditeur d'un essai sur le contrôle coercitif présente ses excuses pour « une communication malheureuse et inappropriée ».

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

2% HIMS fee on SHA payments unconstitutional, court rules

Read the full report from the original source.

Recently

Page 23 of 1120 · 22388 stories