Search the region
22757 stories
Telkom opposes proposed internet metering rules
Read the full report from the original source.
RecentlyMen win equal protection as courts rule on murder, defilement and corruption
A fisheries patrol officer was abducted and killed after a routine operation against illegal fishing turned violent. Seven years later, five men convicted over the…
RecentlyAnnet Rutebemberwa’s growth path from bank teller to branch leader
Institutions leave traces of themselves in people. Over thirty-five years, Stanbic Bank Uganda has shaped thousands of careers, ambitions and futures, each carrying a small…
RecentlyAnger at Ruto and Gachagua bare knuckle attack
President Ruto and his former deputy Rigathi Gachagua have renewed a bitter public war of words, drawing condemnation from the clergy who warn that the inflammatory rhetoric threatens peace.
Thu, 12 Nov 2026 00:00:00 +0300Burundi / Solidarité : Le CNDD-FDD remet une maison à un ancien combattant à Bugendana
À Gitega, le CNDD-FDD poursuit son programme de construction de logements destinés aux anciens combattants en difficulté. Bugendana – Gitega (BDIAGNEWS), 07/11/2026 – Le CNDD-FDD a remis une maison moderne à Niyonzima Léon, ancien combattant résidant sur la colline Gitongo, en commune...
Wed, 11 Nov 2026 20:59:18 +0000Burundi / Tourisme : Kax Tours & Safaris valorise les sites méconnus de Butanyerera
L’initiative « Butanyerera Discovery » vise à promouvoir le tourisme local et à faire découvrir les richesses naturelles du Burundi. Bujumbura (Burundi), 10/11/ 2026 – La société Kax Tours & Safaris a annoncé la première édition de « Butanyerera Discovery », une...
Wed, 11 Nov 2026 20:23:40 +0000NIDA igiye gusubukura kwemeza imyirondoro no gufotora abakeneye indangamuntu koranabuhanga
Ikigo cy’Igihugu gishinzwe Indangamuntu (NIDA) cyatangaje ko kuva ku wa 17 Ugushyingo 2026 kugeza ku wa 16 Mutarama 2027, izongera gukora igikorwa cyo kwemeza imyirondoro no gufotora abaturage batabashije kubikora muri g
RecentlyRuto winds up Gusii tour, takes swipe at Uhuru Kenyatta
He accused Kenyatta of abandoning statesmanship roles to engage in endless politicking as "a broker for selfish ends".
RecentlyImiryango 159 itari iya Leta (NGOs) yatakaje ubuzima gatozi
Imiryango nyarwanda itari iya Leta 159 yatakaje ubuzima gatozi nyuma yo kunanirwa kuzuza ibisabwa kugira ngo ihuze n’Itegeko N° 058/2024 ryo ku wa 20 Kamena 2024 rigenga imiryango itari iya Leta.
RecentlyTshisekedi passe une loi pour changer la constitution et briguer un 3è mandat à la tête de la RDC
Read the full report from the original source.
RecentlyUK Parliament relaunches friendship group for Uganda
Read the full report from the original source.
RecentlyNCMC na CARBON BRIDGE KUPANUA UWEKEZAJI TANZANIA MIRADI YA KIMKAKATI YA BIASHARA YA KABONI
Antalya, Uturuki KAMPUNI ya Carbon Bridge imekutana na wataalamu wa Kituo cha Taifa cha Ufuatiliaji wa Kaboni (National Carbon Monitoring Centre – NCMC) katika mkutano wa pembezoni mwa Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP31) unaoendelea jijini Antalya, Uturuki, kwa lengo la kujadili fursa za uwekezaji na kuimarisha ushirikiano katika kuendeleza miradi ya kimkakati ya biashara ya kaboni nchini Tanzania. Katika majadiliano hayo, Carbon Bridge imeeleza kuvutiwa na fursa zilizopo nchini Tanzania katika sekta ya biashara ya kaboni ambapo itawekeza katika miradi ya kimkakati ya Biashara ya kaboni, ikitambua mazingira rafiki ya uwekezaji, uwepo wa fursa nyingi za miradi inayoweza kuzalisha viwango vikubwa vya kabni (Carbon credits), pamoja na mfumo wa uratibu na usimamizi wa biashara ya kaboni unaosimamiwa na Serikali kupitia NCMC. Kwa upande wake, wataalamu wa NCMC wameihakikishia kampuni hiyo ushirikiano wa kitaalamu na uratibu katika hatua mbalimbali za uwekezaji na utekelezaji wa miradi ya biashara ya kaboni, kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na miongozo ya Serikali inayosimamia sekta hiyo nchini.Aidha; wamefafanua kuwa tayari kampuni hiyo imeshafanya uwekezaji kwenye biashara ya kaboni katika sekta ya Nishati safi ya kupikia pamoja na katika majiko yaliyoboreshwa. Aidha, majadiliano hayo yamelenga kubainisha maeneo ya kimkakati ya uwekezaji, kuimarisha uratibu kati ya Serikali na wawekezaji, pamoja na kuhakikisha miradi inayotekelezwa inazingatia viwango vya uadilifu wa kaboni inaleta manufaa ya kiuchumi na kijamii kwa wananchi na kuchangia juhudi za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Kwa sasa, Tanzania inaendelea kufungua fursa za uwekezaji katika biashara ya kaboni kupitia sekta mbalimbali zikiwemo misitu, kilimo, nishati, maji na usimamizi wa taka. Sekta hizo zina uwezo mkubwa wa kuvutia uwekezaji, kuzalisha viwango vya kabaoni, kuongeza kipato, kwa jamii na kuchochea maendeleo endelevu nchini. NCMC ni taasisi iliyo chini ya Ofisi ya Makamu wa Rais, iliyoanzishwa kwa lengo la kuratibu, kusimamia na kufuatilia utekelezaji wa biashara ya kaboni nchini Tanzania. Taasisi hiyo pia ina jukumu la kutoa ushauri wa kitaalamu, kufuatilia usajili na utekelezaji wa miradi pamoja na kuhakikisha taarifa za miradi ya biashara ya kaboni zinazingatia mifumo na taratibu zilizowekwa na Serikali. Ushiriki wa NCMC katika majadiliano hayo ni sehemu ya juhudi za Serikali za kuitangaza Tanzania kama kituo kinachovutia uwekezaji wa biashara ya kaboni, kuimarisha ushirikiano na wawekezaji wa kimataifa na kuhakikisha rasilimali za nchi zinatumika kwa tija kupitia uwekezaji wenye uadilifu na manufaa kwa taifa. Washiriki wa Mkutano huo kutoka NCMCni; Mkurugenzi wa Idara ya Ufuatiliaji, Usajili na Utoaji Taarifa za Miradi, Dkt. Deo Shirima; Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Mazingira, Ushauri na Utafiti Dkt. Paul Lyimo, Mkurugenzi wa Kitengo cha Sheria, Bi. Risper Koyi; pamoja na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano, Ibrahim Hamidu. Kwa upande wa Kampuni ya Carbon Bridge, washiriki walikuwa Marion Verles, Afisa Mtendaji Mkuu ; Donee Alexander, Afisa Mkuu wa Masuala ya Kaboni na Fabio Marque, Mkurugenzi wa Sera na Maendeleo ya Biashara.
Wed, 11 Nov 2026 12:00:00 +0000UN Women in Uganda Warns Funding Gaps Threaten Women, Peace Agenda
Read the full report from the original source.
RecentlyVW halts 'Gamechanger' modernization plan due to financial constraints
Read the full report from the original source.
RecentlyBriefs: Unpaid bills, ageing systems threaten poll plans
Here are the stories making the headlines.
RecentlyMchengerwa ataka Afrika ijenge mifumo imara bajeti za afya
Read the full report from the original source.
RecentlyCherargei crowns Kajwang' Senate's Solomon of wisdom
Cherargeu likened Kajwang' to Moses and King Solomon from the Bible, saying his advice had become increasingly focused and consistent.
RecentlyWaiguru, ODM leaders rally Kisii community behind Ruto’s re-election bid
Read the full report from the original source.
RecentlyCherargei crowns Kajwang' Senate's Solomon of wisdom
Cherargei praised his Homa Bay counterpart for advocating cooperation with Ruto while maintaining firm oversight of county governments.
RecentlyJK asisitiza uwekezaji wa mafunzo kuimarisha tiba ya dharura
Read the full report from the original source.
RecentlyPage 236 of 1138 · 22757 stories