Unganishwa

Search the region

22771 stories

Sports · Mwanaspoti

Hatma ya Carrick kuamuliwa Monaco

HATMA ya Michael Carrick kama kocha mkuu wa Manchester United inatarajiwa kuamuliwa mjini Monaco, umbali wa kilomita 800 kutoka Uwanja wa Old Trafford.

Recently
Sports · Mwanaspoti

Neymar ampa ndege baada ya babake kuuawa

NYOTA wa Santos, Rony, amemshukuru mshambuliaji mwenzake Neymar kwa msaada na ukarimu aliomwonesha baada ya baba yake kufariki dunia kwa kuuawa.

Recently
Uncategorized · Mwanaspoti

Urafiki wa miaka 13 wa Davido na Diamond

Read the full report from the original source.

Recently
Sports · Mwanaspoti

Namba mpya zaipa Arsenal ubingwa EPL

Read the full report from the original source.

Recently
Business · Mwananchi

Haya hapa maeneo yaliyobeba uchumi wa Tanzania

Soma zaidi...

Recently
Uncategorized · The Standard

How East African tea-picking labour rescued Mt Kenya

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Mwananchi

Papa Leo XIV aunda Jimbo la Nzega, ateua maaskofu wawili

Soma hapa...

Recently
Uncategorized · The Citizen

Tanzania pushes technology-led emergency healthcare in Africa

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Business Daily

Co-op interim dividend up 50pc as profit hits Sh27bn

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · DW Afrique

NM : Niclas Füllkrug de retour à la tête de l'attaque allemande ?

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Chimpreports

Kenya Refuses to Serve as Quarantine Centre for Travellers Seeking Entry to Other Countries

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

'Leave porridge politics': Ruto hits back at Uhuru

The President was responding to remarks by Uhuru, who had rallied Opposition leaders to unite ahead of the 2027 General Election.

Recently
Business · Issa Michuzi

NDEJEMBI: TATUENI KERO ZA WAKULIMA KUHARAKISHA UZALISHAJI WENYE TIJA

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, ameielekeza Wizara ya Kilimo kushughulikia kwa haraka kero za wakulima, zikiwemo malipo ya madeni ya mauzo ya Tumbaku, mgawanyo wa shamba la uzalishaji wa mbegu -Namtumbo, upatikanaji wa pembejeo na bei ya Mahindi, ili kuwawezesha wakulima kuanza uzalishaji kwa wakati na kuongeza tija. Ameelekeza hayo wakati wa ziara yake Wilayani Namtumbo, mkoani Ruvuma tarehe 11 Novemba 2026, ambapo amesisitiza utekelezaji wa agizo la Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan la kutenga sehemu ya shamba la uzalishaji wa mbegu kwa wananchi wa eneo husika na kuagiza hatua hiyo itekelezwe mara moja. Shamba hilo lenye ukubwa wa hekta 6,618.43 linajumuisha hekta 1,366.03 zinatumika kwa makazi ya wananchi;, hekta 3,580.39 zinatumiwa na Wakala ya Mbegu za Kilimo (ASA) kwa kuzalisha mbegu, na hekta 1,672.01 zimeelekezwa kutengwa kwa wananchi kufanya shughuli za kilimo. Kuhusu madeni ya wakulima wa Tumbaku, Makamu wa Rais ameelekeza Kampuni ya 3H kukamilisha malipo ya deni la Dola za Marekani 450,000 ifikapo mwisho wa Novemba 2026. Kwa mujibu wa kampuni hiyo, vyama 38 kati ya 43 tayari vimeshalipwa, huku vyama vitano vilivyobaki vikiwa vimepokea asilimia 50 ya madai yao. Akizungumzia suala la mahindi, Waziri wa Kilimo, Mhe. Daniel Chongolo (Mb), amesema Serikali imeongeza bei ya ununuzi kutoka Shilingi 450 hadi 500 kwa kilo na kwamba Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) uko tayari kuanza mara moja ununuzi wa mahindi katika Ghala la Namtumbo baada ya kukamilisha maandalizi yote muhimu. Kuhusu mbolea, Waziri Chongolo amewataka mawakala wa mbolea za ruzuku Namtumb kuzingatia bei elekezi ya Serikali ya Shilingi 93,000 hadi 95,000 kwa mfuko. Ziara hiyo imewahamasisha wakulima kuendelea kuingia mashambani na kuongeza uzalishaji, huku Serikali ikiendelea kuchukua hatua za kutatua changamoto zilizobaki ili kuimarisha usalama wa chakula na kukuza uchumi wa Taifa.

Wed, 11 Nov 2026 14:04:52 +0000
Uncategorized · The Observer Uganda

How thieving workers are killing businesses

From stolen sales to diverted customer payments, business owners say employee dishonesty is eating into their profits. But traders’ representatives warn that poor financial management…

Recently
Uncategorized · DW Afrique

La Génération Z est-elle moins bien lotie que celle des baby-boomers ?

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

Italy: Hundreds of school evacuated after bomb threats

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · SoftPower News

Opinion: What Could Criminals Exploit This Festive Season?

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Mt Kenya is ‘Tutam’, says Waiguru

The Kirinyaga governor reaffirmed the region’s support for Ruto’s 2027 re-election bid while taking aim at Gachagua over his remarks about the Gusii community.

Recently
Uncategorized · The Standard

Ruto to Uhuru: 'Wachana na walevi, tafuta habari kwa watu sober'

President William Ruto has hit at his predecessor Uhuru Kenyatta after he said that majority of Kenyans are rallying behind the United Opposition.

Wed, 11 Nov 2026 16:34:12 +0300
Uncategorized · Issa Michuzi

ASAS RALLY TEAM YAGAWA MAZIWA KATIKA SHULE 10 ZA ARUSHA

Timu maarufu ya mbio za magari nchini, ASAS Rally Team, kupitia mpango wa kijamii wa ASAS Maziwa Mashuleni, imeandaa zoezi la kugawa maziwa kwa wanafunzi katika shule 10 za Jiji la Arusha, ikiwa ni sehemu ya juhudi za ASAS Group za kuunga mkono afya, lishe na ustawi wa watoto nchini Tanzania. Katika zoezi hilo, jumla ya pakiti 6,000 za maziwa zinatarajiwa kugawiwa kwa wanafunzi, kwa lengo la kuhamasisha umuhimu wa lishe bora katika ukuaji, afya na maendeleo ya elimu. Hatua hiyo ni sehemu ya dhamira ya ASAS Group ya kuhakikisha kuwa shughuli zake za kibiashara na michezo zinakwenda sambamba na utekelezaji wa miradi yenye manufaa ya moja kwa moja kwa jamii.

Wed, 11 Nov 2026 13:34:25 +0000

Page 244 of 1139 · 22771 stories