Unganishwa

Search the region

22799 stories

Uncategorized · Rwanda News Agency

Where the Rain Meets the Sea

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Kenya's exports to China

April-June

Recently
Uncategorized · Agence Burundaise de Presse

Descente de réconfort aux commerçants de la zone Bukeye victimes d’un incendie

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Ankole Times

Uganda Zaabu!! UEDCL Seeks $994 Million To Fix Uganda’s Power Distribution Network Amid Persistent Outrages

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Isango Star

Abarusiya hafi 400.000 bashobora kuba baraguye mu ntambara na Ukraine

Amatsinda abiri y’abahanga mu by’ikoranabuhanga yatangaje ko Abarusiya 392.700 bashobora kuba barapfuye bazize intambara igihugu cyabo kirwanamo na Ukraine kuva muri Gashyantare 2022 kugeza muri Kanama 2026. Ibi byatangajwe hashingiwe ku nyandiko z’impfu, aya matsinda avuga ko yakuye muri sisitemu z’ikigo cy’ibarurishamibare cy’u Burusiya, Rosstat.

Wed, 11 Nov 2026 12:00:21 +0200
Uncategorized · Issa Michuzi

MRADI WA KUWAWEZESHA WASICHANA ,WANAWAKE ,VIJANA KIBAHA YAZINDULIWA

MAKUNDI ya wasichana na wanawake vijana wenye umri wa miaka 18 hadi 35 katika Manispaa ya Kibaha Mkoa wa Pwani na maeneo ya jirani wanatarajiwa kunufaika na mradi wa mwaka mmoja wa uwezeshaji kiuchumi unaolenga kukuza ajira, kujitambua na tija kwa jamii. Mradi huo ujulikanao kama ' Girls Round Table- Season 12', utatekelezwa kwa pamoja na shirka lisilo la lissrikali la Nuruyetu Foundation na Serikali kupitia Idara ya Maendeleo ya Jamii na mamlaka za serikali za mitaa katika maeneo ya mradi. Akizungumza wakati wa uzinduzi katika Shule ya Msingi Sofu, Manispaa ya Kibaha hivi karibuni, Afisa Mtendaji wa Kata ya Sofu, Bi Aloysia Nyeto, alisema mradi huo unatarajiwa kubadilisha maisha ya wasichana na wanawake vijana ambao wamepoteza mwelekeo wa maisha, huku pia ukijenga uwezo wa jamii katika masuala mbalimbali ya maendeleo. “Mradi huu utawafikia wasichana wetu na mabinti zetu, wengi wao waliokosa fursa za kufikia ndoto zao. Sambamba na hilo, jamii ambazo walengwa hawa wanatoka pia zitanufaika kwa namna moja ama nyingine kupitia programu za mradi huu. Tunashukuru sana Serikali kwa kutoa vibali kwa wadau mbalimbali wa maendeleo kufanya kazi na makundi mbalimbali ya watu katika maeneo yetu, na hii inaonesha dhahiri dhana ya utekelezaji wa malengo ya Dira ya 2050,” alisema. Aliongeza kuwa, kupitia uwezeshaji wa kiuwezo na mtaji utakaotolewa kupitia mradi huo kwa walengwa hao, jamii katika maeneo husika zitajifunza umuhimu wa kuyajali makundi ya wanawake na wasichana kwa faida ya familia na jamii nzima. Kwa upande wake, Mkurugenzi wa Nuruyetu Foundation, Bi Zauja Mohamed, alisema wanawake vijana na wasichana kutoka maeneo ya Picha ya Ndege, Kwamfipa, Visiga na Sofu watanufaika katika awamu ya kwanza ya mradi huo, ambao unafadhiliwa kwa pamoja na Global Affairs Canada na Cuso International. Akifafanua mradi huo, alisema walengwa watapata fursa ya kujifunza ujuzi wa kidijitali na fedha, utengenezaji wa kazi za mikono na ujuzi wa ujasiriamali. “Tutaendelea kutafuta fursa mbalimbali kwa walengwa wa mradi huu kadri muda unavyokwenda. Lengo ni kuwawezesha kunufaika kulingana na uwezo wao wa kutumia ujuzi watakaoujifunza,” alisema. Aliongeza kuwa mwishoni mwa mradi, walengwa watapewa vifaa vya kuanzishia biashara ili kuanzisha biashara zao wenyewe. Alisema shirika hilo pia litaunga mkono Serikali katika kuimarisha masomo ya ufundi stadi kwa wasichana katika mikoa ya Pwani na Dar es Salaam, kama sehemu ya mradi huo. Wakizungumza kwa niaba ya walengwa wengine, Olpa George wa Visiga na Rahma Hatibu wa Picha ya Ndege wote walionyesha matarajio makubwa ya mafanikio watakayoyapata kupitia mradi huo.

Wed, 11 Nov 2026 08:58:24 +0000
Uncategorized · Daily News

TZ learn lessons from fourth-place finish in Handball Africa Zone V

KIBAHA: TANZANIA Handball Federation (THF) President Michael Martin Chebawala has described the country’s fourth-place finish at the Women’s IHF Nations…

Recently
Uncategorized · Rwanda News Agency

«Régler les problèmes qui handicapent la Connectivité, le Commerce, et l’Investissement en Afrique Australe et de l’Est» -A. Mold

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

NIC YAZINDUA MFUMO WA KIDIGITALI WA BIMA YA MAISHA KWA WATUMISHI WA UMMA

Makamu  wa  Rais wa Kwanza Othman Masoud Othman akizungumza katika mkutano wa Maafisa Utumishi ulioendana na uzinduzi wa Mfumo wa Bima ya Maisha uliunganishwa Watumishi Portal Mkurugenzi Mtendaji wa NIC Insurance Kaimu Mkeyenge akimsikiliza Makamu  wa  Rais wa Kwanza Othman Masoud Othman  katika mkutano wa Maafisa Utumishi ulioendana na uzinduzi wa Mfumo wa Bima ya Maisha uliunganishwa Watumishi Portal. Maafisa utumimishi wakifatilia Mada ya Bima ya Maisha inayoyolewa na NIC Insurance ZANZIBAR. Watumishi wa umma sasa wanaweza kujiunga na bima ya maisha ya Shirika la Bima la Taifa (NIC) kupitia Watumishi Portal (ESS), mfumo wanaoutumia kupata huduma za kiutumishi. Kwa kuweka huduma hiyo kwenye mfumo huo, NIC inalenga kurahisisha usajili na kupunguza matumizi ya fomu za karatasi. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Othman Masoud Othman, alizindua huduma hiyo Jumanne, tarehe 10 Novemba 2026, wakati wa Mkutano Mkuu wa 11 wa Mtandao wa Wasimamizi wa Rasilimali Watu katika Sekta ya Umma Barani Afrika (APS-HRMNet), uliofanyika Zanzibar. Othman pia alifungua mkutano huo kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi. Akizungumza katika uzinduzi huo, Mkurugenzi Mtendaji wa NIC, Kaimu Abdi Mkeyenge, alisema huduma hiyo ni sehemu ya juhudi za shirika za kuwafikia wateja katika maeneo mbalimbali nchini. Hatua hiyo inaendana na msisitizo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, wa kutumia teknolojia kuboresha utoaji wa huduma katika taasisi za umma. Katika mkakati wake wa matumizi ya teknolojia, NIC imeongeza njia ambazo mteja anaweza kutumia kupata taarifa, kununua bima na kufuatilia madai kupitia tovuti rasmi ya www.nicinsurance.co.tz, App ya NIC Kiganjani, na NIC Customer Portal. Shirika pia linatoa huduma kupitia NIC Rafiki kwenye WhatsApp. Kupitia njia hizo, NIC inalenga kukidhi mahitaji ya wateja na kupanua upatikanaji wa ulinzi wa bima kwa watu binafsi, familia, taasisi na jamii kwa ujumla. Kutoa huduma ya bima kupitia mfumo ambao watumishi tayari wanautumia kunaendana na Lengo la Nne la Dira 2050, linalohimiza matumizi ya teknolojia za kidigitali kuchochea ubunifu. Miongoni mwa shabaha za lengo hilo ni kuhakikisha zaidi ya asilimia 80 ya huduma za Serikali zinapatikana kupitia mifumo ya kidigitali iliyo salama na jumuishi. Kwa mtumishi wa umma, urahisi wa kujiunga na bima ya maisha unatoa nafasi ya kupanga mapema ulinzi wa kifedha wa familia yake. Kwa kurahisisha hatua hiyo, NIC inalenga kuimarisha utamaduni wa kutumia bima kama sehemu ya mipango ya kifedha ya familia.

Wed, 11 Nov 2026 08:52:39 +0000
Uncategorized · Issa Michuzi

RAIS WA NGUMI TANZANIA ATEULIWA KUWA KAIMU KATIBU MKUU WA SHIRIKISHO LA NGUMI AFRIKA (AFRICAN BOXING)

11-11- 2026, Dar es salaam RAIS wa Shirikisho la Ngumi Tanzania (BFT), Ndg. Lukelo Willilo, ameteuliwa kuwa Kaimu Katibu Mkuu wa African Boxing, Shirikisho la Ngumi Barani Afrika. Uteuzi huo ulifanywa rasmi na Rais wa African Boxing, Mheshimiwa Solomon Kargbo, na kuthibitishwa na Bodi ya Wakurugenzi katika kikao kilichofanyika tarehe 2-11-2026. Willilo alianza rasmi kutekeleza majukumu yake mapya tarehe 9-11-2026. Mbali na nafasi hiyo mpya, Willilo pia ni mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya African Boxing na Mwenyekiti wa Kamati ya Mchezo na Mashindano ya Shirikisho hilo. African Boxing ni chombo kinachosimamia na kuendeleza mchezo wa ngumi za mtindo wa Olimpiki katika bara la Afrika, na ni mshirika wa World Boxing. Uteuzi huu unaifanya Tanzania kupata nafasi muhimu zaidi katika uongozi wa mchezo wa ngumi barani Afrika. ✍🏽 Mawasiliano BFT

Wed, 11 Nov 2026 08:55:33 +0000
Uncategorized · Agence Burundaise de Presse

La coordination des interventions appelée à renforcer la riposte contre le VIH/Sida

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Daily News

Top Queens renew rivalries

DAR ES SALAAM: THE Women’s Premier League’s top four sides renew their rivalries in a mouth-watering round of fixtures, with…

Recently
National · Issa Michuzi

MAKAMU WA RAIS AKAGUA UJENZI WA STENDI YA NAMTUMBO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, leo tarehe 11 Novemba 2026 amekagua mradi wa ujenzi wa Stendi ya Mabasi ya Namtumbo, akiwa ziarani mkoani Ruvuma. Mradi huo unaotekelezwa kwa gharama ya Shilingi Bilioni 8.4 unatarajiwa kuwa na Jengo la kisasa la utawala, Mgahawa, Kituo cha Polisi, Maduka pamoja na Barabara za ndani. Stendi hiyo itaboresha huduma za usafiri kwa wananchi, kuongeza mapato ya halmashauri na kufungua fursa za ajira na biashara kwa vijana na wajasiriamali. Akiwa katika eneo hilo, Mhe. Ndejembi ameielekeza Halmashauri hiyo kuwa na uhalisia katika kuzingatia mud ana fedha wakati wa kusaini mikataba ya ujenzi ili kuipunguzia Serikali mzigo wa malimbikizo ya madeni kwa wakandarasi.

Wed, 11 Nov 2026 08:46:37 +0000
Uncategorized · Daily News

Tenga, Karia call for stronger sports leadership

DAR ES SALAAM: NATIONAL Sports Council (NSC) Chairman Leodgar Tenga and Tanzania Football Federation (TFF) President Wallace Karia have challenged…

Recently
Uncategorized · Daily News

Singida BS part ways with four players

SINGIDA: SINGIDA Black Stars have parted ways with four players by mutual agreement following a technical assessment aimed at improving…

Recently
Uncategorized · The Citizen

Demolitions leave Dodoma families counting the cost of road expansion

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Agence Burundaise de Presse

Les scouts du groupe Sainte Olave de Kamenge s’imposent face aux Xaveris lors d’un match amical

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Uhuru’s cousin remembered as a pillar of love

The family of the late Beatrice Wambui has paid tribute to her long life, unwavering faith and resilience, recalling her love for family

Recently
Uncategorized · Daily News

Digital transformation opens new business opportunities

TANZANIA: TANZANIA’s ambition to become a competitive uppermiddle-income economy under Dira 2050 is creating opportunities for digital transformation, with technology…

Recently
Uncategorized · The Standard

Police launch probe into death of Somali TikToker after fall from 7th floor

Fathy Abdirahaman popularly known to her online followers as ‘Tushta died on the spot on Monday after plunging from the seventh floor of Tsavo Sunset 2 Apartments in Thindigua.

Wed, 11 Nov 2026 10:04:52 +0300

Page 253 of 1140 · 22799 stories