Unganishwa

Search the region

22809 stories

Uncategorized · Citizen Digital

Church counts losses as fire razes buildings, kills 400 chickens

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · SoftPower News

Museveni Appoints 13 New Permanent Secretaries, Retires 11

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Chimpreports

Uganda Bets on Inland Water Transport to Cut Cargo Costs

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Chimpreports

Ugandan Youth Activist Wins Global Sustainability Award

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Wajackoyah to revive bhang agenda in 2027 race

The Roots Party leader says voters misunderstood his 2022 proposals, insisting hemp commercialisation could transform Kenya's economy through agriculture.

Recently
Uncategorized · KBC

Kenya Railways sets December deadline for Talanta Stadium rail link

The railway connection to Raila Odinga International Stadium (Talanta) comes ahead of the January 5, 2027, football match between Bayern Munich and Ajax FC.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

UZIO WA UMEME KUWAKOMESHA WANYAMA PORI WAKALI NA WAHARIBIFU

Wananchi wa kijiji  cha Makhoromba wilayani Karatu hivi karibuni wanatarajiwa kupumua baada ya kumalizika kwa ujenzi wa uzio wa umeme unaofanywa na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro  ambapo kwa sasa mradi huo  umefikia asilimia 72  ili uweze kukamilika. Lengo la ujenzi wa uzio huo ni kuondoa migogoro baina ya wanyamapori wakali na waharibifu dhidi ya wananchi ikiwa ni utekelezaji wa ilani ya CCM inayosisitiza umuhimu wa wananchi kulindwa. Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Mamlaka  ya Hifadhi ya Ngorongoro Victoria Shayo, amesema ujenzi huo unafanyika ili wananchi katika eneo hilo na mali zao waweze kuwa salama. Ziara hiyo imehitimishwa kwa wito kwa wananchi kuendelea kushirikiana na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro katika kulinda na kutunza mazingira pamoja na kuhakikisha mradi huo unakuwa endelevu kwani uwepo wake utawazuia wanyamapori wakali kutotoka ndani ya hifadhi  ya Ngorongoro.

Wed, 11 Nov 2026 06:52:15 +0000
Uncategorized · DW Rwanda

India: CPCB addresses stark Delhi pollution data gap on Diwali night

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

Germany's climate standing sinks to lowest level in years

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Ankole Times

STEVEN ARIONG: UPDF Should Take Over Kira Motors to Save Taxpayers’ Money

Read the full report from the original source.

Recently
Business · Issa Michuzi

MAKAMU WA RAIS ATOA MAELEKEZO WIZARA YA KILIMO KUSHUGHULIKIA BEI YA MBOLEA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, amemwagiza Waziri wa Kilimo, Mhe. Daniel Chongolo, kuhakikisha mbolea ya ruzuku inapatikana kwa bei elekezi ya Serikali katika Kijiji cha Mtyangimbole, Halmashauri ya Wilaya ya Madaba mkoani Ruvuma, pamoja na maeneo mengine ya mkoa huo, kufuatia malalamiko ya wananchi kuhusu kupanda kwa bei ya pembejeo hiyo muhimu. Makamu wa Rais ametoa agizo hilo, Novemba 10, 2026, wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wa Mradi wa Maji wa Mtyangimbole–Dabaga, wenye thamani ya shilingi bilioni 5.6, ambao umefikia asilimia 96 ya utekelezaji na unatarajiwa kuhudumia zaidi ya wananchi 19,000 katika vijiji vitatu. Katika ziara hiyo, amekagua matenki ya kuhifadhia maji na miundombinu mingine ya mradi, pamoja na kuzungumza na wananchi waliopata fursa ya kueleza changamoto zinazowakabili. Akizungumzia upatikanaji wa mbolea, Makamu wa Rais amesisitiza kuwa Serikali haiwezi kukubali wananchi kuuziwa mbolea ya ruzuku kwa bei inayozidi ile iliyoelekezwa, huku akimtaka Waziri wa Kilimo kufuatilia na kutoa taarifa kuhusu sababu za kupanda kwa bei hiyo. Amesisitiza kuwa bei elekezi ya Serikali lazima izingatiwe Madaba na maeneo mengine, ili wakulima wanufaike na ruzuku inayotolewa kwa lengo la kupunguza gharama za uzalishaji. Aidha, akizungumzia bei ya mahindi kwa mwaka 2026, Ndejembi amewahimiza wakulima kujiandaa na msimu ujao wa kilimo kwa kuongeza uzalishaji, akieleza dhamira ya Serikali ya kuhakikisha mbolea ya ruzuku inapatikana na changamoto za masoko na bei ya mahindi zinashughulikiwa ili wakulima wasipate hasara. Kuhusu Mradi wa Maji wa Mtangimbole–Dabaga, Makamu wa Rais amesema utekelezaji wake ni kielelezo cha namna Serikali ya Awamu ya Sita, chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, inavyoendelea kupeleka huduma muhimu karibu na wananchi na kuboresha maisha yao. Amesema Serikali itaendelea kufanya kazi kwa juhudi ili kuhakikisha maendeleo yanawafikia wananchi mmoja mmoja, hususan katika maeneo ya vijijini. Katika hatua nyingine, Makamu wa Rais amewataka wananchi kushiriki kikamilifu katika utunzaji wa mazingira kwa kulinda misitu, kupunguza ukataji miti ovyo na kuhifadhi vyanzo vya maji, akionya kuwa uharibifu wa mazingira unachangia mabadiliko ya tabianchi, ukame na kupungua kwa upatikanaji wa maji. Ziara hiyo imeweka msisitizo katika dhamira ya Serikali ya kuhakikisha miradi ya maendeleo inaleta matokeo yanayoonekana, huku changamoto zinazogusa maisha ya wananchi, hususan wakulima, zikishughulikiwa kwa wakati.

Wed, 11 Nov 2026 06:37:02 +0000
Uncategorized · The Ankole Times

Umukuka Heads to Ethiopia to Represent East Africa at African Kings and Traditional Leaders Conference

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Citizen

How Dar es Salaam is tackling petty traders operating in road reserves

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Citizen

Why value addition is key to Tanzania unlocking $220 billion in exports

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Mwanaspoti

Swaga nje, makonde mazito ndani ya ulingo

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Techweez

Nintendo Ends Google and Apple Sign-Ins for Switch Accounts in January

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Citizen

Tundu Lissu’s brother laid to rest amid tributes and calls for justice and democracy

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Citizen

Tanapa targets private investment and new tourism markets to drive Tanzania’s Vision 2050 growth

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Preacher fined Sh900K for exposing ex-wife's HIV status

The tribunal observed that people living with HIV continue to experience stigma and discrimination despite advances in treatment and prevention.

Recently
Uncategorized · Daily News

Ericsson offers opportunities for digital transformation, Dira 2050 agenda

TANZANIA’S ambition to become a competitive, upper-middle-income economy under Dira 2050 presents significant opportunities for digital transformation, with emerging technologies…

Recently

Page 257 of 1141 · 22809 stories