Unganishwa

Search the region

22822 stories

Uncategorized · DW Rwanda

UK court overturns Trinidad and Tobago law criminalizing gay sex

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

FIFA presidential hopeful Vega in it to win it

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Lawyers threaten nationwide strike until advocate Abshir Abdi is found

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Standard

Kenya to open missions in Azerbaijan and Congo, closes Bern Embassy

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

Vodacom Yazindua M-Pesa MCHEZO, Kurahisisha Usimamizi wa Upatu Kidijitali

Kaimu Mkurugenzi wa M-Pesa Vodacom Tanzania Tulisindo Mlupilo (kushoto), Mkurugenzi wa Huduma za Kibenki kwa Wateja Binafsi wa ABSA Bank Ndabu Lilian Swere, (katikati) na Mkurugenzi wa Afropavo Limited Rwebu Mutahaba wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa uzinduzi wa MCHEZO, huduma mpya ya kidijitali inayowawezesha Watanzania kusimamia vikundi vya upatu kupitia M-Pesa. Huduma hiyo imezinduliwa kupitia ushirikiano wa Vodacom Tanzania, ABSA Bank na Afropavo Limited, kwa lengo la kuimarisha uwazi, kurahisisha usimamizi wa michango na kuhakikisha wanachama wanapata taarifa za miamala ya vikundi vyao. Kaimu Mkurugenzi wa M-Pesa wa Vodacom Tanzania, Tulisindo Mlupilo, akizungumza wakati wa uzinduzi wa M-PESA MCHEZO, huduma mpya ya kidijitali inayowawezesha Watanzania kusimamia vikundi vya upatu kupitia M-Pesa. Uzinduzi huo umefanyika leo Novemba 10, 2026, jijini Dar es Salaam, kwa ushirikiano wa Vodacom Tanzania, ABSA Bank na Afropavo Limited. Meneja wa Huduma Mpya za Kifedha wa M-Pesa, Brenda Msola akielezea namna huduma mpya ya kidijitali ya M-PESA MCHEZO, inayowawezesha Watanzania kuanzisha na kusimamia vikundi vya upatu kupitia M-Pesa, inavyofanya kazi. Wateja wanaweza kujiunga kwa kupiga *150*00#, kuchagua Huduma za Kifedha kisha M-PESA MCHEZO na kuanzisha au kujiunga na vikundi, kuchangia fedha na kufuatilia michango pamoja na taarifa za miamala. Kaimu Mkurugenzi wa M-Pesa wa Vodacom Tanzania, Tulisindo Mlupilo (wa nne kushoto), Mkurugenzi wa Huduma za Kibenki kwa Wateja Binafsi wa ABSA Bank, Ndabu Lilian Swere (wa tano kushoto) na Mkurugenzi wa Afropavo Limited, Rwebu Mutahaba (wa tano kulia), wakiwa katika picha ya pamoja na wadau kutoka kampuni hizo wakati wa uzinduzi wa MCHEZO, huduma mpya ya kidijitali inayowawezesha Watanzania kusimamia vikundi vya upatu kupitia M-Pesa. Uzinduzi huo umefanyika leo Novemba 10, 2026, kupitia ushirikiano wa Vodacom Tanzania, ABSA Bank na Afropavo Limited. Baadhi ya Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania Plc pamoja na watengenezaji wa maudhui, wakiongozwa na Kaimu Mkurugenzi wa M-Pesa, Tulisindo Mlupilo, wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa uzinduzi wa MCHEZO, huduma mpya ya kidijitali inayowawezesha Watanzania kuanzisha na kusimamia vikundi vya upatu kupitia M-Pesa. Huduma hiyo inawawezesha wanachama kuanzisha au kujiunga na vikundi, kuchangia fedha na kufuatilia michango pamoja na taarifa za miamala ya vikundi vyao.

Tue, 10 Nov 2026 19:07:25 +0000
Uncategorized · The Standard

From Sakaja to Ochieng Ondugi Randa: Sakaja 'adopted' by Luo elders, endorsed for re-election

The elders bestowed upon him the cultural name Ochieng Odungi Randa, formally welcoming him into the community and urging Luo voters to support his re-election bid.

Tue, 10 Nov 2026 21:52:49 +0300
Uncategorized · The Observer Uganda

The bar tab is due: Paying for Uganda’s oil before the first drop is pumped

For 20 years, the answer to every Uganda economic problem has been the same. Budget tight? Wait for the oil. Shilling falling? Wait for the…

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Rironi-Mau Summit: Government announces plans to introduce cable cars at the Great Rift Valley Viewpoint

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

News Brief: Why Ruto's Cabinet is under siege

Here are the stories making the headlines.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Natembeya, security agencies clash over access to Masinde Muliro Market

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · HabariLeo

Ujenzi Viwango House Mwanza wafikia asilimia 95.2

Read the full report from the original source.

Recently
National · Issa Michuzi

SERIKALI YATAKA HALMASHAURI KUIMARISHA USIMAMIZI WA TAKA ZA PLASTIKI

Serikali kupitia Ofisi ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI imezitaka Wilaya ya Ilala, Temeke , Kinondoni pamoja na Mafia kuweke mifumo madhubuti wa uratibu uwajibikaji na ufuatiliaji wa mipango mkakati ya usimamizi wa taka za Plastiki jambo ambalo litaleta na tija kwa taifa katika kulinda  mazingira na kuweka msingi wa mabadiliko ya kweli na kutengeneza fursa za kiuchumi. Akizungumza leo jijini Dar es Salaam wakati akizindua mipango mkakati ya kuboresha Usimamizi WA Taka za Plastiki Wilaya ya Ilala, Temeke, Mafia na Kinondoni, Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI anayeshughulikia Miundombinu Mhandisi Rogatus Mativila, amesisitiza umuhimu wa vikao vya menejimenti na kamati za halmashauri kuhakikisha ufuatiliaji endelevu pamoja na kujadili utekelezaji wake. Mwenyekiti wa Bodi ya Mtandao wa Mashirika ya Kiraia yanayoshughulikia Mabadiliko ya Tabianchi Tanzania (FORUMCC - Forum CC) Yusta Kibona, meiomba serikali kutoa muongozo Kwa Halmashauri  ili vipaombele vya mkakati hiyo viingizwe katika mipango ya maendeleo na bajeti kila mwaka. Mwakilishi wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Elias Chundu, amesisitiza umuhimu wa wadau kushirikiana katika kulinda mazingira, kuwepo kwa sheria rafiki na kuimarisha utekelezaji wa mipango ya kupunguza uzalishaji wa taka ngumu. Kwa upande wao Wawakilishi wa halmashauri hizo wameahidi kutekeleza kwa vitendo mikakati iliyowekwa kwa kushirikiana na wadau mbalimbali ili kuhakikisha malengo ya usimamizi bora wa taka za plastiki yanafikiwa. Katika hafla hiyo, wametoa Tuzo kwa masoko waliofanya vizuri katika usimamizi wa mazingira, ikiwa ni sehemu ya kuwahamasisha kuendeleza juhudi za kutunza mazingira.

Tue, 10 Nov 2026 18:53:25 +0000
Uncategorized · UN News Burundi

When deaths go uncounted: WHO flags dangerous blind spots in Africa’s health data

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Observer Uganda

Moscow, from the Russia-Africa Summit sidelines

MOSCOW – Unlike Uganda and many other African countries in the tropics, where temperatures are generally warm throughout the year, Moscow, Russia’s capital, offers a…

Recently
Uncategorized · Business Daily Africa

Moldovan firm erases leaked Odingas, Kenyattas’ dealings

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · DW Afrique

Ebola en RDC : plus de 10 000 cas contact perdus de vue, alerte l’OMS

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Chimpreports

Uganda Bets on Inland Water Transport to Cut Cargo Costs Ahead of African Maritime Conference

Read the full report from the original source.

Recently
Health · The Nile Post

Rooted Life Foundation Donates Sickle Cell Medicines to Mityana Hospital

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Does your love language actually mean anything?

The five love languages are: Quality Time, Acts of Service, Words of Affirmation, Receiving Gifts, and Physical Touch - and they feel more ubiquitous than ever.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Luo elders adopt Sakaja, endorse his 2027 re-election bid

Read the full report from the original source.

Recently

Page 265 of 1142 · 22822 stories