Search the region
22825 stories
Tayebwa calls for fair trade, climate financing as OACPS-EU Assembly opens in Brussels
Read the full report from the original source.
RecentlyAirport fees in DRC raise concern for international travellers
Read the full report from the original source.
RecentlyMabasi ya mwendokasi yaanza majaribio Gongo la Mboto
Hatimaye wakazi wanaotumia Barabara ya Nyerere kuelekea Gongo la Mboto wameanza kuonja utamu wa usafiri wa magari yaendayo haraka, maarufu mwendokasi.
RecentlyIPOA identifies 10 River Yala victims through DNA
Ojwang said IPOA had collected DNA samples from relatives of missing persons to establish the identities of the bodies recovered from River Yala
RecentlyQuand des gouvernement instrumentalisent la chasse aux fake news
Read the full report from the original source.
RecentlyCivil society groups demand action against Oparanya over Ksh.56.7M million graft claims
Read the full report from the original source.
RecentlyGovernment rules out new tax incentives for PPP projects
Read the full report from the original source.
RecentlyMchengerwa sees Mount Meru Hospital celebrate 100 years of excellent services
ARUSHA: THE Minister for Health, Mohamed Mchengerwa, has urged staff at Mount Meru Regional Referral Hospital and other health facilities…
RecentlyCountries with the most leisure time
Norway leads the world in daily leisure time, with people spending an average of 5.9 hours on leisure activities, according to data by Visual Capitalist.
RecentlyTANAPA YAWEKA MIKAKATI KUVUTIA WATALII, KUIMARISHA UHIFADHI
Na Mwandishi Wetu,Michuzi TV SHIRIKA la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limeweka mikakati mbalimbali ya kuimarisha uhifadhi, kuongeza idadi ya watalii wa ndani na nje ya nchi na kupanua mchango wa sekta ya utalii katika uchumi wa Taifa, huku likilenga kuhakikisha wananchi wanaozunguka hifadhi wananufaika na rasilimali zilizopo. Mikakati hiyo inajumuisha kuboresha miundombinu ya usafiri, matumizi ya teknolojia za kisasa katika ulinzi wa wanyamapori, kuimarisha huduma za utalii na kutekeleza miradi ya maendeleo kwa jamii zinazozunguka hifadhi. Akizungumza katika mkutano wa wahariri na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Novemba 10, 2026, Kamishna wa TANAPA, Massana Gibril Mwishawa, alisema ujenzi wa viwanja vinne vya ndege katika Hifadhi za Taifa za Nyerere, Mikumi na Ruaha, ambako viwili vinajengwa, pamoja na uwekezaji wa Serikali katika reli ya kisasa ya SGR na kuboresha barabara, umeongeza urahisi wa kufikika kwa hifadhi hizo. Alisema maboresho hayo yanaongeza mvuto wa hifadhi za taifa kwa watalii wa ndani na nje ya nchi, kutokana na kurahisisha safari na kupunguza changamoto za usafiri. Katika kuimarisha ulinzi wa rasilimali za taifa, Mwishawa alisema TANAPA imeongeza matumizi ya teknolojia za kisasa katika doria, ufuatiliaji wa wanyamapori na kudhibiti vitendo vya ujangili. Aliongeza kuwa wananchi wamewezeshwa kutoa taarifa za matukio yanayohusisha wanyamapori wakali na waharibifu kupitia namba maalumu za mawasiliano zilizowekwa katika kanda mbalimbali za Shirika. Akizungumzia manufaa ya uhifadhi kwa jamii, alisema TANAPA inaendelea kutekeleza miradi ya maendeleo inayolenga kuboresha maisha ya wananchi wanaozunguka hifadhi, ikiwemo ujenzi wa shule, mabweni, zahanati na vituo vya polisi, uchimbaji wa visima na ujenzi wa mabwawa ya maji. Alisema pia Shirika limewezesha uanzishwaji wa viwanda vidogo vya kukamua mafuta ya alizeti na kusindika asali ili kuongeza thamani ya mazao na kufungua fursa za kiuchumi kwa wananchi. Aidha, alisema TANAPA inaendelea kuwawezesha wananchi kupitia vyama vya kuweka na kukopa vya kijamii (COCOBA), vinavyowapatia mikopo ya fedha na mitaji kwa ajili ya shughuli za kiuchumi. Alisema mpango huo umesaidia wananchi kujiajiri, kuanzisha biashara na kuongeza kipato, akisisitiza kuwa ushiriki wa jamii ni msingi muhimu wa mafanikio ya uhifadhi endelevu. Katika kupanua wigo wa utalii, Mwishawa alisema TANAPA imewekeza pia katika uwanja wa gofu uliopo Fort Ikoma, pembezoni mwa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, kwa lengo la kuunganisha utalii wa wanyamapori na michezo. Alisema uwanja huo unatarajiwa kuvutia wapenzi wa mchezo wa gofu na watalii wa hadhi ya juu kutoka masoko ya kimataifa, sambamba na kuongeza fursa za uwekezaji na kuitangaza Tanzania katika utalii wa gofu duniani. Aliongeza kuwa Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imeweka mkazo katika kukuza utalii Kusini na Magharibi mwa nchi kwa kuvutia uwekezaji katika Hifadhi za Taifa za Nyerere, Ruaha, Kitulo, Katavi, Gombe, Milima ya Mahale, Milima ya Udzungwa na Rubondo. Alisema hatua hiyo ni sehemu ya utekelezaji wa Dira ya Maendeleo ya Taifa ya mwaka 2050, inayolenga kutumia rasilimali zilizopo kuchochea ukuaji wa uchumi na kuongeza fursa za ajira. Katika kutumia fursa za mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), Mwishawa alisema TANAPA kwa kushirikiana na wadau wa utalii imepanga kuandaa vifurushi maalumu vya utalii vitakavyowawezesha mashabiki wa soka wanaotembelea Tanzania kutembelea hifadhi mbalimbali. Alizitaja hifadhi hizo kuwa ni Serengeti, Nyerere, Saadani, Mikumi, Tarangire, Arusha na Manyara. Alisema mpango huo utawapa mashabiki wa soka fursa ya kujionea vivutio vya utalii katika siku ambazo hawatakuwa viwanjani kushuhudia mechi, huku ukilenga kuongeza idadi ya watalii na mapato ya Taifa. Mikakati mingine iliyotajwa ni ujenzi wa barabara ya kilomita 6.69 kwa kiwango cha lami kutoka lango kuu la Hifadhi ya Taifa ya Manyara hadi Minjingu, pamoja na kuanzisha utalii wa majini katika Ziwa Victoria. Alisema utalii huo wa majini utaunganisha Hifadhi ya Serengeti kupitia Ghuba ya Speke, Kisiwa cha Saanane, Kisiwa cha Rubondo na Hifadhi ya Burigi-Chato. Akizungumzia mwenendo wa utalii katika mwaka wa fedha 2025/2026, Mwishawa alisema TANAPA imeendelea kuimarisha ushindani wa hifadhi za taifa katika soko la kimataifa, kukuza utalii wa ndani, kuboresha huduma na kupanua wigo wa uwekezaji. Alisema hatua hizo zinalenga kuongeza mapato ya Serikali na mchango wa sekta ya utalii katika upatikanaji wa fedha za kigeni. Katika hatua nyingine, aliwataka wahariri na waandishi wa habari kuwa washirika muhimu wa TANAPA katika kuelimisha umma kuhusu umuhimu wa uhifadhi na mchango wake katika maendeleo ya Taifa. Pia aliwahimiza wananchi kushiriki kikamilifu katika kulinda rasilimali za hifadhi, kutoa taarifa kuhusu vitendo vinavyohatarisha maliasili na kutumia fursa za kiuchumi zinazotokana na shughuli za utalii ili kujiongezea kipato.
Tue, 10 Nov 2026 16:30:48 +0000Tanzania launches treatment guidelines, essential medicines list to bolster its healthcare services
Read the full report from the original source.
RecentlyCHIMP SPORT: Cheptoek Wins Bronze in Men’s 800m at Dakar 2026
Read the full report from the original source.
Recently25 Changemakers Set to Transform Communities as MTN Uganda Foundation Unveils Phase IV Beneficiaries
Read the full report from the original source.
RecentlyWhy US Embassy will remain closed on Wednesday
Normal operations will resume on Thursday, November 12, 2026.
Recently103bn/- govt investment turns innovation into economic value
DODOMA: FROM agricultural technologies to digital education and biological crop protection, four decades of government investment in research and innovation…
RecentlyGermany news: Presidential candidate Aigner makes case at Bundestag
Read the full report from the original source.
RecentlyBABU TALE KUGARAMIA MATIBABU KWA WANANCHI NGERENGERE
Farida Mangube, Morogoro WANANCHI wa Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki wamenufaika na huduma za matibabu ya kibingwa bila gharama baada ya Mbunge wa jimbo hilo, Hamis Taletale maarufu Babu Tale kugharamia vipimo, matibabu na dawa kwa wote watakaohudhuria kambi maalumu ya afya inayoendelea katika Tarafa ya Ngerengere. Kambi hiyo ya siku 10, imeanza Novemba 10 na kutarajiwa kuhitimishwa Novemba 20, 2026, imeandaliwa kwa ushirikiano kati ya Ofisi ya Mbunge na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), ikiwa na lengo la kusogeza huduma za kibingwa karibu na wananchi na kupunguza mzigo wa gharama za matibabu. Akizungumza katika hafla ya uzinduzi iliyofanywa na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Queen Sendiga, Babu Tale amesema hakuna mwananchi atakayeshindwa kupata huduma kwa sababu ya kukosa fedha, akisisitiza kuwa gharama zote za matibabu kwa watakaohudhuria kambi hiyo zitagharamiwa. Amebainisha kuwa huduma zitakazotolewa bure ni pamoja na vipimo vya moyo kwa kutumia teknolojia za ECHO na ECG, uchunguzi wa afya, ushauri kutoka kwa madaktari bingwa, matibabu pamoja na dawa kulingana na mahitaji ya wagonjwa. Hatua hiyo inalenga kuongeza upatikanaji wa huduma za uchunguzi na matibabu ya magonjwa ya moyo, ambayo yanahitaji utambuzi wa mapema na uangalizi wa kitaalamu ili kupunguza madhara yanayoweza kujitokeza. Katika kuimarisha zaidi ustawi wa wananchi wenye hali ngumu kiuchumi, Babu Tale pia ametangaza mpango wa kutoa bima za afya bure kwa kaya maskini 150 zisizo na uwezo ndani ya jimbo hilo. Mpango huo unatajwa kuwa sehemu ya jitihada za kupunguza changamoto ya wananchi kushindwa kupata huduma za afya kutokana na gharama, huku ukilenga kuhakikisha familia zenye uhitaji zinapata fursa ya kupata matibabu bila kukabiliwa na vikwazo vya kifedha. Kambi hiyo ya matibabu ya kibingwa inatarajiwa kuwa mkombozi kwa wakazi wa Ngerengere na maeneo jirani, kwa kuwapa nafasi ya kupata huduma za kitaalamu ambazo kwa baadhi yao zimekuwa ngumu kuzipata kutokana na umbali na gharama za matibabu.
Tue, 10 Nov 2026 16:17:19 +0000Transport costs hit 8-year high on fuel subsidy halt
Read the full report from the original source.
RecentlyOboth Urges Male MPs to Undergo Health Screening at Parliament
Read the full report from the original source.
RecentlyRecovering Kompany returns to Bayern training centre
Read the full report from the original source.
RecentlyPage 268 of 1142 · 22825 stories