Search the region
22846 stories
IRA advertises 49 job vacancies
Applicants are required to submit their biodata online by completing an application form provided under the IRA Job Application November 2026 recruitment notice
RecentlyKenya Railways announces temporary changes to train schedules
Read the full report from the original source.
RecentlyCAF Awards 2026 set for December 2 ceremony in Lagos
Read the full report from the original source.
RecentlyRead article: Uganda courts UK, Irish roasters to lift coffee exports
Read the full report from the original source.
RecentlyCabinet identifies developers, blocked drainage behind Kampala floods, approves Shs19bn traders’ compensation
KAMPALA – Cabinet has identified interference with stormwater drainage systems by property developers, blocked waterways and poor waste disposal as some of the major causes of the October 2025 floods that...
RecentlyUS deports Rwandan national accused of involvement in 1994 genocide
Read the full report from the original source.
RecentlyCRDB BANK YAUNGANA NA OR-MV KUWAWEZESHA VIJANA ZAIDI YA 300,000 VYUONI
Na Janeth Raphael - MichuziTv BENKI ya CRDB kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais – Maendeleo ya Vijana (OR-MV) imesaini Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano (MoU) yenye lengo la kuwawezesha vijana wa vyuo vikuu na vyuo vya kati kupitia majukwaa ya vijana yanayojulikana kama Campus Connect. Makubaliano hayo yanalenga kuimarisha uendeshaji wa makongamano ya Campus Connect na kuwafikia vijana zaidi ya 300,000 ndani ya kipindi cha miaka mitano, kwa kuwajengea uwezo katika maeneo ya ubunifu, ujasiriamali, biashara, vipaji pamoja na matumizi ya fursa mbalimbali za kiuchumi. Hafla ya uwekaji saini wa makubaliano hayo imefanyika leo, Novemba 9, 2026, katika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Rais – Maendeleo ya Vijana, jijini Dodoma, ikiwa ni hatua inayodhihirisha dhamira ya CRDB katika kuchangia maendeleo na uwezeshaji wa vijana nchini. Kupitia ushirikiano huo, vijana pia wataunganishwa na fursa za mitaji na masoko, hatua itakayowawezesha kubadilisha mawazo na bunifu zao kuwa biashara na shughuli zenye tija kwa maendeleo yao binafsi na Taifa kwa ujumla. Akizungumza katika hafla hiyo, Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais – Maendeleo ya Vijana, Bi. Jenifa Christian Omolo, amesema uwezeshaji wa vijana unapaswa kuanza mapema wanapokuwa vyuoni ili kuwajengea maarifa, uelewa na ujasiri wa kujiajiri badala ya kutegemea ajira rasmi pekee. Amesisitiza kuwa jukwaa la Campus Connect linapaswa kuwa mfumo endelevu wa kuwafuatilia na kuwaendeleza vijana kuanzia wanapokuwa vyuoni hadi wanapohitimu na kuanza maisha ya kujitegemea, ili kuhakikisha wanatumia ipasavyo maarifa na fursa wanazopatiwa. Kwa upande wake, Mkurugenzi wa Rasilimali Watu kutoka Benki ya CRDB amesema ushirikiano huo unaongeza nguvu katika kuwapa vijana maarifa na ujuzi wa kifedha mapema, kuwawezesha kubuni mawazo, kuanzisha biashara na kutumia kikamilifu fursa za kujiajiri. Amesema kupitia ushirikiano huo, CRDB itaendelea kuwa sehemu muhimu ya safari ya kuwaibua na kuwawezesha vijana, ili waweze kukuza shughuli zao za kiuchumi na kutoa mchango mkubwa katika maendeleo ya Taifa.
Tue, 10 Nov 2026 08:56:13 +0000Corridor de Lobito : le déficit d'information
Read the full report from the original source.
RecentlyUS, Russia and Ukraine start talks in Abu Dhabi
Read the full report from the original source.
RecentlyOne killed, two injured in elephant attack in Tharaka Nithi
Read the full report from the original source.
RecentlyInsurance Regulatory Authority advertises 49 jobs
Applicants are required to submit their biodata online by completing an application form provided under the IRA Job Application November 2026 recruitment notice
RecentlyWATCH LIVE: Committee on Security Summons SRC, IG Kanja Over Police Salaries Review
Read the full report from the original source.
RecentlyKioni: Betrayal will not end my political journey
Jubilee deputy leader opens up on political betrayal as he warns that personal ambitions and divisions could undermine the Opposition's 2027 battle against Ruto
RecentlyMICHE BORA YA MAZAO YA BUSTANI KUTAMBULIKA KWA STIKA ZA TOSCI.
Taasisi ya Kudhibiti Ubora wa Mbegu Tanzania (TOSCI) imewataka wakulima kununua Mbegu za mazao ya bustani hususani parachichi ambazo zina stika maalum za TOSCI, kwa lengo la kuimarisha udhibiti wa ubora na kuhakikisha wakulima wanapata miche inayokidhi viwango. Hatua hiyo inalenga kuwawezesha wanunuzi kutambua miche bora kwa urahisi kupitia nembo ya TOSCI, pamoja na kujikinga na kununua miche isiyokidhi viwango vinavyotakiwa. Akizungumza na waandishi wa habari katika banda la TOSCI wakati wa maonesho ya jukwaa la kwanza la HortiLogistica Africa yaliyofanyika jijini Arusha, Mkurugenzi Mkuu wa taasisi hiyo, Nyasebwa Chimagu, amesema matumizi ya stika hizo ni sehemu ya mikakati ya taasisi hiyo ya kuimarisha usimamizi wa ubora wa mbegu na miche ya mazao mbalimbali ya bustani. Amesema kuwa upatikanaji wa miche bora ni muhimu katika kuongeza tija ya uzalishaji kwa wakulima, huku ukichangia kuimarisha ushindani wa mazao ya horticulture katika masoko ya ndani na kimataifa. Aidha, amewahimiza wakulima na wadau wengine wa sekta ya horticulture kutembelea banda la TOSCI ili kupata elimu kuhusu ubora wa mbegu na miche ya mazao ya bustani, pamoja na kufahamu aina za mbegu zinazokidhi mahitaji ya masoko ya kimataifa. TOSCI imesisitiza umuhimu wa wanunuzi kuwa makini wakati wa kununua miche kwa kuhakikisha wanapata miche yenye stika na utambulisho unaotambulika na taasisi hiyo, ili kulinda uwekezaji wao na kuongeza tija katika kilimo. Taasisi ya Kudhibiti Ubora wa Mbegu Tanzania (TOSCI) imewataka wakulima kununua Mbegu za mazao ya bustani hususani parachichi ambazo zina stika maalum za TOSCI, kwa lengo la kuimarisha udhibiti wa ubora na kuhakikisha wakulima wanapata miche inayokidhi viwango. Hatua hiyo inalenga kuwawezesha wanunuzi kutambua miche bora kwa urahisi kupitia nembo ya TOSCI, pamoja na kujikinga na kununua miche isiyokidhi viwango vinavyotakiwa. Akizungumza na waandishi wa habari katika banda la TOSCI wakati wa maonesho ya jukwaa la kwanza la HortiLogistica Africa yaliyofanyika jijini Arusha, Mkurugenzi Mkuu wa taasisi hiyo, Nyasebwa Chimagu, amesema matumizi ya stika hizo ni sehemu ya mikakati ya taasisi hiyo ya kuimarisha usimamizi wa ubora wa mbegu na miche ya mazao mbalimbali ya bustani. Amesema kuwa upatikanaji wa miche bora ni muhimu katika kuongeza tija ya uzalishaji kwa wakulima, huku ukichangia kuimarisha ushindani wa mazao ya horticulture katika masoko ya ndani na kimataifa. Aidha, amewahimiza wakulima na wadau wengine wa sekta ya horticulture kutembelea banda la TOSCI ili kupata elimu kuhusu ubora wa mbegu na miche ya mazao ya bustani, pamoja na kufahamu aina za mbegu zinazokidhi mahitaji ya masoko ya kimataifa. TOSCI imesisitiza umuhimu wa wanunuzi kuwa makini wakati wa kununua miche kwa kuhakikisha wanapata miche yenye stika na utambulisho unaotambulika na taasisi hiyo, ili kulinda uwekezaji wao na kuongeza tija katika kilimo.
Tue, 10 Nov 2026 08:44:10 +0000Simu, picha za utupu na mchepuko zilivyosababisha mauaji ya mke
Soma hapa...
RecentlyWRRB YATANGAZA MAZAO YA TANZANIA KWA WANUNUZI WA KIMATAIFA SHANGHAI
Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) imeshiriki katika Maonesho ya Tisa ya Kimataifa ya Uagizaji wa Bidhaa ya China (CIIE) jijini Shanghai, nchini China, kwa lengo la kutangaza Mfumo wa Stakabadhi za Ghala na kuwaunganisha wanunuzi wa kimataifa na fursa za biashara ya mazao ya Tanzania. Katika maonesho hayo ya siku tano (Novemba 5-10, 2026), WRRB imeeleza jinsi mfumo huo unavyowezesha uhifadhi wa mazao katika maghala yenye leseni, utunzaji wa ubora wake na uuzaji wake kwa uwazi. Akizungumza alipotembelea banda la Tanzania katika maonesho hayo, Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar, Mhe. Omar Said Shabaan, amepongeza ushiriki wa Tanzania, hususan wa taasisi za serikali, akisema maonesho hayo yanazipa taasisi hizo fursa ya kutangaza huduma zinazotolewa nchini. Amesisitiza umuhimu wa Tanzania kutumia maonesho hayo kujitangaza kimkakati na kufikia wanunuzi wa kimataifa wanaotafuta bidhaa za Tanzania. Aidha, Mwakilishi wa kampuni ya Chengdu Jintao Yunhui International Trade Co., Ltd. ameonesha kuvutiwa na ufuta mweupe wa Tanzania, ambao ni miongoni mwa mazao yanayouzwa kupitia Mfumo wa Stakabadhi za Ghala.
Tue, 10 Nov 2026 08:41:19 +0000Majeraha yatibua hesabu Msimbazi
Soma zaidi hapa
RecentlyLa République démocratique du Congo condamne à mort 66 soldats pour « lâcheté »
La lutte de l'armée congolaise contre les groupes rebelles est depuis longtemps entravée par le désordre qui règne dans ses rangs.
RecentlyCourt suspends online sale and marketing of alcoholic drinks within Nairobi
Read the full report from the original source.
RecentlyThree judges to hear contempt case over Cabinet reconstitution order
The organisations are challenging what they describe as the failure to demonstrate compliance with a June 30, 2026 judgment directing its reconstitution
RecentlyPage 278 of 1143 · 22846 stories