Search the region
22871 stories
13 remanded over alleged vandalism of Shs3.7 billion airport equipment
Read the full report from the original source.
RecentlyMurkomen assures international partners of peaceful 2027 elections
Interior Cabinet Secretary Kipchumba Murkomen has assured the international community that Kenya is making adequate preparations to ensure peaceful elections in 2027. Speaking on Monday during a meeting with the…
RecentlyOlympic judo champion Riner joins fight for French presidency
Read the full report from the original source.
RecentlyGST launches advanced geological exploration programme using specialised drones
MIRERANI: THE Geological Survey of Tanzania (GST) has officially launched an advanced geological exploration programme using modern technologies, including specialised…
Recently21 people perish in a road carnage along Iringa-Mbeya highway
Read the full report from the original source.
RecentlyMudavadi wants public servants’ promotions tied to performance
Prime Cabinet Secretary Musalia Mudavadi has called for a legal framework that links performance and productivity in the public service to promotions and career advancement, saying public servants should be…
RecentlyKenya’s Crypto Rules Put It Among Africa’s Most Regulated Markets as the Continent Stays a Patchwork
Read the full report from the original source.
RecentlyGachagua vows to replicate Olkalou strategy in all 290 constituencies to defeat Ruto
Read the full report from the original source.
RecentlyEpl Ya Maokoto: Brighton dhidi ya Brentford
LIGI Kuu ya England (EPL) inaendelea kutoa burudani tamu, huku macho ya mashabiki wa soka yakielekezwa katika dimba la Amex Stadium, ambako Brighton itakuwa mwenyeji wa Brentford katika mchezo unaotarajiwa kupigwa leo Jumapili, Novemba 8, 2026, saa 17:00 jioni. Huu ni mchezo unaobeba ushindani mkubwa, huku kila upande ukiwa na dhamira ya kuondoka na matokeo chanya. Brighton wataingia kwenye mchezo huo wakiwa na faida ya kucheza mbele ya mashabiki wao, jambo linaloweza kuwapa nguvu ya kutafuta ushindi. Timu hiyo inayofundishwa kwa falsafa ya soka la kumiliki mpira na kujenga mashambulizi kwa pasi nyingi, itahitaji kutumia vizuri nafasi zitakazopatikana ili kuipa wakati mgumu safu ya ulinzi ya Brentford . Kwa upande wa Brentford, safari ya kwenda Amex Stadium haitakuwa ya kutalii, bali ni vita ya kutafuta pointi muhimu. Kikosi hicho kinachojulikana kwa nidhamu ya kiuchezaji na uwezo wa kutumia mashambulizi ya kushtukiza, kitahitaji kuwa makini katika kuzuia mipango ya Brighton huku kikitafuta mianya ya kuumiza wapinzani kupitia kasi ya Kevin Schade na Igor Thiago. Takwimu za msimu zinaonyesha Brighton wakiwa na mwanzo mzuri zaidi, wakikusanya pointi 19 katika michezo tisa, huku Brentford wakiwa na pointi 14. Brighton pia wameonyesha makali ya kushambulia, wakifunga mabao 24 na kuruhusu saba pekee. Hata hivyo, Brentford wameonyesha ushindani mkubwa kwa kupoteza mchezo mmoja tu katika michezo hiyo tisa, jambo linalofanya pambano hili kuwa na mvuto wa kipekee. Meridianbet inasema kuna michezo kama Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli. Ingia katika kasino ya mtandaoni ya Meridianbet na ujiokotee mkwanja mapema. Jiunge sasa au Tembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi. Kwa upande wa wachezaji wa kuangaliwa, Charalampos Kostoulas na Maxim De Cuyper wanaweza kuwa silaha muhimu kwa Brighton, kutokana na mchango wao katika kutengeneza na kufunga mabao. Brentford nao watakuwa na matumaini makubwa kupitia Kevin Schade na Igor Thiago, ambao wanaweza kubadilisha matokeo ya mchezo kwa kutumia nafasi chache wanazoweza kupata. Kwa ujumla, huu ni mchezo unaoweza kuleta dakika 90 za msisimko, mbinu za kiufundi na ushindani mkali. Brighton watataka kutumia uwanja wao wa nyumbani kuongeza alama muhimu, huku Brentford wakisaka matokeo yatakayowapa nafasi ya kusogea juu zaidi ya msimamo wa ligi. Usikose kufuatilia pambano hili leo Jumapili, pale meridianbet odds kubwa zinapatikana kwenye mchezo huu kazi ni kwako kuchagua upande wa ushindi. Jisajili sasa .
Sun, 08 Nov 2026 03:03:00 +0000Ingia Kwenye Msitu Wa Hazina Wa Jungle Gods & Gems Na Utafute Njia Ya Ushindi
FIKIRIA ukiwa katikati ya msitu mkubwa wa kale, ambako kila kona imeficha siri, hazina za thamani na maajabu yasiyoelezeka. Huo ndio ulimwengu unaokusubiri kwenye mchezo wa kusisimua wa Jungle Gods & Gems, uliobuniwa na Bragg Gaming. Mchezo huu unakuvuta moja kwa moja kwenye mandhari ya kale ya Amerika Kusini, ukiwa na michoro ya kuvutia, mahekalu yaliyopotea na sanamu za miungu wa kale zinazokupa msisimko wa kipekee kila unapocheza. Sasa ni wakati wa kuacha kutazama safari za hazina kwenye filamu na kuingia mwenyewe kwenye burudani hii kupitia Meridianbet. Safari yako inaanzia kwenye mashine yenye mistari mitano na safu tatu, inayokupa njia 243 za kupata ushindi. Lakini hapa ndipo mambo yanapozidi kuwa matamu. Kadiri eneo la mchezo linavyopanuka, idadi ya njia za ushindi inaweza kufikia hadi 7,776. Hii inamaanisha kila mzunguko unaweza kuleta mabadiliko makubwa katika safari yako ya kutafuta hazina. Ndani ya mchezo huu utakutana na alama mbalimbali zenye mwonekano wa dhahabu pamoja na alama za kifalme zilizotengenezwa kwa mawe, zote zikiwa sehemu ya simulizi ya kale ilioacha utajiri wake ndani ya msitu. Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi. Kama ilivyo katika safari yoyote ya kusaka utajiri, unahitaji alama muhimu zitakazokufungulia milango ya fursa zaidi. Jungle Gods & Gems ina alama maalumu ya Wild ambayo inaweza kusaidia kukamilisha michanganyiko ya ushindi inapojitokeza kwenye moja ya safu tatu za katikati. Hiyo siyo yote, kwani mchezo huu una aina mbalimbali za Scatter zinazoweza kufungua kipengele cha mizunguko ya bure . Ndani ya kipengele hicho, unaweza kukutana na nyongeza za kusisimua zinazokupa mizunguko zaidi, Extra Frames zinazopanua eneo la mchezo na Big Reels zinazoongeza ukubwa wa mashine. Kuna jambo lingine la kipekee linalofanya kasino mtandaoni hii kuwa na msisimko wa aina yake. Alama ya fuvu inapojitokeza, inaweza kuacha nafasi maalumu inayojulikana kama Frame Overlay, ambayo inaweza kukuletea zawadi za malipo. Kadiri mchezo unavyoendelea, nafasi hizo zinaweza kuboreshwa na kuongeza matarajio ya kupata zawadi kubwa zaidi. Hapa kila alama ina umuhimu wake, na kila mzunguko unaweza kufungua ukurasa mpya katika safari yako. Kwa hiyo, usikose kuchunguza kila kipengele cha mchezo huu, kwani Jungle Gods & Gems imejaa mambo ya kuvutia yanayokusubiri kuyagundua. Sasa basi, msitu umefungua milango yake na hazina zinakusubiri kuanza safari yako. Jungle Gods & Gems inakupa mchanganyiko wa mandhari za kale, teknolojia ya kisasa ya michezo ya kasino na vipengele vinavyoongeza burudani katika kila mzunguko. Jisajili na Meridianbet, tafuta mchezo huu na uanze kufurahia safari ya kipekee ya kusaka hazina.
Sun, 08 Nov 2026 04:30:00 +0000Maajabu ya dakika za nyongeza Old Trafford
MANCHESTER United inaendelea kuonyesha sura ya timu iliyopoteza mwelekeo, huku kiwango cha wachezaji wake kikizua maswali mengi kuhusu uwezo wa benchi la ufundi na mustakabali wa kocha Michael...
RecentlyIbenge achekelea Lupini kurejea
KOCHA wa Azam FC, Florent Ibenge, amesema kurejea kwa beki wa kati, Lupini Dieumerci, kutaongeza ushindani na nguvu katika safu yake ya ulinzi wakati timu hiyo ikiendelea na mapambano ya Ligi Kuu...
RecentlyUlaya ilifunga na ladha zotezote
Read the full report from the original source.
RecentlyVanessa Munezero, une jeune fille de Muhanga au grand cœur
À Muhanga, l’échec scolaire n’a pas empêché Vanessa Munezero de tracer son chemin. Couturière de profession, elle a fait de ce métier une source de revenus et un moyen de partager son savoir-faire avec d’autres personnes. Elle nourrit de nouvelles ambitions pour élargir son action et permettre à davantage de personnes de vivre de la couture.
Mon, 09 Nov 2026 15:05:44 +0000Why unseating Ruto will take more than opposition unity
Opposition leaders must overcome competing ambitions and agree on a candidate with national appeal and political weight to challenge Ruto.
RecentlyAlleged drug trafficking kingpin arrested in Kenya
Read the full report from the original source.
RecentlyPresident Museveni Retains Yunus Kakande as President’s Office Permanent Secretary, Minister Babalanda Congratulates Him
Read the full report from the original source.
RecentlyFormer Minister Amongi Faults Regional Balance in P.S Appointments
Former minister and former Oyam South Member of Parliament, Ms Betty Amongi Ongom, has criticised President Museveni’s latest appointments of Permanent Secretaries, saying the list exposes deep regional imbalance and lea
RecentlyTANTRADE tasked to expand promotion of products in demand for global markets
ARUSHA: VICE President Deogratius Ndejembi has directed the Tanzania Trade Development Authority (TANTRADE) to intensify efforts to identify and expand…
RecentlyDCEA nabs Mombasa-based Tanzanian for involvement in drug trafficking
DAR ES SALAAM: A Tanzanian national based in Mombasa, Kenya, Salehe Baseleman, alias Mbwiga, who is suspected of sourcing drugs…
RecentlyPage 294 of 1144 · 22871 stories