Search the region
22400 stories
Tanzania releases 19bn/-for AFCON road compensation
ARUSHA: THE Tanzanian government has released 19bn/- to compensate residents whose properties and land have been affected by road construction…
RecentlyDiscipline and curiosity, not place of birth, will make you a leader
Read the full report from the original source.
RecentlyPearl Bank MD Julius Kakeeto Named Banker of the Year at the 2026 Annual Bankers Awards
Read the full report from the original source.
RecentlyNew 20-station computer lab opens at Cheberen VTC in Baringo
Read the full report from the original source.
RecentlyMikumi Park eyes fortunes in its airport whose construction is 90 percent complete
MIKUMI: CONSTRUCTION of Kikoboga Airport inside Mikumi National Park has reached 90 per cent, with the project expected to boost…
RecentlyBoT highlights economic risks of forest destruction at COP31
ANTALYA: THE Bank of Tanzania (BoT) has called on central banks and financial institutions worldwide to recognise forest destruction and…
RecentlyDKT. MWIGULU ATAKA UJENZI WA SHULE YA MISEGESE UKAMILIKE JANUARI 31
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amemtaka Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi kuhakikisha ujenzi wa Shule mpya ya Sekondari Misegese, mkoani Morogoro, unakamilika ifikapo Januari 31, 2027, ili kupunguza adha ya wanafunzi kutembea umbali wa kilometa 11 hadi 15 kwenda shule. Ametoa maelekezo hayo leo, Jumanne, Novemba 24, 2026, katika mkutano wa hadhara uliofanyika Viwanja vya Toboatobo, wilayani Malinyi, baada ya kumhoji Mkurugenzi huyo kuhusu muda wa kukamilisha ujenzi wa shule hiyo. Akijibu swali la Waziri Mkuu, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi, Christopher Aloyce Sanga, amesema ujenzi utakamilika Januari 31, 2027, tarehe ambayo Dkt. Mwigulu ameikubali na kusisitiza shule ikamilike ili wanafunzi waanze masomo. Waziri Mkuu ametoa maelekezo hayo ikiwa ni siku ya tatu ya ziara yake ya kikazi mkoani Morogoro, ambapo pia amekagua maendeleo ya ujenzi na kuweka jiwe la msingi la shule hiyo iliyopo Kijiji cha Misegese, Kata ya Malinyi. Dkt. Mwigulu amesisitiza matumizi sahihi ya fedha zilizotolewa na Serikali, akionya dhidi ya visingizio vya upungufu wa fedha na kuwataka wasimamizi wa mradi kutowasumbua wananchi katika utekelezaji wake. “Na sitaki kusikia pesa imepungua,” amesema Waziri Mkuu, akisisitiza kuwa fedha zilizotolewa zinapaswa kutumika kukamilisha mradi huo. Kwa mujibu wa taarifa ya utekelezaji wa mradi iliyowasilishwa kwa Waziri Mkuu, Serikali imetoa Sh. milioni 528.9 kupitia Mradi wa Kuboresha Ubora wa Elimu ya Sekondari (SEQUIP) kwa ajili ya ujenzi wa shule hiyo, ambao umefikia takribani asilimia 60. Taarifa hiyo imeeleza kuwa mradi unahusisha ujenzi wa madarasa manane, ofisi mbili za walimu, jengo la utawala, maktaba, jengo la TEHAMA, maabara tatu za sayansi, vyoo na tenki la maji. Shule hiyo itakuwa na uwezo wa kuchukua wanafunzi 320, huku ikitarajiwa kuanza kwa kupokea wanafunzi 80 wa kidato cha kwanza. Kukamilika kwa shule hiyo kutapunguza changamoto ya wanafunzi kutembea umbali wa kilometa 11 hadi 15 kwenda kupata elimu ya sekondari katika Shule ya Sekondari Malinyi. Katika ziara hiyo, Waziri Mkuu pia amepanda mti wa mkongo katika eneo la shule ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utunzaji wa mazingira.
Tue, 24 Nov 2026 10:13:56 +0000Pourquoi certaines personnes perdent-elles tout intérêt pour le sexe ?
Comprendre la racine de ce problème constitue la première étape pour trouver une solution et rétablir le bonheur et l’harmonie au sein du couple.
RecentlyDODOMA YAFANYA UTAFITI MPYA KUBAINI HALI HALISI YA LISHE KWA WANANCHI
Na Janeth Raphael -MichuziTv Mkoa wa Dodoma umeanza kufanya utafiti mpya wa hali ya lishe katika wilaya zake zote kwa lengo la kupata takwimu za sasa zitakazosaidia kubaini ukubwa wa changamoto za lishe na kuweka mikakati madhubuti ya kukabiliana nazo. Utafiti huo unafanyika kwa ushirikiano na Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), kufuatia takwimu zilizopo za mwaka 2022 ambazo zilionesha kuwepo kwa changamoto ya udumavu, ukondefu na uzito pungufu miongoni mwa wananchi, hususan watoto. Akizungumza leo, Novemba 24, 2026, katika Mkutano wa 10 wa Tathmini ya Utekelezaji wa Mkataba wa Lishe kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule, amesema hatua hiyo inalenga kupata picha halisi ya hali ya lishe mkoani humo ili kurahisisha upangaji wa afua zinazohitajika. Senyamule amesema takwimu za mwaka 2022 zilionesha kuwa kiwango cha udumavu mkoani Dodoma kilikuwa asilimia 30.7, hali iliyokuwa karibu na kiwango cha kitaifa na juu ya kiwango kinachoshauriwa kimataifa. Ameeleza kuwa katika kipindi hicho, kiwango cha ukondefu kilikuwa asilimia 1.4, huku watoto wenye uzito pungufu wakifikia asilimia 11, viwango vilivyoonesha umuhimu wa kuendelea kuimarisha juhudi za kukabiliana na changamoto za lishe. Amesema pamoja na takwimu hizo, Serikali kwa kushirikiana na wadau imeendelea kutekeleza hatua mbalimbali za kuboresha lishe, hivyo ni muhimu kufanya utafiti mpya ili kubaini matokeo ya jitihada hizo na changamoto zilizopo kwa sasa. Ameongeza kuwa zoezi la utafiti huo tayari limeanza katika Wilaya za Chamwino na Dodoma, huku likitarajiwa kufanyika katika wilaya nyingine za mkoa huo ili kupata takwimu zitakazotumika kuimarisha mipango na mikakati ya kuboresha lishe na afya ya jamii.
Tue, 24 Nov 2026 10:02:47 +0000Germany news: Volkswagen begins wage talks with IG Metall union
Read the full report from the original source.
RecentlyStanbic, Pride Bank, Centenary Shine at 2026 Annual Bankers’ Awards
Stanbic Bank Uganda, Pride Bank and Centenary Bank were among the big winners at the 2026 Annual Bankers’ Awards, which recognised outstanding performance, innovation and leadership in Uganda’s banking and…
Recently93 Drivers Arrested in Kampala Drink-Driving Crackdown
Police have arrested and arraigned 93 drivers following a drink-driving operation conducted across Kampala Metropolitan Police (KMP) divisions as authorities intensify efforts to curb road accidents ahead of the festive…
RecentlyUJENZI WA UWANJA WA NDEGE KIKOBOGA WAFIKIA ASILIMIA 90.
Ujenzi wa uwanja wa ndege wa Kikoboga uliopo ndani ya Hifadhi ya Taifa Mikumi umefikia asilimia 90, ukihusisha jengo lenye uwezo wa kuhudumia abiria 160 wanaowasili na wanaoondoka, njia ya kuruka na kutua ndege (Runway) yenye urefu wa kilomita 1.8, jengo la Zimamoto na Uokoaji, sehemu ya maegesho ya ndege na magari pamoja na kioski. Kukamilika kwa uwanja huo kunatarajiwa kuongeza idadi ya watalii, kukuza mapato kwa Taifa na kuchochea shughuli za kiuchumi kwa jamii inayozunguka hifadhi. Akikagua mradi huo Novemba 23, 2026, Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) alimulekeza mkandarasi “China Henan International Cooperation, Group Co. LTD (CHICO)” kuhakikisha mradi huo unakamilika ifikapo Disemba 10, 2026 kama mkataba unavyoelekeza na kwa viwango vilivyokusudiwa ili kuleta tija kwa Taifa na jamii kwa ujumla. Aidha, ameitaka Menejimenti ya Hifadhi kusimamia miradi hiyo kwa ufanisi sambamba na kuimarisha utekelezaji wa shughuli za uhifadhi na utalii. Pia, Dkt. Kijaji alifanya ukaguzi wa barabara inayotokea lango la Kikoboga hadi lango la Chamgore yenye urefu wa kilometa 38, ambayo ukarabati wake umekamilika kwa asilimia 100. Ujenzi wa barabara hiyo umetekelezwa chini ya ufadhili wa fedha za Mfuko wa Kukuza Utalii Nchini (TDL) unaosimamiwa na Wizara ya Maliasili na Utalii. Barabara hiyo itaunganisha Lango la Chamgore lililopo upande wa Kilosa linalotarajiwa kuanza kujengwa mwaka huu, hivyo itaongeza wigo mkubwa wa mtandao wa njia za utalii ndani ya hifadhi na kuwawezesha watalii watakaotumia treni ya SGR na kushuka Kilosa kuweza kuingia hifadhini kwa urahisi. Hifadhi ya Taifa Mikumi ni miongoni mwa hifadhi zinazovutia katika ukanda wa mashariki mwa Tanzania, ikifahamika kwa urahisi wa kufikika na fursa ya kuona wanyamapori katika mazingira yao ya asili. Miongoni mwa vivutio vyake ni pamoja na makundi ya tembo, nyati, pofu, simba na twiga, pamoja na mandhari ya kuvutia na fursa nzuri ya kufanya utalii wa ndege.
Tue, 24 Nov 2026 09:56:35 +0000Buku tano kuitazama Yanga SC vs MC Alger Ligi ya Mabingwa, tiketi dakika moja kwa simu ya kitochi.
Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe akieleza viingilio vya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya MC Alger. Kwa mujibu wa Kamwe viingilio vitakuwa Shilingi 5,000 kwa majukwaa ya Saa na Obit, Shilingi 10,000 kwa Jukwaa la Urusi, Shilingi 20,000 kwa Wings na Shilingi 30,000 kwa VIP.
2026-11-24T09:38:18+00:0062% of Rwandans report being targeted by digital fraud, TransUnion study finds
Read the full report from the original source.
RecentlyBanks Urged to Expand Credit for Women as Uganda Launches WSME Data Dashboard
Read the full report from the original source.
RecentlyKenya ranks 4th globally in top wildlife destinations
Kenya's fourth-place finish puts it ahead of Rwanda, which ranked fifth, Colombia (sixth), Costa Rica (seventh), Tanzania (eighth), Canada (ninth) and Indonesia
RecentlyChina “deeply disappointed” as COP31 ends without deal, urges faith in multilateralism
Read the full report from the original source.
RecentlyIstanbul 'lion hunt' ends after no big cat found after all
Read the full report from the original source.
RecentlyFormer Express CEO banned for life over football match-fixing
The former Express FC chief executive officer, Ashraf Miiro, has been banned for life from all football-related activities after being found involved in arrangements to…
RecentlyPage 30 of 1120 · 22400 stories