Search the region
22898 stories
La Guinée équatoriale veut vaincre le paludisme pour transformer son économie
La Guinée équatoriale intensifie sa lutte contre le paludisme avec l’objectif de l’éradiquer dans les prochaines années grâce à la vaccination, aux insecticides et à de nouvelles technologies. Les autorités y voient un l
RecentlyBandari end five-match winless run with victory over Tusker
Read the full report from the original source.
RecentlyIsrael: Eisenkot officially tasked with forming a government
Read the full report from the original source.
RecentlyDKT. MWIGULU: SERIKALI IMECHUKUA HATUA BEI YA SARUJI IWE HIMILIVU
▪️︎ Akemea wananchi kunyimwa huduma kwa kukosa miadi ▪️︎ Ataka wagonjwa wa dharura wahudumiwe mara moja WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imechukua hatua za kufanya bei ya saruji kuwa himilivu kwa kuondoa kodi kwenye saruji inayoagizwa kutoka nje na malighafi zinazotumika kuizalisha. Amesema hayo leo (Jumapili, Novemba 8, 2026), wakati akizungumza na wananchi katika Viwanja vya Shule ya Msingi Nyamikoma, Kata ya Kabita, Wilaya ya Busega, akihitimisha ziara yake ya kikazi mkoani Simiyu. Dkt. Mwigulu amesema Serikali inatambua kupanda kwa bei za vifaa vya ujenzi, ikiwemo saruji, na imechukua hatua kupunguza gharama zinazochangia bei hizo. “Tumefuta kodi kwenye saruji inayoagizwa na tumefuta kodi kwenye malighafi zinazotengeneza saruji,” amesema. Ameeleza kuwa saruji itakayozalishwa kwa malighafi yenye gharama nafuu, pamoja na itakayoagizwa baada ya kuondolewa kwa kodi, inatarajiwa kusaidia kufanya bei kuwa himilivu katika siku zijazo. Katika hatua nyingine, Waziri Mkuu amewataka watumishi wa umma kuacha kuwanyima wananchi huduma kwa kisingizio cha kutokuwa na miadi, wakati watumishi hao wapo ofisini na wanaweza kuwahudumia. Amesema baadhi ya wananchi hutumia fedha nyingi kufuata huduma, hivyo kuwataka warudi siku nyingine bila sababu za msingi kunawaongezea gharama na usumbufu. “Lazima tujue kuzifikia ofisi za umma, baadhi yetu wanakuwa wameingia gharama. Wengine wanatumia zaidi ya laki moja na nusu, wengine laki mbili,” amesema. Kwa upande wa afya, Dkt. Mwigulu ameelekeza wagonjwa wa dharura, wakiwemo wajawazito waliozidiwa na uchungu na majeruhi, wapatiwe matibabu mara moja bila kucheleweshwa na taratibu za usajili. “Majeruhi amefika anahitaji huduma ya kwanza ya haraka, mkimbizeni akatibiwe, mtamwandikishia pale pale. Siyo kusubirisha mtu ambaye anahitaji matibabu ya dharura, mnamsubirisha mapokezi,” amesema. Vilevile, amesisitiza kuwa wagonjwa wanaohitaji kupelekwa hospitali za rufaa hawapaswi kuchangishwa fedha za mafuta ya ambulansi za Serikali. Amesema Serikali imenunua magari hayo na kuajiri madereva ili yaokoe maisha ya wananchi, hivyo wasimamizi wahakikishe yanakuwa tayari kutoa huduma. Kuhusu dawa, Waziri Mkuu amevitaka vyombo vya ulinzi na usalama kufuatilia kila mwezi fedha za dawa na matumizi yake, na kuwasilisha taarifa ili hatua zichukuliwe pale uvujaji utakapobainika. Amehoji sababu za wagonjwa kuendelea kuelekezwa kununua dawa katika maduka binafsi wakati taarifa anazopewa zinaonesha utoshelevu mkubwa wa dawa katika vituo vya Serikali. Aidha, Dkt. Mwigulu amesisitiza kutoshikilia vitendea kazi vya wananchi, vikiwemo bodaboda, bajaji na magari, kwa makosa ambayo adhabu yake ni faini. Amesema mamlaka zinazohusika zifuatilie malipo ya faini kwa mujibu wa sheria bila kuzuia shughuli zinazowaingizia wananchi kipato. “Haya mambo ya kutokujali mitaji ya watu yanarudisha nyuma maendeleo ya watu. Wengine ni mikopo hivyo vitendea kazi vyao,” amesema.
Sun, 08 Nov 2026 15:14:28 +0000Gachagua: Youths turning up to sell me buffalo milk
Gachagua said the President's suggestion had brought him unexpected attention
RecentlyDKT. KIJAJI AKUTANA NA MWENYEKITI WA WTTC KUHUSU UHIFADHI NA UWEKEZAJI TANZANIA
London, Uingereza Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), leo Novemba 8, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Baraza la Utalii na Usafiri Duniani (WTTC), Bw. Manfredi Lefebvre, katika Hoteli ya Hyatt jijini London, Uingereza. Mazungumzo hayo yamejikita katika masuala mbalimbali ya kuimarisha ushirikiano katika sekta ya utalii, hususan uwekezaji katika maeneo ya hifadhi pamoja na kuongeza idadi ya watalii wanaotembelea Tanzania. Katika kikao hicho, pande hizo zimejadili fursa za uwekezaji katika maeneo mbalimbali ya hifadhi nchini, yakiwemo Hifadhi ya Taifa ya Nyerere, Serengeti na maeneo mengine yenye vivutio vya kipekee vya utalii, kwa lengo la kuimarisha huduma za utalii na kuongeza mchango wa sekta hiyo katika uchumi wa Taifa. Bw. Lefebvre, ambaye pia ni mmiliki wa kampuni ya kimataifa ya utalii ya Abercrombie & Kent, ni miongoni mwa wawekezaji wenye maslahi na shughuli za utalii nchini Tanzania. Kupitia uwekezaji na shughuli zake za utalii wa kimataifa, ikiwemo huduma za meli za kitalii za Crystal Cruises, Tanzania imeendelea kunufaika na ujio wa maelfu ya watalii wanaotembelea maeneo mbalimbali nchini, yakiwemo Zanzibar, Kilwa na Dar es Salaam. Mkutano huo ni sehemu ya mwendelezo wa ziara ya Waziri Dkt. Kijaji nchini Uingereza, yenye lengo la kuimarisha ushirikiano wa kimataifa, kuvutia uwekezaji na kuitangaza Tanzania kama kituo kinachotoa fursa mbalimbali za utalii na uhifadhi. Kikao hicho kimehudhuriwa pia na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mhe. Mbelwa Kairuki, Naibu Kamishna wa Uhifadhi katika Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro Joas Mwakwati na Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania, Dkt. Thereza Mugobi.
Sun, 08 Nov 2026 15:08:09 +0000Iran executes three men linked to anti-government protests
Read the full report from the original source.
RecentlyTeachers threaten to skip national exam marking over poor pay
Read the full report from the original source.
Recently23 dead in South Sudan clashes
Read the full report from the original source.
RecentlyGachagua reveals talks with Matiang'i amid differences within United Opposition
Read the full report from the original source.
RecentlyChina top scholar shares Africa’s modernisation path
CHINA: CHINA’S top economist, Professor Zhong Weiguo has pointed out Beijing’s Reform and Open up approach as one of the…
RecentlyWadau Madale SACCOS iko hattua za mwisho za usajili, wanachama 138 wajiunga
Read the full report from the original source.
RecentlyTanzania secures Bronze glory at AACT 2026
DAR ES SALAAM: TANZANIA’S national ladies golf team delivered an impressive performance to secure third place at the 2026 All…
RecentlyGlobal South delegates seek stronger voice at World Media Summit in Beijing
Read the full report from the original source.
RecentlyHorticulture expo targets global markets
ARUSHA: OVER 3,000 delegates from more than 40 countries are expected in Arusha for HortiLogistica Africa 2026, which Vice-President Deogratius…
RecentlyRuto pledges Rironi-Mau Summit extension to Kisii
Ruto said the government would extend the carriageway through Kericho, Kisii and Kisumu to the Malaba border
RecentlyPIC yaihakikishia OTR ushirikiano katika mageuzi ya mashirika ya umma
Read the full report from the original source.
RecentlyA la Cop31, comment dépasser le stade des grandes promesses ?
Read the full report from the original source.
RecentlyRuto urges Kenyans to elect leaders with clear development agendas
President William Ruto began a four-day tour of Nyamira and Kisii counties on Sunday, and called on Kenyans not to gamble with their votes with leaders who have no track…
RecentlyIsraeli Defence minister: Iran mission "not done"
The Israel Defence minister added that Israel "cannot accept these threats" and would act as necessary
RecentlyPage 314 of 1145 · 22898 stories