Unganishwa

Search the region

22913 stories

Uncategorized · DW Rwanda

Germany news: Friedrich Merz set to confirm presidential nominee

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · KBC

Kenyan youth warned against fraudsters exploiting demand for overseas jobs

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Recognising signs of a stroke

Sudden weakness or numbness in one arm is another warning sign, especially when the individual struggles to raise or keep the arm elevated.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Gachagua sets conditions for Mt Kenya support in 2027

The DCP leader says the region will no longer surrender its votes without negotiations, insisting that any opposition pact must address Mt Kenya's needs

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Crew member missing as Indonesian water-bombing helicopter crashes

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Kappa crowned Red Bull Wings Cup national champion

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

They are too much! Charlene unhappy with dad's security

In a moment that captured her displeasure, Charlene was seen signalling the security officers to allow her friends to accompany her, seemingly unhappy

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

They are too much! Charlene unhappy with dad's security

In a moment that captured her displeasure, Charlene was seen signalling the security officers to allow her friends to accompany her, seemingly unhappy

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

MULOKOZI ACHANGIA MILIONI 100 KANISA KATOLIKI MBULU

Na Mwandishi Wetu. MWENYEKITI wa Makampuni ya Mati Group of Companies Ltd, David Mulokozi, amechangia Sh milioni 100 kupitia kampuni ya Mati Super Brands Ltd pamoja na familia yake binafsi, kusaidia miradi ya maendeleo ya Jimbo Katoliki la Mbulu. Mchango huo umetolewa katika harambee iliyofanyika ndani ya Dekania ya Babati, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya maadhimisho ya Jubilei ya Almasi ya miaka 75 tangu kuanzishwa kwa Jimbo Katoliki la Mbulu, ambapo Mulokozi alikuwa mgeni rasmi. Akizungumza katika hafla hiyo, Mulokozi alisema mchango wake umetokana na imani yake kwa Mungu, akieleza kuwa kila alichonacho ni zawadi kutoka kwake na kwamba kuchangia maendeleo ya Kanisa na nyumba za ibada ni njia mojawapo ya kumshukuru Mungu. Alisema kusaidia shughuli za maendeleo ya Kanisa kwake ni sehemu ya imani na nadhiri yake mbele za Mungu, huku akihimiza jamii kuendeleza utamaduni wa kujitolea kwa kuchangia miradi ya maendeleo kulingana na uwezo wa kila mmoja. Aliongeza kuwa maendeleo ya taasisi za kidini yanahitaji ushirikiano wa waumini, wadau na watu wenye mapenzi mema, akisisitiza kuwa kila mchango unaotolewa kwa moyo wa kujitolea una nafasi muhimu katika kufanikisha malengo yaliyowekwa. Akisoma taarifa ya harambee hiyo, Dekano wa Dekania ya Babati, Reginald Kimati, alisema jumla ya fedha zilizopatikana pamoja na ahadi zilizotolewa zimevuka Sh milioni 200 zilizolengwa kukusanywa katika dekania hiyo. Alisema Jimbo Katoliki la Mbulu limeweka lengo la kukusanya Sh bilioni mbili kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo, ikiwemo ujenzi wa hosteli za malazi, ukumbi, jukwaa la kudumu kwa ajili ya maadhimisho ya kijimbo pamoja na kuchangia ujenzi wa kituo cha kichungaji mjini Babati. Kimati alisema kukamilika kwa miradi hiyo kutasaidia kuboresha mazingira ya huduma za kichungaji na kuongeza uwezo wa Kanisa kuhudumia waumini pamoja na wadau mbalimbali watakaoshiriki shughuli za kijimbo. Kwa upande wake, Askofu wa Jimbo Katoliki la Mbulu, Mhashamu Anthony Lagwen, alimpongeza Mulokozi kwa mchango wake na moyo wa kujitolea, akisema hatua hiyo ni mfano mzuri wa ushirikiano katika kuendeleza miradi ya Kanisa. Alisisitiza kuwa fedha zitakazokusanywa zitatumika kwa malengo yaliyokusudiwa ili kuhakikisha miradi iliyopangwa inatekelezwa na kuleta manufaa kwa Kanisa na waumini wake. Aidha, aliwahimiza waumini na wadau wengine kuendelea kushiriki katika kuchangia miradi hiyo ili kufanikisha lengo la Sh bilioni mbili na kuhakikisha maandalizi ya maadhimisho hayo yanakamilika kwa wakati. Maadhimisho ya Jubilei ya Almasi ya miaka 75 ya Jimbo Katoliki la Mbulu yanatarajiwa kufanyika Machi 2028, yakikumbuka historia ya kuanzishwa kwa jimbo hilo Machi 25, 1953. Fupisha habari kuwa ya gazetiBoresha kichwa kivutie zaidiAndika kwa mtindo wa habari fupi.

Sun, 08 Nov 2026 08:23:17 +0000
Health · Issa Michuzi

YAS KUUNGA MKONO KAMPENI YA AFYA BORA, MAISHA BORA KWA MIAKA 3 IJAYO

Kampuni ya mawasiliano ya Yas Tanzania imeahidi kuendelea kuunga mkono kampeni ya Afya Bora, Maisha Bora iliyo chini ya taaisisi ya Zanzibar Maisha Boara Foundation kwa miaka mitatu ijayo ili wananchi wengi zaidi Zanzibar waweze kunufaika na huduma za uchunguzi na matibabu bila malipo. Afisa Mtendaji Mkuu wa Yas Tanzania, Bw. Pierre Canton Bacara, ametangaza ahadi hiyo siku ya leo 07.11.2026, wakati wa kufunga kambi ya sita ya matibabu ya kampeni hiyo katika viwanja vya Kinduni Academy, Mkoa wa Kaskazini Unguja. Akifunga kambi hiyo, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Hemed Suleiman Abdulla, ambaye pia ni mlezi wa kampeni hiyo, alisema kwa siku tano wakazi wa eneo hilo wamepata fursa ya kuonana na madaktari, kufanyiwa uchunguzi na kupata matibabu bila malipo. Mhe. Abdulla alimpongeza Mwenyekiti wa ZMBF, Mama Mariam Mwinyi, kwa kufikisha huduma hizo katika maeneo mbalimbali ya Zanzibar. Pia aliishukuru Yas kwa kudhamini kambi ya Kinduni na ahadi yao ya kuunga mkono kampeni hiyo kwa miaka mitatu ijayo. Alisema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kushirikiana na kuziunga mkono taasisi ambazo zinazoleta huduma za kijamii karibu zaidi na wananchi. Kwa upande wake, Waziri wa Afya Zanzibar, Mhe. Nassor Ahmed Mazrui, alisema zaidi ya watu 4,200 walifika kambini katika siku nne za kwanza. Amewahimiza wale waliobainika kuwa na tatizo la kiafya wakati wa uchunguzi kufika mapema katika kituo cha afya au hospitali ili waendelee kupata huduma kabla hali zao hazijawa mbaya. Akiwasilisha taarifa ya kitaalamu ya kambi hiyo, Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Zanzibar, Dkt. Mngereza Mzee Miraji, alisema serikali inalenga kuhakikisha kuwa ifikapo mwaka 2030, aina zote za huduma za uchunguzi wa magonjwa na matibabu ya kibingwa zinapatikana Zanzibar. Alisema hatua hiyo itapunguza gharama wanazobeba wagonjwa wanaolazimika kusafiri nje ya Zanzibar kufuata matibabu. Mapema mwezi Mei mwaka huu, Dkt. Miraji alitangaza kuwa serikali inapanga kutumia shilingi trilioni moja kwa ajili ya huduma za afya kuanzia mwaka 2026 hadi 2030. Sehemu ya fedha hizo itatumika kuboresha vituo vya kutolea huduma za afya na kuimarisha huduma za afya ya msingi Naye Afisa Mtendaji Mkuu wa Yas Bw. Pierre Canton Bacara alimshukuru Mama Mariam Mwinyi kwa kuikaribisha Yas kuwa mshirika rasmi wa kambi hiyo na kuongeza kuwa “Kwa miaka mitatu ijayo, tutaendelea kushirikiana na Zanzibar Maisha Bora Foundation ili kambi hii ifanyike kila mwaka na kuwafikia Wazanzibari wengi zaidi,” alisema. Yas pia ilitoa kiti cha matibabu ya meno pamoja na vifaa vyake na vishikwambi (tablets) 30 kwa matumizi ya wahudumu wa afya baada ya kambi kumalizika. Bw. Bacara aliongeza kuwa kupitia kampeni ya Tumaini, wafanyakazi wa Yas wameweza kusaidia kuboresha huduma za afya ya uzazi katika hospitali ya Mwera Pongwe, Unguja, na Hospitali ya wilaya ya Kinyasini, Pemba. Alisema zaidi ya akina mama 3,000 wamenufaika na kampeni hiyo kwa Zanzibar pekee. Kwa upande wake, Afisa Mtendaji Mkuu wa ZMBF, Bi. Rehema Tukai, alisema ushirikiano na Wizara ya Afya uliwawezesha wataalamu katika kambi ya Kinduni kutoa huduma za uchunguzi wa magonjwa ya moyo na saratani, kufanya upasuaji mdogo na kutoa huduma za afya ya uzazi, macho na ngozi. Alisema taasisi hiyo itaendelea kuandaa kambi katika maeneo mbalimbali ya Zanzibar ili kuwafikia wananchi wengi zaidi. Hafla ya kufunga kambi hiyo pia iliambatana na uzinduzi wa Build Resilience, kampeni ya Umoja wa Wake wa Marais wa Afrika kwa Maendeleo (OAFLAD). Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar na mlezi wa kampeni ya Afya Bora, Maisha Bora, Mhe. Hemed Suleiman Abdulla, akimkabidhi Afisa Mtendaji Mkuu wa Yas Tanzania, Bw. Pierre Canton Bacara, tuzo ya kutambua mchango wa Yas, wakati wa hafla ya kufunga kambi ya sita ya matibabu ya kampeni hiyo iliyofanyika Novemba 7 katika viwanja vya Kinduni Academy, Mkoa wa Kaskazini Unguja. Wanaoshuhudia ni Waziri wa Afya Zanzibar, Mhe. Nassor Ahmed Mazrui (wa pili kutoka kushoto), Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe. Dkt. Riziki Pembe Juma (kushoto), na Afisa Mtendaji Mkuu wa Zanzibar Maisha Bora Foundation, Bi. Rehema Tukai (kulia). Katika hafla hiyo iliyohitimisha kambi ya siku tano, Yas iliahidi kuendelea kuunga mkono kampeni hiyo kwa miaka mitatu ijayo.

Sun, 08 Nov 2026 08:26:25 +0000
Uncategorized · Issa Michuzi

DKT. MWIGULU: ZAIDI YA SH. BILIONI 330 ZAINGIA MFUKO WA BARABARA NDANI YA MWEZI MMOJA

▪️︎ Akemea watoto chini ya miaka mitano kutozwa fedha za matibabu WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema zaidi ya shilingi bilioni 330 zimeingia kwenye Mfuko wa Barabara ndani ya mwezi mmoja baada ya Serikali kuanza kuelekeza fedha moja kwa moja kwenye mfuko huo ili kuharakisha ujenzi na ukarabati wa barabara nchini. “Sasa hivi tangia tupitishe bajeti, nimeshuhudia ndani ya mwezi mmoja zaidi ya bilioni 330 zimekwenda kwenye mfuko,” alisema Waziri Mkuu leo (Jumamosi, Novemba 7, 2026) wakati akizungumza na wananchi katika viwanja vya Stendi ya Mwanhuzi, kijiji cha Bomani, wilayani Meatu, mkoani Simiyu. Alisema Serikali imeweka vipaumbele vitatu katika matumizi ya fedha hizo. Vipaumbele hivyo ni kukarabati barabara muhimu kwa shughuli za kiuchumi, kuwarejesha kazini wakandarasi walioondoka kwa kukosa malipo na kutoa malipo ya awali kwa wakandarasi wanaosubiri kuanza ujenzi. Akizungumzia huduma za afya, Dkt. Mwigulu alikemea vitendo vya kuwatoza watoto walio chini ya miaka mitano fedha za matibabu. “Miongozo iko wazi, watoto walio chini ya miaka mitano matibabu yake bure. Mnawatoza fedha ya nini?” alihoji. Aliwataka watumishi wa afya kuwahudumia mara moja wajawazito wanaofika hospitalini wakiwa na uchungu. Pia, alikemea tabia ya kuzitaka familia za wagonjwa wa dharura kuchangisha fedha za mafuta kabla ya kuwapeleka wagonjwa hao kwenye hospitali za rufaa. Kuhusu barabara ya Nkoma–Lalago yenye urefu wa kilomita 65, Waziri Mkuu alisema mkandarasi atapatiwa malipo ya awali ili aanze ujenzi kwa kiwango cha lami. Aidha, alimtaka Waziri wa Ujenzi, Masanja Kungu Kadogosa, kuharakisha usanifu wa barabara inayounganisha Simiyu na Singida kupitia Meatu na Iramba Mashariki ili iingizwe kwenye bajeti ya mwaka ujao wa fedha. Akijibu hoja ya Mbunge wa Meatu, Salum Khamis Salum, kuhusu uhaba wa maji, Waziri Mkuu aliwataka viongozi wa wilaya washirikiane na wananchi na wataalamu kutathmini pendekezo la kujenga bwawa kwenye Mto Mwanhuzi. Alisema iwapo wataalamu watapendekeza kutumia eneo la bwawa la zamani, viongozi waheshimu uamuzi wa mahakama na wajadiliane kuhusu fidia na wananchi walioshinda kesi. Kwa upande wa wafugaji, Dkt. Mwigulu alisema Serikali itawalipa fidia wafugaji walioshinda kesi za mifugo na kukuta mifugo yao imekufa walipokwenda kuichukua. Alisema deni la fidia hizo ni takribani shilingi bilioni 3.8. Awali, Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Kundo Andrea Mathew, alisema mji wa Mwanhuzi unahitaji lita milioni 3.8 za maji kwa siku, lakini unazalisha lita milioni 1.7. Alisema maji yamepungua katika Bwawa la Mwanyahina linalohudumia mji huo na visima vitano vilivyochimbwa havikutoa maji ya kutosha kusambazwa kwa wananchi.

Sun, 08 Nov 2026 08:20:29 +0000
Uncategorized · BBC Rwanda

Irani yanyonze abantu batatu bari bafashwe mu gihe c'imyiyerekano

Amashirahamwe aharanira agateka ka muntu amaze igihe anegura cane ikoreshwa ry'igihano c'urupfu muri Irani, cane cane mu manza zijanye n'imyiyerekano hamwe n'ibibazo vy'umutekano w'igihugu.

Recently
Uncategorized · Yaga Burundi

Read more about Sécurité alimentaire au Burundi : et si le pire n’était pas encore arrivé ?

Au Burundi, les pénuries de carburant et d’engrais, aggravées par le manque de devises et les risques climatiques liés à El Niño, font peser une menace grandissante sur la sécurité alimentaire. Alors que les récoltes s’e

Recently
Uncategorized · Yaga Burundi

Read more about Cinéma : « Agasobanuye », ces voix rwandaises qui séduisent les cinéphiles Burundais

À Bujumbura comme à l’intérieur du pays, de petites salles de quartier attirent des spectateurs avec des films interprétés en kinyarwanda par des traducteurs rwandais. Pour un petit billet, les jeunes viennent moins cher

Recently
Uncategorized · Yaga Burundi

Consolate Kankindi et Inès Kidasharira

Dixième spectacle d’Ishaka au Centre national des Arts, hommage de la députée burundo-canadienne Arielle Kayabaga à la Chambre des communes, conférence sur les valeurs traditionnelles à l’Université du Québec en Outaouai

Recently
Uncategorized · Yaga Burundi

Read more about Loin du Burundi, Ishaka fait rayonner la culture burundaise au Canada

Dixième spectacle d’Ishaka au Centre national des Arts, hommage de la députée burundo-canadienne Arielle Kayabaga à la Chambre des communes, conférence sur les valeurs traditionnelles à l’Université du Québec en Outaouai

Recently
Uncategorized · Yaga Burundi

Read more about Hassan Ntahe : héritier d’une légende

Fils de la légende Canjo Amissi, Hassan Ntahe a grandi la musique dans la peau, sans toujours trouver les moyens de faire éclore son talent. Rêves brisés, perte de repères, passage par la case prison, renaissance (…), so

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Cops shoot dead 2 suspects after knife attack on officers

According to police, the officers immediately intervened, prompting the suspects to flee towards Kosovo slums amid pursuit

Recently
Uncategorized · Business Daily

Epra loses fight over 407cooking gas cylinders seized in Narok

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Cops shoot dead 2 suspects after knife attack on officers

According to police, the officers immediately intervened, prompting the suspects to flee towards Kosovo slums amid pursuit

Recently

Page 320 of 1146 · 22913 stories