Search the region
22917 stories
Trump offers press secretary role to UFC chief Dana White
Read the full report from the original source.
RecentlyMagnitude 5.7 quake injures dozens in central Japan
Read the full report from the original source.
RecentlyOne year after his death, Raila remains influential in politics
Raila shaped national political debates, influenced electoral outcomes, mobilised political movements and commanded a loyal following across regions
RecentlyBRENDA ASHIDA TAJI LA MISS EASTERN ZONE
Brenda Callixte Kanamugile kutoka Mkoa wa Morogoro, ameibuka mshindi wa shindano la Miss Tanzania Eastern Zone 2026 na kujinyakulia zawadi ya gari aina ya Mazda Verisa. Brenda amewashinda washiriki wengine 13 kutoka mikoa minne inayounda Kanda ya Mashariki ambayo ni Pwani, Morogoro, Lindi na Mtwara katika fainali zilizofanyika Novemba 6, 2026, Kisemvule, Wilaya ya Mkuranga, Mkoa wa Pwani. Baada ya kukamilika kwa mashindano ya ngazi ya kanda, Brenda anaingia kambini kuungana na washindi kutoka kanda nyingine zinazounda Tanzania kwa ajili ya maandalizi ya mashindano ya kumpata Miss Tanzania 2026
Sun, 08 Nov 2026 04:06:06 +0000Perezida wa Israel yahaye umukuru w'abatavuga rumwe n'ubutegetsi igikorwa co gushinga reta
Rwaba uruhande rushigikiye umushikiranganji wa mbere Benjamin Netanyahu canke urw’uwo bahiganwa, nta na rumwe rwashoboye kuronka ubwiganze mu nama nshingamateka mu matora yabaye mu ndwi iheze.
RecentlyIs Nyoro seeking 2027 role or positioning for 2032?
He's hunting with the hounds while running with the hare; 2027 run may not be about taking power but preparing to inherit it
RecentlyHow DCP nomination fears threaten Gachagua’s Mt Kenya game plan
Anxiety over integrity and impartiality could discourage party members, aspirants, threatening the Mountain unity that Gachagua is trying to build
RecentlyWalimu walia vitabu shuleni, CAG abainisha ruzuku haitolewi
Read the full report from the original source.
RecentlyWorld News in Brief: Civilians killed in DR Congo, Ukrainians wrestle with return, Guterres calls out ‘normalisation’ of force
Read the full report from the original source.
RecentlyInterior Ministry enlists chiefs, their assistants to sell Ruto's 2027 re-election bid
Ruto has already hosted chiefs and village elders at State House, where he made commitments concerning their welfare and working conditions, including improved facilitation.
Sun, 08 Nov 2026 06:30:00 +0300Rubio warns top staff against conflicts of interest as Republicans look to 2028
Read the full report from the original source.
RecentlyCEO who moves billions in business, and is not afraid to start small
Read the full report from the original source.
RecentlyFrance probes if bomb threats against airlines linked to 'foreign powers'
Read the full report from the original source.
RecentlyIran says forces 'stronger' than at beginning of war
Read the full report from the original source.
RecentlyIsraeli president tasks Gadi Eisenkot with forming government
Read the full report from the original source.
RecentlyPoland: Gunman kills 6 in Krakow main square
Read the full report from the original source.
RecentlyWAKAZI 1,000 WA MAKUYUNI WAMLILIA RAIS SAMIA MGOGORO WA ARDHI, WAPINGA UAMUZI WA RC MAKALLA
Wakazi takribani 1,000 wa Kitongoji cha Saburi, Kata ya Makuyuni, Wilaya ya Monduli, Arusha, wamemuomba Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuingilia kati mgogoro wa ardhi kati yao na mwekezaji (Akram Aziz) wakidai kuwa ardhi wanayoishi iko hatarini kuchukuliwa. Kilio hicho kimekuja kufuatia ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Amos Makalla, aliyetoa maamuzi ya kuwapatia wananchi hao ekari 100, uamuzi ambao wameuelezea kutoridhishwa nao kabisa wakidai kuwa hawajapewa haki yao stahiki. Akizungumza kwa niaba ya wakazi hao, Mariam Faustine amesema mgogoro ulifikia hatua ya mvutano Oktoba 2, mwaka huu, baada ya watu wasiojulikana kufika eneo hilo wakiwa na magreda , Silaha kwa lengo la kubomoa nyumba za wananchi. Wananchi hao wameeleza kusikitishwa na maelekezo ya Mkuu wa Mkoa ya kusitisha shughuli za maendeleo katika eneo hilo, wakisisitiza kuwa wameishi hapo kwa muda mrefu na zaidi ya Miaka 30 wanaamini kuwa wana haki ya kisheria ya kumiliki ardhi hiyo. Naye Sara Alaisi amesema hawajaridhishwa na uamuzi wa kuwapatia ekari 100 pekee, huku wakimuomba Rais Samia kuingilia kati ili suala hilo lipatiwe suluhisho la haki. Awali, RC Makalla alimtaka Mkuu wa Wilaya ya Monduli, Kamati ya Ulinzi na Usalama pamoja na Mkurugenzi wa Halmashauri kuhakikisha maamuzi yaliyotolewa yanatekelezwa. Wananchi hao sasa wanaiomba Serikali kuu kuangalia upya suala hilo ili kulinda haki zao na kuepusha uwezekano wa kupoteza makazi yao.
Sat, 07 Nov 2026 21:52:23 +0000Government takes development audit to Kenyans' doorsteps
Read the full report from the original source.
RecentlyAt least 6 killed in shooting in Polish city of Krakow
Read the full report from the original source.
RecentlyPoem: A Prayer for Your Smile
Time clocking, days passing, Where will I find you? I have searched for days, Hours, I haven’t been able to…
RecentlyPage 323 of 1146 · 22917 stories