Search the region
22917 stories
Kalacha Catholic Church: A beacon of faith in the heart of Chalbi Desert
https://youtube.com/shorts/URA8AgawYTA
RecentlyNew mass protests in France as police thwart banned rally
Read the full report from the original source.
RecentlyIkara denies 3K as Mara Sugar end Migori Youth's unbeaten run
Read the full report from the original source.
RecentlyPresident Museveni mourns former Iganga Woman MP Olivia Kwagala, hails her legacy of service
BUGWERI DISTRICT – President of the Republic of Uganda, H.E. Gen. (Rtd.) Yoweri Kaguta Museveni, has paid tribute to the late Hon. Olivia Kabaale Kwagala, former Woman Member of Parliament…
RecentlyCity Pastor and Journalist Emmanuel Kirunda Elected New UJA President After Rizik Karungi Steps Down
City pastor and long-serving journalist Emmanuel Kirunda has been elected the new president of the Uganda Journalists Association (UJA), replacing Mathias Rukundo who had led the body since 2020. The…
RecentlyAt least 6 killed in shooting in Polish city of Krakow
Read the full report from the original source.
RecentlyInside Ruto's plan to use chiefs to campaign for 2027 re-election
Ruto has already hosted chiefs and village elders at State House, where he made commitments concerning their welfare and working conditions, including improved facilitation.
Sun, 08 Nov 2026 00:00:00 +0300Delap double condemns Man City to third straight defeat
Read the full report from the original source.
RecentlyIsraeli president picks Gadi Eisenkot to form government
Read the full report from the original source.
RecentlyBoubacar Boris Diop gagne le Meilleur Prix de Radiate Rwanda pour l’ensemble de son œuvre
Read the full report from the original source.
RecentlyParaguay ex-president under questioning in banking scandal
Read the full report from the original source.
RecentlyNYONGO AAGIZA TEMESA KUWEKA MFUMO WA KIDIJITALI WA TIKETI ZA KIVUKO MAFIA KUANZIA MWEZI UJAO
Na Mwamvua Mwinyi, Mafia MKUU wa Mkoa wa Pwani, Stanslaus Nyongo, amesema kuanzia mwezi ujao wananchi wa Wilaya ya Mafia wataanza kupata tiketi za kivuko kupitia mfumo wa mtandao ili kurahisisha huduma za usafiri na kuondoa usumbufu wa kufuata tiketi bandarini. Nyongo ameyasema hayo Novemba 7, mwaka huu, wakati akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kisiwani Mafia kwa lengo la kusikiliza na kutatua kero zinazowakabili. Awali, wananchi walieleza changamoto ya upatikanaji wa tiketi za kivuko, wakisema utaratibu uliopo unawalazimu kufika bandarini kuandika majina na kutafuta nafasi ya kusafiri. Walisema hali hiyo imekuwa ikiwapa usumbufu, huku baadhi yao wakikosa nafasi ya kusafiri kutokana na kutokuwa na mfumo rahisi wa kukata tiketi wakiwa maeneo yao. Akijibu hoja hiyo, Nyongo amesema mfumo huo wa mtandaoni utawezesha wananchi kupata tiketi kwa urahisi bila kulazimika kufika bandarini, hatua inayotarajiwa kupunguza usumbufu na kuboresha huduma za usafiri kwa wakazi wa Mafia.
Sat, 07 Nov 2026 20:09:02 +0000Israeli president picks Gadi Eisenkot to form government: Statement
Read the full report from the original source.
RecentlyIsraeli president picks Gadi Eisenkot to form government: Statement
Read the full report from the original source.
RecentlyRwanda to gain US$237 million GDP boost if it capitalises on AI revolution – as major new study highlights youth job opportunity
Read the full report from the original source.
RecentlyHaiti Prime Minister says gang leader Mathias Saintil is dead
Read the full report from the original source.
RecentlyTrump offers White House press secretary role to Dana White
Read the full report from the original source.
RecentlyPSSSF YAENDESHA SEMINA KWA MAAFISA UTUMISHI MARA
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Brigedia Jenerali Evans Mtambi, akifungua semina ya mafunzo kwa Maafisa Rasilimaliwatu na Utumishi wa Mkoa huo iliyoandaliwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) Mjini Musoma Novemba 6, 2026. Mkuu wa Mkoa wa Mara, Brigedia Jenerali Evans Mtambi, akifungua semina ya mafunzo kwa Maafisa Rasilimaliwatu na Utumishi wa Mkoa huo iliyoandaliwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) Mjini Musoma Novemba 6, 2026. Meneja wa Mfuko wa PSSSF Kanda ya Ziwa Mashariki, Bw. Rajabu Kinande (kulia), akizungumza kwenye semina ya mafunzo kwa Maafisa Rasilimaliwatu na Utawala wa Mkoa wa Mara. Semina hiyo imefunguliwa na Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Brigedia Jenerali Evans Mtambi mjini Musoma, Novemba 6, 2026. Mkuu wa Wilaya ya Musoma, Mhe. Juma Chikoka, akitoa salamu kwenye semina kwa Maafisa Utumishi mkoani Mara. Semina hiyo iliandaliwa na PSSSF na kufanyika Mjini Musoma Novemba 6, 2026 Baadhi ya washiriki wa semina ya mafunzo kwa Maafisa Rasilimaliwatu na Utawala wakifiatilia mada zilizokuwa zikiwasilishwa na wataalamu wa Mfuko wa PSSSF mjini Musoma Novemba 6, 2026. Novemba 6, 2026 Musoma. Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umeendesha semina kwa Maafisa Utumishi Mkoa wa Mara, ili kuwajengea uelewa wa kushughulikia kwa weledi masuala ya wanachama wa mfuko huo. Semina hiyo imefanyika Ijumaa Novemba 06, 2026 katika Wilaya ya Musoma, Mkoani Mara ambapo washiriki wa semina hiyo wamehimizwa kuwasaidia wanachama wa PSSSF kupata huduma bora na kwa wakati. Akifungua semina hiyo, Mkuu wa Mkoa wa Mara Brigedia Jenerali Evans A. Mtambi amesema semina hiyo pia itasaidia kuongeza ufanisi katika upatikanaji wa huduma za PSSSF hususani matumizi ya huduma za kidigitali kwa wanachama. “Zamani mtu alikuwa anafunga safari kwenda Dar es salaam, Dodoma au makao makuu ya Mkoa, lakini sasa hivi anawasha tu bando kwenye simu yake, anawasilisha hitaji lake na anahudumiwa akiwa nyumbani” amesema RC Mtambi. Naye Meneja wa PSSSF Kanda ya Ziwa Mashariki, CPA. Rajabu Kinande amesema ili kuhakikisha Mfuko huo unatoa huduma bora na ya haraka, umejikita kuwafikia wanachama wake kwa njia ya kidigitali. “Sasa hivi mteja anaweza kupata huduma kupitia simu yake ya mkononi hivyo ili kuhakikisha huduma hiyo inaenda vizuri tukaona ni vyema kukutana na maafisa Utumishi ambao wana wajibu wa kutusaidia kutoa huduma bora kwa wanachama” amesema CPA. Kinande. Akitoa shukurani kwa niaba ya Maafisa Utumishi mkoani Mara, Jumanne Obogo ambaye ni Afisa Utumishi Halmashauri ya Musoma Vijijini amesema semina hiyo itawasaidia kuwahudumia kwa ufanisi watumishi kupitia mfumo wa kidigitali.
Sat, 07 Nov 2026 19:44:08 +0000Uganda urgently needs unity, not the permanent institutionalisation of our divisions
By Isa Kato Uganda needs an honest conversation about its political future. Historical grievances, political exclusion, regional inequalities and social divisions deserve attention. I therefore welcome the ongoing discus
RecentlyArteta praises Madueke impact as Arsenal stretch lead
Read the full report from the original source.
RecentlyPage 324 of 1146 · 22917 stories