Unganishwa

Search the region

22945 stories

Uncategorized · DW Rwanda

Yemen: 22 killed in strike near Sanaa, Houthis say

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Mwananchi

Hukumu ya Lissu yaziibua taasisi kimataifa

Soma hapa...

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Don't be deceived into following Sifuna, Mudavadi tells Mulembe nation

Mudavadi questioned Linda Mwananchi's electoral strength, arguing that its leadership and lack of nationwide structures undermine Sifuna's presidential ambition

Recently
Uncategorized · BBC Afrique

Pourquoi la plus haute autorité religieuse de Libye interdit le port de vêtements Nike

L'entreprise américaine tire son nom de la déesse grecque de la victoire, c'est pourquoi Dar al-Ifta a déclaré que l'affichage de son logo était contraire à l'islam.

Recently
Uncategorized · Techweez

Redtech Plans a Kenya-Nigeria Payments Corridor With Kenyan Launch in 2027

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · KBC

KPA strengthens workplace safety through first aid competitions

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Ukraine's power network suffers further damage after fresh Russian strikes

President Volodymyr Zelensky said 12 Ukrainian regions came under attack with the capital Kyiv hit hardest.

Recently
Uncategorized · Mwananchi

Polisi wamshikilia mwenyekiti Chadema Songwe, mwingine...

Taarifa za kukamatwa kwa viongozi hao zilitolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chadema, Brenda Rupia, kupitia mtandao wa kijamii wa X.

Recently
Uncategorized · Chimpreports

CHIMP SPORT: Musamali Stars as Victoria Pearls Dominate Namibia

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Car dealer charged over Ksh.6.5 million vehicle fraud involving two customers

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Watchdog Uganda

SFC passes out 214 Commandos, opens intake 06

The Commander of the Special Forces Command (SFC), Maj Gen Asaph Mweteise Nyakikuru, has presided over the pass-out ceremony of 214 soldiers who completed the Commando Qualification Course Intake 05/25-26,…

Recently
Uncategorized · Watchdog Uganda

NUP Distances Itself from Nalubowa’s Meeting with Museveni, Says Party Was Not Consulted

The National Unity Platform (NUP) has distanced itself from remarks by former Masaka City Woman Member of Parliament candidate Rose Nalubowa, who disclosed that she had met President Yoweri Kaguta…

Recently
Uncategorized · The Citizen

How DP World’s investment drive unlocks Dar port capacity

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · PML Daily

Ugandan Banyarwanda plan cultural centre in Kampala to preserve heritage

KAMPALA, Uganda: November 6, 2026. The Ugandan Banyarwanda Trust (The Trust) is a duly registered corporate body, mandated to promote culture and preserve the history of the Ugandan Banyarwanda, one of...

Recently
Uncategorized · Mwananchi

Usichokijua kinachowavutia wageni kufika Mapango ya Amboni

Read the full report from the original source.

Recently
National · The Standard

ODM-UDA team begins fine-tuning joint manifesto ahead of 2027 elections

The team met ODM deputy party leader Abdulswamad Nassir as they raced against time to fine-tune the document ahead of the 2027 General election, which is 10 months away.

Sat, 07 Nov 2026 15:00:00 +0300
Uncategorized · Issa Michuzi

𝗦𝗧𝗔𝗠𝗜𝗖𝗢 𝗠𝗕𝗜𝗢𝗡𝗜 𝗞𝗨𝗔𝗡𝗭𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗠𝗚𝗢𝗗𝗜 𝗠𝗞𝗨𝗕𝗪𝗔 𝗪𝗔 𝗗𝗛𝗔𝗛𝗔𝗕𝗨 𝗪𝗔𝗧𝗔𝗞𝗔𝗢𝗨𝗠𝗜𝗟𝗜𝗞𝗜 𝗞𝗪𝗔 𝗔𝗦𝗜𝗟𝗜𝗠𝗜𝗔 𝗠𝗜𝗔

▪️Waziri Mavunde aliitaka STAMICO kuwa Shirika imara la Madini Barani Afrika ▪️ Azindua Kiwanda cha nishati safi na salama Dodoma, aipongeza STAMICO kwa mageuzi makubwa ▪️ Kiwanda chagharimu Shilingi Bilioni 3.7, kina uwezo wa kuzalisha tani 20 za mkaa safi kwa saa ▪️ Ampongeza Rais Samia kwa uongozi na maono ya kuifanya Tanzania kinara wa matumizi ya nishati safi na salama ya kupikia duniani 📍 Chigongwe, Dodoma. WAZIRI wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, amelitaka Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) kuongeza tija katika uwekezaji wake na kujipanga kuwa mfano wa mashirika ya umma barani Afrika, huku akieleza kuwa Shirika hilo linaendelea na mipango ya kuanzisha mgodi mkubwa wa dhahabu litakaoumiliki kwa asilimia 100, hatua itakayoongeza uwezo wake wa uzalishaji na kuimarisha mchango wake katika uchumi wa Taifa. Ameyasema hayo leo, Novemba 7, 2026, wakati akizindua rasmi Kiwanda cha nishati safi na salama ya kupikia cha Rafiki Briquettes, Chigongwe, Dodoma, chenye thamani ya Shilingi Bilioni 3.7 kinacholenga kuongeza thamani ya makaa ya mawe na kutoa fursa za ajira kwa Watanzania. Mhe. Mavunde amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa maono na uongozi wake katika kuhamasisha matumizi ya nishati safi na salama ya kupikia, akimtaja kuwa kinara wa juhudi za kuifanya Tanzania kuwa sehemu ya mapinduzi ya kimataifa ya nishati safi na kuwa maelekezo ya Rais yamechochea uwekezaji unaolenga kulinda afya za wananchi, kutunza mazingira na kupunguza matumizi ya kuni na mkaa unaotokana na miti. Aidha, amezipongeza Bodi na Menejimenti ya STAMICO kwa kusimamia mageuzi na kutekeleza maelekezo ya Serikali, akibainisha kuwa miaka mitano iliyopita Shirika hilo liliwekwa katika orodha ya mashirika yaliyopaswa kufutwa kutokana na changamoto za kiutendaji, lakini sasa limepiga hatua kubwa huku akisisitiza kuwa STAMICO inapaswa kuendelea kuwekeza kimkakati ili kuwa Shirika lenye tija na ushindani linaloweza kuigwa na mashirika mengine ya umma barani Afrika. Waziri Mavunde amesema Wizara ya Madini kupitia STAMICO itaendelea kuimarisha uwekezaji katika nishati safi na salama pamoja na utunzaji wa mazingira, sambamba na kuelekeza Shirika hilo kutafuta mbia wa kimkakati kwa ajili ya kuzalisha umeme kupitia makaa ya mawe, ili kuchangia azma ya Serikali ya kuzalisha megawati 8,000 ifikapo mwaka 2030. Vilevile, ameitaka STAMICO kushirikiana na kampuni nyingine kutangaza manufaa ya mkaa wa Rafiki Briquettes unaozalishwa kupitia Mgodi wa Kiwira na kutoa elimu ya matumizi yake kwa wananchi wa Dodoma. Katika kuimarisha manufaa ya uwekezaji huo kwa jamii, Mhe. Mavunde ameelekeza kila kiwanda kitakachojengwa nchini kuwa na mpango wa uwajibikaji kwa jamii (CSR), lakini pia amelitaka STAMICO kupanda na kutunza miti katika eneo la Chigongwe na maeneo mengine ya shughuli zake, ili kukabiliana na ukame na kuwa mfano wa taasisi za Serikali katika uhifadhi wa mazingira. Kwa upande wake, Mkurugenzi Mtendaji wa STAMICO, Dkt. Venance Mwasse, amesema kiwanda hicho kina uwezo wa kuchakata tani 20 za mkaa wa Rafiki Briquettes kwa saa na kutoa ajira za moja kwa moja kwa watu zaidi ya 150 na kuongeza kuwa kitatoa fursa za biashara na huduma kwa wananchi wa Dodoma na mikoa jirani huku akisisitiza kuwa kiwanda hicho ni cha nne katika mpango wa STAMICO wa kuzalisha nishati safi na salama ya kupikia, huku Shirika likilenga kupanua huduma hiyo hadi mikoa yote nchini. Kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mkuu wa Wilaya ya Chamwino, Mhe. Janeth Mayanja, amnesia uzinduzi huo ni hatua muhimu katika kukuza viwanda vya ndani, kuongeza thamani ya rasilimali za Taifa na kujenga uchumi unaozalisha fursa kwa wananchi, kuwahimiza wananchi kutumia fursa zitakazotokana na uwekezaji huo na kukipa kiwanda ushirikiano ili kiwe na tija endelevu katika maisha na uchumi wa jamii. Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Mhe. Subira Mgalu, amesema uwekezaji huo utachangia kufikia lengo la Serikali la angalau asilimia 80 ya Watanzania kutumia nishati safi na salama ya kupikia ifikapo mwaka 2034 huku akiitaka Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuandaa majiko yanayoendana na matumizi ya mkaa wa Rafiki Briquettes ili kurahisisha matumizi yake kwa wananchi. Mwenyekiti wa Bodi ya STAMICO, Mhe. Simon Sirro, amesema Shirika lina dhamira ya kuongeza thamani ya makaa ya mawe nchini kupitia uwekezaji wa viwanda na uzalishaji wa bidhaa zenye tija, sambamba na kuunga mkono azma ya Serikali ya kuimarisha matumizi ya nishati safi na salama ya kupikia ifikapo mwaka 2034 na kwamba kiwanda hicho ni mfano wa namna rasilimali za Taifa zinavyoweza kuchochea maendeleo ya viwanda na kuboresha maisha ya wananchi. Naye Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma, Mhe Adam Kimbisa amesema chama hicho kinaridhishwa na mwenendo wa Serikali katika kuimarisha utoaji wa huduma kwa wananchi, ikiwemo uwekezaji katika nishati safi na salama ya kupikia, unaochochea maendeleo na kukuza uchumi wa ndani. Uzinduzi wa Kiwanda cha Rafiki Briquettes ni hatua muhimu katika kuongeza thamani ya makaa ya mawe, kupanua matumizi ya nishati safi na salama ya kupikia, kuimarisha ajira na kuchochea ukuaji wa viwanda nchini, lakini pia uwekezaji huo unaakisi dhamira ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuhakikisha rasilimali za Taifa zinatumika kwa tija na kuleta manufaa ya kiuchumi, kijamii na kimazingira kwa Watanzania

Sat, 07 Nov 2026 12:48:24 +0000
Uncategorized · The Star Kenya

Kenya wins praise over its Ebola response strategy

Africa CDC has cited Kenya's containment measures as a model for other African nations facing the threat of the deadly virus.

Recently
Uncategorized · The Citizen

Court orders Attorney General joined to case challenging media ban

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Observer Uganda

Nerds mourn grandfather of Nerddom

Patrick Stewart has passed away at the age of 86 from complications related to Alzheimer’s and Lewy Body Dementia. You can’t call his passing tragic…

Recently

Page 330 of 1148 · 22945 stories