Search the region
22947 stories
FKF General Assembly resolves to expel Mariga and six other NEC members
FKF General Assembly has resolved to expel Vice President McDonald Mariga and six other members of the National Executive Committee following a Special General Meeting
Sat, 07 Nov 2026 12:58:03 +0300SOSUMO : la disparition d’un cadre sème la discorde au sein du personnel
Read the full report from the original source.
RecentlySilverbacks Festival Debuts With Bold Rise for Ugandan Creativity
Read the full report from the original source.
RecentlyBBT KUWAJENGEA UWEZO VIJANA MULEBA KATIKA KILIMO BIASHARA
Na Byera Deus, Muleba Mkuu wa Wilaya ya Muleba, Dkt. Abel Nyamahanga, amezindua mafunzo ya Programu ya Jenga Kesho Iliyo Bora (BBT), yanayolenga kuwawezesha vijana na wanawake kupata ujuzi na kushiriki kikamilifu katika kilimo biashara. Uzinduzi huo umefanyika katika Kijiji cha Makongora, Kata ya Ruhanga, Wilaya ya Muleba mkoani Kagera, ambapo Dkt. Nyamahanga pia amefungua rasmi shughuli za maandalizi ya shamba la vijana na wanawake la Makongora Block Farm. Shughuli hizo zinahusisha usafishaji wa mashamba kwa njia ya kupalilia pamoja na uchongaji wa barabara yenye urefu wa kilomita 20 ndani ya shamba hilo. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo, Dkt. Nyamahanga alisema Serikali inaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa vijana kujiajiri na kujipatia kipato kupitia sekta za kilimo, mifugo na uvuvi. Alisema kupitia shamba hilo, zaidi ya vijana na wanawake 300 wanatarajiwa kunufaika kwa kupata ajira na fursa za kiuchumi kupitia uzalishaji wa zao la biashara la kahawa. Aidha, alisema Halmashauri ya Muleba ilianzisha mradi huo katika Kijiji cha Makongora, na kwamba ekari 28 ambazo bado hazijapatiwa vijana zitatolewa kwa vijana wengine wa kata hiyo ili kupanua mradi kutoka ngazi ya kijiji hadi kata. Kwa mujibu wa Dkt. Nyamahanga, kila kijana anatarajiwa kupata mauzo ya kahawa yenye thamani ya takribani Sh milioni nane kwa msimu, huku shamba hilo likiwa na uwezo wa kutoa mavuno mara mbili kwa mwaka endapo vijana watazingatia kanuni bora za kilimo. Kwa upande wake, Mratibu wa Programu ya BBT Wilaya ya Muleba, Daudi Kingu, aliyemwakilisha Mratibu wa BBT Taifa, alisema programu hiyo imeandaa mafunzo kwa wanufaika yatakayoanza Novemba 9, 2026. Alisema mafunzo hayo yatahusisha kilimo bora, matumizi ya teknolojia na umwagiliaji, usimamizi wa biashara, upatikanaji wa masoko pamoja na mikopo, kwa lengo la kuwajengea vijana uwezo wa kuendesha shughuli za kilimo kwa tija na kujitegemea kiuchumi. Kingu aliwahimiza vijana kufuatilia na kushiriki kikamilifu katika mafunzo hayo ili kunufaika na maarifa na fursa zinazotolewa kupitia programu hiyo. Aliongeza kuwa BBT ni sehemu ya jitihada za Serikali za kuwawezesha vijana na wanawake kushiriki katika kilimo biashara, ujasiriamali na uzalishaji wenye tija, kwa lengo la kukuza ajira na kuboresha maisha yao. Alifafanua kuwa kazi zinazotarajiwa kutekelezwa shambani hapo ni pamoja na kusafisha mashamba, kuchonga barabara, kuweka miundombinu ya maji, kujenga ofisi ya Chama cha Msingi cha Ushirika (AMCOS) kwa ajili ya shughuli za kahawa pamoja na kutoa huduma za ugani. Naye Mwenyekiti wa vijana hao, Mdhamiru Ally, aliipongeza Serikali kwa kuendelea kuweka mikakati ya kuwawezesha vijana kupitia elimu ya kilimo. Alisema vijana wako tayari kushiriki kikamilifu katika shughuli zote za mradi huo ili kufikia mafanikio na kutimiza malengo yaliyowekwa na Serikali. Kwa upande wake, Mkuu wa Idara ya Kilimo wa Wilaya ya Muleba, Charles Ntaki, alisema shamba hilo lilianzishwa mwaka 2024 kwa lengo la kuinua uchumi wa vijana na kuongeza uzalishaji wa kahawa mkoani Kagera. Alisema kuanzishwa kwa shamba hilo kumechochea watu binafsi na wawekezaji kuanzisha mashamba makubwa ya kahawa katika Kata ya Ruhanga.
Sat, 07 Nov 2026 11:07:30 +0000Governor Mutahi Kahiga elected EALGA chair
The decision places Kenya at the helm of regional local governance for the next two years.
RecentlyKivoga : les agriculteurs réclament le remboursement direct de leurs arriérés d’engrais
Read the full report from the original source.
RecentlyMariga, six other NEC members expelled by FKF Congress
Read the full report from the original source.
RecentlyFrance braces for new round of student and Yellow Vest protests
Read the full report from the original source.
RecentlyTanzania: Amashirahamwe aharanira agateka ka muntu yateye ivyatsi igihano Sentare yaciriye Tundu Lissu
Ishirahamwe Human Rights Watch ryavuze ko igihano co gupfungwa imyaka ine ari ikimenyetso c'ivyo ryise ukubandanya kw'agacinyizo gakorerwa abatavuga rumwe n'ubutegetsi muri Tanzaniya.
RecentlyU Rwanda na Israel bifatanyije guteza imbere ibigo by'ikoranabuhanga mu nganda ndangamuco
Read the full report from the original source.
RecentlyKenyan youths warned against fake overseas job offers
Read the full report from the original source.
RecentlyFadlu afichua siri ya kutua Yanga
Fadlu amesema kuwa Yanga ni timu yenye malengo makubwa hivyo anataka kushiriki kuyatimiza.
RecentlyMariga, 6 other officials expelled by FKF
In a statement dated November 7, the federation said the decision followed deliberations on allegations of violations of the FKF Constitution.
RecentlyVijana 300 Muleba kupata fursa kilimo cha kahawa
Read the full report from the original source.
RecentlyPoem: The Bridge Between Us
I had a dream that left me drenched in sweat, A haunting sight I could not quite forget. At first, its meaning…
RecentlyBehind the wig is a story: Beth’s journey with lupus and hair loss
Read the full report from the original source.
RecentlyAU-EU joint peace push as Sudan, DRC, Sahel crises dominate talks
Read the full report from the original source.
RecentlyMariga, 6 other officials expelled by FKF
In a statement dated November 7, the federation said the decision followed deliberations on allegations of violations of the FKF Constitution.
RecentlyEngrais agricoles : Entre satisfaction proclamée par le gouvernement et colère grandissante des paysans
Alors que le gouvernement affirme que la population est satisfaite de la distribution équitable des fertilisants, les scènes de protestation enregistrées dans plusieurs localités du pays racontent une tout autre histoire. Des routes barricadées, des revendications persistantes et des promesses de livraison non tenues mettent en lumière un malaise qui contraste fortement avec le discours officiel.
Sat, 07 Nov 2026 10:20:43 +0000Israël : les partis arabes s’allient à l’opposition pour écarter Netanyahu
Le président israélien Isaac Herzog a déclaré qu’il annoncerait dimanche à qui il confierait la mission de former un nouveau gouvernement, après que Gadi Eisenkot, figure de l’opposition, a recueilli un nombre important de recommandations pour succéder au Premier ministre Benjamin Netanyahu....
Sat, 07 Nov 2026 10:13:57 +0000Page 332 of 1148 · 22947 stories