Unganishwa

Search the region

22947 stories

Uncategorized · Kigali Today

Umunyamakuru Joyeuse Marie Claire yinjiye mu bwanditsi bw'ibitabo

Read the full report from the original source.

Recently
Health · The Standard

From lifestyle to age, pesticides and herbicides: What really causes Cancer?

A National Control Strategy indicates that cancer is now the third leading cause of death in Kenya, registering an annual incidence of 42,116 new cases and 27,092 deaths.

Sat, 07 Nov 2026 12:05:00 +0300
Uncategorized · Daily News

Infinity Foundation donates equipment to boost conservation efforts at UNESCO world heritage site in Isles

Zanzibar. The Stone Town Management Authority has received professional media equipment from Infinity Foundation to strengthen its capacity to document,…

Recently
Uncategorized · Iwacu

Chronique sur les messages de haine Bubezi/Colline Karinzi : Frustrations enfouies, une possible source de vengeance

Des habitants de la colline Karinzi en commune Kayanza alertent sur le danger du ressentiment gardé en silence. À force de taire les frustrations et les conflits, certaines personnes finissent par accumuler une colère qui peut se transformer en actes de vengeance. Ils appellent au dialogue pour éviter que les tensions ne dégénèrent.

Sat, 07 Nov 2026 09:00:43 +0000
Uncategorized · The Standard

50,000 visas expire as government urged to step up diplomatic talks with Saudi Arabia

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · KBC

In Pictures: Annual National Joint prayers and thanksgiving service

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Hippo scare sends fisherman to watery grave

Julius Nyagoka was fishing in Lake Naivasha when he encountered a hippopotamus, which reportedly frightened him, causing him to drown.

Recently
Uncategorized · KT Press

Africa needs stronger agricultural financing to withstand climate shocks – ARC Chief

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · KBC

Woman jailed for hosting FGM of four girls

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Chaos rock FKF Special General Meeting in Meru

FKF said the meeting had yet to commence following an incident in which officers from the Police Rapid Deployment Unit (RDU) moved into the venue

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

Amid protests, France's rising debt costs threaten stability

Read the full report from the original source.

Recently
National · Citizen Digital

Judiciary hits back amid criticism over abductions and enforced disappearances

Read the full report from the original source.

Recently
National · Issa Michuzi

Serikali kuanzisha mfuko wa kufadhili NGOs za ndani

Na Mwandishi Wetu SERIKALI imesema imejipanga kuyawezesha mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) ya ndani kupata vyanzo vya fedha nchini ili kupunguza utegemezi wa misaada kutoka nje na kuhakikisha yanaendelea kutekeleza majukumu yake kwa manufaa ya wananchi. Hatua hiyo inafuatia uanzishwaji wa Mfuko wa Pamoja wa Ruzuku kwa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGOs Basket Fund - NBF), unaolenga kuimarisha uendelevu wa sekta hiyo kupitia rasilimali za ndani ya nchi. Hayo yameelezwa katika kikao cha pili cha Kamati ya Kitaifa ya Kuratibu Uanzishwaji wa Mfuko huo, kilichofunguliwa rasmi jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Eliakim Chacha Maswi, ambapo wajumbe walijadili hatua zilizofikiwa na mikakati ya kuhakikisha mfuko huo unakamilika kwa wakati. Akizungumza katika kikao hicho, Maswi amesema nchini kuna zaidi ya mashirika yasiyo ya kiserikali 8,000, lakini mengi yanategemea misaada kutoka nje ya nchi, hivyo Serikali ina wajibu wa kuangalia namna ya kuyawezesha mashirika ya kitaifa kupata rasilimali za ndani ili yaweze kutekeleza shughuli zake nchini. "Serikali inayachukulia mashirika haya kama washirika muhimu katika shughuli za maendeleo na utoaji wa huduma kwa jamii, hivyo kuna umuhimu wa kuwa na mpango wa pamoja utakaowezesha upatikanaji wa fedha za kusaidia utekelezaji wa majukumu yao" Kwa upande wake, Msajili wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali, Vickness Mayao, amesema maagizo ya kuanzisha mfuko huo yalilenga kuwakutanisha wadau ili kuandaa utaratibu maalumu wa kusaidia mashirika ya ndani, hatua iliyosababisha kuundwa kwa Kamati ya Kitaifa ya Kuratibu Uanzishwaji wake. Mayao amesema kamati hiyo inaongozwa na Dkt. Majid Nsekela, Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Benki ya CRDB, na tayari hatua mbalimbali zimeanza kuchukuliwa kuhakikisha mfuko huo unaanza kufanya kazi mapema ili mashirika ya ndani yanufaike na rasilimali zilizopo nchini. Naye Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Tanzania, Jasper Makala, amesema mfuko huo unatarajiwa kupunguza utegemezi wa ufadhili kutoka nje ya nchi, ambao umekuwa ukipungua kadri siku zinavyokwenda. Amesema mashirika yasiyo ya kiserikali yana mchango mkubwa katika maendeleo na utoaji wa huduma za kijamii katika sekta mbalimbali, hivyo upatikanaji wa mfuko wa ndani utayasaidia kujiendesha kwa uendelevu na kuendelea kuwahudumia wananchi.

Sat, 07 Nov 2026 08:12:15 +0000
Uncategorized · Issa Michuzi

NISHATI YA UMEME NI MSINGI WA MAENDELEO - NYONGO

Na Mwamvua Mwinyi WADAU wa maendeleo wa Sekta ya Nishati wameeleza kuridhishwa na utekelezaji wa miradi ya usambazaji wa umeme vijijini na kuahidi kuendelea kushirikiana na Serikali katika kuimarisha huduma hiyo, inayotajwa kuwa chachu ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Akifungua Kikao Kazi cha Pili cha Mwaka cha Wadau wa Maendeleo wa Sekta ya Nishati kilichofanyika Kisawani, Wilaya ya Mafia, Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Stanslaus Nyongo, amesema nishati ya umeme ni nyenzo muhimu ya maendeleo na kwamba vijiji zaidi ya 12,300 vya Tanzania Bara vimekwishafikishiwa huduma hiyo. Amesema upatikanaji wa umeme ni muhimu kwa Mkoa wa Pwani kutokana na kuongezeka kwa shughuli za uwekezaji, ikiwemo ujenzi wa viwanda katika maeneo ya vijijini, vinavyohitaji nishati ya uhakika ili kuendesha shughuli za uzalishaji. Nyongo amesema kuridhishwa kwa wadau hao na utekelezaji wa miradi hiyo ni ishara ya kuimarika kwa ushirikiano kati yao na Serikali ya Awamu ya Sita katika kuhakikisha huduma ya umeme inawafikia wananchi na kuchochea maendeleo. Naye Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Hassan Saidy, amesema kikao hicho kinalenga kupitia utekelezaji wa mpango kazi wa miradi ya nishati pamoja na kuwapatia washirika wa maendeleo taarifa kuhusu namna fedha walizochangia zilivyotumika katika kutekeleza miradi hiyo. Kwa upande wake, Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati (Umeme na Nishati Jadidifu), Mhandisi Felchesmi Mramba, amesema vijiji vyote vya Tanzania vimefikishiwa huduma ya umeme, huku Serikali ikiendelea kuangalia namna ya kuongeza matumizi ya nishati safi ya kupikia nchini. Ameeleza kuwa hadi mwaka 2025, uwiano wa kaya zinazotumia nishati safi ya kupikia ulifikia asilimia 28.6, akibainisha umuhimu wa kuendelea kuhamasisha matumizi ya nishati hiyo ili kupanua upatikanaji wake kwa wananchi.

Sat, 07 Nov 2026 08:17:23 +0000
Uncategorized · Issa Michuzi

SAMIA LEGAL AID YAFIKA VIWANDANI KIBAHA, YAWATAKA WAFANYAKAZI KUZINGATIA MIKATABA YA AJIRA

Na Mwamvua Mwinyi, Kibaha Wafanyakazi wa viwandani wametakiwa kuhakikisha wanaelewa masharti yote ya mikataba ya ajira kabla ya kuisaini ili kuepuka migogoro na changamoto zinazoweza kujitokeza katika uhusiano wao na waajiri. Ushauri huo umetolewa Novemba 6, 2026 na Timu ya Wataalamu wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (Samia Legal Aid), Manispaa ya Kibaha, iliyofika katika viwanda mbalimbali vilivyopo Kata ya Misugusugu, Mkoa wa Pwani. Ziara hiyo imelenga kuwajengea wafanyakazi uelewa kuhusu haki na wajibu wao kwa mujibu wa sheria, hususan katika masuala yanayohusu mikataba ya ajira. Katika kampeni hiyo, wafanyakazi wamepatiwa elimu kuhusu mambo muhimu ya kuzingatia kabla ya kuingia mikataba ya ajira, huku wakipewa nafasi ya kuuliza maswali na kueleza changamoto wanazokutana nazo katika utekelezaji wa mikataba hiyo. Wataalamu wa sheria walitoa ufafanuzi kuhusu masuala mbalimbali yaliyoulizwa na wafanyakazi, kwa lengo la kuwasaidia kuelewa haki zao na wajibu wao katika mazingira ya kazi. Kampeni hiyo ni sehemu ya jitihada za kuifikisha huduma ya msaada wa kisheria kwa wananchi katika maeneo yao, wakiwemo wafanyakazi wa sekta mbalimbali.

Sat, 07 Nov 2026 08:21:01 +0000
National · Issa Michuzi

PROF. MBARAWA ATOA MAAGIZO KWA BODI MPYA YA MAGAVANA DMI.

Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, ametoa maelekezo kwa Bodi mpya ya Magavana ya Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI), yakilenga kuimarisha ubora wa elimu na mafunzo, kuongeza ajira kwa mabaharia wa Tanzania na kukifanya chuo kitambulike kimataifa. Akizungumza katika uzinduzi wa Bodi hiyo, alisema ni mwanzo wa ukurasa mpya wa uwajibikaji, ufanisi na matokeo. Alitaka bodi isimamie uboreshaji wa mitaala, mafunzo kwa wakufunzi na upatikanaji wa vifaa vya kisasa vya kufundishia ili kuzalisha wahitimu wenye ujuzi wa kushindana katika soko la ajira la ndani na kimataifa. Aliitaka bodi, kwa kushirikiana na menejimenti, kuweka mikakati ya kuongeza ajira kwa mabaharia kupitia ushirikiano na kampuni za meli, waendeshaji wa bandari na taasisi za kimataifa, pamoja na mfumo wa kufuatilia maendeleo ya wahitimu. Pia alisisitiza utawala bora, uwajibikaji na uadilifu, na tafiti na ubunifu vielekezwe katika kutatua changamoto za bandari, usafiri wa majini, usalama baharini na uchumi wa buluu. Aliielekeza DMI kushirikiana na Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) kuandaa kanzidata ya wataalamu wa Kitanzania wa sekta ya bahari waliopo nchini na nje ya nchi. Aidha, alitaka fedha za Serikali zitumike kwa ufanisi, akionya dhidi ya ucheleweshaji, ongezeko la gharama lisiloelezeka na ununuzi wa vifaa visivyokidhi viwango, na akahimiza chuo kuongeza mapato kupitia mafunzo, tafiti na huduma za ushauri, kwa kuzingatia malengo yanayopimika na muda maalumu wa utekelezaji. Mwenyekiti wa Bodi, Mhandisi Mkuu Paul Olekashe, alitaja changamoto kuwa ni upatikanaji wa meli ya mafunzo, vifaa vya kisasa na utambuzi wa vyeti vya mabaharia kimataifa. Alisema chuo kinaandaa mradi wa meli ya mafunzo, na akaiomba Wizara kuharakisha utekelezaji wake na kusaidia vyeti vitambuliwe kimataifa. Kwa upande wake, Mkuu wa Chuo, Profesa Tumaini Gurumo, alisema wanafunzi wa mafunzo ya bahari wameongezeka kutoka 1,500 hadi 7,000 kwa mwaka, huku idadi ya walimu ikiongezeka kutoka chini ya 100 miaka mitano iliyopita hadi takribani 220 sasa, aliongeza kuwa Serikali inaendelea kukiimarisha chuo kwa kukipatia vifaa vya kisasa vya kufundishia ili kuboresha ubora wa mafunzo.

Sat, 07 Nov 2026 08:13:46 +0000
Uncategorized · The Star Kenya

CJ honoured with prestigious doctorate by KeMU

Koome received the Degree of Doctor of Letters (D.Litt.), Honoris Causa, during the university's 26th graduation ceremony

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR: CCM HAIWEZI KUJENGWA KWA MAKUNDI, MAGONVI

Na Victor Masangu, Pwani Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar na Mlezi mpya wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Pwani, Mhe. Hemed Suleiman Abdulla, amewataka viongozi wa chama hicho kuachana na vitendo vya kuunda makundi, magomvi na mivutano, akisema hali hiyo inaweza kudhoofisha umoja na misingi ya chama. Akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Pwani katika Ukumbi wa Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere, eneo la Kwa Mfipa, Kibaha, amesema amekuja kukilea chama kwa ujumla na si makundi ndani ya chama. "Chama chetu ni chama kilicho madarakani na kinapendwa sana na wananchi, lakini hakiwezi kujengwa kwa makundi wala mivutano," amesema Abdulla. Amesisitiza kuwa viongozi wote wanapaswa kufanya kazi kwa ushirikiano na mshikamano, huku wakizingatia Katiba, Kanuni na miongozo ya CCM katika kusimamia shughuli za chama. Ameongeza kuwa hakuna sababu ya viongozi kuvutana, akieleza kuwa migogoro na mivutano ni kama sumu inayoweza kukiumiza chama. Katika hatua nyingine, amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kile alichokieleza kuwa ni kurejesha heshima ya CCM na kuimarisha hali ya amani na utulivu nchini. Kwa upande wao, baadhi ya viongozi wa CCM Mkoa wa Pwani wameahidi kumpa ushirikiano Mlezi huyo mpya na kutekeleza maelekezo aliyoyatoa kwa lengo la kuimarisha umoja na uendeshaji wa chama mkoani humo.

Sat, 07 Nov 2026 08:10:14 +0000
Uncategorized · The Ankole Times

FROM THE BATTLEFIELD TO SPECIAL FORCES COMMAND: THE MILITARY JOURNEY OF MAJ GEN ASAPH NYAKIKURU

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

CJ honoured with prestigious doctorate by KeMU

Koome received the Degree of Doctor of Letters (D.Litt.), Honoris Causa, during the university's 26th graduation ceremony

Recently

Page 334 of 1148 · 22947 stories