Search the region
22947 stories
Uganda Gets Shs 102bn Grant for Epidemic Responses
Read the full report from the original source.
RecentlyKenya Nears End of Ebola Outbreak as Sixth Patient Recovers
Read the full report from the original source.
RecentlyParliament Launches Digital Family Planning App to Improve Reproductive Health Access
Read the full report from the original source.
RecentlyMan falls to death while installing billboard in Lavington
The deceased, identified as Paul Katami, was mounting a billboard banner alongside a colleague when he reportedly slipped and fell.
RecentlyMaswali tata hukumu ya Tundu Lissu
Soma zaidi...
RecentlyAngry woman storms Kenya Power offices over exorbitant Ksh. 200,000 faulty meter bill
Read the full report from the original source.
RecentlyMiradi ya tril 8/- ipo kwenye utekelezaji
Read the full report from the original source.
RecentlyFadlu rasmi kocha mpya Yanga
Fadlu ni kocha anayependelea kutumia mfumo wa 4-2-3-1.
RecentlySintofahamu Lissu kutoka uhaini hadi kufungwa kwa uchochezi
Soma hapa...
RecentlySymptoms during the menopausal transition
Women going through the menopausal transition may experience a range of physical and emotional symptoms.
RecentlyNew Zealanders end vote on final day of tight elections
Read the full report from the original source.
RecentlyKivutha Kibwana named Mwananchi Party patron
Babu Owino announced the development, saying the move is aimed at strengthening the political outfit as it expands its membership.
RecentlyIKIGANIRO C'IMVO N'IMVANO
Ikaze mu kiganiro c'imvo n'imvano co kuri uyu wa gatandatu igenekerezo ry'indwi, ukwezi kwa 11 mu 2026.
RecentlyKete mpya ya Steve Barker
Soma zaidi hapa
RecentlyDeadly fight: Stone blow to head kills 42-year-old man
The deceased had earlier been seen in the company of two men before an argument reportedly escalated into a physical confrontation.
RecentlySomalia Chief Justice Seeks International Protection
Read the full report from the original source.
RecentlyUWA Deploys Team as 3 Leopards Are Spotted Near Soroti University
Read the full report from the original source.
RecentlyMunyagwa’s Common Man’s Party Suspends SG Moses Bigirwa Amid Leadership Crisis
KAMPALA: The Common Man’s Party (CMP), led by former presidential candidate Mubarak Munyagwa, has suspended it..
RecentlyNINI KINAENDELEA MAKUYUNI? RC MAKALLA ATOA MWONGOZO WA KUMALIZA MGOGORO
. Asisitiza busara na utu, akipendekeza mwekezaji kuridhia kumega ekari 100 kwaajili ya Kitongoji cha Zaburi chenye usajili na miundombinu ya Msikiti, Kanisa, Maji, Umeme na chekechea . Eneo lingine la Ekari 100 lenye makazi ya kudumu nje ya Eneo la Ekari 100 ya miundombinu ya jamii, Mwekezaji kukaa na wavamizi na kukubaliana - Awataka wananchi kuwa watulivu, kusitisha uvamizi na uendelezaji wa eneo hilo mpaka kukamilika kwa makubaliano - Baada ya makubaliano aitaka Halmashauri ya Wilaya ya Monduli kupanga maeneo yatakayoachwa na Mwekezaji Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. CPA Amos Gabriel Makalla, leo Ijumaa, Novemba 6, 2026, ametatua mgogoro wa ardhi katika Kijiji cha Makuyuni, Wilaya ya Monduli, uliodumu kwa takribani miaka 20 baada ya wananchi kuvamia eneo la mwekezaji la ekari 200 na kufanya shughuli za uzalishaji na kuweka makazi. Akizungumza na wananchi wa Kitongoji cha Zaburi, Mhe. Makalla amebainisha kuwa kampuni ya Rhino Equipment & Transportation ndiyo mmiliki halali wa eneo hilo, huku Serikali ikipendekeza mwekezaji huyo aridhie kutenga ekari 100 kwa ajili ya kitongoji hicho ambacho tayari kimesajiliwa na kina miundombinu mbalimbali ya kijamii ikiwemo msikiti, kanisa, shule ya awali pamoja na huduma za maji na umeme. Katika maelekezo yake, Mhe. Makalla ameutaka uongozi wa Rhino Equipment & Transportation kukaa na kuzungumza na wananchi walioingia katika eneo lake lingine lenye ukubwa wa ekari 100 na kuweka makazi na kufanya shughuli mbalimbali ili kwa pamoja waweze kufikia makubaliano yatakayowezesha matumizi sahihi ya ardhi hiyo na kuondoa mgogoro. Mhe. Makalla kadhalika amewataka wananchi wa Kijiji hicho kuwa watulivu na kusitisha uvamizi na uendelezaji wa maeneo hayo hadi pale makubaliano yote yatakapokamilika suala ambalo limeungwa mkono na Uongozi wa eneo hilo, huku akiiagiza Halmashauri ya Wilaya ya Monduli kusimamia utekelezaji wa maelekezo hayo na kuhakikisha kunakuwa na mpango mzuri wa matumizi ya ardhi itakayotengwa na mwekezaji kwa ajili ya wananchi hao.
Sat, 07 Nov 2026 06:02:48 +0000Carbacid ramps up solar projects to cut KPLC bills
Read the full report from the original source.
RecentlyPage 336 of 1148 · 22947 stories